🎥

Awali..
Alifanya Kazi Kama "Stuntman" Kwa MUAY THAI STUNT Kwa Miaka 14, Akionekana Katika Filamu Nyingi Za PANNA. Akiwa Na SAMMO HUNG Ameshacheza "double" Wakati SUMMO Alipofanya Tangazo La Biashara! Yaani Kifupi Jamaa Kacheza Sana Stunt.

Tumuangalie Kiundani(twenzetu)
2) KUANZIA 2003-2008

Mnamo 2006 Kwa Pamoja, PANNA Na JAA Walikua Na Mapenzi Na Muay Boran, Mtangulizi Wa Muay Thai Na Alifanya Kazi Na Kufundishwa Kwa Miaka Minne Huku Akiwa Na Shauku Ya Kuizalisha Muvi Yake. Hatimaye Wakafanikiwa Kutoa Filamu Fupi Inayoonyesha Kile
3)
JAA Angeweza Kufanya Kwa Msaada Wa Mwalimu "GRANDMASTER MARK HARRIS". Mmoja Wa Watu Aliowaonesha Ni Mwongozaji Mtayarishaji PRACHYA PINKAEW . Hii Ilisababisha Kuizalisha Kwa Muvi Kama Ong-bak: Muay Thai Warrior Mnamo 2003, Muvi Zote AKacheza Kama Mhusika Mkuu.
4)
JAA Kwenye Muvi Hii Akafanya Stunt Zote Mwenyewe Bila Kusaidiwa Na Vifaa Vya Kiufundi Au Hata Kwa Msaada Wa Kompyuta CGI, Na Hii Ikamwonesha Jinsi Akiwa Na Uwezo Mkubwa Kama Mwanamichezo Wa Sarakasi. Majeruhi Yaliyotokana Na Utengenezaji Wa Sinema Ni Pamoja Na Jeraha La
4)
Ligament Na Kifundo Cha Mguu. Sehemu Moja Katika Filamu Hiyo Ilihusisha Kupigana Na Mwigizaji Mwingine Wakati Suruali Yake Ilikuwa Ikiwaka Moto. "Niliungua Kabisa," Alisema Katika Mahojiano Ya 2005. "Kwa Kweli Ilibidi Nizingatie Kwa Sababu Mara Suruali Yangu Ilipokuwa Ikiwaka.
5)
Moto Ulienea Juu Haraka Sana Na Kuchoma Nyusi Zangu, Kope Na Pua Yangu. Kisha Ikabidi Tushuti Zena Baadhi Ya "TAKES." Sinema Yake Ya Pili Kubwa Ilikuwa Tom-yum-goong (Protector in USA), Iliopewa Jina Kutokana Na Tom Yum, Ambayo Ilijumuisha Mtindo Wa Muay Thai Staili Ya Tembo.
6) BIOGRAFIA

Huyu Jamaa Jina Lake Halisi Ni TATCHAKORN YEERUM Ambapo Kwao Anaitwa ทัช ช ี ยี รัมย์; Akiwa Kazaliwa 5 Februari 1976, Anayejulikana Kimataifa Kama TONY JAA Na Kwao Thailand Anajulikana Kama JAA PHANOM NindiNindi
7) MAISHA YA ZAMANI

Tony Jaa Alizaliwa Na Kukulia Katika Eneo La Mashambani. Yaani Ni Mtoto Wa Shamba, Katika Mkoa Wa Surin Kwa Rin Saipetch Na Thongdee Yeerum. Yeye Ni Wa Asili Ya Kuy Na Anaweza Kuzungumza Lugha Ya Thai, Khmer Kaskazini Na Kuy.
8)
Katika Ujana Wake, JAA Alitazama Filamu Za Bruce Lee, Jackie Chan Na Jet Li Kwenye Maonyesho Ya Hekalu, Ambazo Zilimpa Msukumo Kujifunza Sanaa Za Mapigano. Alipendezwa Sana Na Wao Kiasi Kwamba Wakati Alikuwa Akifanya Kazi Za Nyumbani Au Akicheza Na Marafiki, Basi Angeiga Hatua
9)
Ambazo Alikuwa Ameona, Huku Akifanya Mazoezi Katika Shamba La Mpunga La Baba Yake.

