Kama Kila Mtu Ananunua—Sasa Kwanini Wewe Hauuzi?...
.
...Kama bado unahangaika kuuza bidhaa/huduma yako—basi Kuna uwezekano mkubwa sana hizi ndizo Sababu zinazokukosesha mauzo kila siku...
.
[UZI MFUPI]...👇🏽
Kama bidhaa/huduma yako haiuziki—basi jua kabisa tatizo halipo kwenye bidhaa yako —bali Tatizo lipo Kwako mwenyewe
.
...kwasababu kipengele muhimu Zaidi kwenye mfumo mzima wa kuuza ni—Muuzaji mwenyewe

Na Sababu zinagharimu mauzo yako kila siku ni hizi hapa👇🏽
1). Unauza bidhaa/huduma yako kwa wateja wako—badala ya kuwasaidia kununua
.
Hakuna mtu anaenunua bidhaa—watu hununua utatuzi wa matatizo yao
.
...pia hakuna mtu anaependa kuuziwa ila kila mtu anapenda Kununua
.
Kwahiyo acha kuuza—anza kuwasaidia kununua👇🏽
2). Unauza kama—Muuzaji badala ya Kuuza kama—Daktari
.
Yaani unaanza kuongea kuhusu Kile unachokiuza kabla ya Kusikia chochote kutoka kwa mteja wako
.
Unajisikiaje umeenda hospitali halafu Dakitari akakupa Dawa Bila ya kukuuliza chochote?...
.
Hivyo ndivyo.👇🏽
Anavyojisikia baada ya Kuongea kuhusu Bidhaa yako kabla ya Kusikia chochote kuhusu yeye
.
3). Unawaambia kila kitu unachokijua kuhusu bidhaa yako—badala ya kile wanachotaka kukisikia wao
.
Unapouza Kumbuka kwamba hakuna mtu anaejali wewe unajua kiasi gani👇🏽
Kuhusu bidhaa yako—mpaka Wajue kwanza Unajali kiasi gani kuhusu wao
.
4). Unaongea zaidi Wakati wa kuuza badala ya kuuliza maswali zaidi
.
...kuuza sio Kuongea sana bali ni kuuliza maswali Zaidi
.
Ongea kwa 30% kisha uliza na Kusikiliza kwa 70% kwa kufanya👇🏽
Hivyo mteja atakwambia mwenyewe anahitaji Kununua Kitu gani
.
Kwa kifupi atajiuzia Bidhaa yako mwenyewe
.
5). Wauzie wao bora zaidi na sio bidhaa yako
.
...watu hujinunua wao bora zaidi baada ya kumiliki bidhaa/huduma yako (better version of themselves)
.
👇🏽
6). Huwaoneshi kama umewaelewa pindi unapouza bidhaa/huduma yako
.
...Kumbuka kwamba wateja hawanunui kwasababu wameielewa bidhaa/huduma yako—wananunua kwasababu wamehisi wameeleweka kwa muuzaji
.
So wanakununua wewe sio Bidhaa yako—people buy people
.
👇🏽
7). Hujajiuza kwanza kwenye kila unachokiuza wewe
.
Mauzo ya kwanza unayotakiwa Kuyafanya ni wewe kujiuza kwenye Kile unachokiuza—yaani nunua kwanza Kile unachokiuza na Ukitumie
.
...kwasababu kuuza ni kitendo cha kusafirisha hisia za bidhaa yako Kwenda 👇🏽
Kwa mteja wako—na huwezi kujua hisia ya kitu kama hujakimiliki na kukitumia
.
Na Kama huwezi kujiuzia Bidhaa yako mwenyewe—utawezaje kumuuzia mtu mwingine?...
.
Tumia unachokiuza na wateja watakuamini na Kununua
.
👇🏽👇🏽
8). Huwaambii ni Jinsi gani bidhaa yako itawatoa kwenye maumivu
.
Wateja hununua zaidi vitu ili kutoka kwenye—Maumivu Kuliko kuingia Kwenye raha
.
Hakuna kitu kinachouza zaidi ya—Maumivu na Hofu (Pain & Fear)
.
9). Unapouza—FOCUS yako ipo kwenye Pesa..👇🏽
Badala ya kugundua tatizo la mteja
.
