Mwaka 2004/2005 kama kumbukumbu zangu ziko sawa(kipindi hujaja mjini 😂) msanii wa Bongo Fleva aliachia ngoma iliyogeuka kuwa ngoma ya Taifa kila mtaa uliimba hiyo nyimbo, hata leo ikipigwa hiyo ngoma lazima uinuke ucheze.👇 UZI
Jamaa aliamua kuacha kazi na ku deal na muziki kama full time job(mchizi alianza kutumia unga zamani sana) akiwa Club Moja iliyochangamka inayowakutanisha watoto wa Masaki,Kinondoni,Mikocheni,Upanga na Msasani binti mmoja kwa jina la Vero(sio jina lake halisi) alizimika na 👇
Msanii huyo, huyu binti alikuwa form 2 kipindi hicho akiwa anasoma shule ya sekondari ya kishua kidogo ile wanayovaa nguo za rangi ya damu ya mzee chini na juu shati zao nyeupe ila kama chafu(waliamua tu kujitofautisha na watoto wa umbwa 😀)
Turudi kwenye kisa hasa cha story👇
Basi yule binti alikuwa ni mkali sana so msanii akajiongeza ikawa ni mwendo wa majoka na kula bia ila mchizi akiwa na mwanae mtoto wa mdosi mmoja jina la mwisho anafanana na Rais wa chama cha soka wa zamani wakawawekea madawa ya kulevya kwenye kinywaji(natumia wingi hapa....👇
Sababu yule Vero alikuwa na rafiki yake jina lake ni Piru(sio jina halisi ila linaendana na jina halisi huyu dada ni pini hatari sana hachuji hadi leo yupo mitaa ya Mikocheni ni mtoto flani wa Kingazija)
Mabinti baada ya kuwekewa unga kwenye kinywaji😧😳 wakalewa jamaa waka👇
Kakamata manzi wakaenda kupiga, kumbuka mademu walikuwa hawajitambui hivyo waliwala bila idhini ya wale mademu so kesho yake ndio mtiti ulipotokea kwani mademu kurudi home asubuhi wanalia wanasema wamebakwa🙄 wazee wao wakawaka ikumbukwe ni watoto wa kota za Msasani kama mtoto 👇
Wa mjini unajua msasani zile kota wanaishi wakina nani 😎
Wazee wakaungana wakiongozwa na IGP wa wakati huo msanii na mwenzake wakatiwa ndani.😰 kwa kesi ya kubaka(miaka yake inajulikana).
Msanii analia tu maana simu za show promota anamtafuta msanii yupo nyuma ya nondo.
👇👇
Ngoma ikakata kama wiki hivi ndipo malaika wa kheri akawashukia baada ya mtoto mtukutu wa IGP kipindi icho akijulikana kwa jina la pua(jina la utani la huyo dogo) akaenda kuwaombea msamaha kwa mshua na sababu hasa ni kuwa jamaa ni wanae sana ila pia kwenye kesi mmoja ni mtoto 👇
Wa dingi anaheshima na ni fogo mitaa hiyo so ikabidi wakae chini kama familia wazee kuyamaliza ukizingatia hao mabinti kwao walishindikana so ikawa kidogo rahisi msamaha kutokea ila kama si hivyo msanii wetu angekuwa jela siku nyingi.
Kuna kauli wasanii wanapenda kuitumia kuwa “Wasanii wenyewe hatupendani” hii kauli wala si utani ni ukweli kabisa kuwa muziki wa Bongo Fleva licha ya kukuwa na kuanza kuwanufaisha wasanii ila vita imekuwa kubwa kila mtu anataka👇UZI
Keki kubwa zaidi ya mwengine kupelekea chuki,uongo,fitna na kurogana ila bahati nzuri bado hawajafikia kuuwana 😂.
Nataka leo nikusimulie kisa cha msanii wa Bongo Fleva kutaka kuwekeza kwenye online Tv kwa sharti moja tu wasitangaze habari za wasafi😳👇
Labda nikuweke sawa waandishi wa habari wanapenda sana hela wao hela kwanza kabla ya kazi yako, wako tuyari waje kufanya coverage ya mkutano wako ila usipowapa bahasha juwa tu hawatorusha tukio lako, nimefanya kazi na waandishi kwa ukaribu kwa zaidi ya miaka mi3 sasa, wana 👇
Kuna mshikaji alioa binti ambae alikutana nae chuo.
wakiwa wanachukua kozi ya uhasibu(chuo kapuni) baadae wakakubaliana waoane na ndoa ilifana sana sababu wakati wanaoana jamaa alikuwa ameshapata kazi kampuni ya simu nchini(jina kapuni)
Baada ya ndoa binti nae akapata kazi👇
Taasisi ya serikali(jina kapuni).