"Kile Walichofanya [Lee, Chan, Na Li] Kilikuwa Kizuri Sana, Kishujaa Sana Kwamba Nilitaka Nindi
10)
Kukifanya Pia," JAA Alisema Katika Mahojiano Ya 2004. "Nilifanya Mazoezi Hadi Ningeweza Kuchukua Hatua Kama Vile Nilivyowaona Wakifanya." JAA Alianza Mafunzo Ya Muay Thai Katika Hekalu La Huko Akiwa Na Umri Wa Miaka 10 Na Alipofikisha Miaka 15 Aliomba Kuwa Mlinzi Wa
11)
Stuntman Na Mwongozaji Wa Filamu Za "action" PANNA RITTIKRAI. PANNA Alikuwa Amemwagiza JAA Kuhudhuria Chuo Cha Maha Sarakham Cha Masomo Ya Viungo Katika Mkoa Wa Maha Sarakham Ambapo Alihitimu Digrii Ya Shahada.
12) MAISHA BINAFSI

TONY JAA Alisajili Rasmi Ndoa Yake Na Rafiki Wa Muda Mrefu PIYARAT CHOTIWATTANANONT Mnamo 29 Desemba 2011. Sherehe Ya Harusi Ilifanyika Mnamo 3 Mei 2012. Wanandoa Hao Wana Binti Na Mtoto Wa Kiume.
13) RUSH HOUR

Muvi Za JAA Zilikamata Hisia Za Shujaa Wake Wa Mda Mrefu JACKIE CHAN. Ambapo Sasa Ikapelekea JACKIE CHAN Kuamua Kuongea Na Mwongozaji Wa
14)
Filamu Yake Ya RUSH HOUR Bwana BRETT RATNER Kwaajili Ya RUSH HOUR 3. Mwongozaji Alivutiwa Sana Pia Na JAA Baada Ya JACKIE CHAN Kumwonesha Video Zake. Hivyo Mwongozaji Huyo Akamwitaji JAA Kwaajili Ya RUSH HOUR 3, Ila Sasa
Kilichotokea! JAA Akashindwa Kushiriki Sababu Ya Kubanwa Sana Na Ratiba Za Muvi Yake Ya Ong Bak 2. Na Kubanwa Huku Kwa Ratiba Wazungu Huita "scheduling conflicts", Yaani Hata Iweje Hapa Huwa Haiwezekani.

Mpaka Sasa TONY JAA Ameshacheza Muvi 22. Yaani Zote Ambazo Yupo! 😎
Anabakia Kama Mtailand Mwenye Ushawishi Mkubwa Sana Kwa Upande Huu Wa Sanaa Hii Ya Filamu Duniani.

Uzi Kama Umewahi Kuisha Hivi eegh!!? 😄
#NindiJrTONYJAA #NindiJrTHAILAND

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ

Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @Nindi_Jr

17 Oct
🎥

Kuna..
Aina 350 Tofauti Tofauti Za Mazombi Katika Uwanda Mkubwa Mno! Na Kuna Namna Pekee Inayofanya Zombi Kuwa Walivyo. Basi Hapa Nna Machache Nimekuandalia Kama Utapenda Kujua (twenzetu)
2) AINA ZA MAZOMBIE

Zombie Wa Kawaida Au Kitaalamu. Ndio Wanaita Genetic Zombies, Ni Mtu Ambaye Ameuawa Na Kufufuliwa Tena Na Pathojeni(pathogen), Mara Nyingi, Lakini Sio Mara Zote Hutokana Na Virusi. Mfano Wapo,

Watembezi.
Wakimbiaji.
Zombie Wa Voodoo. (uchawi) Nindi
3) MAANA YAKE KWA UPANA

Zombie, Kwa Maana Kubwa, Ni Mtu Mfu Ambaye Amepoteza Hali Yake Ya Kujitambua Na Kujitambulisha, Na Anajali Tu Uharibifu (Mara Nyingi Ulaji) Kwa Mwanadamu Yeyote Alie Karibu, Bila Kujali Chochote, Au Gharama Ya Nafsi Yake Wao Huongoza Kwa Upotezaji
Read 25 tweets
16 Oct
🎥

Muvi Hizi..
Zinahusu Wapiganaji Wa Asili Ya Japan Waoitwao Ninja, Muvi Hizi Miaka Ya Sasa Zimekuwa Nadra Sana! ImageImage
2) NINJA ImageImage
3) NINJA ImageImage
Read 9 tweets
6 Sep
🎥

