NABII ELISHA
#UZI
👇👇
Nabii wa Agano la Kale wa ufalme wa Kaskazini wa Israeli na mshauri wa kuaminika wa wafalme kadhaa wa nchi hiyo.

Elisha alikuwa na tabia ya upole na mwenye moyo wa kupenda, pasipo ari ya moto mkali ambayo bwana wake, Eliya, walitofautiana.
Miujiza yake yenye kutambulika (2 Fal. 2–5; 8) inashuhudia kwamba hakika

📌alipokea nguvu za Eliya wakati yeye alipomrithi Eliya kama nabii (2 Fal. 2:9–12).

KWA MFANO, 👇👇

✔aliyaponya maji ya chemchemi ya maji machungu,

✔aliyagawanya maji ya Mto Yordani,
✔alizidisha mafuta ya mjane,

✔ alimfufua mvulana kutoka kwa wafu,

✔alimponya mtu wa ukoma,

✔alisababisha shoka la chuma kuelea majini,

✔na akawapiga Washuri kwa upofu (2 Fal. 2–6).
Huduma yake ilidumu kwa zaidi ya miaka hamsini wakati wa utawala wa Yehoramu, Yehu, Yohoahazi, na Yoashi.

Mambo Makuu na yakustaabisha (with references) kuhusu ELISHA👇👇
Alipokea vazi la Eliya, 2 Fal. 2:13

Alizidisha mafuta ya mjane, 2 Fal. 4:1–7

Alimfufua kutoka kwa wafu mvulana wa mwanamke Mshunami, 2 Fal. 4:18–37.

Alimponya Naamani, Mshamu, 2 Fal. 5:1–14.

Aliwapofusha askari wa Shamu, na macho ya mtumishi wake yakafunguliwa, 2 Fal. 6:8–23

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Dr.Socy²³ (HS)

Dr.Socy²³ (HS) Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @biturojr

24 Nov
USIFE KAMA TED JORGENSEN

AKIWA Kijana, alifanya tukio. Hakujuta. Na akasahau. Akaishi miaka 44 mingine. Ndipo akatokea mtu akamkumbusha kile alichokifanya. Akaumia. Akatamani asahihishe makosa yake. Hakupata fursa hiyo. Miaka mi3 baadaye akafariki dunia akiwa mwenye huzuni kubwa Image
Zingatia, ujana ni tapeli mkubwa wa maisha. Ujana utakulaghai na kukufanya uone maisha ni hayohayo uliyonayo katika wakati uliopo. Ujana unaweza kukughilibu na kukusahaulisha ujio wa kesho. Ujana hufumba macho na huziba masikio. Si walisema ujana maji ya moto?
Ted Jorgensen, alipokuwa na umri wa miaka 17, alikutana na binti mrembo, Jacklyn Gise, aliyekuwa na umri wa miaka 16. Wakapendana. Wakaanza safari ya mapenzi. Jacklyn akanasa ujauzito.

Wakati Jacklyn anashika mimba, alikuwa mwanafunzi wa high school.
Read 16 tweets
23 Nov
KWANINI SIKU HIZI VIJANA WADOGO WANA KIWANGO KIKUBWA CHA STRESS NA DEPRESSION?

Wadau wa Twitter.

Leo ningependa tujadili kidogo hali ya afya ya akili inayoendelea kuwatafuna vijana wenzetu mitaani bila jamii kuangazia. Image
Leo ni hali ya kawaida kukuta kijana teenager anayesoma sekondari au chuo kikuu akilalamika kuwa na msongo mkubwa wa mawazo au kitaalamu inaitwa Sonona (depression).

Hali hiyo imepelekea baadhi yao kujizuru hadi kufikia hatua ya kujaribu kujiua.
SWALI LA KUJIULIZA:

Nini kimepelekea ongezeko kubwa la vijana wadogo kuwa na depression?:

✔Je, ni kukosa malezi mazuri?,

✔kushindwa kufikia ndoto na malengo yao?

