Jinsi ya Kutengeneza KOZI Yako Mtandaoni BURE...
.
... Najua Kuna wengi wanahitaji Kutengeneza na kuuza Kozi online lakini wanatishwa na Gharama za Softwares za Kutengenezea Kozi
.
Ni kweli ni ghali sana—lakini vipi Kama Nitakwambia kuna mbadala wa BURE?..👇🏻
Kama bado unaanza uhitaji kulipia softwares expensive kama—Camtasia ili Kutengeneza Kozi yako
.
...anza na zile za Free kwanza ili kupata Proof of concept ya Kozi yako kutoka kwa wateja
.
Kabla hujapata Kibali cha soko usiingie katika mtego wa magharama ya 👇🏻
Ajabu ajabu na mwisho wa siku unaingiza Kozi Sokoni inabuma
.
Mimi mpaka sasa bado natumia free version ya—Screencast-o-matic Kutengenezea Kozi zangu FREE!
.
Fanya Hivi kama kuna kitu unakijua vyema na ungetamani kukiuza kama Kozi
.
👇🏻
Fuata hatua hizi Hapa Kutengenezea Kozi yako BURE Kabisa
.
1). Ingia google andika—“Screencast-o-matic kisha install kwenye laptop 💻 yako
.
Hii ni software ya kurecord chochote utakachokifanya kwenye PC yako
.
Kisha Chagua—FREE version wanakupa dkk 15👇🏻
2). Baada ya kuinstall hiyo soft ware andaa presentation ya Kozi yako kwenye PowerPoint au Trello, Canva—Just hints za coverage ya Kozi yako
.
3). Anza kurecord hayo madini kwenye Presentation yako huku unafundisha—watasikia sauti, wataona kila kitu kwenye👇🏻
presentation yako na hata sura yako ukipenda itaonekana Pia
.
Japo kuna paid version pia za software Hii ambapo watakupa features nyingi zaidi
.
Ila Kama unaanza tembea na Free version kwanza
.
4). Ukisharecord video’s zako za presentation zenye dkk 15👇🏻
Kila video then hatua inayofuata ni Kufungua Youtube channel yako—ni FREE!
.
Ukishafungua YouTube channel yako nenda kapakie hizo videos za Kozi yako kwenye kipengele Kinachoitwa—Unlisted na sio Public
.
Maana yake ni kwamba mtu hawezi kuona hizo video’s👇🏻
YouTube mpaka wewe umtumie link au access ya hizo videos and there is where the money is
.
Baada ya hapo Anza kutangaza na kuuza Kozi yako
.
Mtu akilipia unamumia links au access za hizo video’s za Kozi yako
.
Lakini sasa.....👇🏻
Weakness Kubwa ya njia hii ya uuzaji wa Kozi ni pale mtu anapoamua kushare links za watu wengine
.
Ndio maana Ni muhimu sana kuuza kwa watu wanaojielewa tu na wenye kujua kwamba Hii ni biashara ya mtu
.
Ila hiyo haiwezi kukuuzia wewe Kutengeneza Kozi yako 👇🏻
Kwasababu hata zile Kozi zenye Log in Details bado bado kuna wakulungwa wanashare tu access 😀 (Ila watu)
.
Ila Cha muhimu Zaidi sio Kutengenezea Kozi bali ni uwezo wako wa Kuiuza hiyo Kozi ...
.
Pesa online Hazipo kwenye Kozi wala ebooks—zipo kwenye uwezo👇🏻
Wako wa kuuza hiyo Kozi
.
Hapo ndipo Umuhimu wa kujifunza Copywriting Skills unapokuja
.
Ukweli ni kwamba—Kama una ndoto ya Kutengenezea Pesa online Copywriting Skills huwezi kuiepuka kabisa (sad truth)
.
Lakini.....👇🏻
Kitu muhimu Zaidi ni kwamba kabla ya Kutengeneza Kozi yako fanya Pre-sale kwanza kwa watu kadhaa kabla ya kurecord chochote
.
