, 21 tweets, 10 min read
My Authors
Read all threads
#UZI
💨 VITA VYA WADUKUZI WA ANONYMOUS DHIDI YA MAREKANI

✴ Walikua bench kwa miaka 3, kifo cha George Floyd cha warudisha kwa kishindo.

✴ Udukuzi wanaoufanya ni presha tupu.

✴ Wanasema sio Trump tuh hata Clinton na Obama wote ni ❌❌
#FLowMaTaTa is back Tiririka nazo 👇
Twende chap chap
✴ Baada ya polisi kusababisha kifo cha George Floyd, Anonymous walihack database za serikali kwa ajili ya kurudisha password za mitandao yao ya kijamii.

✴ Walizifungua baada ya kujaribu password zote ila baadhi zilikubali.

✴ Password kama GuyFawaks,
Fwskfucks420, Maskgang1 lakini baadhi zilifanya kazi.

✴ Mwisho wa siku Anonymous wakafurahi kionline line sisi hatuwajui wala hao wenyewe hawajuani.

✴ Wakaanza kampeni ya kuhamasisha maandamano na hashtag ya #BlackLivesMatter Kwa mujibu wa TheHardtimes(UNKNOWN).

31.6.2020👇
Wakasema

✴ Kwa kitendo walichofanya polisi wa Minneapolis, Tutadukua Website na systems zao za komputa

✴ Tutahack Redio za Chicago DP tuplay nyimbo za kuwatukana polisi😕

✴ Tutavujisha siri za Trump kuhusu kifo cha Jeffrey Epstein.

✴ Pia ishu ya Ferguson.
Wajuba wakaenda chimbo, haikuchukua round.

✴ Wakasepa na website ya polisi bila huruma wakaipiga pini kisha wakaweka picha na ujumbe "REST IN POWER George Floyd".

✴ Hawakuishia hapo wakasepa na email 800 za polisi wa Mineapolis pamoja na pasword zao.

✴ Komputa zote kapuni.
✴ FBI wakaingia kazini ili wawakamate wahalifu wao. Wakawauliza polisi wa Minneapolis kama wana taarifa yoyote ya kuwasaidia.

✴ Ili waweze kuwagundua hapo Wadukuzi. FBI walivyoona hali halisi ikabidi watulie bila kujibu chochote. Kwa mujibu wa Reuters.

✴ Msemaji mwanamama
wa Twitter Liz Kelley alisema "mpaka sasa hivi hatujajua hizi account zinaendeshwa na nani"

✴ Ninamaanisha hizi @YourAnonCentral @YourAnonNews n.k.
(N.B: n.k means Na Kazalika).

✴ Watu wengi pamoja na mimi kama Njiwa FLow tukanza kuwafollow ila wao hawafollow back.
✴ Anonymous wakadukua tena redio ya polisi Chicago DP na kuanza kuplay nyimbo za kuwatukana polisi.

✴ Yaani vipindi vyote vilipigwa chini zikawa zinasikika nyimbo zinazoimba eti "Fakini Polisi" "Fakini Polisi".

✴ Wamarekani wakaongezewa morali ya kuandamana.
✴ Video yao waliyoipost YouTube ikafutwa na YouTube wenyewe, kula Facebook napo wakapigwa pini wakabaki hapa Twitter na kwenye websites zao.

✴ Ahadi nyingine wakaitimiza, wakavujisha siri za Trump zidi ya kuitwa mawinguni kwa Epstein na unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto.
✴ Siri hizo nilikua kwenye kitabu cha "The Title Black Book of Jeffrey Epstein". Kwa mujibu wa En As.

✴ Mzee baba Trump kama Donard akasema hii ni kampeni ya ANTIFA kuleta machafuko.

✴ 2.6.2020 Polisi wa Dallas wakatumia mgongo wa K-pop (huu ni mziki kama wa bongo leva ya
Huko Korea).

