Kama Unataka Kuuza VIWANJA Mtandaoni Basi Soma Hii...
.
...Mwezi wa Saba (07/2021) Kelvin alinipigia simu akiwa ameshajikatia tamaa Kabisa
.
Kelvin ni afisa masoko katika Kampuni moja Kubwa Tu ya Real estates Hapa Arusha (wanauza viwanja Online)
.
👇🏻
Changamoto Ambapo zilikuwa ninamyima usingizi Kelvin katika kazi yake ya kutangaza na kuuza viwanja mtandaoni ni Hizi Hapa....
.
1). Alikuwa hawezi kabisa Kuandika CAPTIONS za Kuuza Viwanja Online
.
2). Kila alipokuwa akiposti picha za viwanja kwenye👇🏻
Accounts zake za Facebook & Instagram anaishia kuambulia Comments na Likes Bila mteja hata mmoja
.
3). Wengi waliokuwa wanampigia simu wanaishia kuulizia na kumwambia watamcheki kisha wanapotea mazima
.
...hali Hii ilikuwa inammaliza sana Nguvu Kelvin
.
👇🏻
Baada ya kunielezea hizo changamoto zake kwenye Simu week inayofuata nakumbuka Ilikuwa ni siku ya jumatano akanialika ofisi kwake
.
...kwakuwa tayari alishanielezea changamoto yake na huwa ni msomaji mzuri sana wa Uzi zangu Hapa Twitter kama wewe
.
👇🏻
Basi alihitaji kusikia maoni yangu Juu ya njia mbadala ya kupata wateja na Kuuza Viwanja vyake mtandaoni tofauti na ile inayofanywa na wengi ya kupiga picha viwanja na Kupost mtandaoni
.
Nje ya hiyo pia ameshatumia njia Zifuatazo bila mafanikio yoyote👇🏻
—Ameshafanya Matangazo ya kulipia Facebook &Instagram lakini was wapi (Sponsored Ads)
.
—Ameshatumia Influencers Mfano wasanii na watu wenye followers wengi wamtangazie kwenye Pages zao lakini hakuna anachoambulia zaidi Likes, Comments na kuulizia bei kisha👇🏻
Wanapotea jumla
.
...Vipi umeshawahi kukutwa na hali Kama Hii ya kelvin kwenye biashara yako?...
.
“Kusema Ukweli INAKERA mno!”
.
Basi bhana...
.
Baada ya kukutana na Kelvin ofisini kwake huu Ndio USHAURI niliompa ambao unaweza Kuutumia pia katika Biashara👇🏻
Yako...
.
Kupiga picha za viwanja na Kupost kwenye Accounts zako za Facebook & Instagram sio kitu Kibaya ila Tatizo Ni kwamba kila mtu anafanya hivyo hivyo
.
wateja wameshazoea kukutana na Matangazo ya viwanja kila kona
.
Kwahiyo hawataona Utofauti wowote👇🏻
Kati yako na wauzaji wengine
.
Na hiyo njia katika soko la sasa inaitwa—Old Approach!
.
...Yaani njia ya Kizamani iliyopitwa na Wakati
.
Kwanini imepitwa na Wakati?...
.
Kwanza....
.
Inaonesha wewe ni Muuzaji Kama wauzaji wengine sio mtaalamu
.
👇🏻
Watu hawapendi Kununua vitu kutoka kwa wauzaji wanapenda Kununua vitu kutoka kwa Wataalamu yaani—Experts
.
Pia ni ngumu sana watu Kukuamini kwasababu viwanja vinahusisha mpunga mrefu kwahiyo jinsi unavyojiweka Sokoni Ina Nguvu zaidi kuliko unavyodhani👇🏻
Vile vile viwanja haviuzwi Kwenye Maandishi vinauzwa kwenye simu kwasababu vipo katika kundi linaloitwa—High Ticket Sales
.
Kwahiyo basi unachotakiwa kufanya ili kupindua meza ya matokeo ni Kutumia—New Approach!
.
Je Hii New Approach inasemaje?...
.
👇🏻
Ongeza Popcorn 🍿😀
.
Unachotakiwa kufanya ni hiki Hapa...
.
Tafuta Camera man mzuri kisha Piga picha nzuri za viwanja
.
