Jinsi ya Kutengeneza MFUMO wa Kuuza Kwenye WhatsApp Yako Bila Kuchati na Mteja—(Simple Automated Sales Funnel)

...Kama Umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kuuza kwenye WhatsApp yako bila kupoteza Muda wako kuchati na wateja wengi basi soma mpaka Mwisho

[UZI]👇🏻
Moja ya changamoto Kubwa ya kuuza kirahisi mtandaoni ni kupata kitu kinachoitwa—“Automated Conversion Mechanism”
.
...Yaani mfumo unaomtoa mteja kutoka social media’s (Fb, Instagram, Twitter, Youtube nk) na kumfanya aingie mfukoni atoe hela kisha anunue👇🏻
Kile unachokiuza bila wewe kuhusika moja kwa moja kwenye mchakato mzima wa kuuza
.
...Hicho kitu kinaitwa—FUNNEL (Automated)

Na biashara nyingi mtandaoni tatizo halipo kwenye Bidhaa/huduma zao tatizo lipo kwenye Funnel

...Hii funnel unatengeneza mwenyewe👇🏻
Baada ya kupata kitu kinachoitwa—Proof Of Concept
.
Ni matokeo ya Majaribio yako binafsi au tunasema Iteration to Validation
.
Zipo Funnel nyingi ila Leo nakupa moja Hii ya Kutumia WhatsApp yako kama Conversion Mechanism (Kifaa cha kuuzia)
.
👇🏻
Fuata Hatua hizi Hapa ili Kutengeneza MFUMO (Funnel) Wako utakaokuuzia bidhaa/huduma Kupitia WhatsApp bila Uwepo wako (Automated System)
.
1). Chagua Chanzo chako cha Traffic mtandaoni kulingana na aina yako ya biashara
.
Wateja wako wengi zaidi wanatoka👇🏻
Katika Platforms zipi?—Facebook, Twitter, Instagram, YouTube etc
.
Na Hapa haijalishi ni Organic Traffic au Paid Traffic Ila tu lazima ujue chanzo chako kikuu ni platforms zipi
.
2). Tengeneza Simple Video kwa kuweka vitu Vifuatavyo ndani yake...
.
👇🏻
—wewe ni Nani (Who are you?)
.
Waambie kwenye video wewe ni Nani kwasababu ni ngumu sana mteja kununua kitu kama hakujui

Ndio maana ni rahisi kuuza kwa wateja wanaokutafuta wao sio wale unakwatafuta wewe

...wanaokutafuta wanakujua unaowatafuta hawakujui👇🏻
—Unatatua changamoto gani au Kile unachokiuza kinatatua changamoto gani
.
Wateja hawanunui Bidhaa/huduma wananunua kile kinachofanywa n bidhaa/huduma kwao
.
...Hapa pia unafanya Positioning ili wakuone wewe ni Expert na Sio Muuzaji Kama wengine 👇🏻
—Waambie kwanini unafanya unachokifanya kwa kutumia STORY Fupi
.
... Watu hawanunui kitu kwasababu unakifanya, wananunua Kitu kwasababu ya KWANINI (Why) unakifanya
.
Kwa kutumia story pia hawataona kama unawauzia bali unawasaidia Kununua 👇🏻
Pia wata-Lower their guards about being sold

Watu hununua kutokana na hisia na story inagusa hisia moja kwa moja (Story sells, Fact tells)

..na aina ya story unayotakiwa kuisema Hapa ni Aidha iwe ni Value story au Founder story (Uzi wa siku nyingine huu)👇🏻
—Baada ya hapo unaahidi Kuwasaidia kutatua changamoto yao kwa kuwasaidia kweli (Promise to help them by Actually helping them—Hii inaitwa Intent based branding)
.
Kwanini ufanye hivyo?...
.
Ili wakupende
.
Wakuamini na wawe tayari Kununua unachokiuza kabla 👇🏻
Hata ya kukiuza
.
Pia wakuone wewe ni expert kwa kuahidi kuwasaidia kwa kuwasaidia kweli
.
..Kama unauza nguo, viatu, etc Hapa usiwe Muuza nguo Kuwa Fashion Consultant and Expert
.
Kama unauza Knowledge Mfano ebooks, Courses, Coaching, Consulting etc 👇🏻
Hapa unakuwa—Specialist na sio Generalist
.
—Toa VALUE kabla ya Kuuza chochote juu ya Jinsi Kile unachokiuza kitakavyosolve tatizo lake BURE Hii inaitwa—Reciprocity

