MAKOSA 7 ya Kuepuka Unapouza Bidhaa Kwenye WhatsApp STATUS Yako...
.
....Kama Umekuwa ukipost bidhaa kwenye WhatsApp status yako kisha watu wakaishia Kuview Tu bila Kununua basi kuna uwezekano unafanya kosa mojawapo kati ya haya 7
.
[MADINI TIME]👇🏻
Kabla sijakwambia hayo makosa ngoja nikusanue kwanza kuhusu huu mchongo mpya wa kutumia WhatsApp Status yako kupiga hela badala ya Kupost Memes!
.
...moja ya platform yenye uwezo wa kukufanyia mauzo mengi mtandaoni ni WhatsApp yako
.
👇🏻
Hivi ukipost kitu kwenye whatsApp status yako huwa unapata Viewers wangapi?...
.
Kama unapata views Kuanzia 100+ na bado hautengenezi Pesa basi unaacha hela mezani
.
Kwanini?...
.
Kwasababu hao ni Wateja wako watarajiwa
.
Tena wapo katika kundi la wateja 👇🏻
Linaloitwa—HOT leads/Traffic
.
Kwanini?...
.
...KWASABABU
.
Wanakujua...
.
Wanakupenda...
.
Na...wanakuamini
.
Ukiwa na mtu mwenye sifa zote hizo tatu Kumuuzia Bidhaa/huduma ni kama kumsukuma mlevi Tu
.
...katika soko la sasa la internet 👇🏻
Hakuna kitu chenye Thamani kwako kama Kuwa na...
.
Namba ya simu ya mteja wako mtarajiwa
.
Au...
.
E-mail ya mteja wako mtarajiwa
.
Ukiwa na kitu kimojawapo kati ya Hicho basi huna kabisa haja ya kulala njaa
.
Kwanini?...
.
Kwasababu Pesa Zipo kwenye LIST👇🏻
Kwahiyo tumia WhatsApp status yako kama jukwaa la kuuza bidhaa/huduma yako kwasababu tayari soko unalo mkononi mwako
.
Najua utajiuliza Huyu jamaa analiongelea soko gani mkononi mwangu?...
.
Okay Upo sahihi Soko lako ni Namba za Simu za watu ulizonazo👇🏻
Kwahiyo geuza hizo namba za watu ulizonazo Kuwa wateja wa bidhaa/huduma yako
.
Na hata Kama Hauna bidhaa yoyote tangaza Bidhaa ya mtu yeyote kisha kula Commission au unasemaje?...😀
.
Kwahiyo kitu pekee unachotakiwa Kuwa nacho ni Ujuzi wa Kutumia hiyo👇🏻
Platform ya WhatsApp Status yako kuuza bidhaa yako—Kwasababu Pesa hazipo kwenye platform wala kwenye Bidhaa unayoiuza
.
...Pesa zipo kwenye uwezo wako wa kuuza hiyo Bidhaa yaani—your Ability to communicates its VALUE
.
Na huyo ujuzi ninaouongelea Hapa👇🏻
Unaitwa....
.
Ndio Upo sahihi ni—Copywriting Skills
.
Yaani uwezo wa kutumia Maandishi kuuza Bidhaa mtandaoni (Unatekenya Maandishi mpaka yatapike hela)
.
Hata sio vigumu kama Jinsi wanavyokwambia Ni Muda wako na commitment yako kujifunza
.
👇🏻
Mimi nakuamini unaweza kabisa
.
Okay tuache mbwembwe sasa turudi kazini au sio?...
.
Haya Hapa MAKOSA 7 ya Kuepuka Pindi Unapouza Bidhaa/huduma Kwenye WhatsApp Status yako
.
...na kosa la Kwanza kabisa linalowanyima wengi mauzo ni hili Hapa 👇🏻
1). Kupost Picha Tupu Bila CAPTIONS yoyote...
.
Ukweli ni kwamba kinachouza bidhaa kwenye maandishi sio picha ni Caption ya picha
.
Ukipost picha ya Bidhaa pekee Kwenye WhatsApp status yako hapo utakuwa hujauza hiyo bidhaa bali—UMEONESHA
.
👇🏻
Watu hawanunui bidhaa, wananunua Kile kinachofanywa na bidhaa kwao—Watu hujinunua wao Bora zaidi baada ya kumiliki bidhaa yako
.
...kwahiyo Waambie bidhaa yako Inatatua changamoto gani na inawatoa kwenye maumivu gani
.
👇🏻
2). Kuwaambia Watu Kuwa Una Mzigo wa KUTOSHA au Mzigo Upo wa Kutosha...
.
Kama mzigo Upo wa kutosha kwanini ninunue Leo na sio kesho au kesho kutwa?
.
Adui mkubwa hapa ni hilo neno—WAKUTOSHA
.
Kwanini?...
.
Kwasababu kinachowafanya watu Wanunue vitu ni FOMO👇🏻
Yaani Hofu ya Kukosa...
.
FOMO ni kifupisho cha Maneno—“Fear Of Missing Out” (Hofu ya Kukosa)
.
Kwahiyo unaposema kuna Mzigo wa kutosha maana yake Ni kwamba hakuna haraka yoyote ya Kununua sasahivi
.
Na kadri unavyompa mteja wako Muda mrefu wa kufikiri👇🏻
Kuhusu Kile unachokiuza ndivyo unavyomkosa
.
Watu hawanunui vitu bila kupewa sababu ya Kununua
.
Weka Uhaba wa Muda na Uhaba wa Idadi ili kuonesha hofu ya Kukosa Kile unachokiuza
.
(Time limit & Quantity limit)

