Mwaka 2021 unatabiriwa kuwa na mapinduzi ya Tekinolojia, Apple wao wamejipanga kufanya yafuatayo
UZI
◾️Apple silicon iMac
Apple wanakuja na iMac ambayo itakuwa na Apple silicon chip, kama walivyofanya kwenye MacBook, itakuwa na16 high-power cores& 4 efficiency cores
◾️AirPods
2021 Apple wanategemea kutoa third-generation AirPods ambayo itakuwa na replaceable silicone air tips, pia wataboresha wireless chip na battery life
◾️iPad Pro
Apple wanakuja na 12.9 inch iPad Pro ambayo itakuwa na LED display, hii Min-LED Technology itakuwa na wide color gamut performance, high contrast and HDR, and local dimming, pia iPad Pro itakuwa na 5G connection ikisapotiwa na A14X chip kama ilivyo kwenye M1 Macs
◾️June software update
Apple huwa wana World wide developers conference kila mwaka na 2021 tutegemee kuona iOS 15, iPadOS 15, watchOS 15, tvOS 8 na MacOS 12
Kwa sasa MacOS updates zitaenda kwa increment number sawa iOS updates
mwanzo zilikuwa zinaenda kwa dot increment eg 11.1
◾️14.1 na 16.1 MacBook Pro
2021 Apple wataboresha MacBook Pro kutoka 13.1 na 16 inch kwenda 14.1 na 16.1
MacBook zote zitakuwa na Apple silicon chip na zitatumia Mini-LED technique kuongeza display quality
Apple silicon chip itakuwa na16 power cores and four efficiency cores
◾️iPhone 13
Mwaka 2021 Tunategemea iPhone 13 kutoka kwenye matoleo manne tofauti kama ilivyo iPhone 12 [ plain Mini, Pro, Pro Max]
Apple Inategemea kuwa na the same general design kama iPhone 12 lakini iPhone mojawapo probably Pro Max itakuwa ni Portless [ haina ports ]
Charging itakuwa ni Qi-based charger au MagSafe charger
iPhone 13 itakuwa na 120Hz display kuongeza smoothness, kutakuwa na new camera technology na faster A15 chip, upgraded 5G modem chip kutoka Qualcomm
iPhone 13 itakuwa na Face ID na under display Touch ID [ dual Biometrics]
◾️iPhone SE Plus
Mwaka 2020 Apple walitambulisha Apple iPhone SE, mwaka 2021 Apple watatoa iPhone SE Plus itakuwa na Full screen design, No Face ID, built in touch ID and fingerprint sensor, power button itakuwa pembeni [ side of the device], dual camera and 5G support
◾️Apple watch series 7 and SE 2
Tunategemea kuwa na Apple watch series 7 mwaka huu, japo hatujajua mengi kuhusu hii lakini itakuwa na new health functionality na solid state button, pia wanafanyia kazi suala la measuring blood glucose levels
◾️New Apple TV
Yes mwaka 2021 tunaweza kuona Apple TV tena ikiwa update ya mwisho ilikuwa ni mwaka 2017
Next generation Apple TV itakuwa na A12X Bionic chip au inaweza kuwa na A14 chip kama zilivyo iPhone 12, hapo unacheza games vizuri sana
Pia next generation Apple TV
zitakuwa na storage ya 64 na 128GB, kutakuwa na new remote control design ambayo itakuwa na "Find my" feature kwa ajili ya ku-locate remote kama haionekani ndani ya nyumba
Kutakuwa na U1 chip inaruhusu Ultra wideband support kuunganisha vifaa vya nyumbani kama gari, homeHub
◾️Smart Glasses
Apple wamesema wako kwenye project ya Smart Glasses ambayo itatoka kati ya 2021 - 2023
Smart glass ina high resolution display, built-in camera, 3D scanning na Advanced human detection na mengine mengi kama Apple Store for gaming, streaming and V/conference
◾️AirTags
