SIRI 11 Nilizojifunza Kutoka Kwenye Kitabu Cha—“Sell Like Crazy” By Sabri-Suby—Ambazo Zitakunufaisha Pia Katika Biashara yako...
.
...sell like Crazy ni miongoni mwa vitabu maarufu sana kwa sasa katika Soko la Mtandaoni yaani—Digital Marketing
.
[SUMMARY]👇🏽
Kitabu kina madini mengi sana ila nitaandika Kwa ufupi sana yale ya muhimu tu...
.
Hizi ndizo—SIRI nilizoziona zina umuhimu wa ku-share na watu wangu wa Nguvu Leo....
.
1). Ni 4% ya kazi za muhimu Zaidi zinaingiza hela katika biashara yako na 96% 👇🏽
Ya kazi katika biashara yako aidha zinakupotezea Muda, Pesa au zinaingiza hela kidogo sana katika biashara yako...
.
Kazi yako kama mwenye biashara ni kuweka Nguvu Kubwa katika 4% na zile 96% zifanywe na watu wengine
.
Kinyuma na hapo utaingia katika 👇🏽
Mtego unaoitwa—Work in your business Badala ya —Work on your business
.
2). Upo katika biashara kuuza bidhaa/huduma yako—kwasababu Pesa hazipo kwenye bidhaa zipo kwenye uwezo wako wa kuuza hiyo Bidhaa —Jifunze kuuza
.
Kwahiyo jukumu lako Namba moja 👇🏽
Kama mwenye biashara ni—Kuuza
.
3). Ujuzi wa lazima kujifunza katika soko la sasa kama mwenye biashara ni—Uwezo wa Kuandika Matangazo na Ujumbe wa kukuuzia bidhaa yako mtandaoni—Copywriting Skills
.
... kwasababu wewe pekee ndiye unaewajua wateja wako👇🏽
Vizuri zaidi ya mtu mwingine yoyote
.
4). Hakuna tatizo la—Traffic katika biashara katika soko la sasa kwasababu una uwezo wa Kununua traffic kama unavyonunua nguo kariakoo
.
...kwasababu kuna paid Ads kuna traffic wa Tshs 5,000, 10K, 30K nk
.
Tatizo lipo👇🏽
Kwenye—CONVERSION yaani uwezo wa kugeuza hizo leads Kuwa wateja wanunuzi
.
Kwahiyo unahitaji kitu kinachoitwa—Conversion mechanism katika biashara yako
.
...Kwa kifupi—Automated Funnel Ndio Mwarobaini wa hili tatizo la Conversion 👇🏽
Kama unahitaji simple funnel mcheki mzee wa—Iteration Hapa @GillsaInt ana code kibao za funnel
.
5). Asilimia Kubwa ya Matangazo mtandaoni yanazongania 3% Tu ya wateja ambao wapo tayari Kununua Muda huo—Hot traffic na kuacha 97% ya soko zima—Kwahiyo fanya👇🏽
Kinyume chake—wewe Walengwa hao 97% ambao ni—warm traffic na Cold traffic kwa Kutengeneza—LIST
.
...aidha ni WhatsApp group, E-mail list au Telegram Group
.
Tumia formula Ngazi ya Uthamani—Value ladder au👇🏽
.
Attract—Educate—Nurture—Close (convert) 👇🏽
6). Tengeneza—Chambo inayoitwa—HVCO’s yaani High Value contents Offer ambayo utaitoa—FREE Kwa walengwa wako ili Kutengeneza List
.
...lengo ni kuwaonesha una nia ya kuwasaidia kwa kuwasaidia kweli ambapo...
.
—watakujua
.
—watakupenda
.
—watakuamini👇🏽
—watakuona Kama mtaalamu na kuhitaji Kununua bidhaa yako hata kabla hujawauzia chochote
.
7). Kazi ya Tangazo lako sio Kuuza Bidhaa/huduma yako, kazi ya Tangazo lako ni Kuuza—CLICKS Tu
.
...Yaani kazi ya Tangazo lako ni kuwafanya watu wabofye👇🏽
Anayeuza bidhaa/huduma ni Wewe Sio Tangazo lako
.
Kazi ya Tangazo ni kukuletea watu mpaka mlangoni ila anayeuza ni wewe
.
...na hapo ndipo utofauti wa sales na marketing unapojia Kwahiyo usichanganye vitu Hivi viwili—sales & Marketing 👇🏽
8). Pesa katika Matangazo yako zipo kwenye—OFFER yako
.
