MUDA WA MWANAMKE KUFIKA KILELENI, AFRIKA YAWA GUMZO
Muda muafaka unaotakiwa kwa mwanamke kufika kileleni ni miongoni mwa mambo yanayoumiza vichwa vya wanaume. Wengi wao wanajiuliza kuhusu muda wa kawaida ambao wanatakiwa kuutumia ili kuwafanya wake zao wafike kileleni.
Licha ya maendeleo ya kisayansi na uwepo wa tafiti nyingi za kitaalamu kuhusu suala hili lenye kuwatia wasiwasi wanaume, imebainika kuwa kila bara duniani linatofautiana na bara nyingine kuhusu muda muafaka ambao wanawake wanahitaji ili kufika kileleni wakati wanapofanya tendo la
ndoa na waume zao.
Katika ripoti ifuatayo, utaweza kufahamu wastani wa muda ambao ulioneshwa na matokeo ya wataalamu waliofanya utafiti wa jambo hilo katika mabara mbalimbali ulimwenguni.
5. ASIA:
Katika bara la Asia muda muafaka wa wanawake kufikia mshindo wa kilele ni dakika 2 – 5 kwa mujibu wa matokeo ya utafiti uliofanywa katika mataifa ya Japan, China, Korea ya Kusini na Thailand.
4. AUSTRALIA
Kuanzia dakika 5-7 ndio kiwango cha wastani ambacho wanawake wanakihitaji katika bara la Australia ili kufika kileleni.
3. ULAYA
Hakuna tofauti kubwa kati ya wanawake wa Ulaya na wenzao wa Australia, ambapo ongezeko ni dk 1 tu. Wao wanahitaji wastani wa dk 5 - 8
2. AMERIKA
Bara la Amerika hapa tunakusudia Amerika ya Kusin na Kaskazin kwa pamoja ikiwa ni pamoja na nchi za Caribbean kama vile Jamaica, Panama na nyingine. Wanawake wa Amerika ya Kaskazini wanahitaji dk 7-10 wakati wale wa Amerika ya Kusini wakihitaji dk 9- 11 kufika kilelen
1. AFRIKA
Kwa mujibu wa wataalamu, wanawake barani Afrika wanahitaji dakika 15 ili kufika kileleni, tofauti na wanawake wa mabara mengine.
Wataalamu hao wanasema kuwa hali ya hewa na mazingira vina athari kubwa katika kuwafanya watu kufikia umri wa baleghe na uwezo wa kitandani
kwa wanaume na wanawake. Inaelezwa kuwa vijana katika bara la Afrika hufikia kiwango cha baleghe katika umri mdogo ikilinganishwa na mabara na nchi nyingine duniani.
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
AKIWA Kijana, alifanya tukio. Hakujuta. Na akasahau. Akaishi miaka 44 mingine. Ndipo akatokea mtu akamkumbusha kile alichokifanya. Akaumia. Akatamani asahihishe makosa yake. Hakupata fursa hiyo. Miaka mi3 baadaye akafariki dunia akiwa mwenye huzuni kubwa
Zingatia, ujana ni tapeli mkubwa wa maisha. Ujana utakulaghai na kukufanya uone maisha ni hayohayo uliyonayo katika wakati uliopo. Ujana unaweza kukughilibu na kukusahaulisha ujio wa kesho. Ujana hufumba macho na huziba masikio. Si walisema ujana maji ya moto?
Ted Jorgensen, alipokuwa na umri wa miaka 17, alikutana na binti mrembo, Jacklyn Gise, aliyekuwa na umri wa miaka 16. Wakapendana. Wakaanza safari ya mapenzi. Jacklyn akanasa ujauzito.
Wakati Jacklyn anashika mimba, alikuwa mwanafunzi wa high school.
KWANINI SIKU HIZI VIJANA WADOGO WANA KIWANGO KIKUBWA CHA STRESS NA DEPRESSION?
Wadau wa Twitter.
Leo ningependa tujadili kidogo hali ya afya ya akili inayoendelea kuwatafuna vijana wenzetu mitaani bila jamii kuangazia.
Leo ni hali ya kawaida kukuta kijana teenager anayesoma sekondari au chuo kikuu akilalamika kuwa na msongo mkubwa wa mawazo au kitaalamu inaitwa Sonona (depression).
Hali hiyo imepelekea baadhi yao kujizuru hadi kufikia hatua ya kujaribu kujiua.
SWALI LA KUJIULIZA:
Nini kimepelekea ongezeko kubwa la vijana wadogo kuwa na depression?:
✔Je, ni kukosa malezi mazuri?,
✔kushindwa kufikia ndoto na malengo yao?
✔ Je, mitandao ya kijamii imesababisha wao kutamani maisha ya kifahari wanayoyaona kwenye 'status' za wenzao?
JINSI WATOTO WANAVYO SABABISHA BABA ZAO KUFA MAPEMA!!
Baba anapokuwa bado ana nguvu, yuko kazini, ni mkulima, au anafanya biashara; huwa anakua na nguvu na ushawishi mkubwa sana kwenye familia yake: Familia humsikiliza, humjali humpenda, na huzingatia na kutambua uwepo wake.!
Tatizo huanza pale baba anapozeeka, nguvu za uzalishaji mali zimekwisha, au amestaafu.! Na pale watoto wanapokua wamekua watu wazima wameanza maisha yao.! Hapo ndipo mambo kwa baba huanza kuharibika na kupewa kisogo na wanae.!!
Mkewe huanza kumchukulia poa! Ile heshima aliyokuwa akipewa huanza kupungua taratiibu.. Baba hasikilizwi tena Kama zamani, isitoshe anakua hahusishwi sana tena kwenye mambo ya mkewe sababu hata akiambiwa atasaidia nini na pesa hana?
Watu wengi wanapolala huwa wanakoroma na tatizo hilo huwakera wengi wasiokoroma ambao labda hulala chumba kimoja na mtu mwenye hali hiyo. Lakini ni kwa nini watu hukoroma?
✔Mirija ya hewa iliyoziba kwa kitaalamu obstructive sleep apnea (blocked airways)
✔Unene kupita kiasi.
✔Tatizo la mfumo wa mdomo wako, pua, ama koo
✔kukosa kulala kimakusudi (sleep deprivation).
✔ kulala chali
✔ kunywa pombe muda mfupi kabla ya kwenda kulala.
NJIA ZA KUZUIA KUKOROMA
1. Punguza unene na kuzingatia mlo bora.
Kuwa na uzito mkubwa (unene) kunaweza kusababisha mtu kukoroma. Mafuta yaliyozunguka shingo hubana mirija ya hewa na kuzuia hewa kupita kiurahisi kutoka nje au kuingia ndani
JE, NI KIPI HUMFANYA MWANAUME KUINGIA RASMI KWENYE NDOA?
👇👇
Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY).
Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe,
Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi na wewe tena mkadumu kwa muda mrefu lakini asikuoe.
Lakini akampata mtu mwingine akamuoa hata kama mahusiano yake na mtu huyo yalikuwa ya miezi miwili.
Wanaume wengi hutizama mbali zaidi pale wanapotaka KUOA. Huwa hawafikirii habari za suti kali za harusi na sherehe ya gharama, vitu ambavyo hufikiriwa zaidi na wanawake kila wanapoiwaza ndoa.