Halafu chukua hizo picha ziweke ndani ya ebook (Zitengenezee Ebook yake)
.
Halafu ndani ya ebook jumuisha Vitu Vifuatavyo....
.
👇🏻
1). Picha za Viwanja
.
2). Location yake
.
3). Huduma za kijamii za karibu na kiwanja husika
.
4). Bei ya viwanja Pamoja na mfumo wa Utaratibu wa kulipia viwanja
.
Mfano...
.
Kulipia kwa awamu (installment) nk
.
Halafu Mwisho wa hiyo ebook weka kitu👇🏻...
Kinachoitwa—Call to Action
.
Yaani Waambie cha kufanya ili wapate hiyo OFA ya Viwanja
.
...baada ya Hapo hiyo ebook unaitoa BURE kwa wote wenye uhitaji wa viwanja katika eneo hilo kisha Kusanya Namba zao za Simu
.
Umesoma mchezo hapa?
.
Okay Game ipo Hivi 👇🏻
Hiyo ebook Ni CHAMBO ya kutupatia Namba za simu za wale tu wenye interest na viwanja kisha utauza viwanja kwenye Following up Calls—Vipi Umepata picha?...
.
Ipo Hivi...
.
Kwenye page zako za Facebook & Instagram utatangaza Kwamba 👇🏻
Unatoa BURE ebook yenye picha za viwanja Vipya katika eneo husika kisha unawaambia waje WhatsApp ili kupata hiyo ebook ya BURE
.
Lakini lengo lako wewe ni kupata Namba zao za simu ambazo utazitumia baadae kufanya follow up na kuuza kwenye simu then booom👇🏻
Mtu akishapata ebook ndani anakutana na picha za viwanja, eneo, Bei then mwisho wa ebook kuna Call to Action ya kupiga simu haraka ili kupata OFA ya kiwanja anachokipenda
.
No pressure au sio 😂
.
Kwahiyo ebook ndiyo inayokuuzia viwanja
.
Na utauza kwa 👇🏻
Kwa njia mbili....
.
Ya kwanza ni Wao kukupigia simu wenyewe na ya Pili ni wewe kuwapigia simu
.
Na Hapa Ndio unapokuja umuhimu wa ujuzi unaoitwa Closing skills wenye uwezo wa kuuza kwenye simu
.
Baada ya hapo nikampa Kelvin zawadi ya vitabu viwili...
.
👇🏻
Kitabu cha kwanza kinaitwa MGODI chenye ujuzi wa Copywriting Skills (Wengi mnakijua na mnalijua vyema balaa lake)
.
Na Kingine kinaitwa HELA chenye ujuzi unaoitwa Closing skills
.
Najua utajiuliza Nyanda Kwanini ulimpa Hivyo vitabu viwili?...
.
Swali zuri👇🏻
Ili awe na uwezo wa Kuandika Matangazo yake mwenyewe Pamoja na uwezo wa kuuza kwenye simu kwa wale wateja wanaompigia simu na anaowapigia yeye simu
.
...Baada ya mwezi mmoja Kelvin Alinipigia simu huku anacheka akaniambia
.
Mzee kidogo niikimbie simu yangu 👇🏻
Sio kwa mvua hiyo ya wateja wanaohitaji ebook😂
.
Kelvin katoka kwenye kuambulia like na comments mpaka kupokea mvua ya Wateja WhatsApp baada Tu ya kujenga ujuzi unaoitwa Copywriting Skills
.
...kwahiyo kitu cha kujifunza kutoka kwa Kelvin Ni kwamba 👇🏻
Pesa hazipo kwenye Bidhaa/huduma unayouza zipo kwenye uwezo wako wa kuuza hiyo bidhaa/huduma
.
...kwahiyo badala ya kuilaumu bidhaa na washindani wako Jenga ujuzi wa Kuuza mtandaoni unaoitwa Copywriting Skills
.
Hicho ndicho kilichomuokoa Kelvin 👇🏻
Kelvin Sasahivi kazi pekee aliyonayo ni kupiga simu na kuwapeleka wateja wapya site Kuangalia viwanja
.
...na kila siku wateja wapya wanamiminika WhatsApp kuhitaji ebook ya viwanja vipya
.
Hatangazi tena Viwanja kama wengine
.
I hope Umepata kitu kipya!

