MPYA : Jinsi ya Kupata “HEADLINE” Ya Tangazo Lako Chini ya Sekunde 60 Tu...
.
...Kama Umekuwa ukipata shida ya kupata HEADLINE ya Tangazo, Copy, Uzi au Makala yako basi Hii Hapa FORMULA ya Kutumia
.
Ndio Upo Sahihi—“It’s MADINI TIME”👇🏻
Kwanza kabla ya kuendelea Naomba nikiri kwamba hizi FORMULA zimezichomoa kwa Siri kutoka kwenye ebook mpya ya Copywriting Skills inayoitwa—MGODI 2.0
.
...Ukweli Ni kwamba Copywriters Hutumia 90% ya Muda Wao Kuandika Headline pekee kwenye Matangazo yao?
.
👇🏻
Najua utajiuliza ni kwanini?...(Swali zuri sana)
.
Ukweli ni huu Hapa...
.
60% ya wateja husoma Headline tu kwenye Tangazo
.
David Ogilvy aliwahi Kusema 80% ya Pesa zako kwenye Tangazo lako zipo kwenye Headline ya Tangazo
.
...na sasahivi Attention span👇🏻
Ya wateja imepungua kutoka sekunde 8 mpaka sekunde 4 Tu
.
...na HEADLINE yako lazima ifanye kazi mbili kwenye Tangazo lako
.
Ambazo ni...
.
1). Kuteka ATTENTION ya mteja wako na kumfanya aache kila kitu anachokifanya na asome Tangazo lako...
.
👇🏻
Na...
.
2). Kumtengenezea KIU ya kusoma mstari unaofuata yaani opening paragraph
.
...Ukiuza au kutangaza bidhaa yako kwenye Headline yako—Tayari umeshapoteza
.
Najua utasema kwanini?
.
Jibu ni kwamba watu huwa hawapendi Kuuziwa vitu ila wanapenda kununua👇🏻
Kwahiyo Headline yako inatakiwa iwe imebeba vitu hivi hapa chini...
.
—Ahadi yenye FAIDA kwa mteja wako (Self benefits)
.
—Iwe na Habari MPYA kwa mteja wako (News)
.
—Iibue udadisi kwa mteja wako (Curiosity)
.
...Vipi umeanza kupata picha sasa?...
.
👇🏻
Zipo FORMULA nyingi ila Leo Nataka tu nikuibie Hizi mbili ambazo unaweza kuzitumia Kuanzia kesho asubuhi kwenye Matangazo yako...
.
1). “Soma Hii Kama Unataka....[Weka Matokeo Wanayoyataka Wateja wako]!”
.
RELAX—Utaelewa zaidi Hapa chini kwenye mifano👇🏻
Mfano...
.
—“Soma Hii Kama Unataka Kupunguza Uzito”
.
—“Soma Hii Kama Unatafuta Kiatu cha Kuvalia Suti”
.
—“Soma Hii Kama Unataka Kunasa Pisi Kali”😀
.
—“Soma Hii Kama Unataka Kutengeneza Hela Mtandaoni”
.
...Umeona Jinsi ilivyo rahisi ukitumia Formula👇🏻
Hii?...
.
...okay Formula ya Pili Hii Hapa...
.
2). “Jinsi ya Kupata...[X]...Ndani ya...[Y]...Bila...[Z]”
.
Haya Hapa chini maelezo yake...
.
X—Inasimama badala ya “Matokeo ya Wateja wako”
.
Y—Inasimama badala ya “Muda Fulani”
.
Z—Inasimama badala ya👇🏻
