IMEFICHUKA❗️: Wateja Watanunua Zaidi Bidhaa Yako Ukiwapa Sababu Hizi...
.
...hata kama umeshajaribu kutumia kila mbinu kuuza bidhaa yako na imeshindikana....LAKINI ukiwapa sababu hizi watanunua
.
[MADINI TIME]...
Lakini kabla ya kukupa Sababu zinazowafanya watu Kununua vitu ngoja kwanza nikupe haya madini ya mwanzo ili yakurudishe mchezoni tuende Sawa...
.
Wateja hawanunui vitu wanavyohitaji wananunua vitu wanavyotaka
.
Wateja hawapendi Kuuziwa ila wanapenda Kununua👇🏻
Wateja hawanunui Bidhaa kwasababu wameielewa Bidhaa, wananunua kwasababu wamehisi wameeleweka kwa Muuzaji (They buy because they FEEL Understood)
.
Wateja hawanunui bidhaa wala huduma, hujinunua wao bora zaidi baada ya kutumia hiyo bidhaa/huduma (They buy👇🏻
Better version of themselves)
.
Ila sahau kila kitu sio hiki Hapa chini....
.
“Watu hawanunui Vitu bila Kupewa...SABABU”
.
Sababu ya OFA inauza zaidi kuliko OFA yenyewe
.
Kiasili hakuna Binadamu anayependa Kununua vitu
.
LAKINI...
.
Kila Binadamu anapenda👇🏻
Kununua vitu kwasababu
.
Na Hizi ndizo sababu kumi (10) Zinazowafanya watu Kununua Vitu...
1). Kutengeneza Pesa!
Binadamu husukumwa zaidi na neno Pesa kwahiyo ukiahidi kumuonesha njia ya Kutengeneza Pesa basi atafanya chochote ili kupata Hicho unachokiuza👇🏻
Kwahiyo Angalia ni Jinsi gani Kile unachokiuza kitamsaidia mteja wako Kutengeneza Pesa zaidi
.
Na Kama hakuna basi Cheza na Hizi sehemu Tatu...
.
✅Pesa
.
✅Mahusiano
.
✅Afya
.
...Hizi sehemu tatu ndizo zinazowafanya watu kukausha account Zao za benki👇🏻
Ili kupata Kile kinachouzwa
.
2). Kuokoa Pesa
.
Je Kile unachokiuza kinaokoaje Pesa za mteja wako
.
Watu hawapendi Kupoteza Ndio maana wanaajiri wahasibu
.
Mwambie mteja wako Kile unachokiuza kitamsaidia vipi kuokoa Pesa zake ili zisipotee
.
👇🏻
3). Kuokoa Muda
.
Watu hawapendi Kupoteza Muda Ndio maana unaweza kupandisha Bei ya Bidhaa yako kisha ukafupisha Muda wa kupata bidhaa/huduma na watu wasilalamike
.
LAKINI...
.
Jichanganye upunguze bei ya Bidhaa halafu Ongeza Muda wa kuipata bidhaa
.
👇🏻
Lazima watakufurahisha kwa kupotea kabisa
.
Je bidhaa/huduma yako itaokoa vipi Muda wa mteja wako?..
.
Hilo Jibu liweke kwenye Tangazo lako then booom😆
.
4).Kutoka Kwenye Maumivu
.
Watu hununua zaidi vitu vinavyowatoa kwenye maumivu Kuliko vile vinavyo👇🏻
Vinavyowaingiza kwenye raha
.
Ndio maana Bidhaa za kupunguza Kitambi zinauza zaidi kuliko bidhaa za kuzuia Kitambi
.
Kwahiyo Waambie bidhaa yako itawatoa vipi kwenye maumivu yao then booom
.
Na...
.
Maumivu yao ni lile tatizo linalotatuliwa na bidhaa yako👇🏻
5). Kuepuka Juhudi fulani
.
Je bidhaa yako itawasaidia vipi Kuepuka kufanya kazi fulani ili kupata Kile wanachokitaka?...
.
Jibu lake Liweke kwenye Tangazo lako
.
Watu hawapendi kujishughulisha wanataka kupata matokeo bila Kufanya chochote
.
👇🏻
Ndio maana zile Pyramid schemes za Network marketing zinawanasa viumbe kichizi
.
Unadhani ni kwanini?...
.
Kwasababu wanaahidiwa kupiga hela Bila kufanya chochote zaidi ya kumleta mtu mwingine kwenye equation
.
