TWITTER FOR VPN

◾️kumekuwa na sintofahamu baina yetu na kulazimika kutumia VPN ili kuweza kupata access ya twitter

◾️Hii inasababishwa na kitu kinaitwa OUTAGE kwa jina jingine ni DOWNTIME

◾️Twende na uzi uelewe inatokeaje na kwa nini unatumia VPN/TOR/PROXIES

Uzi mfupi
◾️Outage kwa jina jingine ni Downtime ambapo ni ukosefu wa huduma flani au network, Hii inakuwa imegawanyika kwa namna mbili

👉 Unplanned outage
👉 Planned outage

◾️Unplanned outage ni ukosefu wa huduma flani au network nzima kutokana na mambo kadhaa kama vile
✴️Kuingiliwa/kuzimwa kwa network/mawasiliano na attackers (wadukuzi) hii inaitwa DOS/DDOS [ Denial of services ] attack

✴️ Kufeli kwa Hardware au Software

✴️ Kuharibika kwa vifaa flani vinavyotoa huduma ya internet

◾️Planned outage ni ukosefu wa huduma au network
ambao upo katika dhamira ya mtoa huduma au network na mara nyingi hufanyika kukiwa na Shughuli kama vile upgrading au updating software au hardware au Mabadiliko ya mfumo kwa ujumla

◾️Endapo inapofanyika hivi kuna namna mbalimbali za kufanya ili uweze kupata internet access
ilihali labda mtandao flani umekuwa blocked

◾️Kutumia Proxies
◾️Kutumia browsers kama vile Tor
◾️Kutumia VPN

Kwanini ukitumia vitu hivyo unaweza kupata internet access ilihali imekuwa blocked ?

Kiuhalisia traffic inakuwa blocked kulingana na ip address [ kama kitambulisho
Cha kuingilia kwenye internet ], location na site husika inayokuwa blocked

Hivyo ili uweze kupata access kwenye site hiyo basi ni lazima upate kitu chenye kuweza kukuficha usionekane upo kwenye location na IP range iliyokuwa blocked na inakubadilishia IP address na location
na kisha kupitisha traffic zako kwenye server nyingine Kabisa ambayo itakuwezesha kupata access ya site iliyofungwa hapo mtaani kwako 😂

Hapa ndipo tunapata matumizi ya VPN, Proxies na Browsers kama Tor

Credit @TOTTechs @razaqdm01

Cc: @asatayo @JemsiMunisi @Mkuruzenzi

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with #TOTTechs 🇹🇿

#TOTTechs 🇹🇿 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @TOTTechs

24 Oct
iPhone 12 Pro Max VS Samsung Note 20 Ultra

◾️Hizi ni simu zinazotamba kwa sasa Duniani ikiwa ni matoleo mapya kwa Samsung na Apple

◾️Nakuletea ulinganifi wa hizi simu, hii ni kulingana na majarida mengi kama AndroidAuthority, CNet, GSMArena, Gadget360 n.k

Twende na uzi👇 Image
◾️Samsung Galaxy Note 20 Ultra ilitoka Aug 5 na iPhone 12 Pro Max ilitoka Oct 13 lakini hii bado ni Pre-order

◾️Kila kampuni inasifia simu yake kuwa ni bora zaidi Duniani kwa sasa kutokana na teknologia ya hali ya juu iliyotumika kwenye hizo simu

◾️Tuzichambue taratibu ImageImage
◾️DESIGN

👉 Simu zote zinamwonekano mzuri lakini kuna utofauti

◾️Samsung Galaxy Note 20 ultra ni simu yenye kuonekana vizuri sana, wamechukua designing ya matoleo yote ya Note series wakaleta hii Note 20 ultra, dimensions 168.4mm/urefu 77.2/upana 8.1/angle na uzito ni 208g Image
Read 18 tweets
19 Sep
ENCRYPTION

Najua unasikia sana neno "Encryption" lakini kuna mengi ya kujifunza ili uelewe zaidi kuhusu encryption

◾️Encryption ni nini na aina zake ni zipi ?