...kwasababu unaweza kurecord kila kitu lkn ukileta Kozi yako kwa watu hawanunui...
.
Ila ukishafanya pre-sell itakupa picha ya👇🏻
Kwamba soko lipo tayari kulipia Kozi yako
.
Kuna tofauti kati ya watu kuhitaji kitu na watu kutaka kitu
.
Watu hulipia kile wanachokitaka na sio kile wanachokihitaji
.
Ndio maana unaweza kuona watu wanahitaji bidhaa yako lkn hawapo tayari kulipia Pesa lkn 👇🏻
Walikwambia kabisa wanahitaji😀 (Mtego mbaya sana Huu kwenye kuuza Digital products)
.
I hope nimesaidia kiasi fulani
.
Engagement ikiwa nzuri nitakuja na uzi wa Njia sahihi za kuuza ebooks na Kozi online (From my own 4 years experiences Sokoni)
.
Thanks 🙏
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Jinsi Dkk 45 Za @GillsaInt Zilivyozaa Tshs 1,020,000 Ndani ya Siku 7 Tu...
.
...nakumbuka ilikuwa ni 22/04/2021 Siku ya Alhamisi Mida ya Saa Sita Hivi mchana nikiwa nimetulia getoni kwangu maeneo ya Moshono Arusha
.
Ndipo simu yangu ilipoita....
.
[MADINI]👇🏻
Kuangalia jina limetokea—“Gillsant Swahili Digital” (ndivyo nilivyosave)
.
Hii ilikuwa kama Surprise kwangu bila kuwaza mara Mbili nikapokea...
.
Tuliongea vitu vingi sana kuhusu online business ila kilicholeta hayo matokeo ni Kitu Kinachoitwa—Funnel👇🏻...
FUNNEL—ni mfumo maalumu wa online unaomtoa mteja kutoka Social media akiwa Cold Traffic mfumo wenyewe unampasha anakuwa Warm Traffic kisha unamfanya Kuwa Hot traffic then ananunua bidhaa/huduma
.
Hii ni Automated system Ndio maana kuna kitu kinaitwa..👇🏻
SIRI 11 Nilizojifunza Kutoka Kwenye Kitabu Cha—“Sell Like Crazy” By Sabri-Suby—Ambazo Zitakunufaisha Pia Katika Biashara yako...
.
...sell like Crazy ni miongoni mwa vitabu maarufu sana kwa sasa katika Soko la Mtandaoni yaani—Digital Marketing
.
[SUMMARY]👇🏽
Kitabu kina madini mengi sana ila nitaandika Kwa ufupi sana yale ya muhimu tu...
.
Hizi ndizo—SIRI nilizoziona zina umuhimu wa ku-share na watu wangu wa Nguvu Leo....
.
1). Ni 4% ya kazi za muhimu Zaidi zinaingiza hela katika biashara yako na 96% 👇🏽
Ya kazi katika biashara yako aidha zinakupotezea Muda, Pesa au zinaingiza hela kidogo sana katika biashara yako...
.
Kazi yako kama mwenye biashara ni kuweka Nguvu Kubwa katika 4% na zile 96% zifanywe na watu wengine
.
Kinyuma na hapo utaingia katika 👇🏽
Kama Kila Mtu Ananunua—Sasa Kwanini Wewe Hauuzi?...
.
...Kama bado unahangaika kuuza bidhaa/huduma yako—basi Kuna uwezekano mkubwa sana hizi ndizo Sababu zinazokukosesha mauzo kila siku...
.
[UZI MFUPI]...👇🏽
Kama bidhaa/huduma yako haiuziki—basi jua kabisa tatizo halipo kwenye bidhaa yako —bali Tatizo lipo Kwako mwenyewe
.
