Tukio la Christian Eriksen kuanguka uwanjani katika mchezo wa Denmark vs Finland limenikumbusha 5 Dec 2016; Ismail Mrisho Khalfan akicheza u20 ya Mbao FC aianguka na kufariki uwanjani katika mchezo dhidi ya u20 Mwadui.. Alikosa Ambulance 🚑 akawekwa kwenye gari la zimamoto 🚒
Baada ya kuanguka, alikosa huduma ya kwanza kutoka kwa matabibu, akafariki uwanjani pale. Hata uwanjani AMBULANCE 🚑 haikuwepo. Ismail Mrisho Khalfan alipandishwa kwenye gari la kikosi cha zimamoto 🚒 (tazama picha). Aisee! Najaribu kufikiri, hili linawezekanaje?
Kabla ya kufikwa na mauti, Ismail alikuwa ameshaifungia timu yake Mbao FC goli la kuongoza, jitihada za kuokoa maisha yake ziligonga mwamba. mchezo ulikuwa ni wa raundi ya saba ligi ya vijana (U-20) na ulifanyika huko Kaitaba, Bukoba, Kagera. Alikuwa na goli 4 kwenye mashindano
Kifo cha Ismail Mrisho Khalfan kilikuja mwaka mmoja baada ya kifo cha mchezaji mwingine wa Coastal Union ya Tanga, Mshauri Iddi Salim kuanguka na kufariki katika mchezo wa awali kati ya Coastal Union and African Sports.

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Martin M. M

Martin M. M Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @IAMartin_

6 Jun
. @diamondplatnumz has been part of a repressive regime, which has been kidnapping & killing defenseless citizens. Diamond is having a very cozy relationship wit our ruthless rulers. It is with great shame that @BETAwards nominated HIM as one of its potential award winners
This is a very disturbing move in the light of bloodshed that Diamond has been part of.

Diamond was very instrumental in the re-election of Tanzania’s fallen dictator and his henchmen, some of whom have been accused of gross human rights violations, including
kidnapping and killing of innocent and defenseless Tanzanians.

When Ibrahim Musa (@Roma_Mkatoliki), another famous artiste, was kidnapped and badly tortured by the regime’s security agents, on the very day of abduction, Diamond was spotted with the key abduction suspect.
Read 4 tweets
6 Jun
Part 1

"Sabaya alinipa saa 48 kuhamisha akaunti za WERUWERU River Lodge kuzitoa Moshi kuzipeleka Hai. Nilifanya kama alivyokuwa anataka. Akadai hotel Levy. Sabaya alikuja usiku saa 1 anatafuta mapato hoteli ya kitalii. Alimkamata kijana wangu akataka milioni 5 amuachie"
Part 2

"utajua utakavyosema ni Makonda style au ni rushwa, Sabaya akasema anatoa taarifa kwa Rais. Nikampa milioni 2. Bado akaendelea kuninyanyasa. Nikaenda kwa Patrick Panoni kumuuliza akasema ukicheza na MJINGA atakupasua kichwa, wewe mpe tu. Nikampa pesa, nikampa tena.
Part 3

"Sabaya akaha hotelini na bodyguards wake, akataka mteja aamshwe, mteja huyo ni star hapa Tanzania, kumpata ni kazi halsfu ni mbinu ya biashara. Akatuma bodyguard wake anataka fedha, nikampa milioni 2. Ikafika milioni 8 hiyo. SABAYA amefukuza hadi mwekezaji mwenzangu"
Read 4 tweets
5 Jun
Dear @BETAwards, Oct 2020, @burnaboy & @wizkidayo led the protest in Nigeria condemning the police brutality using #EndSars. That time @diamondplatnumz was vertiginous-sided with the oppressors in Tanzania, performed on their stage,when many distracted trying to figure out what👇
was going on in our country

