“NILIPEWA GARI ILI NISITOE STORY ZA WASAFI”

Kuna kauli wasanii wanapenda kuitumia kuwa “Wasanii wenyewe hatupendani” hii kauli wala si utani ni ukweli kabisa kuwa muziki wa Bongo Fleva licha ya kukuwa na kuanza kuwanufaisha wasanii ila vita imekuwa kubwa kila mtu anataka👇UZI
Keki kubwa zaidi ya mwengine kupelekea chuki,uongo,fitna na kurogana ila bahati nzuri bado hawajafikia kuuwana 😂.

Nataka leo nikusimulie kisa cha msanii wa Bongo Fleva kutaka kuwekeza kwenye online Tv kwa sharti moja tu wasitangaze habari za wasafi😳👇
Labda nikuweke sawa waandishi wa habari wanapenda sana hela wao hela kwanza kabla ya kazi yako, wako tuyari waje kufanya coverage ya mkutano wako ila usipowapa bahasha juwa tu hawatorusha tukio lako, nimefanya kazi na waandishi kwa ukaribu kwa zaidi ya miaka mi3 sasa, wana 👇
Miyeyusho kinoma noma. Achana na hii story let’s back to the business, msanii ninaye mzungumzia hapa yupo kwenye Top 4 ya wasanii wakubwa nchini na amekuwa akifanya kazi na waandishi kwa ukaribu sana na kwa mujibu wao jamaa hana roho mbaya mtakula anachokula na 👇
Mtalala anapolala pale anapokuwa na show zake mikoani anawalipa hela nzuri tu.

Kuna moja ya online Tv amekuwa akifanya nayo kazi kwa muda mrefu na kujenga nayo ukaribu siku moja alimuita na kumpatia gari aina ya Noah kama shukrani ili imsaidie boss wa online Tv kwenye👇
Shughuli zake za habari, jamaa akachukua Noah na kwenda kuji brand na kubandika cover za jina la kampuni(mwana hajapewa kadi 😂 ila kajiongeza).

Baada ya muda kupita ndipo kasheshe liliopoanza(cha ntu nnya😂). Jamaa akaambiwa na msanii “kuanzia sasa sitaki utoe habari kuhusu 👇
Wasafi yaani hata kwa bahati mbaya na cha pili nataka share kwenye hii kampuni yako na mimi”😳😳

Boss wa Online Tv akaona hii sasa dhahama,mambo gani haya! Sasa nisiporusha story za wasafi itakuwaje na jamaa ndio chanzo cha content mjini kiki zote zipo huko daah na kuhusu👇
Share ni sawa hakuna kampuni haitaki kukuwa ila sharti la kwanza ni gumu mno.

Jamaa akakogoma na kurudisha gari ya watu akaona bora akose ndinga ila asijiaribie.

-MWISHO

#CodeZaChapo #ChapoWasHere #SanukaNaChapo

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with #SanukaNaChapo

#SanukaNaChapo Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @chapo255

27 Jul
MSANII WA BONGO FLEVA ALIYEPEWA KESI YA KUBAKA.

Mwaka 2004/2005 kama kumbukumbu zangu ziko sawa(kipindi hujaja mjini 😂) msanii wa Bongo Fleva aliachia ngoma iliyogeuka kuwa ngoma ya Taifa kila mtaa uliimba hiyo nyimbo, hata leo ikipigwa hiyo ngoma lazima uinuke ucheze.👇 UZI Image
Jamaa aliamua kuacha kazi na ku deal na muziki kama full time job(mchizi alianza kutumia unga zamani sana) akiwa Club Moja iliyochangamka inayowakutanisha watoto wa Masaki,Kinondoni,Mikocheni,Upanga na Msasani binti mmoja kwa jina la Vero(sio jina lake halisi) alizimika na 👇 Image
Msanii huyo, huyu binti alikuwa form 2 kipindi hicho akiwa anasoma shule ya sekondari ya kishua kidogo ile wanayovaa nguo za rangi ya damu ya mzee chini na juu shati zao nyeupe ila kama chafu(waliamua tu kujitofautisha na watoto wa umbwa 😀)

Turudi kwenye kisa hasa cha story👇 Image
Read 9 tweets
10 Aug 20
Kuna mshikaji alioa binti ambae alikutana nae chuo.

wakiwa wanachukua kozi ya uhasibu(chuo kapuni) baadae wakakubaliana waoane na ndoa ilifana sana sababu wakati wanaoana jamaa alikuwa ameshapata kazi kampuni ya simu nchini(jina kapuni)

Baada ya ndoa binti nae akapata kazi👇
Taasisi ya serikali(jina kapuni).

MATUKIO•

Ndoa yao ghafla ikaingia pepo, jamaa ndani ya miezi 6 tangu wafunge ndoa hakuwai kupewa unyumba(kwichikwichi).

