Je Kitu Hiki Kinakuzuia Kutengeneza Pesa Mtandaoni?
.
Hata kama umeshajaribu kila njia ya Kutengeneza Pesa mtandaoni na Umefeli basi njia hii ni uhakika 100%
.
...LAKINI Kabla sijaendelea Mbele zaidi ngoja nikuibie Siri Hii kuhusu Kutengeneza Pesa mtandaoni👇🏻
“Pesa Hazipo Mtandaoni—Zipo Kwako”
.
Najua nimekuacha au sio?...usijali maana yake ni Hii Hapa chini...
.
Hata kama una bidhaa au huduma nzuri kiasi gani kama hauna ujuzi wa kuuza basi huwezi kuona hela yoyote mtandaoni
.
...kufeli na kufanikiwa kwa👇🏻
Biashara yoyote mtandaoni haina uhusiano wowote na bidhaa/huduma—Anayewajibika kwa kila kitu ni Muuzaji
.
...kwasababu Pesa hazipo kwenye Bidhaa/huduma yako zipo kwenye uwezo wako wa kuuza (your Ability to Communicate it’s VALUE)
.
👇🏻
Moja ya Kisingizio au sababu inayowakosesha vijana wengi Fursa za Kutengeneza Pesa mtandaoni inaitwa—“CREDENTIALS MYTH”
.
Usijali nitaelezea maana yake Hapa chini..
.
Credential myth ni ile hali ya kishindwa kufanya kitu unachokipenda au unachokiweza kisa 👇🏻
Hauna Cheti kuhusu Hicho kitu...
.
Nimekutana na watu wengi sana wanajua kuhusu vitu fulani ila wanaogopa kufanya hivyo vitu ili watengeneze Pesa mtandaoni kisa hawana vyeti
.
Mfano....
.
Kuna watu wana uwezo mzuri sana kutangaza bidhaa/huduma mtandaoni👇🏻
Wanaogopa kujitangaza na kuomba gigs za marketing kisa hawana vyeti
.
Ngoja nikwambia kitu kimoja Leo ...
.
Uhitaji Cheti chochote ili Kutengeneza Pesa mtandaoni, kitu pekee unachohitaji ni MATOKEO ya tatizo unalotatua kwa wateja wako
.
Kwahiyo cheti 👇🏻
Pekee unachohitaji ili Kutengeneza Pesa mtandaoni ni Matokeo ya tatizo unalotatua au matokeo ya wateja wako
.
...miaka ya 90’s Tony robins alinunua Kozi ya Miezi Sita ya mambo ya NLP (Neural Linguistic Programming)
.
Baada ya kujifunza kwa miezi miwili tu👇🏻
Akaona tayari ameshakuwa na uwezo wa kuwasaidia watu mbali mbali kuacha kuvuta sigara akawaambia walimu wake kwamba anataka aanze kuwasaidia watu kuacha kuvuta Sigara kwa kutumia ujuzi wa NLP
.
...walimu wake wakamwambia hawezi kufanya hivyo mpaka apate👇🏻
Cheti kwanza...
.
Tony Robins akasema kwanini Wakati tayari Nina uwezo wa kutatua tatizo?...
.
...baada ya malumbano ya siku kadhaa na walimu wake, Tony akaingia mtaani kilazima akaanza kufanya Consultations kwa wale wote wenye kuhitaji kuacha kuvuta sigira👇🏻
Baada ya mwezi mmoja tu Jina Tony Robbins likawa kumguzo mji mzima kwasababu Watu walipata Tiba na hakuna mtu hata mmoja aliyeuliza kuhusu Cheti zaidi ya matokeo ya wateja wake
.
...mpaka sasahivi Unadhani ni Nani ambae hamjui tony robins?
.
Huyu Hapa 👇🏻
Tony Robins alipoulizwa aliwezaje kuaminika kwa wateja wake?...
.
Akasema kitu pekee unachokihitaji ili watu wakulipe hela kutokana na kile unachokijua sio Cheti bali ni Matokeo wanayoyataka
Unachotakiwa Kuwa nacho ni kuhakikisha Tu Upo Hatua moja Mbele ya👇🏻
Wateja wako
.
...Kama unataka Kutengeneza Pesa mtandaoni kwa mtaji mdogo au Bila mtaji kabisa ni Kuuza Taarifa au Ujuzi wako
.
Soko hili Linaitwa—“INFORMATION PRODUCTS”
.
Yaani unabadilisha Kile unachokijua Kuwa Bidhaa kwa mfumo ebook, Course, Coaching nk👇🏻
90% ya Wataalamu wote unaowajua Twitter wapo kwenye Category Hii ya Kuuza Taarifa au ujuzi online
.
