McHeartley Rugambwa Profile picture
Apr 29 12 tweets 5 min read Twitter logo Read on Twitter
Licha ya cha changamoto nyingi zilizozikumba uchumi wa Dunia Nchi nyingi za Africa zimeonyesha ustahimilivu katika ukuaji wake.E.g #Tanzania 4.6%, #Kenya 5.2% ,#DRC 8.6% n.k kwa 2022. Pongezi za Dhati kwa @mofURT @BankOfTanzania @mwigulunchemba1. Image
Uchumi wa Sub-Saharan Africa unatagemewa kushuka kufikia 3.1% in 2023 kutoka 3.6% in 2022 (IMF forecasts) kama ikishindwa kuwa 'resilient' kutokana na persistent sluggishness of the global economy na kutegemewa kupanda tena kufikia 3.7% ,3.9% kwa 2024,2025 respectively.
Kupanda huko kunategemewa kuletwa na ongezeko chanya katika uchumi wa Dunia baadaye mwaka huu huku #India na #China zikitarajiwa kuwa chanzo kikuu cha ukuaji wa nusu wa uchumi wa Dunia zikitarajiwa kukua kwa 5.4%( India) na 5.2% (China).
Per-capital income growth in Sub-Saharan Africa (SSA) kunatarajiwa kuwa 0.6% kwa 2023, 1.2% kwa 2024 na 1.4% kwa 2025 ikiwa mbali na malengo yaliyopo ya kuweza kurejesha poverty reduction to pre-pandemic path kutokana na changamoto zinazozikumba nchi husika.
Real GDP haifanani katika subregions zote in Western & Central Africa #AFW imefikia 3.4% in 2023 from 3.7% in 2022. In Eastern & Southern Africa #AFE imefikia 3.0% in 2023 from 3.5% in 2022.
Uwekezaji katika SSA umekua ukishuka kwa kasi e.g kutoka 6.8% kwa 2010-13 hadi kufikia 1.6% kwa 2021 kutokana na Financial squeeze/"Big -Funding squeeze" and little inflows coming in the region.
Growth recovery haiko sawa across countries in subregions kwa sababu ya utofauti wa ukuaji katika uwekezaji. Napongeza Serikali kwa kutambua hilo hasa katika mashirikiano na sekta binafsi kupitia #PPP @SuluhuSamia @mwigulunchemba1 @mofURT
Mfumuko wa bei bado uko juu na ukitarajiwa kuendelea kuwepo kwa muda . Consumer Price Index (CPI) in sub-saharan Africa accelerated sharply and hit 9.2% in 2022 hasa kutokana na gharama za chakula na nishati, kushuka kwa thamani ya sarafu na athari za climate change.
The slowdown in aggregate demand , declining commodity prices in the global markets and effects of monetary policy tightening across the continent will lower inflation in the region to 7.5% in 2023 and a further decline to 5.0% in 2024.
Debt distress risk bado iko juu. Nchi 22 zilikua katika high risk of external debt distress hadi kufikia December 2022. Debt reprofiling should be adhered to countries at Concern to create fiscal space.Four countries are seeking debt reprofiling;Chad,Zambia ,Ethiopia and Ghana.
Kati ya vitu muhimu kabisa ni kusimamia Fedha ya Umma hasa katika kipindi hiki kigumu tunachopitia, management ya madeni ya nchi kwa usahihi na kupunguza athari za mfumuko wa bei kwa sera husika kuleta unafuu katika maisha ya jamii.

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with McHeartley Rugambwa

McHeartley Rugambwa Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @McHeartley19

May 1
JE UNAFAHAMU AINA ZA UWEZO WA PEKEE ALIONAO MWANADAMU (CORE GENIUS) ?

JE WEWE NI MIONGONI MWA WATU WAJITAFUTAO KATIKA KUFAHAMU UWEZO WAO, KUUTUMIA NA KUFIKIA MALENGO? ..UKO SEHEMU SAHIHI.

UZI. Image
Mwanasayansi Albert Eistein aliwahi kusema "Everyone is a genius but if you judge a fish by its ability to climb a tree it will live its whole life believing that it is stupid" na huu ndiyo msingi wa makala hii.
Binafsi naamini kuna njia nyingi za kufanikiwa katika maisha e.g kupitia shule, ujuzi ama kipaji alichozaliwa nacho mtu japo shuleni panawekwa nafasi ya juu zaidi katika jamii kulingana na mazingira yaliyopo katika sehemu husika.
Read 15 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(