..Jua Kwamba kitu muhimu Zaidi kwa mteja wako pindi unapouza ni Mteja Mwenyewe
.
Focus ya mteja ni yeye na tatizo lake —Focus yako Ni Pesa yake sio tatizo lake kwahiyo unatengeneza tatizo tena badala ya Solution
.
👇🏽
Unatakiwa umfanye mteja wako ajue kwamba mna adui mmoja yaani tatizo lake na si vinginevyo
.
10). Hujui tofauti kati kufanya—Selling na Kufanya—Closing
.
Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa pindi unapouza na huwa haviendi Pamoja hata siku moja..👇🏽
Ukianza kufanya—Selling Unatakiwa uache kufanya—Closing na ukianza kufanya—Closing Unatakiwa uache kabisa kufanya—Selling
.
Ukifanya Vyote kwa Wakati mmoja unakosa Vyote yaani kwa kifupi hakuna mauzo utakayofanya na hili ni—KOSA la wengi mno
.
👇🏽👇🏽
Leo nimekupa tu ohondo kidogo kuhusu Ujuzi unaoitwa—Closing Skills
.
Je umependa madini?...Basi Kama Jibu lako ni—NDIO, Usiache kuyapa—RETWEET kwasababu kuna mwingine pia angetamani ajifunze kama wewe
.
P. S. Jifunze —Closing Skills daima utaibuka—Shujaa!

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with AmosiNyanda

AmosiNyanda Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @NyandaAmosi

25 Apr
SIRI 11 Nilizojifunza Kutoka Kwenye Kitabu Cha—“Sell Like Crazy” By Sabri-Suby—Ambazo Zitakunufaisha Pia Katika Biashara yako...
.
...sell like Crazy ni miongoni mwa vitabu maarufu sana kwa sasa katika Soko la Mtandaoni yaani—Digital Marketing
.
[SUMMARY]👇🏽 Image
Kitabu kina madini mengi sana ila nitaandika Kwa ufupi sana yale ya muhimu tu...
.
Hizi ndizo—SIRI nilizoziona zina umuhimu wa ku-share na watu wangu wa Nguvu Leo....
.
1). Ni 4% ya kazi za muhimu Zaidi zinaingiza hela katika biashara yako na 96% 👇🏽
Ya kazi katika biashara yako aidha zinakupotezea Muda, Pesa au zinaingiza hela kidogo sana katika biashara yako...
.
Kazi yako kama mwenye biashara ni kuweka Nguvu Kubwa katika 4% na zile 96% zifanywe na watu wengine
.
Kinyuma na hapo utaingia katika 👇🏽
Read 18 tweets
11 Feb
Unahitaji Kujifunza COPYWRITING?... Basi Anzia Hapa....
.
Kama Umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kujifunza Ujuzi # 1 Mtandaoni kwa sasa yaani Copywriting Skills, basi Shuka na Uzi huu mpaka mwisho....
.
[UZI MFUPI TU, Tenga dkk Zako 5 Tu]...👇🏽
Vitu ni vingi ila hapa nitakupa vile ambavyo utaenda kuvitumia kwenye Matangazo yako moja kwa moja..
.
Copywriting maana yake ni uwezo wa kuuza chochote kwenye maandishi au kutumia maneno kuwasiliana na wateja wako ili wafanye kile unachotaka 👇🏽
Au wanasema “Closing in Print/ Salesmanship in Print”
.
Uwezo wa kugeuza maneno Kuwa Pesa nk
.
Natumia umepata picha nzima juu ya ujuzi huu...
.
Unapotaka Kuuza chochote kwenye maandishi hakikisha unazingatia Vitu Hivi ili uone matokeo mazuri...👇🏽👇🏽
Read 12 tweets
10 Feb
SIRI Ndogo Iliyomsaidia Muddy Wa Dodoma Kuuza Iphone 📱 10 Kila Siku Mtandaoni....
.
Hey, “Amosi Nyanda” Hapa Nimeandika Kitabu Kinachoelekeza Jinsi ya Kuuza Bidhaa zako kwa njia ya maandishi Mtandaoni...
.
...Na Hii Ndio Siri Iliyomsaidia Muddy...
