My Authors
Read all threads
#UZI
💨 TEKNOLOJIA YA CHINA INAVYOITESA MAREKANI

✴ China ni moja ya nchi zinazokua kiteknolojia kwa kasi.

✴ Shoo wanazozipiga ni presha tupu. Wanajeshi wao watakiwa Marekani kuhukumiwa kwa kosa la Udukuzi.

✴ Washaiba hadi mfumo wa ku-hack wa USA
#FLowMaTaTa tiririka nazo 👇 Image
✴ China ni moja ya taifa lililojaliwa vijana wenye akili za asili za komputa. Hawa jamaa wanaishi kwa ujanja sana tofauti na sisi wanyakyusa.

✴ China ndio nchi ya kwanza kutumia fingerprint, kuwa na teknolojia ya 5G, kutengeneza vitu vya gharama na kuuza bei ya huruma. Image
✴ Hawa Jamaa ukinunua simu kwao ikibaki chenji hawakurudishii, watakutengenezea hata headphone ili pesa yako wabaki nayo.

✴ Ushawai jiuliza kwanini wanafanya hivi? kwani hawapati hasara? Twende sawa.

✴ Kuna matukio wengi hawa Jamaa wanayapiga. Image
Twende chap chap: Tunaanzia chini tunapanda juu

✴ 8a.m May 4 2001, Yeyote aliyetaka kuaccess website ya Whitehouse .gov pale Marekani system ilikua inamuandikia "ERROR MESSAGE" Hii ilikua ni attack ya kwanza ya Wadukuzi wa China kujaribu uwezo wao.

✴ Haikuishia hapo ilienda Image
hadi kwenye website ya Jeshi la Marekani US Navy na vitengo vingine mbalimbali.

✴ Marekani walikuja kugundua ni China baada ya kuzama kwenye site ya Department National Business center kulisomeka "CHINA HACK"

✴ Department of labour "I AM CHINESE" Image
✴ Location ikawa inaonyesha wadukuzi wapo China. Baada ya muda wadukuzi wengine wakajiunga kwenye hiyo link kutoka Saudia Arabia, Argentina na India.

✴ Baada ya wiki kazaa ngoma ikatulia, China alihack page 1000+.

✴ Baada ya miezi kadhaa aircraft ya USA iligongana na F-8 ya Image
China, pilot wa China alifariki na wa USA akapona ugomvi ukaanzia hapa.

✴ Wadukuzi wa China walifanya shambulizi moja la kimataifa kwenye site za USA na kuandika "FIRST WORLD HACKER WAR".

✴ Mfumo wa Wadukuzi ulikua una access zile sehemu dhaifu za Marekani. Image
✴ Wakasepa na documents muhimu za NASA, Beurea hadi CNN. Kumbuka hili tukio lilipigwa na muunganiko wa vijana wa China zaidi ya 2000+.

✴ Xia Tian alikua ni mmoja wapo kutoka kundi la China security Team, ni kijana wa 2,200. Image
✴ Kuna huyu Pengi Yinan jina lake lilikuja kujulikana 20 May 2003.

✴ 2004 Kundi la Night Dragon lilizuka. 2013 USA walichapisha karatasi 60 kureport hili kundi la China (Chinese Unit 61398) kwa kudukua taarifa za makampuni ya Marekani.

✴ Hapa ndipo utagundua kwanini China Image
Bidhaa zao wanaziuza bei rahisi. Walibeba taarifa za makampuni kadhaa na kuangalia mzunguko mzima wa Biashara kuanzia raw materials hadi final consumer. Wale wa Business najua mnaelewa hii kitu.

✴ Wanazalisha bidhaa mfanano na USA ila wanatumia 1/10 USA ya gharama za uzalishaji Image
✴ Pia na taarifa za siri za ujenzi wa miundombinu na Mashirika ya kiserikali yanavyoendeshwa.

✴ Wakapuuzia Habari za USA, May 2013 wakadukua tena mfumo wa silaha za kivita za Marekani. Zaidi ya mifumo 24 ziliathirika. Fighter jets, Missile defense Image
Navy vessels na helicopter zao. APT15 waliiba pia taarifa za Teknolojia ya jeshi la Uingereza na malware base attack 😂😂 Wapoloo wapolooo wahuni ehhh wahuni 😂.