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with AmosiNyanda

AmosiNyanda Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @NyandaAmosi

29 Sep
MAKOSA 7 ya Kuepuka Unapouza Bidhaa Kwenye WhatsApp STATUS Yako...
.
....Kama Umekuwa ukipost bidhaa kwenye WhatsApp status yako kisha watu wakaishia Kuview Tu bila Kununua basi kuna uwezekano unafanya kosa mojawapo kati ya haya 7
.
[MADINI TIME]👇🏻
Kabla sijakwambia hayo makosa ngoja nikusanue kwanza kuhusu huu mchongo mpya wa kutumia WhatsApp Status yako kupiga hela badala ya Kupost Memes!
.
...moja ya platform yenye uwezo wa kukufanyia mauzo mengi mtandaoni ni WhatsApp yako
.
👇🏻
Hivi ukipost kitu kwenye whatsApp status yako huwa unapata Viewers wangapi?...
.
Kama unapata views Kuanzia 100+ na bado hautengenezi Pesa basi unaacha hela mezani
.
Kwanini?...
.
Kwasababu hao ni Wateja wako watarajiwa
.
Tena wapo katika kundi la wateja 👇🏻
Read 24 tweets
18 Aug
Je Kitu Hiki Kinakuzuia Kutengeneza Pesa Mtandaoni?
.
Hata kama umeshajaribu kila njia ya Kutengeneza Pesa mtandaoni na Umefeli basi njia hii ni uhakika 100%
.
...LAKINI Kabla sijaendelea Mbele zaidi ngoja nikuibie Siri Hii kuhusu Kutengeneza Pesa mtandaoni👇🏻
“Pesa Hazipo Mtandaoni—Zipo Kwako”
.
Najua nimekuacha au sio?...usijali maana yake ni Hii Hapa chini...
.
Hata kama una bidhaa au huduma nzuri kiasi gani kama hauna ujuzi wa kuuza basi huwezi kuona hela yoyote mtandaoni
.
...kufeli na kufanikiwa kwa👇🏻
Biashara yoyote mtandaoni haina uhusiano wowote na bidhaa/huduma—Anayewajibika kwa kila kitu ni Muuzaji
.
...kwasababu Pesa hazipo kwenye Bidhaa/huduma yako zipo kwenye uwezo wako wa kuuza (your Ability to Communicate it’s VALUE)
.
👇🏻
Read 19 tweets
3 Aug
⚠️ ANATAFUTWA : Mtu Wa Kuungana na Raphael Kutengeneza Zaidi ya Tshs 650,000+ Kila Mwezi Mtandaoni...
.
...Hata Kama hujawahi Kuuza chochote Mtandaoni Hii STORY ya Raphael Itakuacha Mdomo wazi (sio Vigumu kama Jinsi unavyoambiwa)
.
Ilikuwa 03/11/2020👇🏻...
Ndio siku ambayo raphael alinicheki DM baada ya kuona uzi wangu Juu ya ujuzi wa Copywriting Hapa Twitter...
.
...akaniambia—“brother mimi nafanya Affiliate marketing na soko langu ni la nje”
.
Mimi Sina Bidhaa yoyote Ila napiga mpunga mzuri tu online kwa👇🏻
Kupromote bidhaa pamoja na huduma za watu wengine then nalamba Commission kwenye kila sales inayofanyika Pamoja na njia zingine Kama per Clicks nk”
.
LAKINI....
.
Bado kuna changamoto ambazo zilikuwa zinamyima usingizi Raphael katika biashara yake👇🏻
Read 21 tweets
17 Jun
Jinsi ya Kutengeneza MFUMO wa Kuuza Kwenye WhatsApp Yako Bila Kuchati na Mteja—(Simple Automated Sales Funnel)

