Jinsi Dkk 45 Za @GillsaInt Zilivyozaa Tshs 1,020,000 Ndani ya Siku 7 Tu...
.
...nakumbuka ilikuwa ni 22/04/2021 Siku ya Alhamisi Mida ya Saa Sita Hivi mchana nikiwa nimetulia getoni kwangu maeneo ya Moshono Arusha
.
Ndipo simu yangu ilipoita....
.
[MADINI]👇🏻
Kuangalia jina limetokea—“Gillsant Swahili Digital” (ndivyo nilivyosave)
.
Hii ilikuwa kama Surprise kwangu bila kuwaza mara Mbili nikapokea...
.
Tuliongea vitu vingi sana kuhusu online business ila kilicholeta hayo matokeo ni Kitu Kinachoitwa—Funnel👇🏻...
FUNNEL—ni mfumo maalumu wa online unaomtoa mteja kutoka Social media akiwa Cold Traffic mfumo wenyewe unampasha anakuwa Warm Traffic kisha unamfanya Kuwa Hot traffic then ananunua bidhaa/huduma
.
Hii ni Automated system Ndio maana kuna kitu kinaitwa..👇🏻
CLICK FUNNEL!
.
Sasa mimi na Gilly tulikuwa tunaongelea zaidi kuhusu Simple Funnel ambayo unaweza Kuitumia kibongo bongo kwa Kudrive traffic kutoka —Facebook + Instagram kwenda WhatsApp kwa ajili ya Conversion
.
...sema Light skin ana madini sana aisee😀
.
👇🏻
Mazungumzo yetu yalikuwa Hivi...👇🏻
.
Gilly akaniambia kitu hiki Hapa...
.
Nyanda ni ngumu sana kuuza bidhaa/huduma yako kwa mtu asiyekujua, asiyekupenda wala Kukuamini
.
Ndio maana ni ngumu mno kuuza kitu chako moja kwa moja kwenye Paid Ads (Sponsored Ads)👇🏻
Kwasababu zaidi ya 70% ya watu utakaowafikia kupitia matangazo ya kulipia ni—Cold Traffic yaani watu ambao...
.
—hawakujui
.
—hawakupendi
.
—hawakuamini
.
...na hakuna mtu anayenunua chochote kutoka kwa mtu asiemwamini online Never
.
👇🏻
Wakati anaongea yote haya kwenye simu Mimi nilikuwa naandika kwasababu nilijua kabisa haya madini ni Pesa yakiingizwa kwenye Action
.
Basi bhana—mwamba akaendelea Kusema madini ndipo aliponipa Hii—Simple funnel Hapa Chini👇🏻
Paid Ads▶️ (Facebook + Instagram) + Lists (WhatsApp Group) = Conversion (Sales)!
.
Hii Mimi huwa naiita—“Customer/Client Acquisition Methodology”
.
Je Hii Simple Funnel ina maana gani katika biashara yako Mkulungwa?...
.
Angalia Hapa chini...👇🏻
Unatengeneza Tangazo lako lenye chambo (BAIT) inayotoa uthamani kwa walengwa wako BURE kisha unalipia Facebook na Instagram (Paid Ads)
.
...Lengo ikiwa ni Kutengeneza kitu Kinachoitwa—LIST
.
Na list Inaweza ikawa ni E-mail List au Namba za Simu
.
👇🏻
Lakini Sisi Kulingana na Funnel yetu tu ahitaji namba za simu za WhatsApp inexchange na Hicho kitu cha BURE ambayo ndio chambo yenyewe yenyewe sasa
.
Kwahiyo unarun Tangazo lako Fb na Insta kisha Undrive traffic yao kwenye WhatsApp
.
Na huko WhatsApp ndiko👇🏻
Utakapotengenezea List yako ambayo ni—WhatsApp Groups
.
Baada ya kuwatoa walengwa wako kutoka Fb na insta kwenda Kwenye WhatsApp Groups uanzi kuuza bidhaa/huduma yako moja kwa moja...
.
...Kwanini?
.
Kwasababu Hao watu bado hawakujui, hawakupendi wala👇🏻
Hawakuamini
.
Unachotakiwa kufanya ni kuendelea kuwapa madini BURE ili kuwabadilisha kutoka kwenye Cold traffic kwenda kwenye Hot traffic
.
Hii kitaalamu tunaita—“Intent based branding” (Frank Kern)
.
...so baada ya kuwapa madini kwenye siku kama tano👇🏻
Au Sita Hivi wale watu watakuamini, watakupenda na Kuwa tayari Kununua chochote hata kabla ya wewe kuuza
Pia unafanya positioning wak uone Kama—EXPERT/Specialist na sio Muuza bidhaa online Kama wengine
Baada ya kufanya hivyo Conversion becomes a No Brainer
So nilichokifanya ni hiki Hapa wazee it’s very simple but not Easy....
