SIRI Ndogo Iliyomsaidia Muddy Wa Dodoma Kuuza Iphone ๐ฑ 10 Kila Siku Mtandaoni....
.
Hey, โAmosi Nyandaโ Hapa Nimeandika Kitabu Kinachoelekeza Jinsi ya Kuuza Bidhaa zako kwa njia ya maandishi Mtandaoni...
.
...Na Hii Ndio Siri Iliyomsaidia Muddy...
.
[UZI]๐๐ฝ
Nakumbuka ilikuwa ni mwezi wa kwanza mwishoni hivi kwenye tar 20...
.
Muddy alinicheki DM baada ya kusoma baadhi ya Uzi wangu
.
Na hiki ndicho kilichokuwa kinamyima usingizi Katika biashara yake...
.
โKila alipokuwa anapost Matangazo ya Simu zake Online ๐๐ฝ
Hasa hasa Instagram na Twitter alikuwa haambulii chochote zaidi ya Comments, Likes, na Retweet lakini hakuna Oda kabisa
.
Yaani kwa kifupi likes kibao ila hela hakuna...
.
Hali ile ilikuwa inampasua kichwa mno kwasababu ilifika Muda Mpaka akawa anakosa ๐๐ฝ
Pesa za kulipia frem ya biashara Yake
.
Alikuwa anatumia Pesa kibao kwenye Matangazo yaani Paid Ads (Instagram) na kuwalipa baadhi ya influencers wapost kwenye accounts zao lakini hakufanikiwa kuuza zaidi ya simu 2 kwa siku
.
Alishajikatia tamaa kabisa๐๐ฝ
Kuhusu kuuza bidhaa online..
.
Alijaribu kila mbinu kote aliishia kuambulia patupu...
.
Huku kichwani akijawa na swali maarufu kwa kila mtu baada ya kushindwa kitu yaani โWapi Nilipokosea?โ
.
Baada ya kunichek DM akiwa amekataa tamaa kabisa ๐๐ฝ
Nadhani Ndio ilikuwa karata yake ya mwisho hiyo..
.
Nikamwambia anitumie Copy ya Tangazo ambalo huwa analitumia kwenye Matangazo yake...
.
Baada ya kulicheki Tangazo lake moja kwa moja nikagundua makosa haya yaliyokuwa yanamyima mauzo yake....๐๐ฝ
โ . Copy yake Ilikuwa haina โHEADLINEโ...
.
Kama tunavyojua kwamba 60% ya wateja husoma Headline tu..
.
Vile vile wateja husoma Headline mara 5 zaidi ya wanavyosoma Tangazo zima
.
Bila headline tayari utakuwa umeshapoteza 80% ya hela yako ya Tangazo
.
๐๐ฝ๐๐ฝ
โ . Ametangaza vipengele vya Simu na sio faida za vipengele (Kosa hili pekee yake limewakosesha wengi mno mauzo)
.
Ukweli ni kwamba...
.
Watu huwa hawanunui Bidhaa kwasababu ya vipengele vyake, hununua faida za Hivyo vipengele kwao
.
Mfano...๐๐ฝ
Wa vipengele vya simu ni kama
.
Ukubwa wa ndani, Camera megapixel, screen size nk
.
Ukiandika Hivyo vipengele pekee yake hakuna kitu ulichokifanya hapo
.
Unachotakiwa kufanya ni Kuandika kama simu ndani Ina ukubwa wa gb 16 faida ya hiyo Gb 16 kwa mteja ni ๐๐ฝ
Ipi?...
.
Hatununui vitu vya dhahabu kwasababu ni vizuri, tunanunua kwasababu tukivaa tutaonekana wazuri (We buy better version of ourselves)
.
Kuna makosa mengi tu yaliokuwa yanamyima mauzo Muddy kwenye Matangazo yake ila Hivyo ndivyo vya muhimu Zaidi ๐๐ฝ
Ukweli ni kwamba, Tangazo lako ni mtu wako wa Mauzo, Ukikosea Kuandika copy ya Tangazo lako hata ukimpa Diamond apost kwenye accounts zake hutoona chochote
.
Na watu wengi wanaamini Kuwa na followers wengi Ndio tiketi ya Kuwa influencer itโs a bid NO...๐๐ฝ
Copy ya Tangazo lako Ndio kila kitu kwenye kuuza online
.
Nilichokifanya nilimwambia achukue ebook ya Mgodi asome taratibu kisha atumie mbinu zilizopo mule Kuandika Matangazo yake
.
Alifanya Hivyo baada ya week 2 Tu akanipigia simu huku anacheka๐...๐๐ฝ
Akanambia najuta kwanini sikupata kitabu hiki miezi Sita ilopita
.
Kitu pekee anachofanya sasahivi ni kupokea simu za Oda na kutumia mikoani huku anakunywa Kahawa ofisini kwake
.
Kama bado unakosa mauzo online sio makosa yako ni soko limehama ๐๐ฝ
Na chaguo ni lako aidha uache kina Muddy wapige hela peke yao huku wewe ukipiga miayo kusubiri wateja au mpige wote hela online
.
