My Authors
Read all threads
💨 NI SAHIHI KUTUMIA GB WHATSAPP NA FM WHATSAPP??

✴ WhatsApp inazidi kupoteza wafuasi wake baada ya kuibuka hizi Modification WhatsApp.

✴ Je ni sahihi kutumia hizi Mods WhatsApp?

✴ Kwanini WhatsApp haiongezi kitu chochote ili kurudisha wafuasi?
#FLowMaTaTa tiririka nazo 👇 Image
✴ Modification WhatsApp ni WhatsApp iliyoongezewa code zaidi ya WhatsApp rasmi.

✴ Mods WhatsApp hizo ni kama; > GB Whatsapp
> Whatsapp Plus
> Yo WhatsApp
> GoldWhatsapp
> BlueFM Whatsapp
> Whatsapp Reform
> Whatsapp jiMOD Image
✴ Hizi app zimeongezewa uwezo wa kukushawishi kuzitumia na kuifanya WhatsApp yako iwe na vitu vingi tofauti na WhatsApp rasmi.

Je ni sahihi kutumia hizi mods WhatsApp?
✴ Kwa mtu mwenye uelewa wa ulinzi wa taarifa zake hawezi tumia app ambayo haipo play store. Image
✴ Playstore huzipa majaribio ya ulinzi apps zote zinazopakiwa kwenye stoo yao.

✴ Hizi mods WhatsApp zilishindwa kufuzu kutokana na kukosa mfumo imara wa ulinzi. Image
✴ Taarifa zako kukosa ulinzi
• WhatsApp sio mtandao wa kijamii, Ujumbe unaotuma na kupokea unatakiwa uwe siri yenu.

✴ Mfano WhatsApp plus waliondoa core codes za WhatsApp rasmi, ambapo WhatsApp rasmi itashindwa kuweka ulinzi kwenye taarifa za watumiaji. Image
✴ GB na FM WhatsApp hawakubadili core codes.

✴ Namba yako kuzuiwa moja kwa moja kutumia WhatsApp rasmi
• Miaka ya nyuma WhatsApp walizifunga namba zote zilizopo kwenye modes WhatsApp ila za kwenye Yo, GB na FM WhatsApp hazikudhurika. Image
✴ Taarifa zako kudukuliwa
• Ni rahisi sana modes WhatsApp kutumika kufuatilia taarifa zako bila wewe kujua.

• Kudukuliwa taarifa kama audio,video,sms, location na password za accounts zako mbalimbali bila wewe kujua. Image
✴ Kwanini WhatsApp wasiweke hivi vitu vyote vilivyopo kwenye mods WhatsApp?
• WhatsApp ni mtandao ambao ulinzi wake sio 100% ila unalinda sana taarifa za wateja wake dhidi ya udukuzi.
• Pia sio sahihi mtu afute status zake alafu wewe uzione ni kosa.
MWISHO Image
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Njiwa FLow

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!