Endapo CCM watajidanganya kutegemea China kuwapa mikopo, basi nchi hii INAUZWA. China ilitoa Ksh 500 Bil kutengeneza SGR Kenya. Katika mkataba, wamekubaliana endapo Kenya itashindwa kulipa, basi China itamiliki Bandari ya Mombasa mpaka Deni litakapolipwa LOTE. Katika makubaliano
hayo, China itakuwa inakusanya Ushuru na Mapato yote yatapelekwa moja kwa moja China mpaka deni litakapomalizika.

December 2017, China wamechukua umiliki wa miaka 99 wa Bandari ya Hambantota, Sri Lanka baada ya Serikali kushindwa kulipa mkopo wa billions za Dollars.
September 2018, Zambia imepoteza Uwanja wa Ndege wa Kenneth Kaunda baada ya kushindwa kulipa mikopo kama walivyokubaliana. China wanashikilia Airport na mapato yote yanaenda China. Haijulikani lini Deni litamalizika.

Hii kitu ndio walitaka kuifanya Bandari ya Bagamoyo.
CCM tunajua mna ukaribu na Chama cha KIKOMUNISTI cha China (CPC), lakini hawa Chinese ni watu WABAYA sanaaaaa! Narudia tena; hawa watu hawana RAFIKI wala ADUI wa kudumu. Wao wanaangalia MASLAHI ya nchi yao tu. CCM, msije mkadanganyika na hawa watu. Wachina wanatarget kitu hata
waje kupata baada ya miaka 100 mbele. Wanafanya hivyo kwa ajili ya Wajukuu na Vitukuu vyao, yaani kuna watu wanapewa special ASSIGNMENTS kabisa kufanya target ya kitu, mtu au mahala fulani. DO NOT TRUST CHINESE!! POISON!!
@HildaNewton21 soma hii
China inatumia Makampuni na Mabenki ya nchi hiyo kuja kuwekeza na KUIBIA Waafrika. Kampuni ya Maritime Silk Road ya China ndiyo ilisaini Mkataba wa Bandari ya Bagamoyo, 2013 na Serikali ya JK. June, 2019, JPM akafuta mkataba huo 'HARAMU'. Kwa hili, JPM Nampongeza👏👍. TUNGELIWA!!

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Baba Mwita

Baba Mwita Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @BabaMwita

8 Sep
Mara nyingi nimesikia CCM wakisema CHADEMA walipinga ununuzi wa Ndege lakini mbona leo wanazipanda! Ni hivi; hakuna anayepinga ndege zisinunuliwe, ila tatizo tuna VIPAUMBELE. Nchi hii kwa sasa, Sekta Afya, Elimu, Kilimo ni muhimu kuliko ndege. Mbona wagumu KUELEWA ninyi watu!!!🙌
Njia rahisi ya kuelewesha ni hii. Serikali imefanya kazi kubwa ya kusambaza UMEME, kujenga ZAHANATI, si ndio! Sasa ni lini mmesikia Upinzani unasema msisambaze Umeme au Msijenge Hospitali? Hivi ni vitu MUHIMU kwa Jamii, ndiyo maana Upinzani hawavipingi. Lakini unaponunua NDEGE👇
na kujenga madaraja kama lile la baharini la Salenda kuna faida gani? Mnatumia 200 billion kunufaisha watu elfu 10 au utumie pesa hizo hizo kujenga Shule ambazo utanufaisha watu wengi. Hili tatizo ni KUBWA ndiyo maana Serikali inaelemewa na mahitaji ya Raia na kwenda kukopa zaidi
Read 5 tweets
26 Aug
#UZI MAPINGAMIZI YA TUNDU LISSU DHIDI YA RAIS JPM NA PROFESA LIBUMBA:

