Unadhani ameku feature kwa relationship kumbe ameku ficha kwa relationship. THREAD.
Arif alimaliza shule aka discover meaning ya long distance relationship after kuwa separated na his campus sweetheart... Dem naye alibahatika kupata job immediately after campus.
Dem alikuwa anafanya kwa chemist, so communication ilikuwa tricks coz walikuwa wanaongea mchana akiwa job but usiku hakuwa na network... Arif aka asume maybe kwakina dem ni mashinani sana mahali unawacha network nje ya mlango kama slippers.
Umewai kosa kazi ukaamua kuwa self employed, yaani kazi unaweza fanya ni kazi ya kutafta kazi na hand jobs... Hiyo sasa ilikuwa kazi ya arif. Alikosa kazi akaamua ku invite dem ndio akuwe na Company... Get it! 👀😁
Si wakapanga date kama calender, walikuwa wamekaa for long bila kuonana since amalize campo, so akatuma fare juu Wahenga walisema kutuma fare ndio nusu ya kuonana and true to her words, dem akakuja kumuona.
Kama neuro surgeon wa KNH arif aka make sure dem ame change mind coz dry spell ilikuwa imemrarua kama mashamba za Kitui...dem akamsho ni sawa ataenda na yeye lakini kama msee ako na insomnia, hatalala 🙄
Wahenga wa Lake Side walinena samaki mkunje angali mBitchy, Arif akajua sio fish pekee huvuliwa... Nguo pia huvuliwa behind closed doors.
So arif akaitisha pikipiki haraka design ya let's nduthis... Ilikuwa threesome kwa nduthi, yaani msee wa nduthi mbele, dem katikati amekuwa sandwiched, alafu arif nyuma ya nduthi kama mud guard.
Bedsitter ilikuwa ile yenye iko partitioned na shuka, ile yenye ukiamka asubuhi una emerge nyuma ya curtains ni kama uko drama festivals.
Bedsitter so small ukikata kitungu mgeni anakusaidia kulia. So small unaweza dhani umeingia choo iko na kitanda... So small ukifunga jicho moja bado unaona mali yako yote bila kupendua kichwa 360 degrees.
Alikuwa anaishi nyumba za aluminum foil, yaani mabati... Zile ukitaka kulala una count mitaro za mabati hadi ushikwe na usingizi. Mchana nyumba ni oven, usiku ni fridge.
Bila kupoteza wakati wakaamua kupiga shugli, arif haikuwa Maasai lakini akaonyesha dem nyuma ya shuka yeye hutembeza rungu, yeye si gynecologist lakini kwa bedsitter yeye hu spread miguu.
Yeye si Chinese lakini favorite delicacy yake ni kitty ikikuja kwa cunnalingus, yeye hukula hiyu kitu sana nickname yake ya bedroom ni Mwenye kitty... Get it! No? Tuendele na hekaya.
By the time wanamaliza giza ilikuwa imetandika dunia na blanketi, ilikuwa ile masaa watu unaweza kutana nao nje ni wezi, polisi, wachawi, watchman ama malaya... So ukipatikana nje na wewe si polisi most definitely kwa OB watakuchagulia profile una fit kwa hizo nimetaja.
Dem alikuwa na wasiwasi so arif akamuuliza kama ataenda na hiyo giza. Dem aka sita sita lakini after arif kumuingiza box for the second time ikabidi amelala usingizi wa porno... Ile yenye unalala, unaamshwa, mnapiga mechi, unaendelea na usingizi.
Arif alikuwa na high hopes na huyu dem so akamuuliza kama after graduation wanaeza move in pamoja, dem akamsho ni tricky kidogo but arif akadhani ni uoga tu.
Si akamsho wacha wacheze chini juu ya hiyo topic, wataongea siku ya graduation coz cha muhimu ni uhai wa kufika hiyo siku.
So siku ya graduation arif akatokea ameng'ara suti anakaa penguin, akajua huko anatoka na digiri na bibi.. raiya alikuwa ame pull up hadi na personal photographer wa kupiga picha za graduation.
Jamaa alikuwa hadi ame brief wazazi atawa introduce kwa future wife... So kama makaa wazazi wakajua hiyo ndio ile siku wanakuwa introduced kwa jiko. Na si unajua maneno ni ka mto, ukishanena haiwezi rudi rivers.
Arif aka book hadi restaurant ya after party ndio wakitoka kuchukua degrees kama thermometers wapitie huko wakule minofu ya nyama wakiteremsha vinywaji juu ni siku kuu.
Kitu saa tano hapo watu walikuwa wamesha settle, then NZE ika pull up kwa compound, so all eyes were on the car dereva akijaribu kutafta parking space, finally jamaa akapata parking.
Kidogo kidogo dem aka emerge from the car, ilikuwa dem ya arif, kwa mkono alikuwa amebeba a bundle of joy, mtoto photocopy, wanafanana kama mtu mbele ya kioo, nyuma yake jamaa na utambi kama koroboi alikuwa anamfuata.
Hapo ndio arif aka feel ni kama kuna butterflies kwa tumbo, HCL ikachanganyika na nitric acid na citric acid... Hapo ndio ali discover Betrayal in the City sio set book pekee.
Yaani amekuwa aki date bibi ya wenyewe? Arif alikuwa amepigwa na bumbuwazi hadi akaanza kuona na mdomo like our kalenjin brothers 👀
Jamaa alikuwa hapo ana balance machos, akiangalia kushoto mahali dem yake amekaa na bwanake na mtoto anaskia kulia, he was left but not in the right mind 😭
Kwa relationship unadhani wewe ni Mejja character kumbe wewe ndio Maina character design wewe ndio Kageni kwa relationship ya wenyewe... Unapangishwa line kwa relationship kama Supermetro.
Una feature dem kwa relationship yako kumbe yeye amekuficha kwa relationship yake kama bangi... In short, ni wewe pekee uko single in a relationship juu yeye ako taken already.
Bado wazazi walikuwa wanangoja kuwa introduced kwa bibi yake mwenye ako na bwana. Kama hujui suspense ni nini basi wacha niku show, suspense ni ku tweet ukiwa kwa jam hapo Globe na dirisha iko wazi coz....

