, 23 tweets, 10 min read
My Authors
Read all threads
💨 VITA VYA ISRAELI DHIDI YA MA-HACKERS

✴ Ardhi imewaingiza Wayahudi kwenye vita dhidi ya nchi za kiharabu,Uturuki,Urussi na China.

✴ Waharibu computer 30,000+ za Iran na mfumo mzima wa nyuklia.

✴ Ndio nchi iliyoweza kuidukua iPhone.
#FLowMaTaTa tiririka nazo 👇👇
✴ Hawa Wayahudi wanakuambia "You hack me, I hack you" hapo ni baada ya kudukuliwa websites zote za serikali yao na wadukuzi wa Anonymous.

✴ Anonymous ndio wadukuzi wakubwa duniani. Hapa bongo kijana wakishaweza kupiga Windows, anaweka profile pic ya hawa jamaa.
✴ Anajiona Tayari ashakua IT mmoja hatari, IT unaburn movie za Chakoree!! IT unatengeneza mpaka feni!!. @TOTTechs hawa Jamaa tuwape somo kuondoa mitazamo hasi kwenye jamii.

✴ Kuwa IT sio jambo la kienyeji. Angalia hizi shoo wanazozipiga hawa wazungu.

Twende chap chap
✴ 2010 Iran alianzisha mpango wake wa kutengeneza mabomu ya nyuklia, kitu ambacho Umoja wa mataifa ilipinga.

✴ Israeli wakishirikiana na Marekani wanatengeneza kirusi cha Stuxnet wakakituma Iran kupitia connection ya internet.

✴ Kundi la Israeli Utra cool unit 8200 na cyber
Ninja la Marekani walikituma kirusi hicho Iran kupitia connection ya internet ya dunia.

✴ Stuxnet iliharibu zaidi ya systems 30,000 za computers za Iran na kuharibu mfumo mzima wa kutengeneza nyuklia. (Kwa mujibu wa Isssource)

✴ Iran ililaani shambulio hilo.
✴ 2012 wakati Israeli anazidi kujiimarisha kiteknolojia. Alifanyiwa attack moja kubwa taifa zima likwazimwa. Anonymous walihack website zote za serikali ya Israel.

✴ Email 2,000 na password zake na namba za Simu za watu 3,000 wa nje wanaoisapoti Israeli.
✴ 2013 wahuni wakarudi tena na bonge la Ujumbe nzito "Tunataka dola bilioni 3" la sivyo

✴ baada ya muda mchache tutasepa na websites 100,000, Akaunti za Facebook 40,000, Akaunti za #WapwaTuinuane 5,000 na akaunti za benki 30,000.

✴ Vitzahak Ben Yisrael kutoka kitengo cha
Cyber Israeli akasema "Anonymous hawana ujuzi wowote wanapoteza muda kwenye taifa lenye miundombinu dhabiti, wanachoweza ni kutengeneza kelele kwenye vyombo vya habari". Kwa mujibu wa The Atlantic.

✴ Wakawakamata baadhi ya wapalestina, pia huko mtandaoni wakajibu shambulizi
Na kuwaambia Anonymous "You hack me, I hack you" ngoma ikapoa.

✴ 2014 wakati Israeli anatumia jeshi kutanua mpaka wake wa kimaandiko huko Gaza websites ya jeshi, TNN Telecom na email 85 za watu muhimu zika-hackiwa.

✴ Na maandishi yaliyokua yanasomeka ni "#Op SaveGaza"
✴ Kumbuka hapo Israeli inashambuliwa na wadukuzi kutoka baadhi ya nchi za kiarabu na uturuki.

✴ 2015 Israeli ikafanyiwa matusi mengine, Ujumbe uliotumwa na wadukuzi ulizua taaruki sana duniani "#Op Israel kwa Nguvu ya jeshi dhidi ya wapalestina #Op Israel kwa kuwadidimiza
Wapalestina kwa miaka 67; sasa ni muda wa wapalestina kuishi kwa amani na Uhuru".

✴ Ma-hacker wakasepa na akaunti 2,143 za PayPal,Websites 150,000,E-mail 7,000 na passwords zake na Ip address za modems 6,000.
2016 tena Israeli ikaingiliwa tena, hii attack waliyopigwa walihackiwa Channel 2 kati ya 10 za television.

