Una plan ku Surprise Dem alafu ni wewe unakuwa surprised. THREAD.
Nikiwa second year kuna dem wa msee tulikuwa tuna share na yeye hostel alidai nimuangalilie results zake kwa notice board, wote walikuwa wamemaliza campo so ni results na graduation walikuwa wanangoja.
Alafu most relationships after campo hu fall apart juu ya long distance na chances za ku meet huwa minimal, so huyo dem hakuwa sure kama relationship ina exist coz tangu wamalize shule hawajawai onana.
Kucheki results jamaa alikuwa amepita but Dem alikuwa na supplementary ya paper mbili meaning ni lazima arudi ku retake hizo paper mbili kama anadai ku graduate alafu akuwe free kuwa unemployed kama graduates wengine.
So throughout hiyo semester tulikuwa tuna chat, tukaenda from "Hi" na "Goodnight" texts to late night phonecalls, from kutumiana memes to kutumiana selfies na hizo video madem hukutumia waki lip sync kwa ngoma saying nothing.
Nikajua nimeenda from friend zone to exclusive zone, so nilikuwa najua nime inherit dem alikuwa anakuliwa na my former roommate by default... Iko kwa campus constitution 🙄
So throughout alikuwa anapanga vile atakuja ku retake KNEC exams zake mbili, nikamsho asijali kuhusu accomodations, nilikuwa nime organize na first year tulikuwa na yeye room ataniwachia matress moja alafu nita clear on his behalf.
Deep down nilijua hiyo mattress nitaongeza kwa yangu ndio Santiago Bernabu Stadium ikuwe comfortable for the two days matches that will take place... Nika organize hadi meal card coz hawakuwa wame introduce Pay As You Eat back then.
Wahenga walisema hayawi hayawi mwishowe huwa, siku ikafika. First years na second years tulikuwa tushamaliza end of term exams so watu walikuwa wanabaki ni wenye wanafanya KNEC Exams... Yours truly nikabaki juu ya Raha ya kitandani ya dakika tatu.
Dem alikuwa ana plan kukuja a day to her Exams, so aka confirm na mimi kama nime organize mattress nikamsho kila kitu iko set... So before akuje kazi yangu ilikuwa kuamka, kung'ara na hakuna mahali naenda. I have nothing to do 😭
So siku ya dem kukuja nilikuwa excited, nilikuwa nimepiga hiyo cubicle yetu duster, nime spread bed zote, nikapiga shower finally alafu nikang'ara ndio nishinde nimekaa kwa bed nikiangalia simu kungoja dem aseme amefika.
Raiya nilikuwa nimeamua hadi kuwa romantic nimechemsha maji na heater niunde Kahawa ndio mgeni akitoka safari arudishie mwili pole kwanza before tuanze ku negotiate vitu zingine.
Punde si Punda nikaskia mtu amebisha mlango nikajua dem ameshafika, roho ilikuwa ina twerk kwa kifua juu ya anticipation. Demm alikuwa ame Change, chakula ya nyumbani ilikuwa imeongeza nyama in all the right places.
Msichanana alikuwa na nyondo firm and focused akiku hug unabaki na nipple prints kwa tshirt. Anawacha kukuhug lakini juu ya nipple prints unafeel ni kama bado anaku hug.
Nyuma amejaza mafi kama exhauster, alafu akitembea kinyambizi ina twerk yenyewe bila kulazimishwa, zinaenda up and down kama Lift on a busy storey building.
Jamaa nilikuwa ready to destroy her insides, njwang'a ilikuwa imesimama kama aspiring politician wa central siku ya "erection" 😭 nilikuwa tayari kumuonyesha Mbuzi ni kuu na mimi ni Bedroom Mburi.
After hug dem akapita ndani, nikienda kufunga mlango ndio tukuwe na some alone time nione kama nitaomba conjugal rights... Pandikizi la mtu ika block mlango, kuenda ku inspect napata ni chali ya huyo dem mwenye alimaliza shule.
Njwang'a ilikuwa imedunga hema ndani ya boxer lakini vile niliona dem amekuja na chali yake ika deflate kama balloon iko punctured ikarudi default settings... Ilikuwa heartbreak galore 😭
Jamaa akanigotea akanishukuru kwa kutaftia dem yake place ya kulala alafu akasema hawajaonana for a while ndio maana aliamua akuje apewe conjugal rights one last time... Nilikuwa hapo na balance tears like an emotional wreck.
Nikikumbuka zile chats tulikuwa tunatumiana na huyo dem with some hints ya vile hii night itakuwa special nasimama on the right side of the room juu naskia kulia... Jamaa akaji make at home nikajua I'll have to partition my bed coz it will be a rough night 😭
Usiku kufika jamaa hata hawakungoja five minutes after nimezima taa, nilikuwa na experience 8D audio ya dem akipigwa miti, ilikuwa threesome but hao wakiwa kwa meat and greet mimi nilikuwa na experience vibes and inshallah 😭
Hakuna viagra strong kama kukuwa ear witness wa watu wawili waki exchange genital fluids... Njwang'a ilisimama wima kama pass out parade ya karutu Kiganjo.
Alafu jamaa alikuwa show off, ali last 40 minutes kama episode moja ya series. Nilikuwa najipendua kwa kitanda pole pole kama Earth kwa axis nisi interrupt conjugal juu ya wivu.
Mimi nilikuwa sleeping partner, huyo Arif active partner alafu dem ni mQuasi partner 🙄
Host mwenye nilitarajia kubatiza njwang'a ndani ya sehemu telezi nikajipata niko kwa threesome lakini mimi ndio mpenzi msikilizaji 😭  nageuzwa lodging attendant kwa hostel yangu.
Unakuwa na best interest za dem at heart, yeye ana manifest reuniting with her man... Unapata ume invest emotionally in the wrong relationship.

