OSCAR SALATHIEL KAMBONA

~Kambona ni shuhuda wa utiaji saini hati za Muungano 22/4/1964

~Tume ya Kawawa ilipendekeza mfumo wa chama kimoja Kambona akagoma

~Kambona akagoma kutia saini akaanda taarifa nyingine

~Akagoma kukubaliana na Nyerere kwenye kuleta mfumo wa kikomunisti ImageImage
~Nyerere aliporejea kutoka China 1965 alitamani muundo wa siasa za China

~Ndio msingi wa kuundwa tume hiyo iliyopendekeza “muundo wa chama kimoja”

~Msimamo wa Kambona haukumpendeza Nyerere. akamkunjia.

~1966 Nyerere akampiga ‘madongo’ Kambona jukwaa la sherehe za Sabasaba
~siku 2 baadae Kambona akatangaza kujiuzulu ukatibu mkuu wa TANU na uwaziri wa serikali za mitaa

~Baada ya kubaini mpango wa kukamatwa na kuwekwa kizuizini mwezi huo alitoroka nchini

~Alitoroka na familia yake yote, Mkewe, wanae, mtumishi wao kuelekea nchini Kenya
~serikali ikakamata ndugu wawili wa Kambona na kuwaweka kizuizini

~wake zao raia wa nchi za kigeni wakatakiwa kurejea kwenye familia zao, na watoto wao

~NEC walimvua uanachama Kambona 1968 na wabunge wengine 8

~1969 serikali ikamtuhumu Kambona kwa uhaini na watu wengine 7
~walihukumiwa vifungo tofauti. isipokuwa Milinga na Kambona
Bibi Titi alipata msamaha wa Rais mwaka 1972

~Baada ya Iddi Amin kumpindua Milton Obote, nyumba ya Kambona ilitumika kumhifadhi

~Ameishi nyumba hiyo ya Kambona tangu 1971 hadi aliporejea Uganda
~ugomvi ulizuka baada ya kutofautiana mtazamo wa muundo wa kisiasa

~1992 mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa Kambona akarejea Tanzania

~akasafiri kwa kutumia nyaraka za UN zilizotolewa na Uingereza
~serikali ikamtaka arekebishe taarifa za uraia wake, maana ni M~Malawi
~Kambona akazungumza na wananchi akisema sababu za kutofautiana na Nyerere

~“mimi na Nyerere tuluanzisha TANU. nilimpinga Nyerere kuleta siasa za China za chama kimoja”

~Kambona aliishi Uingereza kwa miaka 25 tangu walipotofautiana na Nyerere
~Kambona akataka kufanya mkutano mkubwa viwanja vya Jangwani, kueleza “ufisadi wa Nyerere”

~viongozi wa dini wakamsihi asifanye hivyo, akagoma na kuendelea na msimamo wake

~watu wakamwagika Jangwani. akamtuhumu Nyerere na wengine kwa tuhuma nzito bila ushahidi
~mawakili wa viongozi waliotuhumiwa wakampa Kambona siku 12 kuomba radhi au ushahidi

~Kambona akawaeleza “mtu mzima hatishiwi nyau”. akasema ushahidi ameusahu nchini uingereza

~Kambona alifariki mwaka 1997, London, Uingereza na mwili wake kupokelewa na viongozi wa serikali pia
~kati ya viongozi wa serikali waliofika kumpokea Kambona ni Jakaya Kikwete