Civic space further narrowed. Opposition parties, CSOs, human rights defenders, media & even ordinary citizens have come under severe pressure. Critics have frequently been harassed & intimidated, threatened, (temporarily) arrested, and prosecuted.
. @TunduALissu barely survived an assassination attempt, while investigations into the murders of two other opposition politicians remain unresolved. One journalist #AzoryGwanda, while investigating a series of mysterious deaths of politicians (mainly from the ruling party),
Read 5 tweets
8 May
Ijumaa, Machi 13, 2020 nje ya gereza la Segerea, Dar es Salaam

Baada ya kulipa faini kwa viongozi saba wa Chadema, alibaki Freeman Mbowe gerezani. Jioni wakati wanachama, wafuasi na viongozi wa Chadema wakimfuata baada ya kulipiwa faini ya Shs. 70 Milioni.
Ulitokea mzozo nje ya lango la gereza la Segerea. Mgogoro ule ulipelekea askari magereza kupiga kipenga kuashiria hali ya hatari.

Watu walichapika sana nje ya gereza hilo la Segerea. Watu walipigwa sana. Wakaitwa askari polisi kutoka kituo cha Stakishari.
Kuongeza nguvu ya mashambulizi. Wakaongezeka kwenye kutoa kipigo kwa wale wadau wa Chadema waliokwenda kumpokea Freeman Mbowe gereza la Segerea.

Bahati mbaya sana, walikuwepo watu wawili ambao hawakua kwenye msafara wa wana Chadema waliokwenda kumpokea Freeman Mbowe.
Read 23 tweets
16 Feb
SEHEMU YA PILI;

MAKOSA 10 TUNAYOFANYA WAKATI TUNATEKWA NA WASIOJULIKANA.

Njia pekee ni kuwa na Machale, tumia muda kidogo sana katika kikao au mikutano yako kila sehemu unayokwenda na unapoondoka eneo hilo. Usiuweke sana na kuwapa nafasi ya wao kukuchora na kujipanga.
>Acha kinywaji mezani wajue unarudi
>Ondoka kwa style ya kujifanya unaongea na simu pembeni
>Ondokea njia ya kwenda chooni, wajue unarudi
>Jifanye unampokea mtu parking kwa haraka
>Omba wenzako wakusindikize mpaka kwenye gari
>uwepo wa wenzako utawasubirisha kwa dakika kadhaa
>Acha kulipa billi hadharani, acha pesa mezani, wasikadirie tendo lako linalofuata..

9. Kushindwa kuishi mazingira sawa na hadhi ya kazi anayofanya

Hapa naongelea tena wale wote walengwa wa kundi la utekwaji sio tu Tanzania bali Duniani, makundi yafuatayo;
Read 14 tweets
15 Feb
MAKOSA 10 TUNAYOFANYA WAKATI TUNATEKWA NA WASIOJULIKANA.

1. Wanaokuja kututeka mara nyingi, tunawaona hawapo katika utaratibu rasmi wa ukamataji.

>Hawavai uniforms (sare)
>huja na magari ya kiraia
>hawaonyeshi vitambulisho
>hutumia nguvu badala ya mashauriano au maelewano
KOSA: Ni kukubali kutoa ushirikiano kwa watu hao, kuogopa watakudhuru au kukuumiza wakati wa mvutano

Ukweli ungepiga kelele au kuburuzwa au kujaza watu ungepata msaada. Ikibidi kama wakuue Mwenge tuokote Maiti,kuliko kudhani bunduki zile haziwezi kukudhuru huko unakokwenda.
2. KUKUBALI KUCHUKULIWA BILA KUACHA TAHARUKI NA KUWAJULISHA RAIA ENEO HILO KUWA UNAKAMATWA NA WATU WASIO SAHIHI.

Hii inatokea mara nyingi, mtekwaji anachukuliwa kwa kuaminishwa na watekaji kuwa ni maofisa sahihi kwa kuonyeshwa vitambulisho. Vitambulisho bandia mara nyingi.
Read 25 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(