Waambie wasiponunua sasahivi Nini kitatokea👇🏻
3). Kutokuweka Bei kwenye bidhaa yako...
.
Kutokuweka Bei kwenye bidhaa yako kunaibua maswali mengi sana kichwani kwa mteja
.
Ikiwemo....
.
Hofu ya—Kupigwa
.
Au...
.
Hofu ya—Kuuziwa cha Juu
.
...pia ni ishara ya kutojiamini na Kile unachokiuza
.
Kwahiyo👇🏻
Weka Bei kwenye post zako za WhatsApp status
.
4). Kutengeneza TAIRI Kwenye WhatsApp status yako...
.
Na Hili ni tatizo sugu sana kwetu
.
...Ukweli ni huu Hapa...
.
Ukimpa binadamu chaguo nyingi kwa Wakati mmoja Ghafla huwa anapatwa na tatizo la 👇🏻
Kisaikolojia Linaloitwa—Analysis Paralysis
.
Yaani anashindwa kufanya maamuzi gani anabaki kama Jinsi Jinsi alivyo
.
Ndio maana ukiweka tairi kwenye status zako watu wanaishia kuview tu na kupita hakuna anayenunua wala Kuuliza Bei
.
Unadhani ni kwanini?👇🏻
Ni kwasababu wameshapigwa na Analysis Paralysis
.
Najua utajiuliza sasa tunatokaje Nyanda kwenye huu msala?...
.
RELAX...
.
Tunachomoka Hivi...
.
Tumia Siri ya kuuza inayoitwa—“The 3 Boxes Method”
.
Inafanyaje kazi?....
.
Angalia Hapa chini👇🏻
Hakikisha unapost picha tatu tatu Tu Kwenye WhatsApp status yako
.
Binadamu akipewa chagua tatu kwa Wakati mmoja anachagua kile cha kati kati
.
Yaani unapost post tatu kila baada ya Muda fulani na kile cha kati kati ndicho wengi watakachokinunua
.
👇🏻
5). Kuna bei pekee Bila Uthamani wa bidhaa
.
Hii kitaalamu inaitwa—Price Anchoring”
.
Mfano...
.
Bidhaa Hii kwa Leo inauzwa Tshs 20K Tu lakini Thamani yake ni Tshs 50K
.
Hapo kuna Thamani na bei
.
Sasa wengi wanaweka Bei pekee Bila Uthamani Hilo kosa👇🏻
Linalokunyima mauzo kila siku
.
Okay...Naona Twitter wameniambia maneno yamekuwa mengi sana siwezi kuendelea...
.
Ila haya madini nimeyachomoa Tu kwa Siri kwenye Kozi yangu Mpya inayoitwa—WhatsApp-ship
.
Yenye siri za Kuuza Kwenye WhatsApp Status yako👇🏻
Sijaitoa bado inatoka October Hii na Thamani yake itakuwa ni Tshs 79K
.
...LAKINI Kama unataka nitakuuzia kwa Siri kwa EXCLUSIVE OFA ya Tshs 30K Tu—Nitumie Ujumbe DM Sasahivi
.
I hope Umejifunza kitu au sio?..
.
Basi Usiache KURETWEET na wengine wajifunze👇🏻
Na Kama hujanifollow basi Fanya Hivyo sasahivi ili usipitwe na madini Kama haya kila siku!
.
Have a Nice day—Cheers 🍷
.
@mafolebaraka @LeyAllyie @Raphahustler @ally_eh @GillsaInt @AbilMdone @medardraymond @CarolNdosi