~Kikwete alikuwa ni waziri wa mambo ya nje ya nchi wakati huo

~Nyerere hakuwahi kuonana na Kambona tangu mwaka 1967 hadi anafariki

~Nyerere hakufika pia msibani kumzika rafiki yake wa miaka mingi

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Martin M. M

Martin M. M Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @IAMartin_

6 Jul
Kuna simulizi ya kukamatwa MDUDE mwaka 2016. Inasikitisha.. Wengine subirini simulizi hiyo kwenye Chadema DIGITAL (inakuja). Lakini kidogo nitakuonjesha kisa kifupi. Uone, Je, unaweza kubaki na msimamo wako baada ya vitendo alivopitia jembe langu, Mdude Mpaluka Saidi Nyagali? 👇
2016, Mdude, Alitolewa Mbozi, akiwa kwenye defender, kifua wazi... Akafika Mbeya, pale FFU, akafungwa pingu kwenye bomba za PT.. hadi alfajiri, akasafirishwa hadi DSM.. Akachapika sana. Kuna muda walimchukua hadi pasipojulikana, sebuleni, wanaume wameketi wanaangalia TV..
Mwanamke akamfuata na kumshika uume, akasema anamchezea hadi usimame mbele yao.. Wakati huo amepigwa hadi uume umesinyaa na umetoa damu badala ya mkojo...Mwamba alishindwa, alipigwa shoti nyingi za umeme. Yalikuwa mateso makali. Hapo wengi hawajamfahamu, hata ndani ya Chadema.
Read 5 tweets
13 Jun
Tukio la Christian Eriksen kuanguka uwanjani katika mchezo wa Denmark vs Finland limenikumbusha 5 Dec 2016; Ismail Mrisho Khalfan akicheza u20 ya Mbao FC aianguka na kufariki uwanjani katika mchezo dhidi ya u20 Mwadui.. Alikosa Ambulance 🚑 akawekwa kwenye gari la zimamoto 🚒
Baada ya kuanguka, alikosa huduma ya kwanza kutoka kwa matabibu, akafariki uwanjani pale. Hata uwanjani AMBULANCE 🚑 haikuwepo. Ismail Mrisho Khalfan alipandishwa kwenye gari la kikosi cha zimamoto 🚒 (tazama picha). Aisee! Najaribu kufikiri, hili linawezekanaje?
Kabla ya kufikwa na mauti, Ismail alikuwa ameshaifungia timu yake Mbao FC goli la kuongoza, jitihada za kuokoa maisha yake ziligonga mwamba. mchezo ulikuwa ni wa raundi ya saba ligi ya vijana (U-20) na ulifanyika huko Kaitaba, Bukoba, Kagera. Alikuwa na goli 4 kwenye mashindano
Read 4 tweets
6 Jun
. @diamondplatnumz has been part of a repressive regime, which has been kidnapping & killing defenseless citizens. Diamond is having a very cozy relationship wit our ruthless rulers. It is with great shame that @BETAwards nominated HIM as one of its potential award winners
This is a very disturbing move in the light of bloodshed that Diamond has been part of.

Diamond was very instrumental in the re-election of Tanzania’s fallen dictator and his henchmen, some of whom have been accused of gross human rights violations, including
kidnapping and killing of innocent and defenseless Tanzanians.

When Ibrahim Musa (@Roma_Mkatoliki), another famous artiste, was kidnapped and badly tortured by the regime’s security agents, on the very day of abduction, Diamond was spotted with the key abduction suspect.
Read 4 tweets
6 Jun
Part 1

"Sabaya alinipa saa 48 kuhamisha akaunti za WERUWERU River Lodge kuzitoa Moshi kuzipeleka Hai. Nilifanya kama alivyokuwa anataka. Akadai hotel Levy. Sabaya alikuja usiku saa 1 anatafuta mapato hoteli ya kitalii. Alimkamata kijana wangu akataka milioni 5 amuachie"
Part 2

"utajua utakavyosema ni Makonda style au ni rushwa, Sabaya akasema anatoa taarifa kwa Rais. Nikampa milioni 2. Bado akaendelea kuninyanyasa. Nikaenda kwa Patrick Panoni kumuuliza akasema ukicheza na MJINGA atakupasua kichwa, wewe mpe tu. Nikampa pesa, nikampa tena.
Part 3

"Sabaya akaha hotelini na bodyguards wake, akataka mteja aamshwe, mteja huyo ni star hapa Tanzania, kumpata ni kazi halsfu ni mbinu ya biashara. Akatuma bodyguard wake anataka fedha, nikampa milioni 2. Ikafika milioni 8 hiyo. SABAYA amefukuza hadi mwekezaji mwenzangu"
Read 4 tweets
5 Jun
Dear @BETAwards, Oct 2020, @burnaboy & @wizkidayo led the protest in Nigeria condemning the police brutality using #EndSars. That time @diamondplatnumz was vertiginous-sided with the oppressors in Tanzania, performed on their stage,when many distracted trying to figure out what👇
was going on in our country

Civic space further narrowed. Opposition parties, CSOs, human rights defenders, media & even ordinary citizens have come under severe pressure. Critics have frequently been harassed & intimidated, threatened, (temporarily) arrested, and prosecuted.
. @TunduALissu barely survived an assassination attempt, while investigations into the murders of two other opposition politicians remain unresolved. One journalist #AzoryGwanda, while investigating a series of mysterious deaths of politicians (mainly from the ruling party),
Read 5 tweets
8 May
Ijumaa, Machi 13, 2020 nje ya gereza la Segerea, Dar es Salaam

Baada ya kulipa faini kwa viongozi saba wa Chadema, alibaki Freeman Mbowe gerezani. Jioni wakati wanachama, wafuasi na viongozi wa Chadema wakimfuata baada ya kulipiwa faini ya Shs. 70 Milioni.
Ulitokea mzozo nje ya lango la gereza la Segerea. Mgogoro ule ulipelekea askari magereza kupiga kipenga kuashiria hali ya hatari.

Watu walichapika sana nje ya gereza hilo la Segerea. Watu walipigwa sana. Wakaitwa askari polisi kutoka kituo cha Stakishari.
Kuongeza nguvu ya mashambulizi. Wakaongezeka kwenye kutoa kipigo kwa wale wadau wa Chadema waliokwenda kumpokea Freeman Mbowe gereza la Segerea.

Bahati mbaya sana, walikuwepo watu wawili ambao hawakua kwenye msafara wa wana Chadema waliokwenda kumpokea Freeman Mbowe.
Read 23 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(