kupigwa mwaka huo wa 1325 huku eneo la mapigano likiwa
ni huko Emilia-Romagna kaskazini mwa Italia. Walipigana kwa
zaidi ya miaka 300 kabla ya watu wa mji wa Madena
kushinda vita!. Madena ndio walioiba ndoo, na ndio
walioshinda vita.
ipo nchini Italia.
Sababu kubwa ya vita hii haikuwa kuibiana ndoo, Ndoo
ilikuwa ni kama kasababu kadogo tuu kalikokuwa
kanasubiriwa ili walianzishe. Ni sawa na unavyokuwa
unamchukia mtu, sasa unasubiri kasababu kadogo tuu
ulianzishe!..
hayo kutofautiana katika milengo ya kidini na kisiasa, hivyo
kupelekea miji hii miwili kutofautiana kiutawala. Miji hii
iligawanywa, na kila mji sasa ukawa unataka mtu wake ndio
awe kiongozi katika kanda hiyo ya kaskazini,
ikawa kila mji unamtangaza mtu wake kuwa ndiye kiongozi,
na mgogoro huu kati ya miji hii miwili ndipo ulipoanza, na
ulianza tangu Mwaka 1176.
Hivyo kufuatia mgogoro huu wa muda mrefu, ilikuwa
inasubiriwa sababu ndogo tuu ya mmoja kumchokoza
mwenzie ili waingie
Mwaka 1325 watu wa Bologna waliingia katika mji wa
Madena na kufanya vurugu. Walichoma moto ovyo, wakaiba
ndoo hii iliyokuwa muhimu sana katika kanisa enzi za
Warumi, ndipo vita llipoanzia!, na mwishowe walioiba
(Madena) ndio walishinda vita hii iliyopigwa kwa zaidi ya
hiyo 300, lakini ni idadi ya watu 2000 tuu ndio walirekodiwa
kupoteza maisha katika muda huu wote wa vita, ambapo
washindi Modena walipoteza zaidi ya watu 500, na Bologna
wao waliwapoteza zaidi ya watu 1500. .