◾️Encryption salama na zisizo salama

◾️Matumizi ya Encryption

◾️Faida za kufanya Encryption

Cc: @Kimkayndo
◾️ Encryption ni kitendo cha kubadili maneno au jumbe za kawaida kutoka kwenye mfumo unaosomeka kwenda kwenye mfumo ambao hausomeki, ambapo huzalisha kitu kinaitwa "cipher text"

Mfano kipindi cha utoto, watoto huongea kwa kuchanganya maneno ili watu wazima wasielewe wanaongea
nini, huu ni mfano wa encryption lakini endapo hiyo njia itatambulika kwa wengine basi hakuna tena usiri, wanaita "security through obscurity" yaani security huvunjika mara baada ya attacker kujua njia yako ya kujilinda

Katika encryption ili kuiondoa security through obscurity
Read 25 tweets
15 Sep
ANDROID 11

Android 11 imetoka, ni jambo zuri kwa watumiaji wa Android, simu za mwanzo Kabisa zilizoanza kupokea Android 11 updates ni Google pixels, OnePlus, Oppo, Xiaomi na Nokia. Simu zingine zitapata Android updates week chache zijazo

Tuangalie features zilizomo [ uzi ]👇
◾️ MEDIA CONTROL

Media players zitakuwa zinaonyesha media controls zote ( prev, stop, next etc) moja kwa moja kutoka kwenye "toggle bar" ( Sehemu ya juu ya simu kwenye notification pannel ambapo itaonyesha wimbo, media husika na control zake)
◾️MEDIA OUTPUT ( Quickly select media output)

Sehemu ya notification pannel ambayo itakusaidia ku-sitch/badili ambapo unaweza kuchagua utumie speaker ya simu au Bluetooth device au device yoyote ambayo iko connected na simu yako kwa haraka zaidi.
Read 14 tweets
23 Aug
ELON MUSK

Alizaliwa South Africa akiwa na miaka 17 alihamia Canada na baadae America, ni mfanyabiashara na mwanzilishi wa makampumi makubwa kama SpaceX, PayPal, Tesla Motors

Leo nimekuletea kila kitu kuhusu Elon Musk

✴️ Historia yake na familia yake

✴️ Biashara zake

Uzi Image
ELON MUSK NI NANI

Ni mzaliwa wa South Africa lakini sasa ana uraia wa Marekani na Canada, ni mfanyabiashara na mwanzilishi wa makampumi ya PayPal, SpaceX na Tesla Motors, alipata pesa akiwa na umri mdogo (20's) baada ya kuuza kampuni yake ya kwanza (Zip2) kwa Compaq computers Image
MAISHA YAKE YA UTOTONI

Elon Musk alizaliwa June 28, 1971 huko Pretoria-South Africa, Musk alizaliwa na tatizo la kusikia ila madaktari waliweza kumtibu akiwa mdogo.

Akiwa na miaka 10 wazazi wake walitengana na aliendelea kuishi na mama yake na ndugu zake wawili Image
Read 25 tweets
28 Jun
JINSI YA KUIFANYA SIMU YAKO IWE NA NAFASI ( SPACE) YA KUTOSHA

Kwa watumiaji wa Android devices nimepata maswali mengi, simu zinajaa pasipo kuwa na vitu vingi kwenye simu

Leo tuangalie namna gani unaweza kuifanya simu yako iwe na nafasi ya kutosha

Twende na uzi
Wewe ni mtumiaji wa Android phone na umekuwa ukipata shida kwenye suala la storage, unaona kama una vitu vichache lakini storage imejaa

Basi jifunze vitu hivi ambavyo vimesaidia wengi katika kuifanya simu kuwa safi katika suala la storage
1: CLEAR CACHE

unapo-install application yoyote huwa zinatumia cache file ili kuweza kukupa urahisi wa kutumia app husika, lakini hili cache file haina umuhimu sana ukifuta vitu vilivyomo haiwezi kuleta madhara

Namna ya ku-clear cache

Kuna njia mbili za ku-clear cache
Read 15 tweets
10 Jun
Je umewahi kujiuliza haya maswali ?

✴️ Taarifa na vitu vyote kwenye mtandao huwa vinatunzwa wapi?

✴️ Serikali na makampuni binafsi yanatunza wapi taarifa zao?

Jibu: Taarifa na vitu vyote vya kimtandao duniani vinatunzwa sehemu inaitwa DATA CENTER

DATA CENTER NI NINI?

Uzi
DATA CENTER ni nini na inafanyaje kazi?

Data center ni sehemu maalumu ambapo vifaa vya computer na mawasiliano vimewekwa kwa ajili ya kukusanya, kutunza, kuchakata (processing) na kusambaza (distribute) taarifa zote za kimtandao Duniani
Data centers zinafanya kazi Mda wote (24/7/365) kuhakikisha haukosi taarifa au kitu chochote unachokihitaji mtandaoni.

Data Center inakuwa na SERVERS nyingi ambazo zimepangwa kwenye msitari pia computer zenye uwezo mkubwa (supercomputer)

Kazi ya SERVER ni
1. kutunza taarifa
Read 11 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!