Hiyo siku nilijifunza Msamaria Mwema wachia bus za Shamakhokho, kitu nafaa kufanya ni kuambia serikali inipee kazi.

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Billy The GOAT

Billy The GOAT Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @_CrazyNairobian

20 Jul
INSHA: Siku ambayo sitawai isahau maishani mwangu.
Jogoo aliwika kabla ya machweo, ilikuwa ni jumatatu kwa hivyo nje kulikuwa na u-Monday.
Nika amka aste aste hadi jikoni ilimradi nipate kopo la uji, nika amkua wazazi wangu "Sijambo" wakanijibu "Jambo mno"
Nikanywa uji kwa mwendo wa kasi ndiposa nisichelewe kufika shuleni. Kulikuwa na baridi mufti, baridi imeenda shule, baridi bin barafu, baridi jingi hadi ukiwa Kampala "U ganda" 🤭
Read 6 tweets
17 Jun
Unadhani umepata dem ako na Class kumbe umepata dem bado ako Class. THREAD.
Walisema the best way to tell a story ni kuanzia Introduction, work your way to reproduction and make it pregnant enough ndio iki form a Body uweze ku deliver... Let's begin.
Arif alikuwa wale raiya wali join campo juu ya co curriculum activities, hakuwa bookworm alikuwa footballer so mostly ungempata aki ball siku mzima kama mdhamini akingoja jioni aende ku train ama kucheza friendlies.
Read 29 tweets
28 Apr
Una convert kuwa muislamu juu ya dem alafu mnakosana before umalize madrasa. THREAD.
Arif alikuwa pedi wa makucha, kazi ilikuwa kuunda madem makucha ndio wakae poa wakienda date wanakuwa na potential ya kuwa nailed usiku kucha.
So siku moja kuna esteemed customer wake alileta beshte yake amuonyeshe mahali yeye hufanyiwa pedicure ndio akibambika akuwe anakuja hapo.
Read 25 tweets
27 Apr
The best investment on Earth is the Earth itself, that's why investing in land is the best decision you can ever make for you and your future generation.
A place you could build your home, retire on and not feel like you gambled with your savings.

#20YearsWithOptiven
That's why I commend Optiven coz they've been helping people fulfill their dreams for 20 years.
They've been at the forefront of social economic transformation and allocating their clients with land investment.

#20YearsWithOptiven
The good thing about Optiven is that they have experts who walk you through the whole process of land investment or partnering with them.
They make you as the client feel comfortable with the decisions you're about to make.

#20yearswithoptiven
Read 7 tweets
21 Feb
Unadhani ameku feature kwa relationship kumbe ameku ficha kwa relationship. THREAD.
Arif alimaliza shule aka discover meaning ya long distance relationship after kuwa separated na his campus sweetheart... Dem naye alibahatika kupata job immediately after campus.
Dem alikuwa anafanya kwa chemist, so communication ilikuwa tricks coz walikuwa wanaongea mchana akiwa job but usiku hakuwa na network... Arif aka asume maybe kwakina dem ni mashinani sana mahali unawacha network nje ya mlango kama slippers.
Read 28 tweets
20 Oct 20
Heri kufanya kazi kuliko mfanya kazi. THREAD
Arif na bibi yake walikuwa newly weds, so damu zao zilikuwa bado moto, walikuwa wamekulana, wameshibana hadi wameanza kufanana. Alafu bibi alikuwa loyal kama vyombo chafu, hata uende wapi unapata zimekungoja.
A few years later wakafuatanisha watoto wawili kama Saturday na Sunday na bado bibi alikuwa na mimba ingine... Ilikuwa New year, new pregnancy. Gynecologist alikuwa amezoeya kuona bibi hadi alikuwa anamuita customer.
Read 20 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(