Naomba niweze wazi kwamba...
.
Kitabu hiki sio kwa kila mtu....
.
Kama bado haupo tayari kupokea Oda nyingi za mauzo, basi..๐๐ฝ
Kitabu hiki sio kwa ajili yako...
.
Ila unahitaji kupokea Mafuriko ya wateja basi chukua hatua sasahivi
.
Kwa Leo unakipata kwa Tshs 10,000 Tu (Tayari nimeshakulipia Tshs 40K)
.
OFA Hii haipo kila siku na Muda wowote kitarudi kwenye Bei yake
.
DM SASAHIVI!
โข โข โข
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Unahitaji Kujifunza COPYWRITING?... Basi Anzia Hapa....
.
Kama Umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kujifunza Ujuzi # 1 Mtandaoni kwa sasa yaani Copywriting Skills, basi Shuka na Uzi huu mpaka mwisho....
.
[UZI MFUPI TU, Tenga dkk Zako 5 Tu]...๐๐ฝ
Vitu ni vingi ila hapa nitakupa vile ambavyo utaenda kuvitumia kwenye Matangazo yako moja kwa moja..
.
Copywriting maana yake ni uwezo wa kuuza chochote kwenye maandishi au kutumia maneno kuwasiliana na wateja wako ili wafanye kile unachotaka ๐๐ฝ
Au wanasema โClosing in Print/ Salesmanship in Printโ
.
Uwezo wa kugeuza maneno Kuwa Pesa nk
.
Natumia umepata picha nzima juu ya ujuzi huu...
.
Unapotaka Kuuza chochote kwenye maandishi hakikisha unazingatia Vitu Hivi ili uone matokeo mazuri...๐๐ฝ๐๐ฝ
Jinsi Kijana Alieishia La Saba Anavyouza Sabuni Zake Mtaani Kama Njugu...
.
Kama Umekuwa ukitafuta Siri Mpya ya kuuza Moja kwa moja (Direct selling) bidhaa zako mtaani, basi Uzi huu ni zaidi ya zawadi kwako..
.
[UZI WA Dkk 4 TU]..๐๐ฝ
Siku ya Jumamosi mida ya jioni hivi tulikuwa tumekaa kwenye kijiwe fulani Hivi na washkaji tunapiga story huku tunakunywa Kahawa Maeneo ya moshono Arusha..
.
Wakati tunaendelea kupiga story akaja jamaa mmoja na kibegi mgongoni huku ameshika sabuni 2 mkononi๐๐ฝ
Kama samples...
.
Baada ya kutupa Hi ๐ akaanza kuprisent sabuni zake, yaani sabuni inafanya kazi gani na ina faida gani kwetu...
.
Wakati anaongea kuhusu sabuni zake nikiwaangalia washkaji pembeni yangu wote wanachezea siku zao..๐ช๐ป
๐ซTAHADHARI : Kama Una Mpango Wa Kuuza Courses Au Ebooks Mtandaoni Usifanye Kosa Hili...
.
[UZI ๐๐ฝ]
.
Kama Una Mpango wa Kuuza Knowledge, skills au Taarifa zozote Mtandaoni usipuuze uzi huu kwasababu nakwambia ukweli uliopo sokoni
.
Binafsi naamini kama ๐๐ฝ
Kitu haukiishi basi haukijui (If you donโt live it, you donโt know it)
.
Kabla sijakwambia ni Kitu gani nataka nikupe story fupi kuhusu my own experience kwenye Hii Topic
.
Mwaka 2018 niliacha kazi na kuamua kufanya online business kama full time job ๐๐ฝ
Kwasababu tayari nilishajenga ujuzi wa Copywriting na Closing skills
.
Kwahiyo nilikuwa na uwezo wa kuuza bidhaa/huduma yoyote online aidha ni ya kwangu binafsi au ya watu wengine (Affiliate & dropshipping) na nikatengeneza pesa on my own time
.
๐๐ฝ
Je Una Kampuni ya Utalii Chukua Hii...๐๐ฝ
.
(UZI MFUPI ๐๐ฝ)
.
Kabla ya Janga la Corona nakumbuka ilikuwa ni Mwezi wa 2 hivi kuna Jamaa anaitwa SAI, alinipigia simu akasema anahitaji kupata wageni kutoka nje lakini bado Hana ujuzi wa kutumia Mtandao
.
๐๐ฝ๐๐ฝ
Nikaweka appointment nae kisha nikakutana nae baada ya kumuuliza maswali kadhaa hasa hasa kuhusu soko lake akasema soko lake kubwa lipo โCanada, China, South Africa (SA), Australia na USA
.
Vile vile nikamuuliza mara nyingi huwa anatumia mbinu gani kupata๐๐ฝ
Clients online? , akasema huwa anarun tu matangazo ya kawaida kwenye page zake kisha anaboost (na wengi wanafanya hivi)
.
Nikamuuliza huwa anaandika matangazo gani?, akasema Mara nyingi yenye picha za wanyama
.
Uzi ndo unaanza Hapa kwasababu wengi..๐๐ฝ