Kumbuka mpaka Hapa hujasema chochote kuhusu Kile unachokiuza bali unafanya positioning tu👇🏻
Kutoa Value FREE lengo ni kujenga Trust na kufanya kitu kinachoitwa—Pre-framing & Indoctrination
.
—Toa OFA ya Kile unachokiuza kwa kuzingatia FOMO (Fear of missing Out) yaani Hofu ya Kukosa
.
—Weka Call to Action ya Jinsi ya kupata Kile unachokiuza 👇🏻
Mfano namba ya Malipo nk
.
—Watoe wasi wasi na Hofu ya kufanya makosa wateja wako kwa kuweka shuhuda za wateja wa nyuma waliofaidika na bidhaa/huduma yako
Baada ya tayari umeshatengeneza Video yenye contents hizo hapo juu—Fungua YouTube channel ni FREE
.
...Kisha nenda kupakie hiyo video kwenye channel yako halafu Copy link yake
.
Nenda kapest kwenye WhatsApp yako sehemu iloandikwa—“Send Away Message”👇🏻 Image
Baada ya Hapo Tengeneza Tangazo lako la kusponsor Facebook na Instagram kisha Tuma leads zote kwenda kwenye WhatsApp yako
.
Kwasababu tayari umeshaseti Kwenye WhatsApp yako mtu Yeyote anaeona Tangazo na Kuja WhatsApp inbox anakaribishwa na Link👇🏻
Ya kwenda kwenye ile video moja kwa moja ambapo huko atauziwa bidhaa/huduma yako na ile video uloitengeneza bila uwepo wako
.
...na hiyo ndio inaitwa—Simple WhatsApp automated sales funnel
.
Kwahiyo kazi yako itabaki kurun Matangazo tu na 👇🏻
Kutuma leads kwenye WhatsApp yako kisha mteja anakaribishwa na Link ya kwenda YouTube kucheki video ambapo huko umeshaweka kila kitu
.
...utabaki kuangalia salio tu na kutuma bidhaa/huduma kwa wanaonunua baada ya kuangalia video yako—Booom! 👇🏻
Funnel zingine mcheki mzee wa mafannel Hapa @GillsaInt atakupa anazo 120😂
.
Kama umefaidika na Uzi huu usisite kuupa—RETWEET ili kesho nije na Funnel nyingine ya kuuza kwenye WhatsApp
.
...Hii nimeijaribisha mwezi wa 2 it converts like Crazy!