✴ August 2015 FBI wakaja kugundua China inatumia wanafunzi wake wanaokuja kusoma Marekani. Mwanafunzi wa Electrical Image
Engineering aliyekua anasoma chuo cha Chicago, USA alitumiwa assignment na Taifa la China " Midterm test question ", Jin Chaoqun akajibu " had nothing to do with exam" akachanganya pamoja na report 8 za watu ambao Beijing ilikua inawatagert. Jamaa akakamatwa. Image
✴ Usione China inafanikiwa kila kikicha ukaanza kuionea wivu fata maisha yako ndugu, wanakula matunda ya kazi yao. Nasa,Cocacola,TheNewYorkTimes,Google zote zishawai dukuliwa.

✴ 2017 jeshi la China lilidukua taarifa za watu millioni 147 na Uingereza na Canada ziliathirika. Image
✴ Marekani akawataja Wadukuzi wake Wu Zhiyong, Wang Qian, Xu ke na Lin Lei hawa ni raia wa kawaida tuh. USA ikasema wanashirikiana na jeshi.

✴ Waziri wa mambo ya nje Geng Shuang " Jeshi na wahalifu haviwezi kukaa sehemu moja". Image
✴ David Bowdish director wa FBI akasema " Hakuna maneno mengi hapa hawa ni wa kuwekwa lock up tuh siku yoyote"

✴ Mwezi wa 1&2 komputa za Jeshi la Marekani zili-hackiwa na Jeshi la China wakasepa na program ya kufanya udukuzi, data za project ya supersonic antiship missel Image
Itakayotumiwa na US submarine 2020, mifumo ya silaha za kijeshi zenye taarifa za ukubwa wa 614GB na Sea Dragon hii ilikua ni project ya signal, sensor data na radio submarine information.

✴ Marekani naye ni mwana tuh kwenye kutafuta ushahidi wa wahusika Image
wa hilo tukio akayadukua makampuni matatu ya Cell phone operator ya China na kusepa na taarifa za SMS zaidi ya milioni na ushee.

✴ Vita ya kiteknolojia bado inaendelea, 2018 hiyo hiyo Wadukuzi wa China wakadukua vitengo vya USA, Canada na South Asia ili waangalie tuh wenzao Image
Wamefika sehemu gani kwenye Teknolojia zao.

✴ Zhua Hua aka (Godkiller), Zhang Shilong aka (Baobielong) wa APT 10 wakazama kwenye mfumo wa Jeshi la Marekani na kusepa na taarifa za wanajeshi 100,000. Image
✴ Kila tukio analofanya China lazima Marekani ajue. Sisi hatuwezi jua maana tumezaliwa mbeya, tumesoma mbeya,tumeajiriwa mbeya, tumeoa mbeya, na tutafia na kuzikiwa mbeya.

✴ Hizi battle tuwaachie hao.

✴ Kizazi cha tiktok hivi unajua vizuri?? Njoo hapa Image
✴ Tiktok ilianzishwa na Zhang Yiming pale Beijing, China mwaka 2012 ilikua haina ushawishi wowote, 2017 Jamaa sijui aliokota wapi pesa.

✴ Tiktok ikapigiwa promo ya pesa ndefu online mpaka sasa pale playstore imepakuliwa na watu zaidi ya billion 1. Image
✴ Cha kushangaza watu wote duniani tunatumia Tiktok kasoro tuh watu wa China, na ndio waliyoitengeneza. 😂

✴ Trump mapema akasanda huu mchongo akawakataza wanajeshi wake wasitumie hii app inafadhiliwa na Jeshi la China.

✴ Huawei nayo ImageImage
Inapigwa vita sana kama mnakumbuka nishawi waleteaga Uzi wake siku za nyuma kidogo. Vita yote aliyokua anapigwa na Marekani ni kwasababu ya hizi mambo.

✴ Ila Huawei walisema wao hawana uhusiano na Serikali ya China. Huo Uzi ukiutaka nitakupa niliuita 5G. Image
✴ Wakati tukiwa tunajifukiza ili tusishikwe na korona. China juzi hapa kudukua mahabara za Marekani ili aangalie dawa yao ya corona imefikia wapi.

|MWISHO wa part 1|
Naomba RT yako mdau ili mzidi kunitia moyo Nyuzi. Image
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Njiwa FLow

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!