...kwahiyo bidhaa yako itamtolea vipi mteja👇🏻
Wako hiyo juhudi?...
.
6).....
.
Oooh No—Twitter wameniambia nafasi imeisha ya kuandelea Kuandika!
.
By the way madini haya nimechomoa kutoka kwenye ebook ya Copywriting Skills inayoitwa MGODI
.
Zipo Sababu 10 kwahiyo umebakiza nne tu uzijue zote
.
👇🏻
Na...
.
Hutoamini pale utakapoiona Sababu ya 7 na utagundua kwanini huwa unanunua vitu halafu baadae unaanza kujilaumu
.
...zipo Ukurasa wa 12 mwa kitabu chako
.
Kitabu hiki sio Maalumu kwa kila mtu na huwa akiuzwi kwa kila mtu na Maalumu kwa 👇🏻
Wale tu ambao hawapo tayari Kupoteza Pesa zao kwenye Matangazo yao mtandaoni
Yaani ni silaha pekee kwa wale wanaotaka Kuandika Tangazo Leo kisha wapeleke hela benki kesho asubuhi
Je Huyo ni wewe?...
Kama Jibu ni Ndio basi Kitabu hiki ni kwa ajili yako👇🏻
Nilikuwa na chaguo mbili za Kuuza Kitabu hiki...
.
Aidha niuze Bei Kubwa ili wapate wachache ambao wapo serious Tu au niuze bei ndogo ili kila mwenye nia ya kujifunza na Kutengeneza Pesa mtandaoni apate
.
...Basi nikaamua kukiuza Tshs 9,999 Tu (badala ya👇🏻
Ya Tshs 50K)
.
Kwahiyo Kama unahisi una sifa zilizotajwa hapo kwa ajili ya Walengwa wa kitabu hiki basi DM Sasahivi ili upate OFA yako
.
Ila Kumbuka kitabu hiko hakiuzwi kwa kila mtu ni Maalumu kwa wale tu ambao wapo tayari Kutengeneza Pesa mtandaoni 👇🏻
Kwa kutumia simu na laptop Bila kushuka kitandani
.
Nisikuchoshe sana I hope Umepata kitu kipya au sio?...
.
Basi Usiache ku-RETWEET na kufollow @NyandaAmosi ili uendelee Kula madini kila siku
.
Uwe na weekend Njema
.
Cheers 🥂
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
MPYA : Jinsi ya Kupata “HEADLINE” Ya Tangazo Lako Chini ya Sekunde 60 Tu...
.
...Kama Umekuwa ukipata shida ya kupata HEADLINE ya Tangazo, Copy, Uzi au Makala yako basi Hii Hapa FORMULA ya Kutumia
.
Ndio Upo Sahihi—“It’s MADINI TIME”👇🏻
Kwanza kabla ya kuendelea Naomba nikiri kwamba hizi FORMULA zimezichomoa kwa Siri kutoka kwenye ebook mpya ya Copywriting Skills inayoitwa—MGODI 2.0
.
...Ukweli Ni kwamba Copywriters Hutumia 90% ya Muda Wao Kuandika Headline pekee kwenye Matangazo yao?
.
👇🏻
Najua utajiuliza ni kwanini?...(Swali zuri sana)
.
Ukweli ni huu Hapa...
.
60% ya wateja husoma Headline tu kwenye Tangazo
.
David Ogilvy aliwahi Kusema 80% ya Pesa zako kwenye Tangazo lako zipo kwenye Headline ya Tangazo
.
...na sasahivi Attention span👇🏻
MAKOSA 7 ya Kuepuka Unapouza Bidhaa Kwenye WhatsApp STATUS Yako...
.
....Kama Umekuwa ukipost bidhaa kwenye WhatsApp status yako kisha watu wakaishia Kuview Tu bila Kununua basi kuna uwezekano unafanya kosa mojawapo kati ya haya 7
.
[MADINI TIME]👇🏻
Kabla sijakwambia hayo makosa ngoja nikusanue kwanza kuhusu huu mchongo mpya wa kutumia WhatsApp Status yako kupiga hela badala ya Kupost Memes!
.
...moja ya platform yenye uwezo wa kukufanyia mauzo mengi mtandaoni ni WhatsApp yako
.
👇🏻
Hivi ukipost kitu kwenye whatsApp status yako huwa unapata Viewers wangapi?...
.
Kama unapata views Kuanzia 100+ na bado hautengenezi Pesa basi unaacha hela mezani
.
Kwanini?...
.
Kwasababu hao ni Wateja wako watarajiwa
.
