KWANINI COUNTRY BOY AMEONDOKA KONDE GANG?

Tetesi ni kuwa DSM Boy, Chido na Killer hawapo sawa na management yao ya Konda Gang inayoongozwa na Chinga.

Kwanini? Nimeweka uzi mfupi kukufafanulia ili usibaki na maswali.

@usedpointTz @Chapo_Porkpoint

#UZI 👇 Image
Kama nilivyoeleza hapo juu hizi ni tetesi si habari ya uhakika hadi pale wenyewe watakapo thibitisha, naomba kwasasa ichukulie kama tetesi.

Za ndaaaaani kabisa zinadai kuwa kabla DSM Boy hajaingia Kondi Gang alipata bahati ya kufanya ngoma na msanii mkubwa Tanzania👇
Sitomtaja jina ila nilishawai kuandika hapa msanii DSM Boy ndoto zake zilikuwa kufanya kazi na nani.

Alipoingia na kusaini mkataba na Kondi Gang aliambiwa apeleke mezani ngoma alizonazo na moja wapo ni hiyo collabo na msanii mkubwa Bongo.
Menejimenti wakaigomea ngoma kwamba👇
Haipaswi kutoka wakati huu hadi pale watakaporuhusu na hatakiwi hata kuivujisha ili kulinda maslahi ya kampuni(kukwepa mgongano wa kimaslai)

Siku moja DSM Boy alikuwa na Young Linya kwenye gari wakawa wana play hiyo ngoma sababu wanaipenda na ni kali, bahati mbaya 👇
Kwenye gari walikuwa na meneja wa Anjello, akafikisha taarifa kwa menejimenti kuwa DSM Boy ana disclose ngoma kwa watu kinyume na makubaliano, aliitwa na kuambiwa aache mara moja hizo mambo asije kuvujisha(kumbuka DSM anaipenda sana hio ngoma)👇
KIKAO CHA FITNA
_____________________

DSM Boy alimaindi sana juu ya hilo swala ila hiyo sio sababu bali sababu kubwa ni menejimenti kwenda nje ya makubaliano, DAM,Killer na Chido walitambulishwa mwaka jana September kuwa member wa Kondi Gang ila hadi leo hajafanya show na
Kama wamefanya basi hazizidi 3, na lawama kubwa ni kuwa promoters wanaleta deal ila menejimenti wanakaza dau kuwa dogo.

Ikabidi DSM Boy , Chido na Killer wajadiliane na wakakubaliana kuwa waende kwa Harmonize waombe kutoka ila Chinga akawaambia kama wanataka kutoka 👇
walipe gharama za kuvunja mkataba, ikabidi DSM Boy na Petboy waende kwa mmiliki wa kituo cha TV na Radio(Fishizo) ambaye anaheshimiana na Chinga na kumueleza hilo swala na kwa aibu ikabidi akubali kumwachia huru DSM Boy ila Killer na Chiddy inabidi watoe hela.

#TheWakingMedia

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with #SanukaNaChapo

#SanukaNaChapo Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @chapo255

20 Aug 21
MSANII WA HIPHOP ‘CLASS’ ALIEKATAA DILI LA MILIONI 300.

Wakati msanii wa Hiphop “class” anaachia ngoma yake pendwa alikuwa on top kiasi cha kukataa show kibao kutokana na ufinyu wa muda yani jamaa ilifika kipindi anafanya show leo na kesho ana show 👇#UZI Image
Sehemu nyengine yani back to back, kwa mujibu wa meneja wake anadai jamaa aliwai kataa show ya milioni 16 😳.

Ikafika kipindi kampuni ya simu ya TigoU katika nchi ya Stanza ilimtaka jamaa awe balozi wa kampuni yao na dau lao lilikiwa milioni 300 kwa mwaka 😋.

Japo jamaa 👇 Image
Alikubali ila baada ya kusikia kuwa mchekeshaji ambae ni balozi wa kampuni hiyo analipwa 300M kwenye mkataba wake jamaa akataka dau kubwa zaidi hapo ndipo waliposhindwana na kampuni ya simu ikaona single moja haiwezi kuwa na thamani ya zaidi ya 300M bora tu waachane nae, yaani👇 Image
Read 5 tweets
18 Aug 21
SARAPHINA WA BSS

Nimemsikiliza mikwaju yake mipya kadhaa, itoshe kusema ni msanii wa kumuangalia sana 2022 ana hela zake nyingi.

Ni full package ya msanii, anajua kuimba,kucheza na kutawala jukwaa na kingereza kimelala, hata siku akifanikiwa kwenda kimataifa haitaji👇#UZI
RASI SIMBA wakumfundisha kinge.

Bongo fleva ina uhaba wa wasanii wakali wa kike yaani wanahesabika kabisa na hawazidi hata 10 hivyo ujio wake Saraphina itoshe kusema sio tu anaongeza namba ya wasanii wa kike kwenye kiwanda bali anaongeza ushindani na list ya wasanii wa kali.👇
Nikisikia nyimbo zake kama SIO KITOTO,SINGO,IN LOVE na SITAKI TENA unamsikia Vanessa Mdee kwa mbali hii inanifanya masikio yangu yanayo miss ngoma za V-Money yapate tiba kutoka kwa Saraphina.

