My Authors
Read all threads
💨 TEKNOLOJIA KUBWA 7 ZINAZOVUMA 2020

1: 5G
• Hichi ni kizazi cha 5 cha mawasiliano ya mtandao. 5G ina kasi ya Gb 10 kwa sekunde.

• Hii teknolojia ilianzishwa mwaka 2019 na kampuni ya Huawei (China). Mpaka sasa inasambazwa duniani na
#ElimikaWikiendi tiririka nazo 👇👇 Image
Kampuni mbalimbali kama Huawei, Erickson, Nokia n.k.

• Kwa Afrika mpaka sasa nchi zenye 5G ni Lesotho na South Africa kwa mujibu wa Tech Cabal. Image
2: ARTIFICIAL INTELLIGENCE (AI)
• (Ujuzi Bandia) Hii ni Teknolojia inayohusiana na kukipatia kifaa uwezo wa kufanya majukumu ya binadamu.

• Makampuni kama Amazon, Google, Microsoft washaanza kuitumia hii Teknolojia kuudumia wateja wao. Image
3: AUTONOMOUS DRIVING
• (Gari kujiendesha kwa kujitegemea) hii ni Teknolojia ya kufanya magari yajiendeshe yenyewe bila dereva (binadamu).

• Elon Musk raia wa Afrika Kusini aliyeko bara la Amerika Kaskazini amekua akifanya majaribio kadhaa ya haya magari chini ya kampuni Image
yake ya Tesla. Anasema kila kitu kimekwisha kamilika.

• Pia Kampuni dada ya Google Waymo wanatarajia kusafirisha watu zaidi ya 6,200 kwa mwezi huko California.

• Na sio hapo tu hii Teknolojia inaamia hadi kwenye magari ya mizigo. Inatabiriwa kutakua na mjadala wa kuizuia. Image
4: PERSONALIZED AND PREDICTIVE MEDICINE
• (Dawa ya binafsi na ya utabiri) hii ni Teknolojia inayobadilisha utunzaji wa afya kwa kiwango kisicho cha kawaida.

• Inatoa ufahamu wa zaidi wa jinsi miili ya watu ilivyo na kuwekewa vifaa vya kupambana na magonjwa maalumu. Image
5: COMPUTER VISION
• Hii ni Teknolojia inayojumuisha systems zote ambayo inaweza kutambua vitu, watu, sehemu kwa kutumia kamera.

• Hii inakusanya taarifa kama ilivyo Google. Mfano inaruhusu kamera ya simu yako kutambua ni wapi ulipo. Image
• Kwa tunapoelekea hii Teknolojia itadhibitiwa kutokana na uwezo wake wa kutunza Faragha. Image
6: EXTENDED REALITY
• Hii ni Teknolojia ya kumtengeneza mtu kwa komputa na kumchanganya mtazamaji kushindwa kuelewa mtu asili ni yupi.

• Hii Teknolojia imeanza kupamba moto sana mwaka huu 2020. Image
7: BLOCK CHAIN TECHNOLOGY
• Hii ni Teknolojia ya pesa za kidigitali, kwa sasa imekua gumzo duniani.

• Kama mnakumbuka jumatano iliyopita kuna watu wametapeliwa hela baada ya Akaunti za kina Bill Gate, Obama ku-tweet kwamba wanagawa pesa za bure. Image
✴️ Hizi Teknolojia zikikaa katikati zinafaida sana ila zikituzidi utendaji sisi binadamu ni hasara kwetu.

Kwa leo tuishie hapa watu wangu. Endelea kuwa karibu nami @njiwaflow kwa masuala mbalimbali ya Teknolojia.

Mwenyenzi Mungu awabariki 🙏 Asante. Image
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Njiwa FLow 🇹🇿

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!