"Sabaya alinipa saa 48 kuhamisha akaunti za WERUWERU River Lodge kuzitoa Moshi kuzipeleka Hai. Nilifanya kama alivyokuwa anataka. Akadai hotel Levy. Sabaya alikuja usiku saa 1 anatafuta mapato hoteli ya kitalii. Alimkamata kijana wangu akataka milioni 5 amuachie"
Part 2
"utajua utakavyosema ni Makonda style au ni rushwa, Sabaya akasema anatoa taarifa kwa Rais. Nikampa milioni 2. Bado akaendelea kuninyanyasa. Nikaenda kwa Patrick Panoni kumuuliza akasema ukicheza na MJINGA atakupasua kichwa, wewe mpe tu. Nikampa pesa, nikampa tena.
Part 3
"Sabaya akaha hotelini na bodyguards wake, akataka mteja aamshwe, mteja huyo ni star hapa Tanzania, kumpata ni kazi halsfu ni mbinu ya biashara. Akatuma bodyguard wake anataka fedha, nikampa milioni 2. Ikafika milioni 8 hiyo. SABAYA amefukuza hadi mwekezaji mwenzangu"
Part 4
"chochote kitakachonipata ni Sabaya. Nimejitolea kuwasemea wafanyabiashara wote wa HAI. SABAYA anatutesa sana. Tangu amuachie meneja wangu sasa zimefika Milioni 10. Sijui hatima yangu. Hatuna amani. Nimelipa kodi ya Milioni 145, kwanini Sabaya aninyanyase? "
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
. @diamondplatnumz has been part of a repressive regime, which has been kidnapping & killing defenseless citizens. Diamond is having a very cozy relationship wit our ruthless rulers. It is with great shame that @BETAwards nominated HIM as one of its potential award winners
This is a very disturbing move in the light of bloodshed that Diamond has been part of.
Diamond was very instrumental in the re-election of Tanzania’s fallen dictator and his henchmen, some of whom have been accused of gross human rights violations, including
kidnapping and killing of innocent and defenseless Tanzanians.
When Ibrahim Musa (@Roma_Mkatoliki), another famous artiste, was kidnapped and badly tortured by the regime’s security agents, on the very day of abduction, Diamond was spotted with the key abduction suspect.
Dear @BETAwards, Oct 2020, @burnaboy & @wizkidayo led the protest in Nigeria condemning the police brutality using #EndSars. That time @diamondplatnumz was vertiginous-sided with the oppressors in Tanzania, performed on their stage,when many distracted trying to figure out what👇
was going on in our country
Civic space further narrowed. Opposition parties, CSOs, human rights defenders, media & even ordinary citizens have come under severe pressure. Critics have frequently been harassed & intimidated, threatened, (temporarily) arrested, and prosecuted.
. @TunduALissu barely survived an assassination attempt, while investigations into the murders of two other opposition politicians remain unresolved. One journalist #AzoryGwanda, while investigating a series of mysterious deaths of politicians (mainly from the ruling party),
Ijumaa, Machi 13, 2020 nje ya gereza la Segerea, Dar es Salaam
Baada ya kulipa faini kwa viongozi saba wa Chadema, alibaki Freeman Mbowe gerezani. Jioni wakati wanachama, wafuasi na viongozi wa Chadema wakimfuata baada ya kulipiwa faini ya Shs. 70 Milioni.
Ulitokea mzozo nje ya lango la gereza la Segerea. Mgogoro ule ulipelekea askari magereza kupiga kipenga kuashiria hali ya hatari.
Watu walichapika sana nje ya gereza hilo la Segerea. Watu walipigwa sana. Wakaitwa askari polisi kutoka kituo cha Stakishari.
Kuongeza nguvu ya mashambulizi. Wakaongezeka kwenye kutoa kipigo kwa wale wadau wa Chadema waliokwenda kumpokea Freeman Mbowe gereza la Segerea.
Bahati mbaya sana, walikuwepo watu wawili ambao hawakua kwenye msafara wa wana Chadema waliokwenda kumpokea Freeman Mbowe.
MAKOSA 10 TUNAYOFANYA WAKATI TUNATEKWA NA WASIOJULIKANA.
Njia pekee ni kuwa na Machale, tumia muda kidogo sana katika kikao au mikutano yako kila sehemu unayokwenda na unapoondoka eneo hilo. Usiuweke sana na kuwapa nafasi ya wao kukuchora na kujipanga.
>Acha kinywaji mezani wajue unarudi
>Ondoka kwa style ya kujifanya unaongea na simu pembeni
>Ondokea njia ya kwenda chooni, wajue unarudi
>Jifanye unampokea mtu parking kwa haraka
>Omba wenzako wakusindikize mpaka kwenye gari
>uwepo wa wenzako utawasubirisha kwa dakika kadhaa
>Acha kulipa billi hadharani, acha pesa mezani, wasikadirie tendo lako linalofuata..
9. Kushindwa kuishi mazingira sawa na hadhi ya kazi anayofanya
Hapa naongelea tena wale wote walengwa wa kundi la utekwaji sio tu Tanzania bali Duniani, makundi yafuatayo;
MAKOSA 10 TUNAYOFANYA WAKATI TUNATEKWA NA WASIOJULIKANA.
1. Wanaokuja kututeka mara nyingi, tunawaona hawapo katika utaratibu rasmi wa ukamataji.
>Hawavai uniforms (sare)
>huja na magari ya kiraia
>hawaonyeshi vitambulisho
>hutumia nguvu badala ya mashauriano au maelewano
KOSA: Ni kukubali kutoa ushirikiano kwa watu hao, kuogopa watakudhuru au kukuumiza wakati wa mvutano
Ukweli ungepiga kelele au kuburuzwa au kujaza watu ungepata msaada. Ikibidi kama wakuue Mwenge tuokote Maiti,kuliko kudhani bunduki zile haziwezi kukudhuru huko unakokwenda.
2. KUKUBALI KUCHUKULIWA BILA KUACHA TAHARUKI NA KUWAJULISHA RAIA ENEO HILO KUWA UNAKAMATWA NA WATU WASIO SAHIHI.
Hii inatokea mara nyingi, mtekwaji anachukuliwa kwa kuaminishwa na watekaji kuwa ni maofisa sahihi kwa kuonyeshwa vitambulisho. Vitambulisho bandia mara nyingi.
MAMA FATMA KARUME; anasema mzee ABEID KARUME alimueleza, endapo atakutwa na mauti katika mapinduzi ya kumuondoa SULTAN katika ardhi ya Zanzibar, basi mkewe abakie kwa furaha na amani kwa sababu mumewe ni shujaa na akamtaka asomeshe watoto wao (endapo atakutwa na mauti). UZI 👇
PAULINE OPANGO LUMUMBA; mke wa mwanamapinduzi wa Zaire (sasa DR Congo) Patrice Emery Lumumba, alishuhudia kukamatwa kwa mumewe mjini Ilebo jimboni Kassai-Occidental kabla ya kuuwawa jimboni Katanga Januari 17, 1961. Alichofanikiwa kubaki nacho Pauline ni Barua ya Lumumba
Ambayo Patrice aliita “risala yangu ya mwisho kwa Pauline” Kwenye risala Patrice Lumumba alisema "sihofii maisha yangu mwenyewe, ikiwa itahitajika kumwaga damu yangu ili wakongo wapate uhuru wa kweli, kamwe siwezi kusita kuwa sehemu ya sadaka hiyo kwa taifa langu"