Jinsi Kijana Alieishia La Saba Anavyouza Sabuni Zake Mtaani Kama Njugu...
.
Kama Umekuwa ukitafuta Siri Mpya ya kuuza Moja kwa moja (Direct selling) bidhaa zako mtaani, basi Uzi huu ni zaidi ya zawadi kwako..
.
[UZI WA Dkk 4 TU]..👇🏽
Siku ya Jumamosi mida ya jioni hivi tulikuwa tumekaa kwenye kijiwe fulani Hivi na washkaji tunapiga story huku tunakunywa Kahawa Maeneo ya moshono Arusha..
.
Wakati tunaendelea kupiga story akaja jamaa mmoja na kibegi mgongoni huku ameshika sabuni 2 mkononi👇🏽
Kama samples...
.
Baada ya kutupa Hi 👋 akaanza kuprisent sabuni zake, yaani sabuni inafanya kazi gani na ina faida gani kwetu...
.
Wakati anaongea kuhusu sabuni zake nikiwaangalia washkaji pembeni yangu wote wanachezea siku zao..💪🏻
Kiufupi hakuna mtu aliekuwa anasikiliza chochote...
.
Baada ya kumaliza kuongea washkaji wakamwambia “Ahsante sana bro siku nyingine tutakuungisha”
.
Basi bhana jamaa akawa amekosa mauzo kihivyo..
.
Tukiwa bado tumekaa hapo huku story👇🏽
Story za mechi ya man city na Liverpool zikiwa zimepamba Moto akaja jamaa mwingine akiwa na begi mgongoni Pia Ila yeye hakuwa ameshika sabuni mkononi Kama yule ya kwanza...
.
Ila nilipoangalia Tishert yake nikaona lebel ya sabuni Kama ya Yule jamaa wa kwanza
Kwa maana hiyo wote walikuwa na watu wa mauzo (salespeople) wa kampuni moja na sabuni ni zile zile
.
Ila huyu alikuwa tofauti kidogo na Yule wa kwanza kiujuzi japo bidhaa ni zile zile
.
Huyu alipofika hakuanza kuongea chochote kuhusu sabuni Ila alifanya hv👇🏽
[Yeye] : Hello brothers Habari zenu?..
.
[Sisi] : Fresh kabisa..
.
[Yeye] : Samahani Naweza kupata dkk zenu 3 Tu, ili niwaambie kuhusu tatizo ninalolitatua?..
.
[Sisi] : Haina shida Karibu...
.
Baada ya kumpa Muda yule jamaa👇🏽
Hakuanza kuongea chochote kuhusu sabuni, alianza kutuuliza maswali ili kujua kama kuna mmojawetu mwenye changamoto ya ngozi Kuwa na mafuta ambapo hupelekea kutokwa na chunusi
.
Na sabuni zake zilikuwa zinatibu kabisa ttzo la chunusi na ngozi zenye mafuta👇🏽
Mengi
.
Mambo yakawa hivi...👇🏽
.
[Yeye] : kuna mtu yeyote kati yenu mwenye ngozi yenye mafuta mengi?...
.
[Sisi] : wote tukaitikia Ndio...
.
[Yeye] : Huwa mnasumbuliwa mara kwa Mara na chunusi?...
.
[Sisi] : Nusu yetu tukaitikia Ndio
.
👇🏽👇🏽👇🏽
Baada ya hapo ndipo akaanza kuprisent kuhusu sabuni zake na Jinsi zitakavyomaliza kabisa tatizo hilo
.
Huwezi kuamini tulikuwa watu kama 7 Hivi ila 5 wote walinunua sabuni pale pale...
.
Swali ni je, Kipi kilichomfanya huyu wa pili akauza sabuni zake kwa👇🏽
Watu wa 5 pale pale na yule wa kwanza hakuuza hata kwa mtu mmoja Wakati sabuni ni zile zile na kampuni ni ile ile?...
.
Umeona.. Ukweli ni huu Hapa..
.
Yule wa kwanza alikuwa muuzaji na yule wa pili alikuwa Daktari..
.
Yule kwa Kwanza focus yake ilikuwa👇🏽
Ni hela na yule wa pili focus yake ilikuwa ni Sisi
.
Yule wa kwanza hakuomba Muda wetu ila wapili aliomba Muda wetu na akapata attention yetu kwasababu bila kupata attention ya mteja wako ni ngumu sana kuuza bidhaa yako
.
Tulihisi yule wa Pili ametuelewa👇🏽
Zaidi Kuliko yule wa kwanza
.
Na Hiki ndicho nilichokielekeza hatua kwa hatua kwenye Ebook ya mauzo inayoitwa “H. E. L. A”
.
By tha way Kama unahitaji kujifunza Siri za kuuza chukua ebook Hii Leo kwa Tshs 10,000 Tu (Badala ya Tshs 50K)
.
DM Sasahivi!