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with AmosiNyanda

AmosiNyanda Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @NyandaAmosi

3 Aug
⚠️ ANATAFUTWA : Mtu Wa Kuungana na Raphael Kutengeneza Zaidi ya Tshs 650,000+ Kila Mwezi Mtandaoni...
.
...Hata Kama hujawahi Kuuza chochote Mtandaoni Hii STORY ya Raphael Itakuacha Mdomo wazi (sio Vigumu kama Jinsi unavyoambiwa)
.
Ilikuwa 03/11/2020👇🏻... Image
Ndio siku ambayo raphael alinicheki DM baada ya kuona uzi wangu Juu ya ujuzi wa Copywriting Hapa Twitter...
.
...akaniambia—“brother mimi nafanya Affiliate marketing na soko langu ni la nje”
.
Mimi Sina Bidhaa yoyote Ila napiga mpunga mzuri tu online kwa👇🏻
Kupromote bidhaa pamoja na huduma za watu wengine then nalamba Commission kwenye kila sales inayofanyika Pamoja na njia zingine Kama per Clicks nk”
.
LAKINI....
.
Bado kuna changamoto ambazo zilikuwa zinamyima usingizi Raphael katika biashara yake👇🏻
Read 21 tweets
10 Jun
Jinsi Dkk 45 Za @GillsaInt Zilivyozaa Tshs 1,020,000 Ndani ya Siku 7 Tu...
.
...nakumbuka ilikuwa ni 22/04/2021 Siku ya Alhamisi Mida ya Saa Sita Hivi mchana nikiwa nimetulia getoni kwangu maeneo ya Moshono Arusha
.
Ndipo simu yangu ilipoita....
.
[MADINI]👇🏻
Kuangalia jina limetokea—“Gillsant Swahili Digital” (ndivyo nilivyosave)
.
Hii ilikuwa kama Surprise kwangu bila kuwaza mara Mbili nikapokea...
.
Tuliongea vitu vingi sana kuhusu online business ila kilicholeta hayo matokeo ni Kitu Kinachoitwa—Funnel👇🏻...
FUNNEL—ni mfumo maalumu wa online unaomtoa mteja kutoka Social media akiwa Cold Traffic mfumo wenyewe unampasha anakuwa Warm Traffic kisha unamfanya Kuwa Hot traffic then ananunua bidhaa/huduma
.
Hii ni Automated system Ndio maana kuna kitu kinaitwa..👇🏻
Read 20 tweets
8 Jun
Jinsi ya Kutengeneza KOZI Yako Mtandaoni BURE...
.
... Najua Kuna wengi wanahitaji Kutengeneza na kuuza Kozi online lakini wanatishwa na Gharama za Softwares za Kutengenezea Kozi
.
Ni kweli ni ghali sana—lakini vipi Kama Nitakwambia kuna mbadala wa BURE?..👇🏻
Kama bado unaanza uhitaji kulipia softwares expensive kama—Camtasia ili Kutengeneza Kozi yako
.
...anza na zile za Free kwanza ili kupata Proof of concept ya Kozi yako kutoka kwa wateja
.
Kabla hujapata Kibali cha soko usiingie katika mtego wa magharama ya 👇🏻
Ajabu ajabu na mwisho wa siku unaingiza Kozi Sokoni inabuma
.
Mimi mpaka sasa bado natumia free version ya—Screencast-o-matic Kutengenezea Kozi zangu FREE!
.
Fanya Hivi kama kuna kitu unakijua vyema na ungetamani kukiuza kama Kozi
.
👇🏻
Read 14 tweets
25 Apr
SIRI 11 Nilizojifunza Kutoka Kwenye Kitabu Cha—“Sell Like Crazy” By Sabri-Suby—Ambazo Zitakunufaisha Pia Katika Biashara yako...
.
...sell like Crazy ni miongoni mwa vitabu maarufu sana kwa sasa katika Soko la Mtandaoni yaani—Digital Marketing
.
[SUMMARY]👇🏽 Image
Kitabu kina madini mengi sana ila nitaandika Kwa ufupi sana yale ya muhimu tu...
.
Hizi ndizo—SIRI nilizoziona zina umuhimu wa ku-share na watu wangu wa Nguvu Leo....
.
1). Ni 4% ya kazi za muhimu Zaidi zinaingiza hela katika biashara yako na 96% 👇🏽
Ya kazi katika biashara yako aidha zinakupotezea Muda, Pesa au zinaingiza hela kidogo sana katika biashara yako...
.
Kazi yako kama mwenye biashara ni kuweka Nguvu Kubwa katika 4% na zile 96% zifanywe na watu wengine
.
Kinyuma na hapo utaingia katika 👇🏽
Read 18 tweets
12 Apr
Kama Kila Mtu Ananunua—Sasa Kwanini Wewe Hauuzi?...
.
...Kama bado unahangaika kuuza bidhaa/huduma yako—basi Kuna uwezekano mkubwa sana hizi ndizo Sababu zinazokukosesha mauzo kila siku...
.
[UZI MFUPI]...👇🏽
Kama bidhaa/huduma yako haiuziki—basi jua kabisa tatizo halipo kwenye bidhaa yako —bali Tatizo lipo Kwako mwenyewe
.
...kwasababu kipengele muhimu Zaidi kwenye mfumo mzima wa kuuza ni—Muuzaji mwenyewe

Na Sababu zinagharimu mauzo yako kila siku ni hizi hapa👇🏽
1). Unauza bidhaa/huduma yako kwa wateja wako—badala ya kuwasaidia kununua
.
Hakuna mtu anaenunua bidhaa—watu hununua utatuzi wa matatizo yao
.
...pia hakuna mtu anaependa kuuziwa ila kila mtu anapenda Kununua
.
Kwahiyo acha kuuza—anza kuwasaidia kununua👇🏽
Read 15 tweets
11 Feb
Unahitaji Kujifunza COPYWRITING?... Basi Anzia Hapa....
.
Kama Umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kujifunza Ujuzi # 1 Mtandaoni kwa sasa yaani Copywriting Skills, basi Shuka na Uzi huu mpaka mwisho....
.
[UZI MFUPI TU, Tenga dkk Zako 5 Tu]...👇🏽
Vitu ni vingi ila hapa nitakupa vile ambavyo utaenda kuvitumia kwenye Matangazo yako moja kwa moja..
.
Copywriting maana yake ni uwezo wa kuuza chochote kwenye maandishi au kutumia maneno kuwasiliana na wateja wako ili wafanye kile unachotaka 👇🏽
Au wanasema “Closing in Print/ Salesmanship in Print”
.
Uwezo wa kugeuza maneno Kuwa Pesa nk
.
Natumia umepata picha nzima juu ya ujuzi huu...
.
Unapotaka Kuuza chochote kwenye maandishi hakikisha unazingatia Vitu Hivi ili uone matokeo mazuri...👇🏽👇🏽
Read 12 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(