Tena wapo katika kundi la wateja 👇🏻
Kama Unataka Kuuza VIWANJA Mtandaoni Basi Soma Hii...
.
...Mwezi wa Saba (07/2021) Kelvin alinipigia simu akiwa ameshajikatia tamaa Kabisa
.
Kelvin ni afisa masoko katika Kampuni moja Kubwa Tu ya Real estates Hapa Arusha (wanauza viwanja Online)
.
👇🏻
Changamoto Ambapo zilikuwa ninamyima usingizi Kelvin katika kazi yake ya kutangaza na kuuza viwanja mtandaoni ni Hizi Hapa....
.
1). Alikuwa hawezi kabisa Kuandika CAPTIONS za Kuuza Viwanja Online
.
2). Kila alipokuwa akiposti picha za viwanja kwenye👇🏻
Accounts zake za Facebook & Instagram anaishia kuambulia Comments na Likes Bila mteja hata mmoja
.
3). Wengi waliokuwa wanampigia simu wanaishia kuulizia na kumwambia watamcheki kisha wanapotea mazima
.
...hali Hii ilikuwa inammaliza sana Nguvu Kelvin
.
👇🏻
Je Kitu Hiki Kinakuzuia Kutengeneza Pesa Mtandaoni?
.
Hata kama umeshajaribu kila njia ya Kutengeneza Pesa mtandaoni na Umefeli basi njia hii ni uhakika 100%
.
...LAKINI Kabla sijaendelea Mbele zaidi ngoja nikuibie Siri Hii kuhusu Kutengeneza Pesa mtandaoni👇🏻
“Pesa Hazipo Mtandaoni—Zipo Kwako”
.
Najua nimekuacha au sio?...usijali maana yake ni Hii Hapa chini...
.
Hata kama una bidhaa au huduma nzuri kiasi gani kama hauna ujuzi wa kuuza basi huwezi kuona hela yoyote mtandaoni
.
...kufeli na kufanikiwa kwa👇🏻
Biashara yoyote mtandaoni haina uhusiano wowote na bidhaa/huduma—Anayewajibika kwa kila kitu ni Muuzaji
.
...kwasababu Pesa hazipo kwenye Bidhaa/huduma yako zipo kwenye uwezo wako wa kuuza (your Ability to Communicate it’s VALUE)
.
👇🏻
⚠️ ANATAFUTWA : Mtu Wa Kuungana na Raphael Kutengeneza Zaidi ya Tshs 650,000+ Kila Mwezi Mtandaoni...
.
...Hata Kama hujawahi Kuuza chochote Mtandaoni Hii STORY ya Raphael Itakuacha Mdomo wazi (sio Vigumu kama Jinsi unavyoambiwa)
.
Ilikuwa 03/11/2020👇🏻...
Ndio siku ambayo raphael alinicheki DM baada ya kuona uzi wangu Juu ya ujuzi wa Copywriting Hapa Twitter...
.
...akaniambia—“brother mimi nafanya Affiliate marketing na soko langu ni la nje”
.
Mimi Sina Bidhaa yoyote Ila napiga mpunga mzuri tu online kwa👇🏻
Kupromote bidhaa pamoja na huduma za watu wengine then nalamba Commission kwenye kila sales inayofanyika Pamoja na njia zingine Kama per Clicks nk”
.
LAKINI....
.
Bado kuna changamoto ambazo zilikuwa zinamyima usingizi Raphael katika biashara yake👇🏻
Jinsi ya Kutengeneza MFUMO wa Kuuza Kwenye WhatsApp Yako Bila Kuchati na Mteja—(Simple Automated Sales Funnel)
...Kama Umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kuuza kwenye WhatsApp yako bila kupoteza Muda wako kuchati na wateja wengi basi soma mpaka Mwisho
[UZI]👇🏻
Moja ya changamoto Kubwa ya kuuza kirahisi mtandaoni ni kupata kitu kinachoitwa—“Automated Conversion Mechanism”
.
...Yaani mfumo unaomtoa mteja kutoka social media’s (Fb, Instagram, Twitter, Youtube nk) na kumfanya aingie mfukoni atoe hela kisha anunue👇🏻
Kile unachokiuza bila wewe kuhusika moja kwa moja kwenye mchakato mzima wa kuuza
.
...Hicho kitu kinaitwa—FUNNEL (Automated)
Na biashara nyingi mtandaoni tatizo halipo kwenye Bidhaa/huduma zao tatizo lipo kwenye Funnel