...kwasababu kipengele muhimu Zaidi kwenye mfumo mzima wa kuuza ni—Muuzaji mwenyewe
Na Sababu zinagharimu mauzo yako kila siku ni hizi hapa👇🏽
1). Unauza bidhaa/huduma yako kwa wateja wako—badala ya kuwasaidia kununua
.
Hakuna mtu anaenunua bidhaa—watu hununua utatuzi wa matatizo yao
.
...pia hakuna mtu anaependa kuuziwa ila kila mtu anapenda Kununua
.
Kwahiyo acha kuuza—anza kuwasaidia kununua👇🏽
Unahitaji Kujifunza COPYWRITING?... Basi Anzia Hapa....
.
Kama Umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kujifunza Ujuzi # 1 Mtandaoni kwa sasa yaani Copywriting Skills, basi Shuka na Uzi huu mpaka mwisho....
.
[UZI MFUPI TU, Tenga dkk Zako 5 Tu]...👇🏽
Vitu ni vingi ila hapa nitakupa vile ambavyo utaenda kuvitumia kwenye Matangazo yako moja kwa moja..
.
Copywriting maana yake ni uwezo wa kuuza chochote kwenye maandishi au kutumia maneno kuwasiliana na wateja wako ili wafanye kile unachotaka 👇🏽
Au wanasema “Closing in Print/ Salesmanship in Print”
.
Uwezo wa kugeuza maneno Kuwa Pesa nk
.
Natumia umepata picha nzima juu ya ujuzi huu...
.
Unapotaka Kuuza chochote kwenye maandishi hakikisha unazingatia Vitu Hivi ili uone matokeo mazuri...👇🏽👇🏽
SIRI Ndogo Iliyomsaidia Muddy Wa Dodoma Kuuza Iphone 📱 10 Kila Siku Mtandaoni....
.
Hey, “Amosi Nyanda” Hapa Nimeandika Kitabu Kinachoelekeza Jinsi ya Kuuza Bidhaa zako kwa njia ya maandishi Mtandaoni...
.
...Na Hii Ndio Siri Iliyomsaidia Muddy...
.
[UZI]👇🏽
Nakumbuka ilikuwa ni mwezi wa kwanza mwishoni hivi kwenye tar 20...
.
Muddy alinicheki DM baada ya kusoma baadhi ya Uzi wangu
.
Na hiki ndicho kilichokuwa kinamyima usingizi Katika biashara yake...
.
“Kila alipokuwa anapost Matangazo ya Simu zake Online 👇🏽
Hasa hasa Instagram na Twitter alikuwa haambulii chochote zaidi ya Comments, Likes, na Retweet lakini hakuna Oda kabisa
.
Yaani kwa kifupi likes kibao ila hela hakuna...
.
Hali ile ilikuwa inampasua kichwa mno kwasababu ilifika Muda Mpaka akawa anakosa 👇🏽
Jinsi Kijana Alieishia La Saba Anavyouza Sabuni Zake Mtaani Kama Njugu...
.
Kama Umekuwa ukitafuta Siri Mpya ya kuuza Moja kwa moja (Direct selling) bidhaa zako mtaani, basi Uzi huu ni zaidi ya zawadi kwako..
.
[UZI WA Dkk 4 TU]..👇🏽
Siku ya Jumamosi mida ya jioni hivi tulikuwa tumekaa kwenye kijiwe fulani Hivi na washkaji tunapiga story huku tunakunywa Kahawa Maeneo ya moshono Arusha..
.
Wakati tunaendelea kupiga story akaja jamaa mmoja na kibegi mgongoni huku ameshika sabuni 2 mkononi👇🏽
Kama samples...
.
Baada ya kutupa Hi 👋 akaanza kuprisent sabuni zake, yaani sabuni inafanya kazi gani na ina faida gani kwetu...
.
Wakati anaongea kuhusu sabuni zake nikiwaangalia washkaji pembeni yangu wote wanachezea siku zao..💪🏻