.
[UZI]👇🏽
Nakumbuka ilikuwa ni mwezi wa kwanza mwishoni hivi kwenye tar 20...
.
Muddy alinicheki DM baada ya kusoma baadhi ya Uzi wangu
.
Na hiki ndicho kilichokuwa kinamyima usingizi Katika biashara yake...
.
“Kila alipokuwa anapost Matangazo ya Simu zake Online 👇🏽
Hasa hasa Instagram na Twitter alikuwa haambulii chochote zaidi ya Comments, Likes, na Retweet lakini hakuna Oda kabisa
.
Yaani kwa kifupi likes kibao ila hela hakuna...
.
Hali ile ilikuwa inampasua kichwa mno kwasababu ilifika Muda Mpaka akawa anakosa 👇🏽
Read 15 tweets
9 Feb
Jinsi Kijana Alieishia La Saba Anavyouza Sabuni Zake Mtaani Kama Njugu...
.
Kama Umekuwa ukitafuta Siri Mpya ya kuuza Moja kwa moja (Direct selling) bidhaa zako mtaani, basi Uzi huu ni zaidi ya zawadi kwako..
.
[UZI WA Dkk 4 TU]..👇🏽
Siku ya Jumamosi mida ya jioni hivi tulikuwa tumekaa kwenye kijiwe fulani Hivi na washkaji tunapiga story huku tunakunywa Kahawa Maeneo ya moshono Arusha..
.
Wakati tunaendelea kupiga story akaja jamaa mmoja na kibegi mgongoni huku ameshika sabuni 2 mkononi👇🏽
Kama samples...
.
Baada ya kutupa Hi 👋 akaanza kuprisent sabuni zake, yaani sabuni inafanya kazi gani na ina faida gani kwetu...
.
Wakati anaongea kuhusu sabuni zake nikiwaangalia washkaji pembeni yangu wote wanachezea siku zao..💪🏻
Read 13 tweets
10 Aug 20
🚫TAHADHARI : Kama Una Mpango Wa Kuuza Courses Au Ebooks Mtandaoni Usifanye Kosa Hili...
.
[UZI 👇🏽]
.
Kama Una Mpango wa Kuuza Knowledge, skills au Taarifa zozote Mtandaoni usipuuze uzi huu kwasababu nakwambia ukweli uliopo sokoni
.
Binafsi naamini kama 👇🏽
Kitu haukiishi basi haukijui (If you don’t live it, you don’t know it)
.
Kabla sijakwambia ni Kitu gani nataka nikupe story fupi kuhusu my own experience kwenye Hii Topic
.
Mwaka 2018 niliacha kazi na kuamua kufanya online business kama full time job 👇🏽
Kwasababu tayari nilishajenga ujuzi wa Copywriting na Closing skills
.
Kwahiyo nilikuwa na uwezo wa kuuza bidhaa/huduma yoyote online aidha ni ya kwangu binafsi au ya watu wengine (Affiliate & dropshipping) na nikatengeneza pesa on my own time
.
👇🏽
Read 25 tweets
4 Aug 20
Je Una Kampuni ya Utalii Chukua Hii...👇🏽
.
(UZI MFUPI 👇🏽)
.
Kabla ya Janga la Corona nakumbuka ilikuwa ni Mwezi wa 2 hivi kuna Jamaa anaitwa SAI, alinipigia simu akasema anahitaji kupata wageni kutoka nje lakini bado Hana ujuzi wa kutumia Mtandao
.
👇🏽👇🏽
Nikaweka appointment nae kisha nikakutana nae baada ya kumuuliza maswali kadhaa hasa hasa kuhusu soko lake akasema soko lake kubwa lipo “Canada, China, South Africa (SA), Australia na USA
.
Vile vile nikamuuliza mara nyingi huwa anatumia mbinu gani kupata👇🏽
Clients online? , akasema huwa anarun tu matangazo ya kawaida kwenye page zake kisha anaboost (na wengi wanafanya hivi)
.
Nikamuuliza huwa anaandika matangazo gani?, akasema Mara nyingi yenye picha za wanyama
.
Uzi ndo unaanza Hapa kwasababu wengi..👇🏽
Read 18 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!