AirTags ni vifaa kwa ajili ya Tracking viko equipped na Bluetooth, hivi vinawekwa kwenye vifaa vyako Kama wallet, Funguo, Cameras ili iwe rahisi ku-track endapo umepoteza, unatrack kupitia "Find my" app either kwenye iPhone, iPad au Mac
Keep an eye on your devices
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
◾️Hizi ni simu zinazotamba kwa sasa Duniani ikiwa ni matoleo mapya kwa Samsung na Apple
◾️Nakuletea ulinganifi wa hizi simu, hii ni kulingana na majarida mengi kama AndroidAuthority, CNet, GSMArena, Gadget360 n.k
Twende na uzi👇
◾️Samsung Galaxy Note 20 Ultra ilitoka Aug 5 na iPhone 12 Pro Max ilitoka Oct 13 lakini hii bado ni Pre-order
◾️Kila kampuni inasifia simu yake kuwa ni bora zaidi Duniani kwa sasa kutokana na teknologia ya hali ya juu iliyotumika kwenye hizo simu
◾️Tuzichambue taratibu
◾️DESIGN
👉 Simu zote zinamwonekano mzuri lakini kuna utofauti
◾️Samsung Galaxy Note 20 ultra ni simu yenye kuonekana vizuri sana, wamechukua designing ya matoleo yote ya Note series wakaleta hii Note 20 ultra, dimensions 168.4mm/urefu 77.2/upana 8.1/angle na uzito ni 208g
◾️ Encryption ni kitendo cha kubadili maneno au jumbe za kawaida kutoka kwenye mfumo unaosomeka kwenda kwenye mfumo ambao hausomeki, ambapo huzalisha kitu kinaitwa "cipher text"
Mfano kipindi cha utoto, watoto huongea kwa kuchanganya maneno ili watu wazima wasielewe wanaongea
nini, huu ni mfano wa encryption lakini endapo hiyo njia itatambulika kwa wengine basi hakuna tena usiri, wanaita "security through obscurity" yaani security huvunjika mara baada ya attacker kujua njia yako ya kujilinda
Katika encryption ili kuiondoa security through obscurity
Android 11 imetoka, ni jambo zuri kwa watumiaji wa Android, simu za mwanzo Kabisa zilizoanza kupokea Android 11 updates ni Google pixels, OnePlus, Oppo, Xiaomi na Nokia. Simu zingine zitapata Android updates week chache zijazo
Tuangalie features zilizomo [ uzi ]👇
◾️ MEDIA CONTROL
Media players zitakuwa zinaonyesha media controls zote ( prev, stop, next etc) moja kwa moja kutoka kwenye "toggle bar" ( Sehemu ya juu ya simu kwenye notification pannel ambapo itaonyesha wimbo, media husika na control zake)
◾️MEDIA OUTPUT ( Quickly select media output)
Sehemu ya notification pannel ambayo itakusaidia ku-sitch/badili ambapo unaweza kuchagua utumie speaker ya simu au Bluetooth device au device yoyote ambayo iko connected na simu yako kwa haraka zaidi.
Alizaliwa South Africa akiwa na miaka 17 alihamia Canada na baadae America, ni mfanyabiashara na mwanzilishi wa makampumi makubwa kama SpaceX, PayPal, Tesla Motors
Leo nimekuletea kila kitu kuhusu Elon Musk
✴️ Historia yake na familia yake
✴️ Biashara zake
Uzi
ELON MUSK NI NANI
Ni mzaliwa wa South Africa lakini sasa ana uraia wa Marekani na Canada, ni mfanyabiashara na mwanzilishi wa makampumi ya PayPal, SpaceX na Tesla Motors, alipata pesa akiwa na umri mdogo (20's) baada ya kuuza kampuni yake ya kwanza (Zip2) kwa Compaq computers
MAISHA YAKE YA UTOTONI
Elon Musk alizaliwa June 28, 1971 huko Pretoria-South Africa, Musk alizaliwa na tatizo la kusikia ila madaktari waliweza kumtibu akiwa mdogo.
Akiwa na miaka 10 wazazi wake walitengana na aliendelea kuishi na mama yake na ndugu zake wawili