Kwasasa Saraphina yupo chini ya Maneja mwenye uzoefu na muziki wa bongo anaejulikana👇
Read 4 tweets
29 Jul 21
“NILIPEWA GARI ILI NISITOE STORY ZA WASAFI”

Kuna kauli wasanii wanapenda kuitumia kuwa “Wasanii wenyewe hatupendani” hii kauli wala si utani ni ukweli kabisa kuwa muziki wa Bongo Fleva licha ya kukuwa na kuanza kuwanufaisha wasanii ila vita imekuwa kubwa kila mtu anataka👇UZI
Keki kubwa zaidi ya mwengine kupelekea chuki,uongo,fitna na kurogana ila bahati nzuri bado hawajafikia kuuwana 😂.

Nataka leo nikusimulie kisa cha msanii wa Bongo Fleva kutaka kuwekeza kwenye online Tv kwa sharti moja tu wasitangaze habari za wasafi😳👇
Labda nikuweke sawa waandishi wa habari wanapenda sana hela wao hela kwanza kabla ya kazi yako, wako tuyari waje kufanya coverage ya mkutano wako ila usipowapa bahasha juwa tu hawatorusha tukio lako, nimefanya kazi na waandishi kwa ukaribu kwa zaidi ya miaka mi3 sasa, wana 👇
Read 8 tweets
27 Jul 21
MSANII WA BONGO FLEVA ALIYEPEWA KESI YA KUBAKA.

Mwaka 2004/2005 kama kumbukumbu zangu ziko sawa(kipindi hujaja mjini 😂) msanii wa Bongo Fleva aliachia ngoma iliyogeuka kuwa ngoma ya Taifa kila mtaa uliimba hiyo nyimbo, hata leo ikipigwa hiyo ngoma lazima uinuke ucheze.👇 UZI Image
Jamaa aliamua kuacha kazi na ku deal na muziki kama full time job(mchizi alianza kutumia unga zamani sana) akiwa Club Moja iliyochangamka inayowakutanisha watoto wa Masaki,Kinondoni,Mikocheni,Upanga na Msasani binti mmoja kwa jina la Vero(sio jina lake halisi) alizimika na 👇 Image
Msanii huyo, huyu binti alikuwa form 2 kipindi hicho akiwa anasoma shule ya sekondari ya kishua kidogo ile wanayovaa nguo za rangi ya damu ya mzee chini na juu shati zao nyeupe ila kama chafu(waliamua tu kujitofautisha na watoto wa umbwa 😀)

Turudi kwenye kisa hasa cha story👇 Image
Read 9 tweets
10 Aug 20
Kuna mshikaji alioa binti ambae alikutana nae chuo.

wakiwa wanachukua kozi ya uhasibu(chuo kapuni) baadae wakakubaliana waoane na ndoa ilifana sana sababu wakati wanaoana jamaa alikuwa ameshapata kazi kampuni ya simu nchini(jina kapuni)

Baada ya ndoa binti nae akapata kazi👇
Taasisi ya serikali(jina kapuni).

MATUKIO•

Ndoa yao ghafla ikaingia pepo, jamaa ndani ya miezi 6 tangu wafunge ndoa hakuwai kupewa unyumba(kwichikwichi).

Kisheria hasa kwenye dini ya kikristo siku ya harusi mkitoka pale inabidi mkakwichi kwichi bila hivyo ndoa bado👇
Haijakamilika labda tu mwanamke awe kwenye siku zake(watoto wadogo mmenielewa?😂😂)

Basi mwana akabaniwa huku binti akiwa na sababu kibao mara nipo siku zangu mara naumwa ili tu mpwa asile tunda(japo alishalila tangu wakiwa chuo ila ndani ya ndoa alibaniwa) ikatimia👇
Read 10 tweets
3 Aug 20
Lulu Diva ameachia video yake mpya aliyomshirikisha mzee mbuzi Fid Q kutoka kwenye EP yake ya three some inayoenda kwa jina la ‘Gugugaga’

Ila usichojua ni kuwa ilimchukua ugumu sana Fid Q kukubali kufanya ngoma na Lulu Diva, alikataa ngoma zaido ya tatu alizowai kutumiwa ila
Baada ya kutumiwa Gugugaga mzee mbuzi alikubali kiulaini sababu alizimika na mdundo na idea ya ngoma.

Uzuri wa kichupa hiki Fid katokea kibishow sana na my favourite scene ni ile waliyovaa nguo nyeupe waliwaka sana, japo Ngosha ni ngosha tu alikuwa...
Alikuwa anajishtukia kumshika mtoto Diva kimahaba 😂😂
Audio kafanya S2kizzy,mixing ni ya eyoo Laizer wakati kichupa ni cha kwetu studio
Umeicheki video vipi unaizungumziaje?

Ila Diva ni😋Kama hujaicheki unaweza icheki hapa👉

#SanukaNaChapo #ChapoWasHere
Read 4 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(