Mgombea wa Kiti cha Urais, Tundu Lissu ametoa mapingamizi mawili ambayo la kwanza linawahusu wagombea wote wawili, na la pili ninamuhusu Rais JPM peke yake. Prof. Lipumba amewekewa pingamizi moja tu!👇👇
Mapingamizi hayo yote yanahusiana na kuvunjwa kwa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kama ifuatavyo;

Kosa 1:
Rais JPM na Profesa Lipumba wote wamevunja Sheria ya Uchaguzi inayosema; "𝗕𝗮𝗮𝗱𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗽𝗲𝘄𝗮 𝗳𝗼𝗺𝘂 𝘇𝗮 𝗨𝘁𝗲𝘂𝘇𝗶 𝗻𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗮𝗳𝘂𝘁𝗮 👇👇
𝗪𝗮𝗱𝗵𝗮𝗺𝗶𝗻𝗶, 𝗺𝗴𝗼𝗺𝗯𝗲𝗮 𝗮𝗻𝗮𝘁𝗮𝗸𝗶𝘄𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗳𝗼𝗺𝘂 𝘇𝗮𝗸𝗲 𝘇𝗼𝘁𝗲 𝗸𝘄𝗮 𝗧𝘂𝗺𝗲 𝘆𝗮 𝗧𝗮𝗶𝗳𝗮 𝘆𝗮 𝗨𝗰𝗵𝗮𝗴𝘂𝘇𝗶."

Yaani, fomu zilitakiwa kupelekwa Ofisi ya Tume kwa UHAKIKI jana siku ya Uteuzi na siyo siku nyingine yoyote ile. 👇👇
Read 12 tweets
8 Aug
#UZI TUJIFUNZE KIINGEREZA - KISWAHILI:

1. Charger - kimemeshi
2. Remote - kitenzambali
3. Password - nywila
4. Akala (bladder shoes) - kirikiri
5. Passion fruit - karakara
6. Kangaroo - bukunyika
7. Fridge - jokofu
8. Juice - sharubati
9. Chips - vibanzi
10. PHD - uzamifu👇👇
11. Masters degree - uzamili
12. Degree - shahada
13. Diploma - stashahada
14. Certificate - astashahada
15. Keyboard - kicharazio
16. Scanner - mdaki
17. Flash disk- diski mweko
18. Mouse (for a computer)- kiteuzi
19. Floppy disk - diski tepetevu
20. Computer virus- mtaliga 👇👇
21. Distillation - ukenekaji
22. Evaporation - mvukizo
23. Synthesis - uoanishaji
24. Oesophagus - umio
25. Greenhouse - kivungulio
26. Femur - fupaja
27. Germ cell - selizazi
28. Humus - mboji
29. Nector - mbochi/ntwe
30. Nutrients - virutubisho 👇👇
Read 5 tweets
4 Aug
#UZI KUHUSU NEMBO ZA TAIFA:

1- National Flag - Bendera
2- National Animal - Twiga
3- Uhuru Torch - Mwenge
4- Coat of Arms - Ngao ya Bibi na Bwana
5- National Anthem - Wimbo wa Taifa

Hizi nembo zote (National Symbols) zinalindwa na sheria yaani (Protected by law) isipokuwa 👇👇
Wimbo wa Taifa pekee ambao haulindwi na sheria.

KWANINI IKO HIVI?

Ili kitu kilindwe na Sheria ni lazima kiwe kinamilikiwa kwa asilimia 100. Tanzania haina Umiliki wa 100% wa Wimbo wa Taifa kwa sababu wimbo huu Tumeukopa kutoka kwa Jamii ya wa XHOSA 👇👇
Baada ya kupata UHURU mwaka 1961, Tanganyika ilianza kuutumia Wimbo huu kama 'Wimbo wa Taifa' lakini tayari ulikuwa unaimbwa na Jamii ya XHOSA iliyoko Afrika Kusini, na hata baada ya Muungano na Zanzibar, wimbo huu tumeendelea kuutumia. Sheria ya Nembo za Taifa ya mwaka 1971👇👇
Read 8 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!