My Authors
Read all threads
Wafanya Biashara wengi wanaingia katika mazoea ya kufanya kampeni za mauzo hasa wakati wa SIKUKUU au matukio maalum kwa muda fulani.
Je, kampeni ya Mauzo ni nini? #UsiuzeKamaWao #COVID19 Image
Kampeni ya Mauzo: Ni njia au mbinu inayolenga kuvutia wateja kununua kwa kipindi cha muda fulani.
.
.
.
Mara nyingi wafanyabiashara utumie mbinu hii kuuza wakati wa Msimu wa Sikuku au katika kipindi fulani. #UsiuzeKamaWao Image
Mfano: #COVIDfree Sale. Inawezekana wafanya biashara wakagundua pengine kutokana na janga la #COVID19 baadhi ya bidhaa zinaweza kuharibika au kukosa uhakika kama bidhaa za muhimu kutokana na kubadilika kwa hali ya Soko.
.
.
Basi wanaweza kuanzisha #SALE kuvutia wateja kununua. Image
Wateja wanaweza kuvutiwa kwa ajili ya mbinu hii ya kuongeza mauzo na kufikia lengo katika kipindi hicho.
.
.
Njia hii inatumika sana na uwa inaambatana na PUNGUZO la Bei. #UsiuzeKamaWao endelea kujifunza.
.
.
Wateja wana tabia na wakati mwingine ufuata MKUMBO. Hivyo lazima ujue Image
Tabia za wateja kipindi cha kampeni. Mara nyingi wateja wanaposikia kuna Sale-Sale wanajitokeza kwa wingi sana kuja kuangalia.
.
.
Lakini wanaweza wasifanye maamuzi ya kununua. Image
Na hii imethibitika kwamba, wengi wa wateja lengwa, wanakuwa na hofu juu ya ubora na kuogopa kununua kwa kufuata kampeni ya mauzo hasa inayoonyesha PUNGUZO kubwa la BEI. #UsiuzeKamaWao
Hivyo ili uwe na kampeni yenye mafanikio. Ni lazima ufanye tathmini ya mpango wa Kampeni kabla ya kuendesha kampeni. #UsiuzeKamaWao.
.
.
Lazima ujue madhumuni na eneo la Soko lako. Image
Swali la msingi ni kujiuliza, KWANINI umeamua kuanzisha kampeni hiyo?
.
.
Je, unalengo la kutumia faida ya uwepo wa Sikukuu au tukio fulani MAALUM kama #SikuYaWapendanao au #SABASABA Image
Je una AMINI kampeni yako inaweza kuwavuta watu #WatejaWapya na wale unaotazama kuja kufanya biashara nawe?
.
.
Ni lazima uwe na uhakika wa mpango wako kabla ya KUANZISHA Kampeni ya Mauzo #UsiuzeKamaWao
Mara zote kabla ya kuanzisha kampeni ya Mauzo. Hakikisha unazo takwimu za kuttosha kujua muda wenye mauzo mengi zaidia katika Mwaka.
.
.
Kama hauna TAKWIMU hizo, wasiliana nasi tukushauri na kukuandalia MPANGO WA KAMPENI YA MAUZO. #UsiuzeKamaWao Image
Najua unasikia sana kuhusu... HIGH Season na LOW Season. Hasa katika Biashara za UTALII. Ni msemo umezoeleka lakini una maana kubwa sana katika mpango wako wa kampeni ya mauzo. #UsiuzeKamaWao @TOTTechs @MaliasiliUtalii @HKigwangalla
Kama unalenga kuongeza MAUZO basi jua misimu. Image
Madhumuni ya Kampeni ya Mauzo. Ukishatathmini na kuthibitisha kuwa upo tayari kuanzisha Kampeni. Basi andaa madhumuni au lengo mahususi katika kampeni ili timu ya mauzo iweze kulifanyia kazi.
.
.
Lengo litafanya kazi kama njia ya kupima utekelezaji na viashiria vya mafanikio.
Utapangilia na kujua nani ataongoza timu katika mauzo.
.
.
Utalazimika kujua watu wangapi watashiriki katika mstari wa mbele kipindi cha Kampeni. #UsiuzeKamaWao
Je, kampeni itaendeshwa kwa muda gani, itahusisha maeneo gani? Unaweza ukawa na kampeni ya Mauzo katika eneo kubwa au eneo dogo. #MkoaAuKanda kumbuka #UsiuzeKamaWao
Ijapokuwa kampeni za mauzo mara nyingi ulenga kuendeshwa kwa muda mfupi..ila jitahidi kutoa muda wa kutosha ili kila mwanatimu ajione amefanya kitu kwa nafasi kufikia MATARAJIO ya Kampeni. #UsiuzeKamaWao Image
Mchakato wa kuandaa Kampeni ya Mauzo ya Msimu.
.
.
1. Kwanini: Tumia faida ya piki iliyopo katika Msimu.
2. Lengo: Kuongeza mauzo kwa asilimia 70% ifikapo mwisho wa Msimu.
3. Wahusika: Timu nzima ya Mauzo ya eneo la Soko.
4. Muda: Wiki 2 za kampeni ya Mauzo.
.
#UsiuzeKamaWao
Jambo muhimu tunakukumbusha USIKURUPUKE kuanzisha kampeni ya Mauzo kwa kuiga mkumbo. Tupo kukusaidia kuingia Sokoni, kukusimamia kuzishinda nguvu za mabadiliko ya Soko.
.
.
Anzisha kampeni ya Mauzo kwa kufuata ushauri wa Kitaalamu. #UsiuzeKamaWao
UZI huu umekujia kwa udhamini wa #PlatinumTanzania kupitia #PlatinumKWIO Kwa mahitaji ya Vifaranga, KUKU na Chakula cha KUKU wasiliana nao; USHAURI NI BURE.
.
📞Changamkia ofa hii sasa kwa kuwasiliana nasi simu namba 0766899736 au 0712705839. #Bunju-Dar es Salaam, Tanzania. Image
"Uhakika wa Soko" ni jambo linalowezekana kama utajifunza na kuelewa TABIA za Wateja, hali na mabadiliko ya WAKATI. #UsiuzeKamaWao #Tanzania #TanzaniaUnforgettable Image
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Data Masoko

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!