Awali..
Alifanya Kazi Kama "Stuntman" Kwa MUAY THAI STUNT Kwa Miaka 14, Akionekana Katika Filamu Nyingi Za PANNA. Akiwa Na SAMMO HUNG Ameshacheza "double" Wakati SUMMO Alipofanya Tangazo La Biashara! Yaani Kifupi Jamaa Kacheza Sana Stunt.
Tumuangalie Kiundani(twenzetu)
2) KUANZIA 2003-2008
Mnamo 2006 Kwa Pamoja, PANNA Na JAA Walikua Na Mapenzi Na Muay Boran, Mtangulizi Wa Muay Thai Na Alifanya Kazi Na Kufundishwa Kwa Miaka Minne Huku Akiwa Na Shauku Ya Kuizalisha Muvi Yake. Hatimaye Wakafanikiwa Kutoa Filamu Fupi Inayoonyesha Kile
3) JAA Angeweza Kufanya Kwa Msaada Wa Mwalimu "GRANDMASTER MARK HARRIS". Mmoja Wa Watu Aliowaonesha Ni Mwongozaji Mtayarishaji PRACHYA PINKAEW . Hii Ilisababisha Kuizalisha Kwa Muvi Kama Ong-bak: Muay Thai Warrior Mnamo 2003, Muvi Zote AKacheza Kama Mhusika Mkuu.
Kuna..
Aina 350 Tofauti Tofauti Za Mazombi Katika Uwanda Mkubwa Mno! Na Kuna Namna Pekee Inayofanya Zombi Kuwa Walivyo. Basi Hapa Nna Machache Nimekuandalia Kama Utapenda Kujua (twenzetu)
2) AINA ZA MAZOMBIE
Zombie Wa Kawaida Au Kitaalamu. Ndio Wanaita Genetic Zombies, Ni Mtu Ambaye Ameuawa Na Kufufuliwa Tena Na Pathojeni(pathogen), Mara Nyingi, Lakini Sio Mara Zote Hutokana Na Virusi. Mfano Wapo,
Watembezi.
Wakimbiaji.
Zombie Wa Voodoo. (uchawi)
3) MAANA YAKE KWA UPANA
Zombie, Kwa Maana Kubwa, Ni Mtu Mfu Ambaye Amepoteza Hali Yake Ya Kujitambua Na Kujitambulisha, Na Anajali Tu Uharibifu (Mara Nyingi Ulaji) Kwa Mwanadamu Yeyote Alie Karibu, Bila Kujali Chochote, Au Gharama Ya Nafsi Yake Wao Huongoza Kwa Upotezaji
M-Canada Mwenye..
Asili Ya Korea! Ivi Una Fahamu Kuwa Jamaa Anaitwa Edward 😁, Yeah Ni Jina Lake Hilo Na Tena Lina a.k.a Yake, Jamaa Ana Nyota Kali Sana Tangu Mtoto Kwa Upande Wa Muvi. Kama Huyajui Haya Basi Mi Nauhakika Hujui Mengi Yanayomhusu. Em Kama Vipi (twenzetu)
2) BIOGRAFIA
Jina Lake Halisi Ni CHOI WOO-SHIK Amezaliwa Machi 26, 1990 Ni Muigizaji Wa Kikorea Na Canada. Kwanza Alipata Kutambuliwa Kila Mahali Kwa Jukumu Lake Katika Filamu Ya Set Me Free (2014).
3) MAISHA YA ZAMANI
Choi Akiwa Kazaliwa Seoul, Korea Kusini, Mdogo Wa Watoto Wawili. Alihamia Canada Na Familia Yake Wakati Alikuwa Katika Darasa La Tano, Akiishi Katika British Columbia, Ambapo Alitumia Miaka Kumi Ya Maisha Yake Kukaa.
Kuna..
Mengi Sana Nyuma Ya Pazia Kutoka Hii Series Ya LA CASA DE PAPEL. Ndio! Tunajua Inatamba Tena Sana Tu, Ila Ushajiuliza Vile Vinyago, Zile Nguo Na Aidia Ya Series Vilitokea Wapi. Au Ilikuwaje Mpaka Leo Ipo Kuna Hii Series
Kama Unataka Kujua (twenzetu)
2) UTANGULIZI
Dah!.. Unajua Nini,
Wakati Nachimba Chimba Huku Mgodini Kwangu. Imebidi Tu Nipunguze Punguze Sana Mana Mzigo Wa Taarifa Ni Mkubwa Na Hauwezi Kutosha Wote Hapa! Kwahiyo Nlichofanya Nmechuja Chuja Na Kubakia Na Madini Ya Msingi Ya Kuwapa Nyie. Watu Wangu
3) UTANGULIZI
Mwanangu @chapo255 Alitamani Kumjua Mwanzilishi Kiini Wa Series Ya LA CASA DE PAPEL, Kwahiyo Nkaona Wacha Nifanye Kama Kawaida Yangu Niende Deep Zaidi. So Huu Uzi Utakuwa Mrefu Zaidi Tangu Kuanza Kwangu Kuwahi Kuandika UZI
Aya..
Em Tuelekezane Jinsi Ya Kudownload Muvi Leo Au Sio, Mana Nakuwa Napata Maombi Mengi Ya Kuelekeza Jinsi Ya Kupakua Muvi
Sasa Leo Iwe Mwanzo Na Mwisho, Ole Wako Usielewe. Na Hata Usipoelewa Nenda Kwenu Kawaambie Mi Fala Sana Yaani Huwa Sielewi Vitu Vidogo Vidogo😒
2) SIMU
Kwanza Naona Tuanze Na Simu, Mana Wengi Wetu Skuizi Kuwa Na Smartphone Imekuwa Sio Ishu Tena. Mana Mpaka Wadada Wetu Wanao Tusaidia Kazi Za Ndani Wanazo
Hivyo Ngoja Nianzie Hapa Kwanza Alafu Tutaenda Sehemu Lengwa Yaani Kwa Kutumia PC, Basi Kuwa Makini Na Nfatilie Fresh
3)SIMU
Kwanza Kabisa Ukitaka Kudownload Muvi Inabidi Uvijue Vitu Viwili Vikuu Na Muhimu
1 - Mitandao Ya Kupakulia
2 - App Za Kupakulia
Sasa Huwa Kuna Njia Nyingi Za Kupakulia Muvi Au Series Ila Hizi Ni Zile Njia Za Kawaida Na Nzuri Zaidi. Hizi Nyingine Ni Maalumu Kwa Wabobezi