M-Canada Mwenye..
Asili Ya Korea! Ivi Una Fahamu Kuwa Jamaa Anaitwa Edward 😁, Yeah Ni Jina Lake Hilo Na Tena Lina a.k.a Yake, Jamaa Ana Nyota Kali Sana Tangu Mtoto Kwa Upande Wa Muvi. Kama Huyajui Haya Basi Mi Nauhakika Hujui Mengi Yanayomhusu. Em Kama Vipi (twenzetu)
2) BIOGRAFIA

Jina Lake Halisi Ni CHOI WOO-SHIK Amezaliwa Machi 26, 1990 Ni Muigizaji Wa Kikorea Na Canada. Kwanza Alipata Kutambuliwa Kila Mahali Kwa Jukumu Lake Katika Filamu Ya Set Me Free (2014).
3) MAISHA YA ZAMANI

Choi Akiwa Kazaliwa Seoul, Korea Kusini, Mdogo Wa Watoto Wawili. Alihamia Canada Na Familia Yake Wakati Alikuwa Katika Darasa La Tano, Akiishi Katika British Columbia, Ambapo Alitumia Miaka Kumi Ya Maisha Yake Kukaa.
Read 23 tweets
6 Apr
🎥 U Z I

Kuna..
Mengi Sana Nyuma Ya Pazia Kutoka Hii Series Ya LA CASA DE PAPEL. Ndio! Tunajua Inatamba Tena Sana Tu, Ila Ushajiuliza Vile Vinyago, Zile Nguo Na Aidia Ya Series Vilitokea Wapi. Au Ilikuwaje Mpaka Leo Ipo Kuna Hii Series

Kama Unataka Kujua (twenzetu)
2) UTANGULIZI

Dah!.. Unajua Nini,
Wakati Nachimba Chimba Huku Mgodini Kwangu. Imebidi Tu Nipunguze Punguze Sana Mana Mzigo Wa Taarifa Ni Mkubwa Na Hauwezi Kutosha Wote Hapa! Kwahiyo Nlichofanya Nmechuja Chuja Na Kubakia Na Madini Ya Msingi Ya Kuwapa Nyie. Watu Wangu
3) UTANGULIZI

Mwanangu @chapo255 Alitamani Kumjua Mwanzilishi Kiini Wa Series Ya LA CASA DE PAPEL, Kwahiyo Nkaona Wacha Nifanye Kama Kawaida Yangu Niende Deep Zaidi. So Huu Uzi Utakuwa Mrefu Zaidi Tangu Kuanza Kwangu Kuwahi Kuandika UZI

Hivyo Nisikuchoshe Usinchoshe
Read 25 tweets
21 Mar
🎥U Z I

Aya..
Em Tuelekezane Jinsi Ya Kudownload Muvi Leo Au Sio, Mana Nakuwa Napata Maombi Mengi Ya Kuelekeza Jinsi Ya Kupakua Muvi

Sasa Leo Iwe Mwanzo Na Mwisho, Ole Wako Usielewe. Na Hata Usipoelewa Nenda Kwenu Kawaambie Mi Fala Sana Yaani Huwa Sielewi Vitu Vidogo Vidogo😒
2) SIMU

Kwanza Naona Tuanze Na Simu, Mana Wengi Wetu Skuizi Kuwa Na Smartphone Imekuwa Sio Ishu Tena. Mana Mpaka Wadada Wetu Wanao Tusaidia Kazi Za Ndani Wanazo

Hivyo Ngoja Nianzie Hapa Kwanza Alafu Tutaenda Sehemu Lengwa Yaani Kwa Kutumia PC, Basi Kuwa Makini Na Nfatilie Fresh
3)SIMU

Kwanza Kabisa Ukitaka Kudownload Muvi Inabidi Uvijue Vitu Viwili Vikuu Na Muhimu

1 - Mitandao Ya Kupakulia

2 - App Za Kupakulia

Sasa Huwa Kuna Njia Nyingi Za Kupakulia Muvi Au Series Ila Hizi Ni Zile Njia Za Kawaida Na Nzuri Zaidi. Hizi Nyingine Ni Maalumu Kwa Wabobezi
Read 25 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!