⚠️ ANATAFUTWA : Mtu Wa Kuungana na Raphael Kutengeneza Zaidi ya Tshs 650,000+ Kila Mwezi Mtandaoni...
.
...Hata Kama hujawahi Kuuza chochote Mtandaoni Hii STORY ya Raphael Itakuacha Mdomo wazi (sio Vigumu kama Jinsi unavyoambiwa)
.
Ilikuwa 03/11/2020👇🏻...
Ndio siku ambayo raphael alinicheki DM baada ya kuona uzi wangu Juu ya ujuzi wa Copywriting Hapa Twitter...
.
...akaniambia—“brother mimi nafanya Affiliate marketing na soko langu ni la nje”
.
Mimi Sina Bidhaa yoyote Ila napiga mpunga mzuri tu online kwa👇🏻
Kupromote bidhaa pamoja na huduma za watu wengine then nalamba Commission kwenye kila sales inayofanyika Pamoja na njia zingine Kama per Clicks nk”
.
LAKINI....
.
Bado kuna changamoto ambazo zilikuwa zinamyima usingizi Raphael katika biashara yake👇🏻
Na Kuna Uwezekano changamoto hizo hizo zikawa bado zinakunyima usingizi pia katika biashara yako...
.
..sio usingizi tu hata Pesa pia kwasababu njia pekee ya kubaki kwenye biashara yoyote ni Kuwa na mfumo unaotabirika wa kukuletea wateja kila siku mtandaoni👇🏻
Kama bado hauna uhakika wa kupata wateja kila siku katika biashara yako basi endelea kusoma mpaka mwisho...
.
Basi bhana...Raphael akaniambia changamoto zilizokuwa zinamyima usingizi katika biashara yake ni hizi hapa chini...
.
👇🏻
1). Kila alipokuwa akitaka Kupost Tangazo la huduma yake anaishiwa maneno ya Kuandika
.
2). Akifanikiwa Kuandika basi anaishia kuambulia comments Tu na likes...lakini Oda hata moja
.
3). Wateja wake wakimtafuta wengi walikuwa wanaishia kumpa Vipingamizi Tu👇🏻
Kama...
.
—bei yako ni Kubwa sana
.
—Nipe Muda nifikirie Kwanza
.
—ngoja niongee na mke/mme wangu kwanza
.
—nitakucheki nikipata hela
.
..na majibu mengine kibao unaweza Kuongezea pia
.
Vipi WEWE katika biashara yako Unakutana na changamoto Kama hizo pia?👇🏻
Kama ni Ndio basi hutoamini utakachokisikia endapo utasoma mpaka mwisho...
.
...moja kwa moja baada ya kumsikiliza Raphael nikagundua kwamba kumbe sio soko la bongo tu hata soko la nje pia changamoto ni zile zile
.
Na Hii ni kwasababu Psychology 👇🏻
Ya wateja ni ile ile dunia nzima—wateja wanafanana wote linapokuja swala la Kununua vitu
.
Ukweli Ni kwamba hakuna Binadamu anayependa Kuuziwa ila kila Binadamu anapenda Kununua
.
...Kutokana na Maelezo yake nikagundua kwamba Raphael alikuwa na changamoto👇🏻
Ya ujuzi wa Copywriting Skills kwasababu alikuwa anashindwa Kuandika Captions za kuuza huduma yake mtandaoni
.
..vile vile alikuwa na changamoto ya ujuzi mwingine unaoitwa—Closing skills yaani uwezo wa kuuza huduma Pamoja na kukabili vipingamizi vya wateja👇🏻
Changamoto hizo zilimfanya atumie Gharama Kubwa mno kwenye Matangazo ya kulipia bila mafanikio kwa lengo la kukusanya E-mails kitaalamu tunaita—LIST
.
...Kama tunavyojua kwamba mtandaoni Pesa zipo kwenye LIST( Uzi wa siku nyingine huu)
.
Kwasababu huwezi👇🏻
Kufanya Affiliate Marketing bila Kuwa na LIST (E-mail List)
.
E-mail Lists Ndio soko lako la kutangazia bidhaa/huduma za wateja wengine kisha unakula Commission kutoka kwenye mauzo au Clicks
.
...Ukitaka kujifunza zaidi kuhusu affiliate marketing mcheki👇🏻
Mwenyewe Hapa @Raphahustler @NyumbaniDigital
.
...Raphael alishakata tamaa kabisa kutokana na zile changamoto
.
LAKINI...
.
Kila kitu kilibadilika siku ile ile baada tu ya maongezi yetu
.
...Kwanini?...
.
Siri ni Hii Hapa 👇🏻
“Raphael alifanya maamuzi ya Kujifunza Ujuzi wa Copywriting Skills”
.
...Yaani uwezo wa kuuza bidhaa/huduma mtandaoni kwa njia ya Maandishi (Kuuza bila kufungua mdomo)
.
Kwasababu siku ile ile alinunua ebook pekee ya Kiswahili Inayokuelekezea 👇🏻
Jinsi ya kuuza bidhaa/huduma yako mtandaoni kwa njia ya Maandishi
.
Au uwezo wa Kuandika Matangazo yanayokuuzia bidhaa/huduma yako kirahisi zaidi mtandaoni
.
Ebook hiyo inaitwa MGODI!
.
Mwezi 12 mwaka 2020 kabla ya Christmas 🎄 Raphael akaja na feedbacks👇🏻
Zifuatazo....
.
✅. Anatumia dkk 2Tu Kuandika Tangazo lake Kisha anasuburi mpunga uingie
.
✅. Commission yake imeongezeka mara 2 zaidi kutoka kwenye kila bidhaa anayopromote mtandaoni
.
✅. Idadi ya e-mails anazokusanya kila siku na sawa na Idadi ya 👇🏻
Emails za mwezi mzima kabla ya kusoma kitabu cha Mgodi
.
✅. Wateja wakimtafuta 10 ana uwezo wa kuuza kwa wateja 8 mpaka 9 tofauti na Zamani
.
...kila kitu kilibadilika kwa Raphael katika biashara yake mpaka akafungua Digital Marketing Agency inayoitwa👇🏻
@NyumbaniDigital
.
Na kupitia Story yake nikaamini maneno ya mentor wangu Sean Volser yanayosema Hivi
.
“All Major product Failures I’ve seen over the years had less to do with the product and more to do with their Owners Ability to communicate its Value”👇🏻
Yaani kinachofeli katika biashara yoyote sio bidhaa/huduma ni uwezo wa kuuza wa wenye hizo bidhaa/huduma
.
...kwahiyo Kama unaona bidhaa/huduma yako haiuziiki mtandaoni tatizo halipo kwenye hizo bidhaa lipo kwenye uwezo wako wa kuuza hiyo bidhaa
.
👇🏻
Jenga ujuzi unaoitwa Copywriting Skills uone Jinsi meza itakavyopinduka katika biashara yako mtandaoni