✴ Zikastopishwa kwa muda wa sekunde 30 na kuonyesha video yenye picha na maneno ya kiarabu.
Feb.2017 Israeli ilifanikiwa kumkama kijana mdogo hacker hatari wa palestina aliyedukua mitambo ya CCTV na Drone za Israeli.

✴ Majid Oweida (23) alifungwa miaka 9 kwa udukuzi huo. Kwa mujibu wa Prosecutors.

✴ Kijana alikua ni computer injinia. Alijiunga na Islamic Jihad 2014
na kukubaliana nao ataimarisha mfumo wa kufanya udukuzi.

✴ Uwezi amini huyu dogo alikua anatumia laptop, Signal decoder na Satellite dish tuh.

✴ Hivyo vitu viliweza kumsaidia kupokea mawasiliano ya siri kwenye satellite ya Israeli na tena kwa full HD quality.
✴ Oct.2017 hiyo hiyo, Israeli waliihack Kaspersky antivirus ya Urussi na kubaini wadukuzi wanaofadhiliwa na serikali ya Urussi

✴ kuiba taarifa za siri za NSA (kitengo cha ulinzi cha Marekani). Pia hata 2015 waliweza kuwagundua wadukuzi hao waliweza kuspy computer zote duniani
Kwa muda mmoja na kuiba program za kufanya udukuzi.

✴ Feb. 2017 (Mwezi upo sahihi jiongeze), Wadukuzi wa Israeli waliweza kutengeneza program ya kuhack iPhone namaanisha iPhone kama iPhone.

✴ iPhone 4s/5/5c/5s/6/6+, pia waliweza kutengeneza program ya
Kuhack account yoyote ya WhatsApp. Kama una kumbukumbu

✴ Mwana wa mfalme wa Saudia Arabia alimdukua bilionea wa Amazon Jeff kwa kumtumia video tuh. Billionea Jeff alivyoifungua tuh.

✴ Mwana wakasepa na taarifa muhimu za Bilionea Jeff, Uchunguzi uliokuja kufanyika
Ulibaini Mwana wa Mfalme walitumia program kutoka Israeli kufanya uhalifu huo.

✴ FBI pia walitumia program ya Israeli kuweza kudukua iPhone ya San Bernardo shooter. Kitu ambacho walizozana sana na iPhone kwamba mwana anamwaribia clean shit yake.
✴ Oct 2017 Wakati uchaguzi unafanyika Israeli gafla wadukuzi wa Iran wakafanya yao kura milioni 6 zikawa na nashiki, Israeli ikathibitisha attack hiyo.

✴ Nov 2017 Jenerali wa kitengo cha usalama wa network alisema "Kwa siku tunakutana na mashambulizi 1000 mengi ni kutoka Iran.
✴ 2018 wakulungwa wakarudi tena Israeli, walidukua websites za serikali, hospital na manispaa na kuweka picha za wapalestina na bendera yao.

✴ Kila aliyezama kwenye hizo websites alikutana na kitu cha mpalestina kikiwa kinapepea. Radio Israeli ilithibitisha.
✴ Feb.2019 Marekani ikamwambia rafiki yake Israeli aachane na vifaa vya China maana siku hizi mwana haeleweki. China yeye hata hasikilizi hizo habari yeye anapromote miundombinu yake kwenye mitandao ya kijamii.

✴ Hata sisi wa Songea tukizama Facebook tunaonaga milima yao.
✴ May 2019 Vyombo vingi vya habari vilitangaza kitu kilichodondoshwa kwenye jengo la wadukuzi wa Hamas huko Gaza na kusababisha kuvunjika vunjika na moto Mkubwa.

✴ Jengo hilo liliaribiwa na drone za Israeli. Hawa wadukuzi waliisumbua sana Israeli.
✴ Ukiachana na Palestina mpinzani Mkubwa wa Israeli ni Iran kila siku ni vita huko dark Web.

✴ Uzi ujao tutazungumzia Kwanini Israeli na Iran wanashambuliana hivi. Marekani, Urussi na Uturuki nao wamo.

MWISHO
Ila itaendelea... Naomba RT mdau wangu iwafikie wana.
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Njiwa FLow

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!