Kisheria hasa kwenye dini ya kikristo siku ya harusi mkitoka pale inabidi mkakwichi kwichi bila hivyo ndoa bado👇
Haijakamilika labda tu mwanamke awe kwenye siku zake(watoto wadogo mmenielewa?😂😂)

Basi mwana akabaniwa huku binti akiwa na sababu kibao mara nipo siku zangu mara naumwa ili tu mpwa asile tunda(japo alishalila tangu wakiwa chuo ila ndani ya ndoa alibaniwa) ikatimia👇
Read 10 tweets
3 Aug 20
Lulu Diva ameachia video yake mpya aliyomshirikisha mzee mbuzi Fid Q kutoka kwenye EP yake ya three some inayoenda kwa jina la ‘Gugugaga’

Ila usichojua ni kuwa ilimchukua ugumu sana Fid Q kukubali kufanya ngoma na Lulu Diva, alikataa ngoma zaido ya tatu alizowai kutumiwa ila
Baada ya kutumiwa Gugugaga mzee mbuzi alikubali kiulaini sababu alizimika na mdundo na idea ya ngoma.

Uzuri wa kichupa hiki Fid katokea kibishow sana na my favourite scene ni ile waliyovaa nguo nyeupe waliwaka sana, japo Ngosha ni ngosha tu alikuwa...
Alikuwa anajishtukia kumshika mtoto Diva kimahaba 😂😂
Audio kafanya S2kizzy,mixing ni ya eyoo Laizer wakati kichupa ni cha kwetu studio
Umeicheki video vipi unaizungumziaje?

Ila Diva ni😋Kama hujaicheki unaweza icheki hapa👉

#SanukaNaChapo #ChapoWasHere
Read 4 tweets
13 Apr 20
BURNA BOY Part2.

Msanii wa Nigeria Burna Boy amebaniwa kuingia nchini UK kwa miaka 15 hii ni kutoka na kuhusika na kifo cha mtu ambae aliuwawa na moja ya watu wa genge la kihuni ambalo Burna Boy alikuwa akijihusisha nalo nchini uingereza

Tukio hilo likitokea 2013 Image
December nakufanya kupigwa mvua ya miaka kadhaa ila baada ya miezi 11 aliachiwa na kupewa adhabu kifungo cha nje cha miezi 2 akitakiwa kufanya huduma za kijamii ila kurekebisha tabia ila jamaa akatoroka na kurudi Nigeria ambapo alisainiwa na record label ya Aristokrat Records . Image
Mkulungwa Burna Boy alijisahaulisha na kusafiri tena kwenda nchini Uingereza alipofika Airport alizuiliw na kurudishwa Nigeria na kuambiwa haruhusiwi tena kuingia nchini UK kwa kipindi cha miaka 15. Tukio la pili likitokea. Mwaka 2017 November mkulungwa Burna Boy Image
Read 8 tweets
12 Apr 20
Hivi Harmonize kwenye kumtambulisha Ibrah alihitaji kuandika gazeti lote lile?

Harmonize anahitaji subra na uvumilivu kwenye hiki kipindi hawezi kufanya vingi kwa wakati mmoja kama anavyotaka

Niliandika miezi kadhaa nyuma kuwa kinacho mcost Harmonize ni watu waliokuwa
Nyuma yake nikiwa na maana kwamba ukiachana na Jembe ni Jembe ambae ni mfanya biashara zaidi hakuna manager menye uzoefu na mwenye sauti juu ya Harmonize

Hii pia iko kwa KIBA hakuna mtu mwenye sauti juu yake so mara nyingi msanii anakuwa jeshi la mtu mmoja wale wanyuma yake
Kazi yao inakuwa kumsupport badala ya kumshauri.

Inasemekena kuwa WCB Sallam SK anaweza kuzinguana na Diamond hata wiki mbili wasiongee sababu tu Manager ameshikilia msimamo juu ya jambo fulani na Diamond hataki mpaka mwisho wanapata solution

Mjerumani anaweza? Chopa anaweza?u
Read 6 tweets
4 Apr 20
NANI MMILIKI WA ZOOM PRODUCTION?

Ikiwa imetimia miezi kadhaa tangu Harmonize kuondoka WCB

kumekuwa na maswali mengi juu ya umiliki wa zoom production hasa baada ya jina la kampuni kubadilishwa kutoka zoom production na kuwa zoom extra huku mtayarishaji wa video Image
Akibaki yule yule Director Kenny?

Nikukumbushe tu kuwa upo kwenye page ya #Sanukanachapo hivyo upo sehemu salama kabisa utakwenda kupata majibu ya maswali yako yote bila ukakasi.

Awali ya yote kabla ya kujua mmiliki halali ni vyema kujua zoom production iilikuwaje ikaanzishwa. Image
WAZO

Zoom production ni idea ya Harmonize ambayo ililetwa kwa mara ya kwanza na Jose wa mipango rafiki mkubwa wa Harmonize sababu ni kutokana na wimbi la wasanii kwenda kufanya video South Africa.

Harmonize alilichukua wazo hilo kama changamoto na kuamua kumshirikisha Image
Read 16 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(