Kuna kitu kinaitwa—Godfather Offer kinasema kwamba....
.
Ukitaka kuuza zaidi online—Tengeneza Offer ambayo mteja atajiona mjinga endapo hatonunua Kile unachokiuza
.
...wape offer ambayo hawawezi👇🏽
Kuikataa inaitwa—Irresistible Offer
.
Make your offer so great that only a—Lunatic would refuse to buy—Claude Hopkins
.
9). Wateja mtandaoni hawafanani na sio kila mteja ni Sawa na mwingine Hii inaitwa—Traffic temperature
.
Kwahiyo kila wateja wana👇🏽
Tangazo Lao—kabla ya Kuandika Tangazo lako hakikisha unajua vyema unauza kwa kina Nani
.
10). Huwezi kuuza bidhaa/huduma yako moja Kwa moja kutoka kwenye Tangazo lako—kwasababu Watu hawapendi Matangazo wala kuuziwa
.
...kwahiyo ili kuuza lifanye 👇🏽
Tangazo lako lisionekane kama ni Tangazo bali ni—NEWS (Habari mpya)
.
Kwasababu lengo la mitandao sio kuuza vitu ni—KUSOCIALIZE!
.
11). Pesa Zipo Kwenye—LIST na ukitaka Kukuza biashara yako mtandaoni lazima uwe na kitu kinachoitwa—Automated leads👇🏽
Generation and Clients conversion System (mechanism)
.
Vipo vitu vingi ila kwa upande wangu Hivi ndivyo Nimeona Vina umuhimu wa kushare na nawewe Leo
.
...nawewe kama umesoma Hicho kitabu usisite kuongezea madini hapo kwenye comments 👇🏽
Lengo ni kujifunza wote
.
Na Kama umefaidika na madini ya Leo Usiache kuyapa—RETWEET kwasababu hujui yanaweza kuokoa biashara ya nani
.
Je Unataka—Summary ya kitabu gani siku nyingine kati ya Hivi?...
.
1). Dotcom secrets
.
2). Ca$hvertising
.
Nambie chini!
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Kama Kila Mtu Ananunua—Sasa Kwanini Wewe Hauuzi?...
.
...Kama bado unahangaika kuuza bidhaa/huduma yako—basi Kuna uwezekano mkubwa sana hizi ndizo Sababu zinazokukosesha mauzo kila siku...
.
[UZI MFUPI]...👇🏽
Kama bidhaa/huduma yako haiuziki—basi jua kabisa tatizo halipo kwenye bidhaa yako —bali Tatizo lipo Kwako mwenyewe
.
...kwasababu kipengele muhimu Zaidi kwenye mfumo mzima wa kuuza ni—Muuzaji mwenyewe
Na Sababu zinagharimu mauzo yako kila siku ni hizi hapa👇🏽
1). Unauza bidhaa/huduma yako kwa wateja wako—badala ya kuwasaidia kununua
.
Hakuna mtu anaenunua bidhaa—watu hununua utatuzi wa matatizo yao
.
...pia hakuna mtu anaependa kuuziwa ila kila mtu anapenda Kununua
.
Kwahiyo acha kuuza—anza kuwasaidia kununua👇🏽
Unahitaji Kujifunza COPYWRITING?... Basi Anzia Hapa....
.
Kama Umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kujifunza Ujuzi # 1 Mtandaoni kwa sasa yaani Copywriting Skills, basi Shuka na Uzi huu mpaka mwisho....
.
[UZI MFUPI TU, Tenga dkk Zako 5 Tu]...👇🏽
Vitu ni vingi ila hapa nitakupa vile ambavyo utaenda kuvitumia kwenye Matangazo yako moja kwa moja..
.
Copywriting maana yake ni uwezo wa kuuza chochote kwenye maandishi au kutumia maneno kuwasiliana na wateja wako ili wafanye kile unachotaka 👇🏽
Au wanasema “Closing in Print/ Salesmanship in Print”
.
Uwezo wa kugeuza maneno Kuwa Pesa nk
.
Natumia umepata picha nzima juu ya ujuzi huu...
.
Unapotaka Kuuza chochote kwenye maandishi hakikisha unazingatia Vitu Hivi ili uone matokeo mazuri...👇🏽👇🏽
SIRI Ndogo Iliyomsaidia Muddy Wa Dodoma Kuuza Iphone 📱 10 Kila Siku Mtandaoni....