✔ Je, mitandao ya kijamii imesababisha wao kutamani maisha ya kifahari wanayoyaona kwenye 'status' za wenzao?
Read 6 tweets
22 Nov
MUDA WA MWANAMKE KUFIKA KILELENI, AFRIKA YAWA GUMZO

Muda muafaka unaotakiwa kwa mwanamke kufika kileleni ni miongoni mwa mambo yanayoumiza vichwa vya wanaume. Wengi wao wanajiuliza kuhusu muda wa kawaida ambao wanatakiwa kuutumia ili kuwafanya wake zao wafike kileleni. Image
Licha ya maendeleo ya kisayansi na uwepo wa tafiti nyingi za kitaalamu kuhusu suala hili lenye kuwatia wasiwasi wanaume, imebainika kuwa kila bara duniani linatofautiana na bara nyingine kuhusu muda muafaka ambao wanawake wanahitaji ili kufika kileleni wakati wanapofanya tendo la
ndoa na waume zao.

Katika ripoti ifuatayo, utaweza kufahamu wastani wa muda ambao ulioneshwa na matokeo ya wataalamu waliofanya utafiti wa jambo hilo katika mabara mbalimbali ulimwenguni.
Read 8 tweets
15 Nov
JINSI WATOTO WANAVYO SABABISHA BABA ZAO KUFA MAPEMA!!

Baba anapokuwa bado ana nguvu, yuko kazini, ni mkulima, au anafanya biashara; huwa anakua na nguvu na ushawishi mkubwa sana kwenye familia yake: Familia humsikiliza, humjali humpenda, na huzingatia na kutambua uwepo wake.!
Tatizo huanza pale baba anapozeeka, nguvu za uzalishaji mali zimekwisha, au amestaafu.! Na pale watoto wanapokua wamekua watu wazima wameanza maisha yao.! Hapo ndipo mambo kwa baba huanza kuharibika na kupewa kisogo na wanae.!!
Mkewe huanza kumchukulia poa! Ile heshima aliyokuwa akipewa huanza kupungua taratiibu.. Baba hasikilizwi tena Kama zamani, isitoshe anakua hahusishwi sana tena kwenye mambo ya mkewe sababu hata akiambiwa atasaidia nini na pesa hana?
Read 12 tweets
12 Nov
NJIA 6 BORA ZA KUZUIA MIKOROMO UNAPOLALA

Watu wengi wanapolala huwa wanakoroma na tatizo hilo huwakera wengi wasiokoroma ambao labda hulala chumba kimoja na mtu mwenye hali hiyo. Lakini ni kwa nini watu hukoroma? Image
✔Mirija ya hewa iliyoziba kwa kitaalamu obstructive sleep apnea (blocked airways)

✔Unene kupita kiasi.

✔Tatizo la mfumo wa mdomo wako, pua, ama koo

✔kukosa kulala kimakusudi (sleep deprivation).

✔ kulala chali

✔ kunywa pombe muda mfupi kabla ya kwenda kulala.
NJIA ZA KUZUIA KUKOROMA

1. Punguza unene na kuzingatia mlo bora.

Kuwa na uzito mkubwa (unene) kunaweza kusababisha mtu kukoroma. Mafuta yaliyozunguka shingo hubana mirija ya hewa na kuzuia hewa kupita kiurahisi kutoka nje au kuingia ndani
Read 8 tweets
12 Nov
JE, NI KIPI HUMFANYA MWANAUME KUINGIA RASMI KWENYE NDOA?

👇👇

Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY).
Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe,
Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi na wewe tena mkadumu kwa muda mrefu lakini asikuoe.

Lakini akampata mtu mwingine akamuoa hata kama mahusiano yake na mtu huyo yalikuwa ya miezi miwili.
Wanaume wengi hutizama mbali zaidi pale wanapotaka KUOA. Huwa hawafikirii habari za suti kali za harusi na sherehe ya gharama, vitu ambavyo hufikiriwa zaidi na wanawake kila wanapoiwaza ndoa.
Read 5 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!