Hakuna uhaba wa Pesa mtandaoni kuna uhaba wa Wataalamu mtandaoni

Kuna gigs kibao unazoweza kupiga online kama una ujuzi

Kuna platforms Kama @Upwork 👇🏻
Wacheki washkaji kama @mafolebaraka watakupa mbinu za Kuingia ila tu kama hauna ujuzi wowote huwezi kusaidika
.
Vijana mnaonaliza vyuo shtukeni soko limeshahama kutoka kwenye Job Economy now tupo kwenye Skills Economy
.
I hope Umepata kitu

P. S. Retweet

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with AmosiNyanda

AmosiNyanda Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @NyandaAmosi

17 Jun
Jinsi ya Kutengeneza MFUMO wa Kuuza Kwenye WhatsApp Yako Bila Kuchati na Mteja—(Simple Automated Sales Funnel)

...Kama Umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kuuza kwenye WhatsApp yako bila kupoteza Muda wako kuchati na wateja wengi basi soma mpaka Mwisho

[UZI]👇🏻
Moja ya changamoto Kubwa ya kuuza kirahisi mtandaoni ni kupata kitu kinachoitwa—“Automated Conversion Mechanism”
.
...Yaani mfumo unaomtoa mteja kutoka social media’s (Fb, Instagram, Twitter, Youtube nk) na kumfanya aingie mfukoni atoe hela kisha anunue👇🏻
Kile unachokiuza bila wewe kuhusika moja kwa moja kwenye mchakato mzima wa kuuza
.
...Hicho kitu kinaitwa—FUNNEL (Automated)

Na biashara nyingi mtandaoni tatizo halipo kwenye Bidhaa/huduma zao tatizo lipo kwenye Funnel