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Billy The GOAT

Billy The GOAT Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @_CrazyNairobian

20 Oct 20
Heri kufanya kazi kuliko mfanya kazi. THREAD
Arif na bibi yake walikuwa newly weds, so damu zao zilikuwa bado moto, walikuwa wamekulana, wameshibana hadi wameanza kufanana. Alafu bibi alikuwa loyal kama vyombo chafu, hata uende wapi unapata zimekungoja.
A few years later wakafuatanisha watoto wawili kama Saturday na Sunday na bado bibi alikuwa na mimba ingine... Ilikuwa New year, new pregnancy. Gynecologist alikuwa amezoeya kuona bibi hadi alikuwa anamuita customer.
Read 20 tweets
5 Sep 20
Ukimuona na sare ya shule usimfanye a Sare shule. THREAD.
Huwa wanasema in life lazima ukuwe na side hustle ukitaka ku survive fiti, especially Nairobi. So kuna raiya alikuwa mwalimu na side hustle yake ilikuwa ku offer tuition coz bills have to be paid.
In life hufai kula ndimu juu maisha ni ngumu, chukua hiyo ndimu na u make lemonade. So shule zikifunga alikuwa anageuza kwake kuwa tuition block ama anaenda kwa client kufunzia huko depending on vile wanasikizana.
Read 29 tweets
6 Aug 20
Dem anakuliwa na kila mtu campus kama HELB loan. THREAD.
Campus relationship mingi huanzia kwa dancefloor siku ya dunda, mnajuania hapo akikutingishia kinyambis alafu una waste your best campus years trying to hope that she’ll be faithfull only to you na akuwe anakosa kuenda dunda kama hauko, lol.
So kuna day kumekuwa na dunda, ilikuwa fresher’s night so raiya walikuwa wamegeuza dancefloor kuwa hunting ground ya fluid exchange… transfer market ya new fresher girlfriends ilikuwa officially on na second years na thirds year walikuwa wanafanya signing.
Read 25 tweets
20 Jul 20
Nimewai hepa home kuenda bash siko invited alafu kufika huko nikafukuzwa saa sita usiku, hapo ndio nilijua meaning ya mwenda tezi na Omo marejeo ni nyumbani… THREAD.
Peer pressure huwa mbaya, nikiwa bado high school and living under the old man’s roof kuna day arif alinisho kuna bash ya cousin yake huko Mountain View, na sisi tulikuwa tuna stay Ndumbu-ini.
Way back then Mountain View ndio ilikuwa Rhunda ya wasee wa Waiyaki Way, so nilikuwa excited nikajua hii bash lazima nifike juu nilijua mahali kuna bash kuna madem, obviously singekata.
Read 28 tweets
6 Jul 20
Ukipatwa kwakina dem ni heri utoke mbio uwache akijitetea kuliko ujifiche, mimi nililala chini ya bed kwakina dem just so that asikuwe in trouble na bado tuliwachana. 🤡
Bado mi hukumbuka hii kitu inani traumatize, juu hiyo siku nilienda huko na aim ya kujua kwao just incase in future tutakuja Ruracio nijue ni wapi tunaleta ng'ombe za mahari.
Alafu nakumbuka dem alikuwa amenisho mamake ni mwalimu so obviously hatakuwa around hadi majioni ndio atoke shule, nikajua the coast is clear... Nikajua pakaa akitoka Sewer rat hutawala 🤡🤡
Read 28 tweets
5 Jul 20
Mwanaume unashindana na giza kukesha ukichunga Mali ya muindi usiku ukitaftia bibi mkate na Blueband, kumbe bibi amegeuza nyumba lodging usiku.
Kuna jamaa flani alikuwa soja, kazi ni ku man gate ya muindi usiku... Ana make sure introducers, crooks na unwanted family and friends wanabaki huko nje while the boss is having his beauty sleep.
Jamaa alikuwa a newly wed couple, ameoa bibi akamleta mjini kuwa house wife yeye aki struggle ku make ends meet... So in short hakuwa ame enjoy conjugal rights zake vizuri juu pesa lazima utafutwe, but life ni ku struggle.
Read 28 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!