...Kama Umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kuuza kwenye WhatsApp yako bila kupoteza Muda wako kuchati na wateja wengi basi soma mpaka Mwisho

[UZI]👇🏻
Moja ya changamoto Kubwa ya kuuza kirahisi mtandaoni ni kupata kitu kinachoitwa—“Automated Conversion Mechanism”
.
...Yaani mfumo unaomtoa mteja kutoka social media’s (Fb, Instagram, Twitter, Youtube nk) na kumfanya aingie mfukoni atoe hela kisha anunue👇🏻
Kile unachokiuza bila wewe kuhusika moja kwa moja kwenye mchakato mzima wa kuuza
.
...Hicho kitu kinaitwa—FUNNEL (Automated)

Na biashara nyingi mtandaoni tatizo halipo kwenye Bidhaa/huduma zao tatizo lipo kwenye Funnel

...Hii funnel unatengeneza mwenyewe👇🏻
Read 20 tweets
10 Jun
Jinsi Dkk 45 Za @GillsaInt Zilivyozaa Tshs 1,020,000 Ndani ya Siku 7 Tu...
.
...nakumbuka ilikuwa ni 22/04/2021 Siku ya Alhamisi Mida ya Saa Sita Hivi mchana nikiwa nimetulia getoni kwangu maeneo ya Moshono Arusha
.
Ndipo simu yangu ilipoita....
.
[MADINI]👇🏻
Kuangalia jina limetokea—“Gillsant Swahili Digital” (ndivyo nilivyosave)
.
Hii ilikuwa kama Surprise kwangu bila kuwaza mara Mbili nikapokea...
.
Tuliongea vitu vingi sana kuhusu online business ila kilicholeta hayo matokeo ni Kitu Kinachoitwa—Funnel👇🏻...
FUNNEL—ni mfumo maalumu wa online unaomtoa mteja kutoka Social media akiwa Cold Traffic mfumo wenyewe unampasha anakuwa Warm Traffic kisha unamfanya Kuwa Hot traffic then ananunua bidhaa/huduma
.
Hii ni Automated system Ndio maana kuna kitu kinaitwa..👇🏻
Read 20 tweets
8 Jun
Jinsi ya Kutengeneza KOZI Yako Mtandaoni BURE...
.
... Najua Kuna wengi wanahitaji Kutengeneza na kuuza Kozi online lakini wanatishwa na Gharama za Softwares za Kutengenezea Kozi
.
Ni kweli ni ghali sana—lakini vipi Kama Nitakwambia kuna mbadala wa BURE?..👇🏻
Kama bado unaanza uhitaji kulipia softwares expensive kama—Camtasia ili Kutengeneza Kozi yako
.
...anza na zile za Free kwanza ili kupata Proof of concept ya Kozi yako kutoka kwa wateja
.
Kabla hujapata Kibali cha soko usiingie katika mtego wa magharama ya 👇🏻
Ajabu ajabu na mwisho wa siku unaingiza Kozi Sokoni inabuma
.
Mimi mpaka sasa bado natumia free version ya—Screencast-o-matic Kutengenezea Kozi zangu FREE!
.
Fanya Hivi kama kuna kitu unakijua vyema na ungetamani kukiuza kama Kozi
.
👇🏻
Read 14 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(