My Authors
Read all threads
Masikini Aliyehamisha mlima.

Siyo pesa tu inayohamisha milima bali hata wewe unaweza kuhamisha mlima kama ukiamua.
Jifunze kitu ktk uzi huu wa Kapuku aliyehamsha mlima na kuitwa "The Mountain Man"
Anaitwa Dashrath Manjhi ni mzaliwa wa kijiji cha Gehlaur nchini India. Kisa cha 👇🏾
yeye kuhamisha mlima kilizuka baada ya mkewe aliyekuwa anampelekea chakula Manjhi kuanguka mlimani na kufariki, walishindwa hata kumpeleka hospitali sababu kulikua ni mbali.
~Hali hii ilimuhuzunisha sana Manjhi akaona ipo haja ya kufanya kitu kwaajili ya jamii yake. Ndipo 👇🏾
akaamua kuchonga njia ktk mlima Gehlaur kwa "Nyundo na Patasi tu" ili kurahisisha mawasiliano kati ya kijiji chake na kijiji kingine na kituo cha afya pia endapo kutatokea tatizo kama lililompata mkewe.
~Alipoanza hiyo kazi wengi walimcheka maana mlima wenyewe ulikua wa mawe.👇🏾
~Baada ya miaka 22 Manjhi alifanikiwa kuchonga njia yenye urefu wa 110m Upana 9.1m na urefu kwenda chini 7.6m.
Njia hii ilirahisisha umbali wa kituo cha afya kutoka km 70 hadi km 1 tu. Pia ilirahisisha mawasiliano na vijiji vingine.
Wakati anaanza hiyo kazi wengi walimdhihaki👇🏾
lakini hakukata tamaa, baadae wachache walitambua juhudi zake na kuanza kumpa tafu za chakula na zana.
~Manjhi alifariki 17/8/2007 lakini mchango wake hautosahaulika kamwe.
~Watu watasahau maneno yako ila si matendo yako.
~Na wewe unaweza hamisha mlima ktk jamii yako kama ukitaka
~Muhimu kutokata tamaa wala kukubali kukatishwa tamaa na maneno ya watu
~Amini Kuwa unaweza
~Uvumilivu ni muhimu(Manjhi alitumia miaka 22 kuchonga barabara)
~Fanya kitu kwaajili ya wengi utakumbukwa na kuenziwa ziku zote.
~Mtumaini Mungu ktk kila unalofanya.
#ElimikaWikiendi
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with 𝑩𝒂𝒃𝒂 𝑾𝒂 𝑽𝒊𝒋𝒂𝒏𝒂 🇹🇿|🇮🇱

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just three indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!