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with AmosiNyanda

AmosiNyanda Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @NyandaAmosi

27 Sep
Kama Unataka Kuuza VIWANJA Mtandaoni Basi Soma Hii...
.
...Mwezi wa Saba (07/2021) Kelvin alinipigia simu akiwa ameshajikatia tamaa Kabisa
.
Kelvin ni afisa masoko katika Kampuni moja Kubwa Tu ya Real estates Hapa Arusha (wanauza viwanja Online)
.
👇🏻
Changamoto Ambapo zilikuwa ninamyima usingizi Kelvin katika kazi yake ya kutangaza na kuuza viwanja mtandaoni ni Hizi Hapa....
.
1). Alikuwa hawezi kabisa Kuandika CAPTIONS za Kuuza Viwanja Online
.
2). Kila alipokuwa akiposti picha za viwanja kwenye👇🏻
Accounts zake za Facebook & Instagram anaishia kuambulia Comments na Likes Bila mteja hata mmoja
.
3). Wengi waliokuwa wanampigia simu wanaishia kuulizia na kumwambia watamcheki kisha wanapotea mazima
.
...hali Hii ilikuwa inammaliza sana Nguvu Kelvin
.
👇🏻
Read 23 tweets
18 Aug
Je Kitu Hiki Kinakuzuia Kutengeneza Pesa Mtandaoni?
.
Hata kama umeshajaribu kila njia ya Kutengeneza Pesa mtandaoni na Umefeli basi njia hii ni uhakika 100%
.
...LAKINI Kabla sijaendelea Mbele zaidi ngoja nikuibie Siri Hii kuhusu Kutengeneza Pesa mtandaoni👇🏻
“Pesa Hazipo Mtandaoni—Zipo Kwako”
.
Najua nimekuacha au sio?...usijali maana yake ni Hii Hapa chini...
.
Hata kama una bidhaa au huduma nzuri kiasi gani kama hauna ujuzi wa kuuza basi huwezi kuona hela yoyote mtandaoni
.
...kufeli na kufanikiwa kwa👇🏻
Biashara yoyote mtandaoni haina uhusiano wowote na bidhaa/huduma—Anayewajibika kwa kila kitu ni Muuzaji
.
...kwasababu Pesa hazipo kwenye Bidhaa/huduma yako zipo kwenye uwezo wako wa kuuza (your Ability to Communicate it’s VALUE)
.
👇🏻
Read 19 tweets
3 Aug
⚠️ ANATAFUTWA : Mtu Wa Kuungana na Raphael Kutengeneza Zaidi ya Tshs 650,000+ Kila Mwezi Mtandaoni...
.
...Hata Kama hujawahi Kuuza chochote Mtandaoni Hii STORY ya Raphael Itakuacha Mdomo wazi (sio Vigumu kama Jinsi unavyoambiwa)
.
Ilikuwa 03/11/2020👇🏻...
Ndio siku ambayo raphael alinicheki DM baada ya kuona uzi wangu Juu ya ujuzi wa Copywriting Hapa Twitter...
.
...akaniambia—“brother mimi nafanya Affiliate marketing na soko langu ni la nje”
.
Mimi Sina Bidhaa yoyote Ila napiga mpunga mzuri tu online kwa👇🏻
Kupromote bidhaa pamoja na huduma za watu wengine then nalamba Commission kwenye kila sales inayofanyika Pamoja na njia zingine Kama per Clicks nk”
.
LAKINI....
.
Bado kuna changamoto ambazo zilikuwa zinamyima usingizi Raphael katika biashara yake👇🏻
Read 21 tweets
17 Jun
Jinsi ya Kutengeneza MFUMO wa Kuuza Kwenye WhatsApp Yako Bila Kuchati na Mteja—(Simple Automated Sales Funnel)

