Wengi sasa hivi mnatamani kuingia kwenye UX Designing. Inapendeza kuona watu kama @AbilMdone@mzabayuni na @iamKaga wanawapa motisha.
Ni rahisi kudrag & drop elements kufanya graphics designing ukidhani ni UX designing.
UX designing inahusiana na lengo la mtumiaji wa app au website yako. Haingii kwenye app au website kushangaza majo avutiwe na muonekano.
Anatumia website/app yako ili kufanyikisha jambo fulani.
Wengi tunakosea kudhani kwamba UI nzuri ni ile inayovutia tu machoni.
Ukweli ni kwamba UI nzuri ni ile mtuamiaji anaweza elewa na kutumia bila shida, ajiskie fahari kuitumia na imtongoze kuitumia.
Baada ya kujua kutumia tools kama Figma na Adobe XD usiishie hapo na kuanza fanya design kulingana na unavyoona flani kafanya au muonekano wa App au Website fulani.
Soma principles za UX. Elewa psychology mtumiaji huwa iko vipi. Hapo hutakuja kuona ni ngumu kuja na designs.
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
📡Huenda tabia zetu na namna tunatumia hivi vifaa ikawa ni sababu ya hizi mashine kuharibika haraka
📡Hakuna kitu kinachodumu milele na hasa vifaa vya elektroniki. Watengenezaji wa vifaa hutengeneza vifaa wakiwa na malengo kwamba kwa matumizi sahihi hicho kifaa kitadumu kwa miaka kadhaa.
Muda huo huwa sahihi ukitumia ipasavyo kwa usahihi.
📡Unapochagua kusajili sim card ya mtandao uupendao unakuwa umesajili akaunti ambayo utakuwa unailipia bando ili kuweza pata huduma zao.
Huwa tunasema SIM Card bila kujua maana yake ni nini.
📡SIM ni kifupi cha Subscriber Identity Module. Ni card ambayo inatunza IMSI (International Mobile Subscriber Identity) na funguo za kumtambulisha na kumthibitisha mtumiaji katika mfumo wa mawasiliano.
📡Lakini wengine ni wale wenye hofu ya kupoteza kazi zao, hasa madereva.
Hakuna wa kumlaumu mtu anayeiogopa AI kwa sababu ni kitu ambacho hata baadhi ya watu wa teknolojia wanashindwa kuelewa vizuri.
📡Miaka 2 iliyopita ungeniuliza iwapo kuna siku AI itaiteka dunia, ningejibu hiv, “Inawezekana iwapo tu tutafikia uwezo wa watu kama Tony Stark wa Iron Man.
Leo baada ya kuelewa AI kidogo nitajibu hivi, “Chochote kinawezekana na haina maana tuache kuboresha kwa sababu ya uoga.”