Ukitaka Kuingia deep zaidi kuhusu hili Soma kitabu cha Russell Brunson kinaitwa—“Experts Secrets”
.
Hicho Hapa 👇🏻
Ukweli ni kwamba kila mtu huwa anajua kitu ambacho wengine wapo tayari kukilipia Pesa ili wakipate
.
...kitu pekee unachohitaji ili kuuza ujuzi wako mtandaoni ni Kujifunza Copywriting Skills
Yaani uwezo wa kuuza bidhaa/huduma kwa njia ya Maandishi online👇🏻
Kwasababu siwezi kuelezea kila kitu kuhusu ujuzi huu Hapa, kama unahitaji kujifunza zaidi kuhusu Copywriting Skills nimekuwekea kila kitu kwenye ebook inayoitwa MGODI
.
...utajifunza kwa mifano tena kwa Lugha rahisi ya Kiswahili 👇🏻
Kwasababu Leo ni siku Maalumu ya kuzaliwa kwa rafiki yangu wa karibu sana @mafolebaraka
.
...Basi nitawapa Exclusive OFA watu 9 Tu ambapo watakipata kitabu cha Copywriting Skills kwa Tshs 5,000 Tu (badala ya Tshs 50K)
.
Utaokoa zaidi ya Tshs 45K 👇🏻
Kitabu kipo katika Mfumo wa Softcopy (ebook) unatumiwa moja kwa moja Kwenye WhatsApp yako ndani ya dkk 2 Tu baada ya malipo
.
Ukipoteza unatumiwa tena kwahiyo hakuna RISK yoyote upande wako
.
...najua utakuwa unajiuliza mbona OFA Kubwa sana?...
.
Ni kweli👇🏻
Kwasababu nataka watu wengi wawe na ujuzi ili wakapige gigs Kule @Upwork
.
...kitabu hiki sio kwa ajili ya kitu mtu ni maalumu kwa wale tu wanaotaka Kutengeneza Pesa mtandaoni kwa kutumia Laptop na smartphone
.
Kama Unahitaji OFA ya ebook basi nitume👇🏻
Neno “MGODI” Sasahivi DM au WhatsApp—0767-912-157
.
Mwisho wa OFA Hii ni Leo saa Sita Kamili Usiku
.
Watu ni 9 Tu
.
P. S. DM Sasahivi Kabla nafasi hazijaisha Kwasababu sidhani kama kutatokea OFA kama Hii tena Hivi karibuni!
.
P. S. Retweet!
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
⚠️ ANATAFUTWA : Mtu Wa Kuungana na Raphael Kutengeneza Zaidi ya Tshs 650,000+ Kila Mwezi Mtandaoni...
.
...Hata Kama hujawahi Kuuza chochote Mtandaoni Hii STORY ya Raphael Itakuacha Mdomo wazi (sio Vigumu kama Jinsi unavyoambiwa)
.
Ilikuwa 03/11/2020👇🏻...
Ndio siku ambayo raphael alinicheki DM baada ya kuona uzi wangu Juu ya ujuzi wa Copywriting Hapa Twitter...
.
...akaniambia—“brother mimi nafanya Affiliate marketing na soko langu ni la nje”
.
Mimi Sina Bidhaa yoyote Ila napiga mpunga mzuri tu online kwa👇🏻
Kupromote bidhaa pamoja na huduma za watu wengine then nalamba Commission kwenye kila sales inayofanyika Pamoja na njia zingine Kama per Clicks nk”
.
LAKINI....
.
Bado kuna changamoto ambazo zilikuwa zinamyima usingizi Raphael katika biashara yake👇🏻
Jinsi ya Kutengeneza MFUMO wa Kuuza Kwenye WhatsApp Yako Bila Kuchati na Mteja—(Simple Automated Sales Funnel)
...Kama Umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kuuza kwenye WhatsApp yako bila kupoteza Muda wako kuchati na wateja wengi basi soma mpaka Mwisho
[UZI]👇🏻
Moja ya changamoto Kubwa ya kuuza kirahisi mtandaoni ni kupata kitu kinachoitwa—“Automated Conversion Mechanism”
.
...Yaani mfumo unaomtoa mteja kutoka social media’s (Fb, Instagram, Twitter, Youtube nk) na kumfanya aingie mfukoni atoe hela kisha anunue👇🏻
Kile unachokiuza bila wewe kuhusika moja kwa moja kwenye mchakato mzima wa kuuza
.
