#UZI
💨 MAREKANI KUMNYAMAZISHA URUSI?

Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin.

Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jeshi 👇 Image
la Marekani ndani ya Belarus 🇧🇾

Tunaweza kuona ni namna gani Marekani wanaendelea kuzichanga karata zao vizuri dhidi ya kumdhoofisha Urusi.

Belarus chini ya Raisi ambaye watu wa haki wanamuita Dictator Alexander Lukashenko aliyekaa madarakani toka 1994 alisema Image
"Ikiwa ina maana kuweka askari wa Kirusi hapa, tutawaweka kwa muda mrefu iwezekanavyo. Ninasisitiza kwa mara nyingine tena: hili ni eneo letu na uamuzi huu ni wetu.”

Umoja wa Mataifa unasema Urusi kuingiza jeshi lake Donbas, Ukraine kuwalinda raia wanaowasapoti Urusi ni kosa Image
Marekani 🇺🇸 wanataka kuliingiza jeshi lake Belarus 🇧🇾 likaliondoe Jeshi la Urusi 🇷🇺
▪️Atakaye umia ni Belarus 🇧🇾
▪️Vita itapiganwa kwenye aridhi ya adui wa Marekani.
▪️Marekani hana cha kupoteza.
▪️Ndio mwanzo wa Marekani kuishambulia Moscow. Image
Pia tukumbuke Donbas, Ukraine 🇺🇦 ndio inayochochea vita vya huu mgogoro na bado mpaka sasa Majeshi ya serikali yanapigana na Vikundi vinavyopewa sapoti na Urusi. Image
USHAWISHI WA MAREKANI UNAMFANYA URUSI AONEKANE MTOTO M-BAYA

Tunashuudia
Japan aliyewahi kuwa adui mkubwa wa Marekani anasema anasimama upande aliosimama Marekani.

Ujerumani iliyokuwa inataka huu mgogoro umalizike ki-diplomasia ili kulinda maslahi ya nchi yake juu 👇 Image
Ya bomba la Gesi la Nord Stream 2 inayotoka Urusi. Leo hii analiongezea vikwazo Urusi isiwauzie gesi.

Qatar inawaambia Ujerumani mnataka nini? Mafuta? au nini sisi tuwape.

Marekani na Ulaya umeziwekea vikwazo Taasisi za kifedha za Urusi hakuna miamala ya kuamisha pesa ImageImage
Kutoka Urusi kwenye nyingine za Ulaya hii ni hatari sana kwenye uchumi wa Urussi.

Marekani imewazuia baadhi ya biashara za matajiri wa kubwa wa Urusi hii ni mbaya mno ugomvi wa kijeshi kuamishiwa kwa watu ambao hawana hatia. Image
Putin anazidi kufundishwa uoga.

👉 Marekani ina Teknolojia kubwa mno kwenye Majeshi yake ana uwezo wa kuifanya hii dunia kitu chochote anachotaka.

👉 Urusi ni nchi ambayo haitabiriki. Image
Sio kwamba Marekani inaipenda sana Ukraine, lengo kubwa la Marekani kwa miaka mingi ni kuishambulia Moscow na kuisambaratisha.

Mpaka leo hii Moscow ipo kwasababu ya uwepo wa Putin. Image
Trump alikuwa anaizungumza Urusi huku akiwa na hofu ya silaha za Nyuklia za Urusi.

Biden anaizungumza Urusi bila kuziwekea maanani silaha za Nyuklia anazozoimiliki Urusi zinazoweza kuifuta dunia yote ndani ya muda mfupi. Image
NATO wanafikiria kuingia Ukraine Marekani inafikiria kuingia Moscow na Urusi inafikiria kuingia Marekani.

Kwa hivi vikwazo alivyowekewa Urusi ni hatari sana kwa uchumi wao na ni ngumu kuvulimia. Vuta picha biashara zinazofanyika kati ya Urusi na China leo hii zisifanyike!! Image
Raisi wa Urusi Putin amesema yupo tayari kwenye mazungumzo ya kidiplomasia na nchi za Ulaya juu ya mzozo wa Ukraine lakini kuhusu suala la usalama wa raia wake hilo halihitaji mjadala.

