▫️ Unawajua Tanzanian Hackers wewe? achana na suala la ku-hack Dream League.
▫️ Website ya Waziri Mkuu yadukuliwa. Msala wa mbet.
▫️Huko Jamii Forum ni vimbwanga juu ya vimbwanga.
#FLowMaTaTa tiririka nazo 👇 👇

▫️April. 2012, Wadukuzi kutoka America Kusini "LatinHackTeam" walidukua site za Serikali 35+ duniani.
▫️Nchi kama Japan, India, Ufaransa na kwa Afrika Tanzania ilibahatika kupata nafasi hiyo.
▫️go.tz ikapigwa chini. Zaidi ya website 10,352

▫️April. 2013, Websites za Waziri Mkuu wa Tanzania na Waziri wa Fedha zikadukuliwa.
▫️pmo.go.tz pamoja na websites nyingine 14 zilikua chini ya "Hacked by Lulzpirate".

▫️Mwaka huo huo kuna websites kama mkombozibank.com mifugo.go.tz na ya Chuo cha UDSM hii ilikaa kwa masaa machache hadi walipoi restore.
▫️Oct. 2017, Website ya Chuo cha Kikuu Cha Huria ikapigwa chini.

▫️ Inadhaniwa alikua ana link na either Al-Shabab au ISIS. (Via Strategic Intelligence).