My Authors
Read all threads
AN OPEN LETTER 💌 TO MY LOVE

Sweetheart ,
Natumai uko salama, kuandika barua ni utaratibu wa zamani maana ningeweza kukupigia simu au kutuma meseji lakini nimeona vyote hivo visingebeba hisia zangu zote kama ambavyo barua imeweza

T H R E A D 👇
Dear love, we ni binadamu wa maana sana kwangu maana umefanyika nuru katika ulimwengu wangu wangu wa huba.
Nilifikiri mwangaza wa jua la asubuhi unaumiza sana macho mpaka nilivokutana na tabasamu lako kutoka kwenye kinywa chenye meno yalopangika vizuri naam ulinivutia❤
Nilidhani apple 🍏 ndio tunda lenye thamani sana mpaka nilivokutana na rangi yako ya chungwa kwenye ngozi inayong'aa
Wanavosema Monalisa ndio mchoro wa thanani sana nadhani hawajaona ile picha yako japo umegeuka mgongo tuu lakini thamani yake ni zaidi ya Pyramids za Misri
Nilidhani Julieth na Romeo ndio filamu bora ya mapenzi kuwahi kutokea mpaka pale nlipoanzisha mahusiano na wewe nikaona hata Titanic haifai kitu mbele yetu.❤

Najivunia kichwa chako chenye maarifa mengi na saizi yake ndogo ya kuweza kutosha taji la umalkia katika ufalme wetu
Bebe, wasikwambie hujapendeza subiria maksi zote nitoe mimi.
Wakati ukiendelea kuwapa blue ticks huko Dm na whats up uendelee pia kuniachia rangi yako ya lipstick kwenye mashavu yangu kila tukionana 😄
Nakuamini zaidi ya navyokupenda
Dear love, usiniambie idadi ya wanaokuja kukutongoza kila siku wala kuntajia majina yao maana hata hao utakao nitajia pengine ni wale ambao hawana hadhi ya kuwa na wewe na ukaacha kuwataja wale wenye hadhi zao.
Natumaini hujaja kwangu kwa sababu ulikosa namna ya kukutana na
Mo Dewji,Bakhresa au mtu fulani maarufu na tajiri.
Wewe sio wa kwanza kwangu maana nikisema hivo nitakua namaanisha sikupita Puberty stage, lakini wewe ni wa mwisho kwangu nikiwa na maanisha maisha yalosalia yote ntatumia pamoja na wewe 😉
Kuna wakati nawashukuru maEx wangu waloniacha hapo nyuma maana wangenipunguzia mwendo wa kukutana na wewe.
Nawashukuru pia walonikataa kwa sababu sina Money materials wakasahau kichwa changu kinawezakua na Materials zakutengeneza hizo Money
Look bebe, usinipime jinsi navyokupenda kwa kuangalia ni mara ngapi nimekuposti kule whats up status maana naweza kukupost ili kukuridhisha tuu ilihari anaeView ni wewe peke ako 😄
You're so smart and wise, sitokuomba unitumie nudes badala yake nitakuomba unitumie vitabu na
maandiko kadhaa niongeze maarifa.
Mchumba, ukiishiwa hela we niombe zikiwepo ntakupatia na mimi pia nikiishiwa usisite kunisaidia ili mwisho wa siku ngome yetu ya ufalme wa mapenzi isijevunjwa kwa vitu vinavotafutwa na kupatikana
Nakuahidi kuwa chanzo chako cha furaha lakini hata ikitokea kuna wakati nimeshindwa kuwa hivo basi ntajitahidi nisiwe chanzo chako cha huzuni.
Mpenzi, nitumie meseji mara kwa mara kunijulia hali,onesha wivu panapobidi.
Sikufundishi namna ya kunipenda NO nachotaka nihisi kweli
Kuna mtu ananijali🤗.
By the way, ulinikuta na contacts takriban 500 kwenye simu yangu ikimaanisha wewe ukawa mtu wa 501 kwa mimi kukufahamu kwaio basi ikitokea umepiga simu ikawa ipo bize usikasirike.
Nipo naufahamu mkubwa najua nafasi ya marafiki na nafasi yako
Kuna watu wengi umefahamiana nao kabla yangu wengine wakike kwa wakiume.
Usiache kuongea na marafiki zako kisa upo na mimi cha muhimu we jua mipaka yao na vilevile linda tuu heshima yangu.

My love, ukija kwangu nikikuuliza " ungependa kula nini" simaanishi unitajie menu ya
Kilimanjaro hotel au hotel flani ya nyota tano, namaanisha utaje menu ambayo kwa kijana kama mimi ntaimudu au hata baba yako kwa umri kama wangu angeiweza.

Sio kwamba najihami NO ni vizuri tukinywa chai pamoja huku tukiandaa supu ya baadae 🤗
Nipo na mipango mingi juu yako na wewe ukiwa na mipango juu yangu itakua vizuri zaidi.
You better prefer love than marriage. Usilazimishe tuoane mapema wala usifosi tupate mtoto mapema as for me the best age to get a child is financially stable years old 😊
Nikikosea nambie nikipatia nisifie japo isiwe sana maana sana kabisa inaboa😄
Nitakua mpenzi wako, rafiki yako,mshikaji wako,ndugu yako

Mind you ntazidi kukuandikia barua kama hivi maana sitaki Vodacom Huduma kwa Wateja wafukuzwe kazi sababu ya kuacha kuhudumia watu wakaishia
Kusikiliza sauti yako kama Kinanda kipindi mimi na wewe tunaongea.😁
You got my three words.😉❤
Regard @Vet_doctor87
#End
#MyMindSpeak
#NohTalk ☕️
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Noe_Wenc 💊

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!