“Vitu Wanavyovichukia wateja wako”
.
Angalia Mfano wake Hapa chini...
.
—Jinsi ya Kupunguza Kitambi ndani ya Siku 21 Bila Kufanya Mazoezi
.
—Jinsi ya Kupunguza Uzito ndani ya siku 30 Bila Kujinyima Kula
.
—Jinsi Kutengeneza Tshs 500K ndani ya siku 28 Bila👇🏻
Mtaji
.
—Jinsi ya Kutengeneza Tshs 700K kila mwezi Bila Kutoka ndani kwako
.
...Umeona Jinsi Hizi Formula Zinavyofanya kazi?...
.
Tumia hizo Formula kila unapoandika Matangazo yako na washindani wako watahisi wamepigwa na kitu chenye ncha kali utosini
.
👇🏻
Najua utakuwa unajiuliza Ukitaka kujifunza zaidi formula zingine kama hizi utazipata wapi—Si Ndio?
.
Okay RELAX...shusha presha hizi hapa zingine Tano SIRI za Juu zaidi👇🏻...
.
Oooh! Naona Twitter wameniambia eti maneno yamekuwa mengi siwezi Kuandika tena👇🏻
Anyway haiwezi kutuzuia Sisi Kula madini au sio?😀
.
Kila kitu nimekuwekea kwenye ebook MPYA inayoitwa MGODI 2.0
.
Kila kitu kimeshafanywa kwa ajili yako kazi yako itakayobaki ni Kucopy, Kuedit na kutupia kwenye Tangazo lako then Boooom!
.
👇🏻
Leo sitoiuza Tshs 100K...
.
Sitoiuza Tshs 75K
.
Wala sitoiuza Tshs 50K
.
...japo hata kama ningeuza hiyo Bei bado ingelipa na Uthamani ungeuona zaidi
.
LAKINI...
.
Watu 5 Tu Leo wataipata ebook ya MGODI 2.0 kwa OFA ya Tshs 30K Tu
.
Na Kama Hauna Mgodi 1.0👇🏻
Leo Unapewa BURE baada ya Kununua Mgodi 2.0
.
Najua utajiuliza Hivi Nyanda Leo kachanganyikiwa?...
.
Inawezekanaje atoe Mgodi 1.0 BURE?...
.
...Ndio nishaamua Hivyo Leo acha watu wale madini au sio?😀
.
Okay kama unataka ebook ya Mgodi 2.0 nitumie 👇🏻
Neno “M2” Kwenye DM sasahivi (Nafasi ni 5 Tu)
.
Unatumiwa moja kwa moja Kwenye WhatsApp yako ndani ya dkk 2 Tu baada ya malipo
.
Najua utajiuliza na ukipoteza inakuwaje?....
.
Swali zuri sana—Ukweli ni kwamba ukipoteza unatumiwa tena kwahiyo hakuna 👇🏻
RISK yoyote upande wako
.
Pia hautaachwa pekee yako unaungwa kwenye Mentorship Group Mpaka December BURE Kabisa!
.
Kama umefaidika na uzi wa Leo basi Usiache kuupa—RETWEET ili na wengine wanufaike utakuwa umetisha sana
.
Bila kusahau Kufollow @NyandaAmosi 👇🏻
Ili uendelee Kula madini ya moto kama haya kila siku BURE Kabisa
.
Pia follow watu hawa utajifunza kitu kipya kila siku Trust me
.
@mafolebaraka @LeyAllyie @Raphahustler @AbilMdone @millankebby @GillsaInt @ally_eh @GetrudeMligo @thisistemidayo