...Kama Umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kuuza kwenye WhatsApp yako bila kupoteza Muda wako kuchati na wateja wengi basi soma mpaka Mwisho

[UZI]👇🏻
Moja ya changamoto Kubwa ya kuuza kirahisi mtandaoni ni kupata kitu kinachoitwa—“Automated Conversion Mechanism”
.
...Yaani mfumo unaomtoa mteja kutoka social media’s (Fb, Instagram, Twitter, Youtube nk) na kumfanya aingie mfukoni atoe hela kisha anunue👇🏻
Kile unachokiuza bila wewe kuhusika moja kwa moja kwenye mchakato mzima wa kuuza
.
...Hicho kitu kinaitwa—FUNNEL (Automated)

Na biashara nyingi mtandaoni tatizo halipo kwenye Bidhaa/huduma zao tatizo lipo kwenye Funnel

...Hii funnel unatengeneza mwenyewe👇🏻
Read 20 tweets
10 Jun
Jinsi Dkk 45 Za @GillsaInt Zilivyozaa Tshs 1,020,000 Ndani ya Siku 7 Tu...
.
...nakumbuka ilikuwa ni 22/04/2021 Siku ya Alhamisi Mida ya Saa Sita Hivi mchana nikiwa nimetulia getoni kwangu maeneo ya Moshono Arusha
.
Ndipo simu yangu ilipoita....
.
[MADINI]👇🏻
Kuangalia jina limetokea—“Gillsant Swahili Digital” (ndivyo nilivyosave)
.
Hii ilikuwa kama Surprise kwangu bila kuwaza mara Mbili nikapokea...
.
Tuliongea vitu vingi sana kuhusu online business ila kilicholeta hayo matokeo ni Kitu Kinachoitwa—Funnel👇🏻...
FUNNEL—ni mfumo maalumu wa online unaomtoa mteja kutoka Social media akiwa Cold Traffic mfumo wenyewe unampasha anakuwa Warm Traffic kisha unamfanya Kuwa Hot traffic then ananunua bidhaa/huduma
.
Hii ni Automated system Ndio maana kuna kitu kinaitwa..👇🏻
Read 20 tweets
8 Jun
Jinsi ya Kutengeneza KOZI Yako Mtandaoni BURE...
.
... Najua Kuna wengi wanahitaji Kutengeneza na kuuza Kozi online lakini wanatishwa na Gharama za Softwares za Kutengenezea Kozi
.
Ni kweli ni ghali sana—lakini vipi Kama Nitakwambia kuna mbadala wa BURE?..👇🏻
Kama bado unaanza uhitaji kulipia softwares expensive kama—Camtasia ili Kutengeneza Kozi yako
.
...anza na zile za Free kwanza ili kupata Proof of concept ya Kozi yako kutoka kwa wateja
.
Kabla hujapata Kibali cha soko usiingie katika mtego wa magharama ya 👇🏻
Ajabu ajabu na mwisho wa siku unaingiza Kozi Sokoni inabuma
.
Mimi mpaka sasa bado natumia free version ya—Screencast-o-matic Kutengenezea Kozi zangu FREE!
.
Fanya Hivi kama kuna kitu unakijua vyema na ungetamani kukiuza kama Kozi
.
👇🏻
Read 14 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(