MATUKIO•
Ndoa yao ghafla ikaingia pepo, jamaa ndani ya miezi 6 tangu wafunge ndoa hakuwai kupewa unyumba(kwichikwichi).
Kisheria hasa kwenye dini ya kikristo siku ya harusi mkitoka pale inabidi mkakwichi kwichi bila hivyo ndoa bado👇
Haijakamilika labda tu mwanamke awe kwenye siku zake(watoto wadogo mmenielewa?😂😂)
Basi mwana akabaniwa huku binti akiwa na sababu kibao mara nipo siku zangu mara naumwa ili tu mpwa asile tunda(japo alishalila tangu wakiwa chuo ila ndani ya ndoa alibaniwa) ikatimia👇
Lulu Diva ameachia video yake mpya aliyomshirikisha mzee mbuzi Fid Q kutoka kwenye EP yake ya three some inayoenda kwa jina la ‘Gugugaga’
Ila usichojua ni kuwa ilimchukua ugumu sana Fid Q kukubali kufanya ngoma na Lulu Diva, alikataa ngoma zaido ya tatu alizowai kutumiwa ila
Baada ya kutumiwa Gugugaga mzee mbuzi alikubali kiulaini sababu alizimika na mdundo na idea ya ngoma.
Uzuri wa kichupa hiki Fid katokea kibishow sana na my favourite scene ni ile waliyovaa nguo nyeupe waliwaka sana, japo Ngosha ni ngosha tu alikuwa...
Alikuwa anajishtukia kumshika mtoto Diva kimahaba 😂😂
Audio kafanya S2kizzy,mixing ni ya eyoo Laizer wakati kichupa ni cha kwetu studio
Umeicheki video vipi unaizungumziaje?
Msanii wa Nigeria Burna Boy amebaniwa kuingia nchini UK kwa miaka 15 hii ni kutoka na kuhusika na kifo cha mtu ambae aliuwawa na moja ya watu wa genge la kihuni ambalo Burna Boy alikuwa akijihusisha nalo nchini uingereza
Tukio hilo likitokea 2013
December nakufanya kupigwa mvua ya miaka kadhaa ila baada ya miezi 11 aliachiwa na kupewa adhabu kifungo cha nje cha miezi 2 akitakiwa kufanya huduma za kijamii ila kurekebisha tabia ila jamaa akatoroka na kurudi Nigeria ambapo alisainiwa na record label ya Aristokrat Records .
Mkulungwa Burna Boy alijisahaulisha na kusafiri tena kwenda nchini Uingereza alipofika Airport alizuiliw na kurudishwa Nigeria na kuambiwa haruhusiwi tena kuingia nchini UK kwa kipindi cha miaka 15. Tukio la pili likitokea. Mwaka 2017 November mkulungwa Burna Boy
Hivi Harmonize kwenye kumtambulisha Ibrah alihitaji kuandika gazeti lote lile?
Harmonize anahitaji subra na uvumilivu kwenye hiki kipindi hawezi kufanya vingi kwa wakati mmoja kama anavyotaka
Niliandika miezi kadhaa nyuma kuwa kinacho mcost Harmonize ni watu waliokuwa
Nyuma yake nikiwa na maana kwamba ukiachana na Jembe ni Jembe ambae ni mfanya biashara zaidi hakuna manager menye uzoefu na mwenye sauti juu ya Harmonize
Hii pia iko kwa KIBA hakuna mtu mwenye sauti juu yake so mara nyingi msanii anakuwa jeshi la mtu mmoja wale wanyuma yake
Kazi yao inakuwa kumsupport badala ya kumshauri.
Inasemekena kuwa WCB Sallam SK anaweza kuzinguana na Diamond hata wiki mbili wasiongee sababu tu Manager ameshikilia msimamo juu ya jambo fulani na Diamond hataki mpaka mwisho wanapata solution
Ikiwa imetimia miezi kadhaa tangu Harmonize kuondoka WCB
kumekuwa na maswali mengi juu ya umiliki wa zoom production hasa baada ya jina la kampuni kubadilishwa kutoka zoom production na kuwa zoom extra huku mtayarishaji wa video
Akibaki yule yule Director Kenny?
Nikukumbushe tu kuwa upo kwenye page ya #Sanukanachapo hivyo upo sehemu salama kabisa utakwenda kupata majibu ya maswali yako yote bila ukakasi.
Awali ya yote kabla ya kujua mmiliki halali ni vyema kujua zoom production iilikuwaje ikaanzishwa.
WAZO
Zoom production ni idea ya Harmonize ambayo ililetwa kwa mara ya kwanza na Jose wa mipango rafiki mkubwa wa Harmonize sababu ni kutokana na wimbi la wasanii kwenda kufanya video South Africa.
Harmonize alilichukua wazo hilo kama changamoto na kuamua kumshirikisha