Readwise ni njia moja wapo inakusaudia kutunza uzi za twitter. Ila eeh! 😠ni ya kulipia. Sio hela nyingi kama unapenda kutunza madini unayo pata ni Tsh. 9,000 tu kwa mwezi.
Wanakupa mwezi mmoja bure kisha utaanza lipia baada ya hapo.
Tofauti na hizi bots nyingine. UnrollThread haikuhitaji uandike neno lingine lolote. Unachotakiwa kufanya ni kutag tu hii bot kwenye uzi unaotaka.
Yenyewe itareply kwa link unayoweza tumia kusoma uzi wakona inakupa na pdf kabisa.
Madini mepesi mepesi kwa wikiendi 😁 Binafsi natumia zaidi bookmark ya twitter na @threadreaderapp pale ambapo mtu asiye na twitter akihitaji kuelewe kitu ambacho nimewahi andikia uzi.
Unapendelea kutumia ipi?
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Whatsapp ni mtandao wenye watumiaji takribani 2 billion dunia nzima. Mtandao huu umekuwa maarufu kwa sababu umerahisisha sana mawasiliano kwa njia ya Internet.
Hivi karibuni huenda Whatsapp web ikabaki kujitemea bila uhitaji wa Mobile version.
Whatsapp Web ni version ya Whatsapp ambayo hutumika kwenye browser za computer au kwenye app ya Whatsapp ya Windows au MacOS.
Whatsapp web inabeba text, zile zile ambazo unazion kwenye simu yako. Kwa maana hiyo inatumia akaunti yako ile ile.
Ili utumie Whatsapp Web ilikuwa ni lazima ile ya kwenye simu iwepo online na ya PC pia iwepo online.
Hili litabadilika hivi karibuni baada ya Whatsapp kuanza fanyia kazi version ambayo haitahitaji zote mbili kuweo online.
African Network Information Centre (AFRINIC) taasisi ambayo toka mwaka 2005 ilipewa mamlaka ya kusambaza anawani za kimtandao (IP addresses) barani Afrika ipo hatarini kushindwa kuendelea kufanya kazi.
Utakubali kuhudumiwa na Muuguzi Roboti Hospitalini?
UVIKO-19 umebadilisha sana mwenendo wa maisha yetu ndani ya miaka 2 iliyopita. Nani aliwaza kwamba leo hii kufanya kazi kutoka nyumbani ingekuwa ni kitu kinachopewa kipaumbele hivi?
🧵
Katika jitihada za kuokoa maisha ya watu wengi zaidi duniani, tumeona uundaji wa roboti ambao wanachukua nafasi za wauguzi katika hospitali.
Kampuni ya Hanson huko Hong Kong imekuja na roboti huyu mwenye muonekano wa kibinadamu.
Amepewa jina la "Grace".
Hanson robotics kwa wale msioifahamu, ni kampuni ile ile ambayo ilimtengeneza Sophia. Roboti mmoja maarufu sana duniani.
Sophia alipewa uraia wa Saudi Arabia. Na sasa Hanson robotics wanatuletea Grace.
Grace atahusika zaidi kutoa huduma kwa wagonjwa wa UVIKO-19 hospitalini.
Kutaka kutupia PC ni ili kuboresha ufanisi wa kazi na kuongeza spidi ya kufanya kazi.
Bahari mbaya Windows huwa si rafiki kwetu siku zote katika hili. Unaweza hitaji kukamilisha kazi haraka, lakini windows ikakufedhehesha.
Somo la leo ni jinsi ya kuongeza spidi ya win10.
UZI
Windows 10 imeboreshwa sana ukilinganisha na matoleo ya nyuma ya Windows. Inafanya vizuri sana kwa PC ambazo zimekidhi vigezo, shida huwa kwa PC za kizamani.
PC hizi hazina uwezo mzuri kubeba hii OS, hivyo mara nyingi watumiaji wake huwa wakilalamika kuhusu ubora wa Win10.
Twende moja kwa moja kuangalia ni kwa namna gani tunaweza ongeza spidi ya Win10.
MUHIMU: Hacks hizi ni zile anazoweza fanya mtu yeyote.