...Hii funnel unatengeneza mwenyewe👇🏻
Read 20 tweets
10 Jun
Jinsi Dkk 45 Za @GillsaInt Zilivyozaa Tshs 1,020,000 Ndani ya Siku 7 Tu...
.
...nakumbuka ilikuwa ni 22/04/2021 Siku ya Alhamisi Mida ya Saa Sita Hivi mchana nikiwa nimetulia getoni kwangu maeneo ya Moshono Arusha
.
Ndipo simu yangu ilipoita....
.
[MADINI]👇🏻
Kuangalia jina limetokea—“Gillsant Swahili Digital” (ndivyo nilivyosave)
.
Hii ilikuwa kama Surprise kwangu bila kuwaza mara Mbili nikapokea...
.
Tuliongea vitu vingi sana kuhusu online business ila kilicholeta hayo matokeo ni Kitu Kinachoitwa—Funnel👇🏻...
FUNNEL—ni mfumo maalumu wa online unaomtoa mteja kutoka Social media akiwa Cold Traffic mfumo wenyewe unampasha anakuwa Warm Traffic kisha unamfanya Kuwa Hot traffic then ananunua bidhaa/huduma
.
Hii ni Automated system Ndio maana kuna kitu kinaitwa..👇🏻
Read 20 tweets
8 Jun
Jinsi ya Kutengeneza KOZI Yako Mtandaoni BURE...
.
... Najua Kuna wengi wanahitaji Kutengeneza na kuuza Kozi online lakini wanatishwa na Gharama za Softwares za Kutengenezea Kozi
.
Ni kweli ni ghali sana—lakini vipi Kama Nitakwambia kuna mbadala wa BURE?..👇🏻
Kama bado unaanza uhitaji kulipia softwares expensive kama—Camtasia ili Kutengeneza Kozi yako
.
...anza na zile za Free kwanza ili kupata Proof of concept ya Kozi yako kutoka kwa wateja
.
Kabla hujapata Kibali cha soko usiingie katika mtego wa magharama ya 👇🏻
Ajabu ajabu na mwisho wa siku unaingiza Kozi Sokoni inabuma
.
Mimi mpaka sasa bado natumia free version ya—Screencast-o-matic Kutengenezea Kozi zangu FREE!
.
Fanya Hivi kama kuna kitu unakijua vyema na ungetamani kukiuza kama Kozi
.
👇🏻
Read 14 tweets
25 Apr
SIRI 11 Nilizojifunza Kutoka Kwenye Kitabu Cha—“Sell Like Crazy” By Sabri-Suby—Ambazo Zitakunufaisha Pia Katika Biashara yako...
.
...sell like Crazy ni miongoni mwa vitabu maarufu sana kwa sasa katika Soko la Mtandaoni yaani—Digital Marketing
.
[SUMMARY]👇🏽 Image
Kitabu kina madini mengi sana ila nitaandika Kwa ufupi sana yale ya muhimu tu...
.
Hizi ndizo—SIRI nilizoziona zina umuhimu wa ku-share na watu wangu wa Nguvu Leo....
.
1). Ni 4% ya kazi za muhimu Zaidi zinaingiza hela katika biashara yako na 96% 👇🏽
Ya kazi katika biashara yako aidha zinakupotezea Muda, Pesa au zinaingiza hela kidogo sana katika biashara yako...
.
Kazi yako kama mwenye biashara ni kuweka Nguvu Kubwa katika 4% na zile 96% zifanywe na watu wengine
.
Kinyuma na hapo utaingia katika 👇🏽
Read 18 tweets
12 Apr
Kama Kila Mtu Ananunua—Sasa Kwanini Wewe Hauuzi?...
.
...Kama bado unahangaika kuuza bidhaa/huduma yako—basi Kuna uwezekano mkubwa sana hizi ndizo Sababu zinazokukosesha mauzo kila siku...
.
[UZI MFUPI]...👇🏽
Kama bidhaa/huduma yako haiuziki—basi jua kabisa tatizo halipo kwenye bidhaa yako —bali Tatizo lipo Kwako mwenyewe
.
...kwasababu kipengele muhimu Zaidi kwenye mfumo mzima wa kuuza ni—Muuzaji mwenyewe

Na Sababu zinagharimu mauzo yako kila siku ni hizi hapa👇🏽
1). Unauza bidhaa/huduma yako kwa wateja wako—badala ya kuwasaidia kununua
.
Hakuna mtu anaenunua bidhaa—watu hununua utatuzi wa matatizo yao
.
...pia hakuna mtu anaependa kuuziwa ila kila mtu anapenda Kununua
.
Kwahiyo acha kuuza—anza kuwasaidia kununua👇🏽
Read 15 tweets
11 Feb
Unahitaji Kujifunza COPYWRITING?... Basi Anzia Hapa....
.
Kama Umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kujifunza Ujuzi # 1 Mtandaoni kwa sasa yaani Copywriting Skills, basi Shuka na Uzi huu mpaka mwisho....
.
[UZI MFUPI TU, Tenga dkk Zako 5 Tu]...👇🏽
Vitu ni vingi ila hapa nitakupa vile ambavyo utaenda kuvitumia kwenye Matangazo yako moja kwa moja..
.
Copywriting maana yake ni uwezo wa kuuza chochote kwenye maandishi au kutumia maneno kuwasiliana na wateja wako ili wafanye kile unachotaka 👇🏽
Au wanasema “Closing in Print/ Salesmanship in Print”
.
Uwezo wa kugeuza maneno Kuwa Pesa nk
.
Natumia umepata picha nzima juu ya ujuzi huu...
.
Unapotaka Kuuza chochote kwenye maandishi hakikisha unazingatia Vitu Hivi ili uone matokeo mazuri...👇🏽👇🏽
Read 12 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(