My Authors
Read all threads
1. Hadithi hadithi!
Hapo zamani za kale kulikuwa na Mfalme mmoja alikuwa katili na mbabe na aliogopwa sana na wananchi wake. Siku moja akifika fundi moja wa nguo aliyejitangaza kuwa mahiri sana. Mfalme akamwita amshonee nguo. #HadithiZaShangazi
2. Fundi alichukua vipimo na baada ya siku kadhaa akarudi akidai amebeba nguo ingawa hakuonekana kubeba chochote. Akamwambia Mfalme avue nguo na akaanza kumvalisha kitu kisichoonekana. Mfalme akauliza mbona sioni kitu. Fundi akasema “Huoni nguo nzuri hivi?” #HadithiZaShangazi
3. Mfalme mbabe akahofia kuonekana mshamba mbele ya fundi huyu mahiri akasema “Oh naona sasa! Nguo ya kipekee na maridadi hii” Akaita wapambe wake na kuanza kuzunguka uchi akiwaambia “Mnaona nguo mpya inavyonipendeza?” Wapambe kwa hofu wakamsifia #HadithiZaShangazi
4. Mfalme akajiamini akasema “Acha wananchi waone nilivyopendeza!” na akatoka uchi hadharani. Umati ulimwogopa mfalme wakamsifia hadi mtoto mmoja aliyebebwa na baba yake akauliza kwa sauti “Lakini Babaaa! Mbona mfalme yuko uchi?!” Ndipo watu wakaangua kicheko #HadithiZaShangazi
5. Mfalme alipogundua kuwa alilaghaiwa na fundi na kuangushwa na wapambe wake alipatwa na aibu kubwa na akakimbia kujificha. Na huo ndo ulikuwa mwisho wa utawala wa kibabe wa Mfalme huyo kwani hakuna aliyemheshimu na kumwogopa tena.
MWISHO
#HadithiZaShangazi
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Maria Sarungi Tsehai

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just three indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!