.
Nikatengeneza Videos zinazotoa Value BURE kuhusu Copywriting Skills kisha nikafanya sponsored kualika watu kujifunza BURE Kwenye Magroup yangu ya WhatsApp
.
Kama unavyoona kwenye picha👇🏻
Hapo siuzi chochote zaidi ya kutoa Value BURE Kisha naahidi kutoa value BURE zaidi kwa kutoa Kweli kupitia whatsApp groups...
.
Baaada ya kutoa Value kama siku 5 au Sita then Tangaza OFA yako sasa kwenye hiyo LIST yako ya WhatsApp na sio Fb na Insta Kama👇🏻
Wengi wanavyofanya...
.
Ukitangaza OFA yako moja kwa moja Facebook na Instagram utakuwa muuzaji ila ukitangaza OFA yako kwenye list yako unakuwa—Expert..
Iwe ni e-mail au WhatsApp Groups
Telegram sio nzuri kwenye kufanya Conversion (Uzi wa siku nyingine)👇🏻
Na kitu nilichojifunza zaidi kwenye Funnel Hii ni hiki Hapa ...👇🏻
1). Pesa online zipo kwenye—LIST (e-mail lists, WhatsApp lists)
2).Pesa online hazipo kwenye bidhaa/huduma yako zipo kwenye uwezo wako wa kuuza hiyo bidhaa kwenye maandishi that’s Copywriting
Skills
.
Kinachonitengenezea Pesa online sio uzuri wa bidhaa, sio uzuri wa funnel bali ni Ujuzi wa Copywriting
.
3). Utauza zaidi bidhaa/huduma yako endapo utatumia WhatsApp kama Conversion tool mechanism kwasababu WhatsApp na e-mails ni personal
.
👇🏻
Ila telegram ina-scream Business
.
Mfano zikiingia message mbili kwa Wakati mmoja kati ya WhatsApp na ya Telegram utafungua ipi kwanza?....(Majibu unayo)
.
It’s not about being seen, but being READ!
.
4). Story sells, Facts tells—ukitumia story 👇🏻
Utauza zaidi kuliko Facts—Learn story selling not story telling
.
...Kama umejifunza kitu kwenye uzi huu usiache kuupa shavu kwa ku-RETWEET na wengine wapate elimu Hii
.
P. S. Jifunze Copywriting Skills Mpunga online upo wa kutosha tu!
.
Thanks
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Jinsi ya Kutengeneza KOZI Yako Mtandaoni BURE...
.
... Najua Kuna wengi wanahitaji Kutengeneza na kuuza Kozi online lakini wanatishwa na Gharama za Softwares za Kutengenezea Kozi
.
Ni kweli ni ghali sana—lakini vipi Kama Nitakwambia kuna mbadala wa BURE?..👇🏻
Kama bado unaanza uhitaji kulipia softwares expensive kama—Camtasia ili Kutengeneza Kozi yako
.
...anza na zile za Free kwanza ili kupata Proof of concept ya Kozi yako kutoka kwa wateja
.
Kabla hujapata Kibali cha soko usiingie katika mtego wa magharama ya 👇🏻
Ajabu ajabu na mwisho wa siku unaingiza Kozi Sokoni inabuma
.
Mimi mpaka sasa bado natumia free version ya—Screencast-o-matic Kutengenezea Kozi zangu FREE!
.
Fanya Hivi kama kuna kitu unakijua vyema na ungetamani kukiuza kama Kozi
.
👇🏻
SIRI 11 Nilizojifunza Kutoka Kwenye Kitabu Cha—“Sell Like Crazy” By Sabri-Suby—Ambazo Zitakunufaisha Pia Katika Biashara yako...
.
...sell like Crazy ni miongoni mwa vitabu maarufu sana kwa sasa katika Soko la Mtandaoni yaani—Digital Marketing
.
[SUMMARY]👇🏽
Kitabu kina madini mengi sana ila nitaandika Kwa ufupi sana yale ya muhimu tu...
.
Hizi ndizo—SIRI nilizoziona zina umuhimu wa ku-share na watu wangu wa Nguvu Leo....
.
1). Ni 4% ya kazi za muhimu Zaidi zinaingiza hela katika biashara yako na 96% 👇🏽
Ya kazi katika biashara yako aidha zinakupotezea Muda, Pesa au zinaingiza hela kidogo sana katika biashara yako...
.
