Unayemuoa pichani anaitwa Shao Ling Li (30) aliomba Visa kwenye ubalozi wa Marekani huko China hadi kujulikana na ubalozi wa Marekani lakini alikataliwa kupewa Visa japo alijaribu kuomba mara nyingi
Akaandika barua zaidi 👇
ya 15 immigration ya Canada lakini barua zote hizo zikakataliwa.
Mwamba hakukata tamaa akaomba ajiunge na jeshi la majini huko China lakini hakukubaliwa.
Yeye pamoja na wengine 124 wakaomba kazi kwenye kampuni ya mambo ya teknolojia, watu 122 wakaajiriwa na 2 wakakataliwa
na yeye alikua miongoni mwa waliokataliwa.
Akaenda kuomba ajiunge kua Askari polisi huko huko China hapa walikua 21 na 20 wakakubaliwa 1 hakakataliwa, aliyekataliwa alikuwa ni yeye.
Mwamba hakukata tamaa, akarudi tena kwenye masuala ya Teknolojia ya E- Marketing ili aweze
kutengeneza tovuti kubwa kama Amazon, lakini alikua hana mtaji akaamua kuuza vitu vyote vya ndani na vingine anavyokuwa anavimiliki na kuchukua mkopo benki na kuanzisha kampuni yake.
Baada ya miaka kadhaa kampuni yake ilifeli kabisa na sasa hivi yupo jela kutokana na pesa anazodaiwa Benki.
#UZI
💨 MAKAMPUNI YA SIMU 10 BORA DUNIANI
💨 Hii ni kwa mujibu wa report ya Sep.2020
1: SAMSUNG
• Hii ni Kampuni ya vifaa Electronic iliyoko huko Korea Kusini.
Dunia inaelewa uwezo na ubora wa simu za Samsung. Mfano Note 20, S 20 Pro.
Hizi ni #FLowMaTaTa tiririka nazo 👇👇
2: HUAWEI
• Hii ni Kampuni iliyopo China inatengeneza vifaa vingi sana vya mawasiliano.
Lakini katika Kitengo Cha simu wamejitahidi sana japo wanapitia katika Kipindi kigumu lakini bado wamebaki namba 2.
Hawa jamaa wana tabia ya kukata kona kabla ya kona.
3: iPHONE
• Hii ni kampuni iliyopo pale Marekani, unapozungumzia simu zenye hadhi yake iPhone lazima akae nafasi ya 1.
Ila nafasi hiyo sio kigezo cha kumpa uhalali wa kuzizidi simu nyingine kwa ubora. Kushika nafasi hii inasababishwa na mtindo wake wa kuzalisha simu chache.