Kwanza Naona Tuanze Na Simu, Mana Wengi Wetu Skuizi Kuwa Na Smartphone Imekuwa Sio Ishu Tena. Mana Mpaka Wadada Wetu Wanao Tusaidia Kazi Za Ndani Wanazo
Hivyo Ngoja Nianzie Hapa Kwanza Alafu Tutaenda Sehemu Lengwa Yaani Kwa Kutumia PC, Basi Kuwa Makini Na Nfatilie Fresh
Cha Kwanza Kabisa Sasa Ukitaka Kupakua Muvi Unazozitaka Inabidi Uwe Na Application Inaitwa Bittorrent Au Utorrent Hizi Sisi Wabobezi Tunaita Vipakulishi, Au Mwiko 😁 Si Unajua Kazi Ya Mwiko Jikoni Ni Nini.. Naaam Basi Kwenye Muvi Au Series Bila Hizi Vitu Huwezi Pakua!
Hii App Yaani Moja Kati Ya Utorrent Ya Bittorrent Basi Unaifungua Na Ukisha Ifungua Huwa Zenyewe Automatically Zina Fanya Kazi Nyuma Ya Pazia Mda Wote. Kwa Hiyo Hata Ukiifunga Hata Usijali, Sababu Itaendelea Kufanya Kazi. Baada Ya Hapo Unatoka Sasa, Unaachana Nayo
Kufungua Sehemu Ya Mitandao Wa Muvi Ili Uweze Kutafuta Muvi. Na Mitandao Ya Muvi Ipo. Mingo Sana, Ila Ina Tofautiana Ubora Tu Si King one. Mana Kuna Ambayo Ina Muvi Chafu. Na Nikisema Chafu Namaanisha Sio HD, Yaani Huwa Zina Kuwa Zime Rekodiwa Kutoka Kumbi Za Sinema
Kwenye Hii Hashtag Ya #NindiJrMITANDAOBORA Utaona Unacho Hitaji Kukijua Kwa Wakati Huu Zaidi. Sasa Tuendelee!!! Na Baada Ya Kujua Mtandao Gani Unafaa Zaidi Na Pia Ushaandaa Listi Ya Muvi Unazotaka Kuzipakua, Mana Jinsi Ya Kupakua Series Kuna Utaalamu Wake, Ntawaelezea,
Ntawaelezea Siku Nyingine, Leo Ni Muvi Tu!
Hiyo Listi Yako Ya Muvi Unazozitaka Sasa Ndio Utaanza Nayo Sasa!
UNAPAKUAJE SASA!
Hapa Nataka Niwafundishe Kama Mtu Anaefundishwa Gari Vile Anaanza Kufundishwa Kwa Kutumia Gari Ya Gia
Alafu Gari Za Auto Unaziendesha Mwenyewe Bila Kuelekeza Saaana! 😊 Au Sio. Unaona Bana, Ukishafungua Mtandao Wa Kupakulia Muvi. Mfano Kuna Mtandao Unaitwa magnetdl.com Huu Ni Mtandao Kweli Na Unakila Kitu! Basi Unaenda Sehemu Ile Ya Kusechi, Pale Utaandika,

Utaandika Unachotaka, Mfano Unataka Kudownload Muvi Ya "SUPERMAN". Naitumia Sana Mfano Wa Muvi Ya superman Sababu Ndio Muvi Maarufu Sana Duniani Hivyo Inajulikana Na Kila Mtu Si Ndio
Muvi Zako Zitakuja Pale Kwa Matokeo Meeengi Baada Ya Kusechi Hii Muvi Sasa, Yaani
Kuna Zingine Ni Chafu Na Mbaya Kuangalia, SAS Mbaya Huwa Mara Zote Kwanza Zina MA GB Makuuuubwa Bila Sababu, Penda Kudownload Muvi Zenye MB Chache Tu. Kama Vile Zikiwa Nyingi Basi Ni MB 800 Au MB 950 Mwisho GB 1
Cheza Hapo Usipende Ma GB Mengi Yatakujazia Nafasi Bila
Kwa Moja Mpaka Kwenye Torrent Yako! Basi Ukishaona Hivi Ujue Mzigo Ushakaa Sawa Na Unaanza Kupakua Muvi Yako, Na Ukisha Weza Kumasta Hivi Na Mwanzo Ulikuwa Huwezi Basi Jua Wewe Ni Noma, Ila Ukishindwa Kabisa Nenda Kwenu Piga Kelele Sema "MIMI FALAA" 😄 Maana we Ni Fala
Hizo Ndio Njia Nyepesi Kabisa Za Mtu Ambae Ndio Anaanza Leo Kutaka Kupakua Muvi Mtandaoni Anatakiwa Kuzijua. Mana Ukishafikia Hapo Nlipokufikisha Ndio Mwisho Kila Kitu Unakirudia Kama Unataka Kupakua Muvi Nyingine, Na Sio Uende Tena Kupakua Torrent Nyingine,
Ziko Limited Sana!
Sasa Ukiwa Na LAPTOP Au PC Njia Ni Zile Zile Tu Kama Kwenye Simu Hakuna Maajabu Huku. Iko Hivi Na Twende Kwa Makini Hapa Mana Sitoelekeza Sana Mana Nshasema Njia Ni Zile Zile
Kwenye PC Inabidi Pia Uwe Na Torrent Yaani Iwe Utorrent Au Bittorrent
Na Nilishawaelekeza Jinsi Ya Kutumia Subtitles Au Sio. Basi Kwenye PC Tu Ndio Utaweza Kufanya Hivyo Ila Sio Kwenye Simu
#MASTORIyaNindiJr
ONYO:
Usipende Kudownload Muvi Kwa Kutumia Simu, Unaua Ubora Na Uhai Betri La Simu, Penda Kutumia PC Au LAPTOP
#NindiJrJIFUNZEKUPAKUA
