INSHA: Siku ambayo sitawai isahau maishani mwangu.
Jogoo aliwika kabla ya machweo, ilikuwa ni jumatatu kwa hivyo nje kulikuwa na u-Monday.
Nika amka aste aste hadi jikoni ilimradi nipate kopo la uji, nika amkua wazazi wangu "Sijambo" wakanijibu "Jambo mno"
Nikanywa uji kwa mwendo wa kasi ndiposa nisichelewe kufika shuleni. Kulikuwa na baridi mufti, baridi imeenda shule, baridi bin barafu, baridi jingi hadi ukiwa Kampala "U ganda" 🤭
Nikiwa njiani naelekea shuleni nikaskia "Kuuuuu" na si KU ya Kenyatta University, la hasha.. ni "Kuuuuu" ya mlio.

Kuangalia nyuma nikaona gari zimelambana kama wapendanao mjini Paris, ghafla bin vu nikajipata kwenye hewa, kufumba na kufumbua macho nikaangukia meroni chumbwi
Dah! Kumbe nikizuba kuangalia ajali ya magari, jamaa wa dala dala aliamua kunijumuisha kwa idadi ya walio husika kwa ajali.
Katika ile hali ya kushtuka nikajikojolea na hapo ndio niliamka kutoa malazi nje maana ilikuwa ni ndoto 🥺
Hii ni siku ambayo sitawai isahau maishani mwangu 🤭🤭

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Billy The GOAT

Billy The GOAT Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @_CrazyNairobian

21 Jul
Una plan ku Surprise Dem alafu ni wewe unakuwa surprised. THREAD.
Nikiwa second year kuna dem wa msee tulikuwa tuna share na yeye hostel alidai nimuangalilie results zake kwa notice board, wote walikuwa wamemaliza campo so ni results na graduation walikuwa wanangoja.
Alafu most relationships after campo hu fall apart juu ya long distance na chances za ku meet huwa minimal, so huyo dem hakuwa sure kama relationship ina exist coz tangu wamalize shule hawajawai onana.
Read 25 tweets
17 Jun
Unadhani umepata dem ako na Class kumbe umepata dem bado ako Class. THREAD.
Walisema the best way to tell a story ni kuanzia Introduction, work your way to reproduction and make it pregnant enough ndio iki form a Body uweze ku deliver... Let's begin.
Arif alikuwa wale raiya wali join campo juu ya co curriculum activities, hakuwa bookworm alikuwa footballer so mostly ungempata aki ball siku mzima kama mdhamini akingoja jioni aende ku train ama kucheza friendlies.
Read 29 tweets
28 Apr
Una convert kuwa muislamu juu ya dem alafu mnakosana before umalize madrasa. THREAD.
Arif alikuwa pedi wa makucha, kazi ilikuwa kuunda madem makucha ndio wakae poa wakienda date wanakuwa na potential ya kuwa nailed usiku kucha.
So siku moja kuna esteemed customer wake alileta beshte yake amuonyeshe mahali yeye hufanyiwa pedicure ndio akibambika akuwe anakuja hapo.
Read 25 tweets
27 Apr
The best investment on Earth is the Earth itself, that's why investing in land is the best decision you can ever make for you and your future generation.
A place you could build your home, retire on and not feel like you gambled with your savings.

#20YearsWithOptiven
That's why I commend Optiven coz they've been helping people fulfill their dreams for 20 years.
They've been at the forefront of social economic transformation and allocating their clients with land investment.

#20YearsWithOptiven
The good thing about Optiven is that they have experts who walk you through the whole process of land investment or partnering with them.
They make you as the client feel comfortable with the decisions you're about to make.

#20yearswithoptiven
Read 7 tweets
21 Feb
Unadhani ameku feature kwa relationship kumbe ameku ficha kwa relationship. THREAD.
Arif alimaliza shule aka discover meaning ya long distance relationship after kuwa separated na his campus sweetheart... Dem naye alibahatika kupata job immediately after campus.
Dem alikuwa anafanya kwa chemist, so communication ilikuwa tricks coz walikuwa wanaongea mchana akiwa job but usiku hakuwa na network... Arif aka asume maybe kwakina dem ni mashinani sana mahali unawacha network nje ya mlango kama slippers.
Read 28 tweets
20 Oct 20
Heri kufanya kazi kuliko mfanya kazi. THREAD
Arif na bibi yake walikuwa newly weds, so damu zao zilikuwa bado moto, walikuwa wamekulana, wameshibana hadi wameanza kufanana. Alafu bibi alikuwa loyal kama vyombo chafu, hata uende wapi unapata zimekungoja.
A few years later wakafuatanisha watoto wawili kama Saturday na Sunday na bado bibi alikuwa na mimba ingine... Ilikuwa New year, new pregnancy. Gynecologist alikuwa amezoeya kuona bibi hadi alikuwa anamuita customer.
Read 20 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(