...Hicho kitu kinaitwa—FUNNEL (Automated)
Na biashara nyingi mtandaoni tatizo halipo kwenye Bidhaa/huduma zao tatizo lipo kwenye Funnel
Jinsi Dkk 45 Za @GillsaInt Zilivyozaa Tshs 1,020,000 Ndani ya Siku 7 Tu...
.
...nakumbuka ilikuwa ni 22/04/2021 Siku ya Alhamisi Mida ya Saa Sita Hivi mchana nikiwa nimetulia getoni kwangu maeneo ya Moshono Arusha
.
Ndipo simu yangu ilipoita....
.
[MADINI]👇🏻
Kuangalia jina limetokea—“Gillsant Swahili Digital” (ndivyo nilivyosave)
.
Hii ilikuwa kama Surprise kwangu bila kuwaza mara Mbili nikapokea...
.
Tuliongea vitu vingi sana kuhusu online business ila kilicholeta hayo matokeo ni Kitu Kinachoitwa—Funnel👇🏻...
FUNNEL—ni mfumo maalumu wa online unaomtoa mteja kutoka Social media akiwa Cold Traffic mfumo wenyewe unampasha anakuwa Warm Traffic kisha unamfanya Kuwa Hot traffic then ananunua bidhaa/huduma
.
Hii ni Automated system Ndio maana kuna kitu kinaitwa..👇🏻
Jinsi ya Kutengeneza KOZI Yako Mtandaoni BURE...
.
... Najua Kuna wengi wanahitaji Kutengeneza na kuuza Kozi online lakini wanatishwa na Gharama za Softwares za Kutengenezea Kozi
.
Ni kweli ni ghali sana—lakini vipi Kama Nitakwambia kuna mbadala wa BURE?..👇🏻
Kama bado unaanza uhitaji kulipia softwares expensive kama—Camtasia ili Kutengeneza Kozi yako
.
...anza na zile za Free kwanza ili kupata Proof of concept ya Kozi yako kutoka kwa wateja
.
Kabla hujapata Kibali cha soko usiingie katika mtego wa magharama ya 👇🏻
Ajabu ajabu na mwisho wa siku unaingiza Kozi Sokoni inabuma
.
Mimi mpaka sasa bado natumia free version ya—Screencast-o-matic Kutengenezea Kozi zangu FREE!
.
Fanya Hivi kama kuna kitu unakijua vyema na ungetamani kukiuza kama Kozi
.
👇🏻
SIRI 11 Nilizojifunza Kutoka Kwenye Kitabu Cha—“Sell Like Crazy” By Sabri-Suby—Ambazo Zitakunufaisha Pia Katika Biashara yako...
.
...sell like Crazy ni miongoni mwa vitabu maarufu sana kwa sasa katika Soko la Mtandaoni yaani—Digital Marketing
.
[SUMMARY]👇🏽
Kitabu kina madini mengi sana ila nitaandika Kwa ufupi sana yale ya muhimu tu...
.
Hizi ndizo—SIRI nilizoziona zina umuhimu wa ku-share na watu wangu wa Nguvu Leo....
.
1). Ni 4% ya kazi za muhimu Zaidi zinaingiza hela katika biashara yako na 96% 👇🏽
Ya kazi katika biashara yako aidha zinakupotezea Muda, Pesa au zinaingiza hela kidogo sana katika biashara yako...
.
Kazi yako kama mwenye biashara ni kuweka Nguvu Kubwa katika 4% na zile 96% zifanywe na watu wengine
.
Kinyuma na hapo utaingia katika 👇🏽
Kama Kila Mtu Ananunua—Sasa Kwanini Wewe Hauuzi?...
.
...Kama bado unahangaika kuuza bidhaa/huduma yako—basi Kuna uwezekano mkubwa sana hizi ndizo Sababu zinazokukosesha mauzo kila siku...
.
[UZI MFUPI]...👇🏽
Kama bidhaa/huduma yako haiuziki—basi jua kabisa tatizo halipo kwenye bidhaa yako —bali Tatizo lipo Kwako mwenyewe
.
...kwasababu kipengele muhimu Zaidi kwenye mfumo mzima wa kuuza ni—Muuzaji mwenyewe
Na Sababu zinagharimu mauzo yako kila siku ni hizi hapa👇🏽
1). Unauza bidhaa/huduma yako kwa wateja wako—badala ya kuwasaidia kununua
.
Hakuna mtu anaenunua bidhaa—watu hununua utatuzi wa matatizo yao
.
...pia hakuna mtu anaependa kuuziwa ila kila mtu anapenda Kununua
.
Kwahiyo acha kuuza—anza kuwasaidia kununua👇🏽