✴ Wanatengeneza app inayoitwa iWatch ambayo waandamanaji watajisajili na kutengeneza account zao kama hapa Twitter.

✴ Kisha wawe wanapost video za maandamano. Kwa mujibu wa TechWorm.

✴ Anonymous wanasema hii app ni 🚮🚮. Inatumiwa na polisi kukusanya taarifa
Za waandamanaji ili siku nchi ikitulia waanze kukamuliwa dawa na hashtag ya #OpFanCam

✴ Ulikua ni trick ya polisi kutafuta watu wa kurudisha heshima ya kitengo. Ikasuswa.

✴ Baada ya muda tuh polisi wakatangaza kuna tatizo la kiufundi iWatch Dallas App tumeifuta.
✴ Trump akatishia atafungulia jeshi lirande mtaani. Anonymous wakamwambia January uliwaambia Viongozi wa Iran waache kuwaua raia wake wanaoandamana.

✴ Leo Iran imeipigia simu Serikali yako iache kuua waandamanaji kaeni chini mzungumze kwa amani.

✴ Maandamano yakazidi
Kupamba moto. Twitter ikataka kuipiga tofali Account moja ya anonymous. Anonymous wakamuonya Jack na Twitter yake.

✴ Account ikarudi kazini. Washington DC internet ikazimwa kwa dakika 10 kisha ikarudishwa chap.

✴ Anonymous wakaionya serikali. Waandamanaji zaidi ya 1000
Wakaelekea Ikulu ya Whitehouse. Trump akaingizwa kwenye chumba maalumu.

✴ Unaambiwa hicho chumba ata kikipigwa Bomu hakilipuki yaani ni kwere. Ila Trump yeye alizama na iPhone yake😂😂

✴ Kama kawa akaendelea kupiga vijembe vya hapa na pale kwamba kuna watu wanamhujumu.
Akasema sasa ni LAW & ORDER yaani sheria ifuatwe na hatua zichukuliwe.

✴ Waandamanaji muda huo hawataki kuelewa chochote ni 🔥 juu ya 🔥

✴ Kesi za corona virus nazo sikazidi kwa siku visa vikawa vinaripotiwa na vifo zaidi

✴ Majasusi wakaanza kuingizwa
Kwenye maandamano ili wawafinye wale waandamanaji viherehere. Ila kupitia anonymous hawa majasusi waliweza kubainika mapema japo sio wote.

✴ Mfano huyu Mwamba, alikamwata kwa sababu ya kuchoma mali za umma. Polisi wakamkamata huyu Mwamba kwa sababu ya uhalifu.
✴ Na anatakiwa kupatiwa adhabu kali ili iwe funzo kwa wenye tabia kama yake.

✴ Wakulungwa wakaanza kumchunguza huyu Mwamba wakagundua ni jasusi la kimarekani lipo kazini. Cheki hapa 👇

✴ Kama haumuoni vizuri ninakushauri tafuta mawani kisha kula karoti 3 alafu nidiemi.
✴ Unaiona hiyo chata hapo kwenye mkono wake?

✴ Unaambiwa hiyo Alama ni ya The percenters hili ni kundi lenye wanachama 7,000 lilianzishwa 2008.

✴ Linatetea raia waruhusiwe kutumia risasi na movement nyingine za kusapoti au kupinga uongozi uliopo.
✴ Hili kundi ndilo lililotoa motisha 2008 kwenye uchaguzi wa Marekani Obama akashinda. Limekwisha Fanya movement za kuwasaidia wakimbizi.

✴ Na pia movement nyingine za kuwachomeshea watu. Ni muunganiko wa baadhi ya Wanajeshi na polisi na watu wengine wa kawaida.
✴ Sasa Huyu Mwamba alivyokamatwa aliwaacha watu wengi njia panda.

✴ Kwamba alikua anasapoti maandamano au ni trick ya kupunguza kasi ya maandamano. Acha nae.

UTAENDELEA...... Ni kesho tuh Tu
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Njiwa FLow

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!