Kazi yako kama mwenye biashara ni kuweka Nguvu Kubwa katika 4% na zile 96% zifanywe na watu wengine
.
Kinyuma na hapo utaingia katika 👇🏽
Kama Kila Mtu Ananunua—Sasa Kwanini Wewe Hauuzi?...
.
...Kama bado unahangaika kuuza bidhaa/huduma yako—basi Kuna uwezekano mkubwa sana hizi ndizo Sababu zinazokukosesha mauzo kila siku...
.
[UZI MFUPI]...👇🏽
Kama bidhaa/huduma yako haiuziki—basi jua kabisa tatizo halipo kwenye bidhaa yako —bali Tatizo lipo Kwako mwenyewe
.
...kwasababu kipengele muhimu Zaidi kwenye mfumo mzima wa kuuza ni—Muuzaji mwenyewe
Na Sababu zinagharimu mauzo yako kila siku ni hizi hapa👇🏽
1). Unauza bidhaa/huduma yako kwa wateja wako—badala ya kuwasaidia kununua
.
Hakuna mtu anaenunua bidhaa—watu hununua utatuzi wa matatizo yao
.
...pia hakuna mtu anaependa kuuziwa ila kila mtu anapenda Kununua
.
Kwahiyo acha kuuza—anza kuwasaidia kununua👇🏽
Unahitaji Kujifunza COPYWRITING?... Basi Anzia Hapa....
.
Kama Umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kujifunza Ujuzi # 1 Mtandaoni kwa sasa yaani Copywriting Skills, basi Shuka na Uzi huu mpaka mwisho....
.
[UZI MFUPI TU, Tenga dkk Zako 5 Tu]...👇🏽
Vitu ni vingi ila hapa nitakupa vile ambavyo utaenda kuvitumia kwenye Matangazo yako moja kwa moja..
.
Copywriting maana yake ni uwezo wa kuuza chochote kwenye maandishi au kutumia maneno kuwasiliana na wateja wako ili wafanye kile unachotaka 👇🏽
Au wanasema “Closing in Print/ Salesmanship in Print”
.
Uwezo wa kugeuza maneno Kuwa Pesa nk
.
Natumia umepata picha nzima juu ya ujuzi huu...
.
Unapotaka Kuuza chochote kwenye maandishi hakikisha unazingatia Vitu Hivi ili uone matokeo mazuri...👇🏽👇🏽
SIRI Ndogo Iliyomsaidia Muddy Wa Dodoma Kuuza Iphone 📱 10 Kila Siku Mtandaoni....
.
Hey, “Amosi Nyanda” Hapa Nimeandika Kitabu Kinachoelekeza Jinsi ya Kuuza Bidhaa zako kwa njia ya maandishi Mtandaoni...
.
...Na Hii Ndio Siri Iliyomsaidia Muddy...
.
[UZI]👇🏽
Nakumbuka ilikuwa ni mwezi wa kwanza mwishoni hivi kwenye tar 20...
.
Muddy alinicheki DM baada ya kusoma baadhi ya Uzi wangu
.
Na hiki ndicho kilichokuwa kinamyima usingizi Katika biashara yake...
.
“Kila alipokuwa anapost Matangazo ya Simu zake Online 👇🏽
Hasa hasa Instagram na Twitter alikuwa haambulii chochote zaidi ya Comments, Likes, na Retweet lakini hakuna Oda kabisa
.
Yaani kwa kifupi likes kibao ila hela hakuna...
.
Hali ile ilikuwa inampasua kichwa mno kwasababu ilifika Muda Mpaka akawa anakosa 👇🏽
Jinsi Kijana Alieishia La Saba Anavyouza Sabuni Zake Mtaani Kama Njugu...
.
Kama Umekuwa ukitafuta Siri Mpya ya kuuza Moja kwa moja (Direct selling) bidhaa zako mtaani, basi Uzi huu ni zaidi ya zawadi kwako..
.
[UZI WA Dkk 4 TU]..👇🏽
Siku ya Jumamosi mida ya jioni hivi tulikuwa tumekaa kwenye kijiwe fulani Hivi na washkaji tunapiga story huku tunakunywa Kahawa Maeneo ya moshono Arusha..
.
Wakati tunaendelea kupiga story akaja jamaa mmoja na kibegi mgongoni huku ameshika sabuni 2 mkononi👇🏽
Kama samples...
.
Baada ya kutupa Hi 👋 akaanza kuprisent sabuni zake, yaani sabuni inafanya kazi gani na ina faida gani kwetu...
.
Wakati anaongea kuhusu sabuni zake nikiwaangalia washkaji pembeni yangu wote wanachezea siku zao..💪🏻