My Authors
Read all threads
WE CAN'T BE THE SAME!!

Yawezakua nyuma yako ikawa mbele yangu, au mbele yako ikawa nyuma yangu. Hii haipingiki na ni ngumu kuikataa.
Safari ni moja ya wote tunapotaka kufika ijapokua tunatofautiana maana ya mafanikio na njia ya kuyafikia
T H R E A D 👇🏼
Tusichukuliane poa kabla hatujaijua kesho yako na yangu pia.

Imagine unafanya kazi kujinufaisha wewe peke ako lakini mimi napambana natafuta maisha kwa ajili yangu ya familia yangu pia kwahiyo ukiona sipigi hatua ya maendeleo usishangae HATUWEZI KUWA SAWA.
Wote tunaishi dunia moja chini ya anga moja.
Japo wewe unavaa kupendeza na kuwa mtu anaekwenda na wakati lakini mimi mwenzako navaa kujistiri tuu..Sikulaumu wala sikuonei wivu lakini priorities zetu zinatofautiana sana kuna vingi vya msingi kwangu kuliko kuvaa.Hatuwezi kuwa sawa
Nafeli masomo wewe unafaulu Yes it's okay hii ni kwasababu tunapigana vita tofauti
Wewe adui yako mkubwa ni masomo lakini mimi napambana na taaluma, na pambana pia na maisha mengine yakujiingizia kipato ili nijikimu kwahiyo nagawana nguvu pande mbili Bro/sister hatuwezi kuwa sawa
Stress yako ni kukosa pesa ya savings kwenye account ya bank mimi stress yangu ni kukosa hela ya kula ndani ya siku.
Napigana kuSurvive wewe unapigana kuishi vizuri zaidi. Haimaanishi mimi ni mzembe katika utafutaji ila tuu milango bado haijafunguka ndugu HATUWEZI KUWA SAWA
Ukiwa kwenu ikatokea hamjala breakfast,lunch au dinner basi labda house girl kaacha kupika au hamna njaa sana siku hiyo.
Ila kwetu sisi ikitokea hivo basi tambua chakula hakikuepo, sikulaumu kuishi vema lakini usinione mdhaifu kukosa Hatuwezi kuwa sawa
Brother /sister wewe mwenzangu unasoma kufurahisha wazazi na ndugu zako ila mimi nasoma kujikwamua mwenyewe maana sitegemei urithi wowote hapo mbele.
Kwaio ukiniona nasoma sana usishangae maana hatuwezi kuwa sawa
Kaka wewe demu wako unampa pesa ya kumuhonga ili akupende zaidi.
Mimi nampa pesa demu wangu za kumkidhi kimaisha kama ambavyo ningefanya kwa mtu yeyote mwenye shida sifanyi hivo kununua upendo mzee baba hatuwezi kuwa sawa!!!!
Unaniona sipo na swaga sipo stylish sina jambo unadhani siendi na muda 😂
Brother siendi na muda mwenzako niko mbele ya muda yaani mwisho wa siku utakuja kugundua unachofanya saivi kutafuta attention ya watu kumbe hata hakuna anaekuangalia kwaio hatuwezi kuwa sawa
Wewe umezaliwa umezikuta mimi sikuzikuta pale nyumbani..Simlaumu mzee wangu wala simuoni mzembe kwamba hakupambana ujanani ili nije kuishi vema sijui changamoto alizopitia mpaka kufika hapa.
Nakupongeza kwa kuishi vema lakini haimaanishi mimi na bahati mbaya hatuwezi kuwa sawa
Bro/sister maisha ni kama bwawa kubwa la mafuta ambayo inahitaji tuu cheche moja ya moto kulipua ule moto wa mafanikio.
Ukiwahi kukipata kiberiti cha kuwasha huo moto usimchukulie poa mwenzako ambae ndo kwanza anaelekea dukani kununua kiberiti
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Noe_Wenc 💊

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!