.
Hey, “Amosi Nyanda” Hapa Nimeandika Kitabu Kinachoelekeza Jinsi ya Kuuza Bidhaa zako kwa njia ya maandishi Mtandaoni...
.
...Na Hii Ndio Siri Iliyomsaidia Muddy...
.
[UZI]👇🏽
Nakumbuka ilikuwa ni mwezi wa kwanza mwishoni hivi kwenye tar 20...
.
Muddy alinicheki DM baada ya kusoma baadhi ya Uzi wangu
.
Na hiki ndicho kilichokuwa kinamyima usingizi Katika biashara yake...
.
“Kila alipokuwa anapost Matangazo ya Simu zake Online 👇🏽
Hasa hasa Instagram na Twitter alikuwa haambulii chochote zaidi ya Comments, Likes, na Retweet lakini hakuna Oda kabisa
.
Yaani kwa kifupi likes kibao ila hela hakuna...
.
Hali ile ilikuwa inampasua kichwa mno kwasababu ilifika Muda Mpaka akawa anakosa 👇🏽
Jinsi Kijana Alieishia La Saba Anavyouza Sabuni Zake Mtaani Kama Njugu...
.
Kama Umekuwa ukitafuta Siri Mpya ya kuuza Moja kwa moja (Direct selling) bidhaa zako mtaani, basi Uzi huu ni zaidi ya zawadi kwako..
.
[UZI WA Dkk 4 TU]..👇🏽
Siku ya Jumamosi mida ya jioni hivi tulikuwa tumekaa kwenye kijiwe fulani Hivi na washkaji tunapiga story huku tunakunywa Kahawa Maeneo ya moshono Arusha..
.
Wakati tunaendelea kupiga story akaja jamaa mmoja na kibegi mgongoni huku ameshika sabuni 2 mkononi👇🏽
Kama samples...
.
Baada ya kutupa Hi 👋 akaanza kuprisent sabuni zake, yaani sabuni inafanya kazi gani na ina faida gani kwetu...
.
Wakati anaongea kuhusu sabuni zake nikiwaangalia washkaji pembeni yangu wote wanachezea siku zao..💪🏻
🚫TAHADHARI : Kama Una Mpango Wa Kuuza Courses Au Ebooks Mtandaoni Usifanye Kosa Hili...
.
[UZI 👇🏽]
.
Kama Una Mpango wa Kuuza Knowledge, skills au Taarifa zozote Mtandaoni usipuuze uzi huu kwasababu nakwambia ukweli uliopo sokoni
.
Binafsi naamini kama 👇🏽
Kitu haukiishi basi haukijui (If you don’t live it, you don’t know it)
.
Kabla sijakwambia ni Kitu gani nataka nikupe story fupi kuhusu my own experience kwenye Hii Topic
.
Mwaka 2018 niliacha kazi na kuamua kufanya online business kama full time job 👇🏽
Kwasababu tayari nilishajenga ujuzi wa Copywriting na Closing skills
.
Kwahiyo nilikuwa na uwezo wa kuuza bidhaa/huduma yoyote online aidha ni ya kwangu binafsi au ya watu wengine (Affiliate & dropshipping) na nikatengeneza pesa on my own time
.
👇🏽
Je Una Kampuni ya Utalii Chukua Hii...👇🏽
.
(UZI MFUPI 👇🏽)
.
Kabla ya Janga la Corona nakumbuka ilikuwa ni Mwezi wa 2 hivi kuna Jamaa anaitwa SAI, alinipigia simu akasema anahitaji kupata wageni kutoka nje lakini bado Hana ujuzi wa kutumia Mtandao
.
👇🏽👇🏽
Nikaweka appointment nae kisha nikakutana nae baada ya kumuuliza maswali kadhaa hasa hasa kuhusu soko lake akasema soko lake kubwa lipo “Canada, China, South Africa (SA), Australia na USA
.
Vile vile nikamuuliza mara nyingi huwa anatumia mbinu gani kupata👇🏽
Clients online? , akasema huwa anarun tu matangazo ya kawaida kwenye page zake kisha anaboost (na wengi wanafanya hivi)
.
Nikamuuliza huwa anaandika matangazo gani?, akasema Mara nyingi yenye picha za wanyama
.
Uzi ndo unaanza Hapa kwasababu wengi..👇🏽