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with AmosiNyanda

AmosiNyanda Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @NyandaAmosi

2 Oct
IMEFICHUKA❗️: Wateja Watanunua Zaidi Bidhaa Yako Ukiwapa Sababu Hizi...
.
...hata kama umeshajaribu kutumia kila mbinu kuuza bidhaa yako na imeshindikana....LAKINI ukiwapa sababu hizi watanunua
.
[MADINI TIME]...
Lakini kabla ya kukupa Sababu zinazowafanya watu Kununua vitu ngoja kwanza nikupe haya madini ya mwanzo ili yakurudishe mchezoni tuende Sawa...
.
Wateja hawanunui vitu wanavyohitaji wananunua vitu wanavyotaka
.
Wateja hawapendi Kuuziwa ila wanapenda Kununua👇🏻
Wateja hawanunui Bidhaa kwasababu wameielewa Bidhaa, wananunua kwasababu wamehisi wameeleweka kwa Muuzaji (They buy because they FEEL Understood)
.
Wateja hawanunui bidhaa wala huduma, hujinunua wao bora zaidi baada ya kutumia hiyo bidhaa/huduma (They buy👇🏻
Read 18 tweets
29 Sep
MAKOSA 7 ya Kuepuka Unapouza Bidhaa Kwenye WhatsApp STATUS Yako...
.
....Kama Umekuwa ukipost bidhaa kwenye WhatsApp status yako kisha watu wakaishia Kuview Tu bila Kununua basi kuna uwezekano unafanya kosa mojawapo kati ya haya 7
.
[MADINI TIME]👇🏻
Kabla sijakwambia hayo makosa ngoja nikusanue kwanza kuhusu huu mchongo mpya wa kutumia WhatsApp Status yako kupiga hela badala ya Kupost Memes!
.
...moja ya platform yenye uwezo wa kukufanyia mauzo mengi mtandaoni ni WhatsApp yako
.
👇🏻
Hivi ukipost kitu kwenye whatsApp status yako huwa unapata Viewers wangapi?...
.
Kama unapata views Kuanzia 100+ na bado hautengenezi Pesa basi unaacha hela mezani
.
Kwanini?...
.
Kwasababu hao ni Wateja wako watarajiwa
.
Tena wapo katika kundi la wateja 👇🏻
Read 24 tweets
27 Sep
Kama Unataka Kuuza VIWANJA Mtandaoni Basi Soma Hii...
.
...Mwezi wa Saba (07/2021) Kelvin alinipigia simu akiwa ameshajikatia tamaa Kabisa
.
Kelvin ni afisa masoko katika Kampuni moja Kubwa Tu ya Real estates Hapa Arusha (wanauza viwanja Online)
.
👇🏻
Changamoto Ambapo zilikuwa ninamyima usingizi Kelvin katika kazi yake ya kutangaza na kuuza viwanja mtandaoni ni Hizi Hapa....
.
1). Alikuwa hawezi kabisa Kuandika CAPTIONS za Kuuza Viwanja Online
.
2). Kila alipokuwa akiposti picha za viwanja kwenye👇🏻
Accounts zake za Facebook & Instagram anaishia kuambulia Comments na Likes Bila mteja hata mmoja
.
3). Wengi waliokuwa wanampigia simu wanaishia kuulizia na kumwambia watamcheki kisha wanapotea mazima
.
...hali Hii ilikuwa inammaliza sana Nguvu Kelvin
.
👇🏻
Read 23 tweets
18 Aug
Je Kitu Hiki Kinakuzuia Kutengeneza Pesa Mtandaoni?
.
Hata kama umeshajaribu kila njia ya Kutengeneza Pesa mtandaoni na Umefeli basi njia hii ni uhakika 100%
.
...LAKINI Kabla sijaendelea Mbele zaidi ngoja nikuibie Siri Hii kuhusu Kutengeneza Pesa mtandaoni👇🏻
“Pesa Hazipo Mtandaoni—Zipo Kwako”
.
Najua nimekuacha au sio?...usijali maana yake ni Hii Hapa chini...
.
Hata kama una bidhaa au huduma nzuri kiasi gani kama hauna ujuzi wa kuuza basi huwezi kuona hela yoyote mtandaoni
.
...kufeli na kufanikiwa kwa👇🏻
Biashara yoyote mtandaoni haina uhusiano wowote na bidhaa/huduma—Anayewajibika kwa kila kitu ni Muuzaji
.
...kwasababu Pesa hazipo kwenye Bidhaa/huduma yako zipo kwenye uwezo wako wa kuuza (your Ability to Communicate it’s VALUE)
.
👇🏻
Read 19 tweets
3 Aug
⚠️ ANATAFUTWA : Mtu Wa Kuungana na Raphael Kutengeneza Zaidi ya Tshs 650,000+ Kila Mwezi Mtandaoni...
.
...Hata Kama hujawahi Kuuza chochote Mtandaoni Hii STORY ya Raphael Itakuacha Mdomo wazi (sio Vigumu kama Jinsi unavyoambiwa)
.
Ilikuwa 03/11/2020👇🏻...
Ndio siku ambayo raphael alinicheki DM baada ya kuona uzi wangu Juu ya ujuzi wa Copywriting Hapa Twitter...
.
...akaniambia—“brother mimi nafanya Affiliate marketing na soko langu ni la nje”
.
Mimi Sina Bidhaa yoyote Ila napiga mpunga mzuri tu online kwa👇🏻
Kupromote bidhaa pamoja na huduma za watu wengine then nalamba Commission kwenye kila sales inayofanyika Pamoja na njia zingine Kama per Clicks nk”
.
LAKINI....
.
Bado kuna changamoto ambazo zilikuwa zinamyima usingizi Raphael katika biashara yake👇🏻
Read 21 tweets
17 Jun
Jinsi ya Kutengeneza MFUMO wa Kuuza Kwenye WhatsApp Yako Bila Kuchati na Mteja—(Simple Automated Sales Funnel)

...Kama Umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kuuza kwenye WhatsApp yako bila kupoteza Muda wako kuchati na wateja wengi basi soma mpaka Mwisho

[UZI]👇🏻
Moja ya changamoto Kubwa ya kuuza kirahisi mtandaoni ni kupata kitu kinachoitwa—“Automated Conversion Mechanism”
.
...Yaani mfumo unaomtoa mteja kutoka social media’s (Fb, Instagram, Twitter, Youtube nk) na kumfanya aingie mfukoni atoe hela kisha anunue👇🏻
Kile unachokiuza bila wewe kuhusika moja kwa moja kwenye mchakato mzima wa kuuza
.
...Hicho kitu kinaitwa—FUNNEL (Automated)

Na biashara nyingi mtandaoni tatizo halipo kwenye Bidhaa/huduma zao tatizo lipo kwenye Funnel

...Hii funnel unatengeneza mwenyewe👇🏻
Read 20 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(