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with AmosiNyanda

AmosiNyanda Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @NyandaAmosi

11 Feb
Unahitaji Kujifunza COPYWRITING?... Basi Anzia Hapa....
.
Kama Umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kujifunza Ujuzi # 1 Mtandaoni kwa sasa yaani Copywriting Skills, basi Shuka na Uzi huu mpaka mwisho....
.
[UZI MFUPI TU, Tenga dkk Zako 5 Tu]...👇🏽
Vitu ni vingi ila hapa nitakupa vile ambavyo utaenda kuvitumia kwenye Matangazo yako moja kwa moja..
.
Copywriting maana yake ni uwezo wa kuuza chochote kwenye maandishi au kutumia maneno kuwasiliana na wateja wako ili wafanye kile unachotaka 👇🏽
Au wanasema “Closing in Print/ Salesmanship in Print”
.
Uwezo wa kugeuza maneno Kuwa Pesa nk
.
Natumia umepata picha nzima juu ya ujuzi huu...
.
Unapotaka Kuuza chochote kwenye maandishi hakikisha unazingatia Vitu Hivi ili uone matokeo mazuri...👇🏽👇🏽
Read 12 tweets
10 Feb
SIRI Ndogo Iliyomsaidia Muddy Wa Dodoma Kuuza Iphone 📱 10 Kila Siku Mtandaoni....
.
Hey, “Amosi Nyanda” Hapa Nimeandika Kitabu Kinachoelekeza Jinsi ya Kuuza Bidhaa zako kwa njia ya maandishi Mtandaoni...
.
...Na Hii Ndio Siri Iliyomsaidia Muddy...
.
[UZI]👇🏽
Nakumbuka ilikuwa ni mwezi wa kwanza mwishoni hivi kwenye tar 20...
.
Muddy alinicheki DM baada ya kusoma baadhi ya Uzi wangu
.
Na hiki ndicho kilichokuwa kinamyima usingizi Katika biashara yake...
.
“Kila alipokuwa anapost Matangazo ya Simu zake Online 👇🏽
Hasa hasa Instagram na Twitter alikuwa haambulii chochote zaidi ya Comments, Likes, na Retweet lakini hakuna Oda kabisa
.
Yaani kwa kifupi likes kibao ila hela hakuna...
.
Hali ile ilikuwa inampasua kichwa mno kwasababu ilifika Muda Mpaka akawa anakosa 👇🏽
Read 15 tweets
10 Aug 20
🚫TAHADHARI : Kama Una Mpango Wa Kuuza Courses Au Ebooks Mtandaoni Usifanye Kosa Hili...
.
[UZI 👇🏽]
.
Kama Una Mpango wa Kuuza Knowledge, skills au Taarifa zozote Mtandaoni usipuuze uzi huu kwasababu nakwambia ukweli uliopo sokoni
.
Binafsi naamini kama 👇🏽
Kitu haukiishi basi haukijui (If you don’t live it, you don’t know it)
.
Kabla sijakwambia ni Kitu gani nataka nikupe story fupi kuhusu my own experience kwenye Hii Topic
.
Mwaka 2018 niliacha kazi na kuamua kufanya online business kama full time job 👇🏽
Kwasababu tayari nilishajenga ujuzi wa Copywriting na Closing skills
.
Kwahiyo nilikuwa na uwezo wa kuuza bidhaa/huduma yoyote online aidha ni ya kwangu binafsi au ya watu wengine (Affiliate & dropshipping) na nikatengeneza pesa on my own time
.
👇🏽
Read 25 tweets
4 Aug 20
Je Una Kampuni ya Utalii Chukua Hii...👇🏽
.
(UZI MFUPI 👇🏽)
.
Kabla ya Janga la Corona nakumbuka ilikuwa ni Mwezi wa 2 hivi kuna Jamaa anaitwa SAI, alinipigia simu akasema anahitaji kupata wageni kutoka nje lakini bado Hana ujuzi wa kutumia Mtandao
.
👇🏽👇🏽
Nikaweka appointment nae kisha nikakutana nae baada ya kumuuliza maswali kadhaa hasa hasa kuhusu soko lake akasema soko lake kubwa lipo “Canada, China, South Africa (SA), Australia na USA
.
Vile vile nikamuuliza mara nyingi huwa anatumia mbinu gani kupata👇🏽
Clients online? , akasema huwa anarun tu matangazo ya kawaida kwenye page zake kisha anaboost (na wengi wanafanya hivi)
.
Nikamuuliza huwa anaandika matangazo gani?, akasema Mara nyingi yenye picha za wanyama
.
Uzi ndo unaanza Hapa kwasababu wengi..👇🏽
Read 18 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!