#UZI
💨 MAKAMPUNI YA SIMU 10 BORA DUNIANI
💨 Hii ni kwa mujibu wa report ya Sep.2020
1: SAMSUNG
• Hii ni Kampuni ya vifaa Electronic iliyoko huko Korea Kusini.
Dunia inaelewa uwezo na ubora wa simu za Samsung. Mfano Note 20, S 20 Pro.
Hizi ni #FLowMaTaTa tiririka nazo 👇👇
2: HUAWEI
• Hii ni Kampuni iliyopo China inatengeneza vifaa vingi sana vya mawasiliano.
Lakini katika Kitengo Cha simu wamejitahidi sana japo wanapitia katika Kipindi kigumu lakini bado wamebaki namba 2.
Hawa jamaa wana tabia ya kukata kona kabla ya kona.
3: iPHONE
• Hii ni kampuni iliyopo pale Marekani, unapozungumzia simu zenye hadhi yake iPhone lazima akae nafasi ya 1.
Ila nafasi hiyo sio kigezo cha kumpa uhalali wa kuzizidi simu nyingine kwa ubora. Kushika nafasi hii inasababishwa na mtindo wake wa kuzalisha simu chache.
4: XIAOMI
• Hii ni Kampuni nyingine iliyopo pale China, imeanzishwa 2018 tuh ila mziki wake sio wa kitoto.
Chukua iPhone changanya na Samsung utakachokopata ndicho kinaitwa Xiaomi. Wana simu MaTaTa sana kama Xiamo Mi 10 Max hizi kubwa kubwa Bei zake zimechangamka kidogo
CHAPATI ZA AFRICA MASHARIKI
Zinapatikana kwa @bellasroti Tupo karibu na Kituo cha Sayansi kabla haujafika stendi ya Makumbusho.
Karibu tukupatie Combo wewe pamoja na familia yako.
5: OPPO
• Hii ni Kampuni nyingine ya simu iliyopo pale China chini ya BBK ilianzishwa 2016.
Hawa Oppo wameingia kwenye soko la simu janja kwa muda sahihi.
6: VIVO
• Hii ni Kampuni nyingine iliyopo pale China chini ya BBK ilianzishwa 2011.
2015 waliingia top 10 mpaka leo wanazidi kufanya vizuri kwenye soko. Simu zao sio ghali sana.
7: LG
• Hii ni kampuni ya pili kutoka Korea Kusini inazidi kufanya vizuri kwenye soko report ya mwisho ilikuwa nafasi tisa.
LG ni kifupisho cha Life Good, wana matoleo MaTaTa kama LG W10 Alph, K414, KGK 502.
8: ONEPLUS
• Hii ni Kampuni nyingine iliyopo pale China, Hawa jamaa wana tabia za iPhone huwa wakitoa simu ni simu kweli.
9: LENOVO
• Hii ni Kampuni nyingine iliyopo pale China wameanza kuporomoka kwenye chart ya top 10.
Lakini bado wana nafasi ya kuendelea kuishi ndani ya top 10. Wana matoleo MaTaTa kama Lenovo Legion Pro hii simu ina matobo ya mawili ya ku charge.
10: NOKIA
• Hii ni kampuni pekee kutoka pale nchini Finland wanaenda kutufungia 10 Bora yetu kwa siku ya leo.
Hawa Nokia fanya biashara nyingi sana zinazohusiana na Teknolojia.
We Design & Develop Fluid Responsive Websites, Mobile Apps & Desktop Softwares. We do Branding and Digital Marketing. Technologies - Python, Java e.t.c
#UZI
💨 VITA VYA WADUKUZI WA ANONYMOUS DHIDI YA MAREKANI
✴ Walikua bench kwa miaka 3, kifo cha George Floyd cha warudisha kwa kishindo.
✴ Udukuzi wanaoufanya ni presha tupu.
✴ Wanasema sio Trump tuh hata Clinton na Obama wote ni ❌❌ #FLowMaTaTa is back Tiririka nazo 👇
Twende chap chap
✴ Baada ya polisi kusababisha kifo cha George Floyd, Anonymous walihack database za serikali kwa ajili ya kurudisha password za mitandao yao ya kijamii.
✴ Walizifungua baada ya kujaribu password zote ila baadhi zilikubali.
✴ Password kama GuyFawaks,
Fwskfucks420, Maskgang1 lakini baadhi zilifanya kazi.
✴ Mwisho wa siku Anonymous wakafurahi kionline line sisi hatuwajui wala hao wenyewe hawajuani.
✴ Wakaanza kampeni ya kuhamasisha maandamano na hashtag ya #BlackLivesMatter Kwa mujibu wa TheHardtimes(UNKNOWN).