Kwasasa Urusi ni sawa na yupo mwenyewe ile nchi imezungukwa na kambi nyingi za jeshi la USA. Image
Lakini ana makombora hatari ya Hypersonic ambayo hakuna mtambo yoyote yenye uwezo wa kuyazuia hayo makombora kama tulivyokuwa tunashuudia Iron Dome za Israel zilivyokiwa zinazuia makombora ya Palestina. ImageImageImageImage
Urusi anaweza rusha kombora likazunguka dunia nzima bila kuonekana
Source: Putin

Hiyo Teknolojia Marekani anayo iliyo advanced zaidi ya Urusi, wakifikia level hiyo atakaye anza ndiye atakayeshinda japo hakuta kuwa na mshindi. Image
Marekani na Urusi wana mbinu zinazofanana katika vita kudeal na Viongozi.

Katika mazungumzo mengi ya Marekani wanamlenga moja kwa moja Putin kama mkosaji wanayemuhitaji na Urusi kule Ukraine kwa mujibu wa Majasusi wa Marekani ni wamepanga majina Image
Ya Viongozi wa Ukraine wanaotaka kuwaua, kuwateka na pia kwenda kuwatesa. Tuendelee kusubiri Urusi atajibu nini juu ya hivi vikwazo.

Pia huku Tanzania kuna habari zinasambaa kwa kasi sana kuwa 👇 Image
Wauzaji wa @SimuZaNjiwa kuna simu mpya wameingiza sokoni 2022 kuanzia 270K hadi 3.5m

📍Infinix Tower, Kariakoo | Tunasafirisha Mikoani 🚚
📞 0745100757

Nyuzi zitakazofuata sitakuwa specific. ImageImageImage

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Njiwa FLow 🇹🇿

Njiwa FLow 🇹🇿 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @JemsiMunisi

Feb 25
#UZI
💨 KISANGA CHA TAIWAN NA CHINA

Taiwan ni kisiwa kidogo ila ni moja kati ya sehemu hatari zaidi duniani.

Mama wa Taiwan ni jeuri plus kiburi anayopewa na Marekani, China naye anasema ni jimbo lake na lazima atalirudisha kundini.

Hii colabo ya Urusi na China 👇 Image
Twende chap chap
Miaka hiyo baada ya vita ya pili ya dunia kuna vita vilikuwa vinaendelea huko China vya wenyewe kwa wenyewe kulikuwa kuna People's Republic of China (PRC) iliyokuwa chini ya Chinese Communist Party (CCP) walikuwa wanapigana vita na Republic of China (ROC). Image
PRC ilikuwa chini ya Mwamba mmoja wa kuitwa Mao Zedong mtu katili zaidi duniani aliuwa watu milioni 78 ndiye anayeongoza duniani akifuatiwa na Jozef Stalin milioni 23

1949 wakafanikiwa kuuteka mji mkuu wa China Beijing na kuitawala China na baadhi ya members wa ROC kawakimbilia Image
Read 17 tweets
Feb 24
#UZI
💨 Juzi Marekani na UE zilizungumza kauli za kibabe dhidi ya Urusi sasa Urusi kaamua kulishambulia jeshi la Ukraine kila pande.

Tusubiri kama Marekani atajaribu kuingiza mguu kuizuia Urusi, kuna nchi kama China zinaitamani sana Super Power japo kwasasa wanajifanya 👇 Image
Wapo kidiplomasia zaidi ila ikianza hii ligi ya wakubwa Xi Jinping lazima aungane na mwanae wa faida Putin kupambana na Marekani.

Hii vita haina tena faida kwa Marekani tuone NATO watachukua maamuzi gani dhidi ya Urusi na mbaya zaidi Urusi kaingia Ukraine akiwa Image
na Wana Ukraine kibao wanaompa sapoti, anaweza akapambana kuwaua Viongozi wa Ukraine wanaomsumbua na akapachika Viongozi wake na hii kitu Marekani alikwisha isema mwanzo.

Toka mwanzo nilisema Marekani ina uwezo mkubwa sana kijeshi lakini Urusi ni nchi ambayo haitabiriki Image
Read 18 tweets
Feb 16
#UZI
💨 Muda mwingine ni bora kukata tamaa

Unayemuoa pichani anaitwa Shao Ling Li (30) aliomba Visa kwenye ubalozi wa Marekani huko China hadi kujulikana na ubalozi wa Marekani lakini alikataliwa kupewa Visa japo alijaribu kuomba mara nyingi

Akaandika barua zaidi 👇
ya 15 immigration ya Canada lakini barua zote hizo zikakataliwa.

Mwamba hakukata tamaa akaomba ajiunge na jeshi la majini huko China lakini hakukubaliwa.

Yeye pamoja na wengine 124 wakaomba kazi kwenye kampuni ya mambo ya teknolojia, watu 122 wakaajiriwa na 2 wakakataliwa
na yeye alikua miongoni mwa waliokataliwa.

Akaenda kuomba ajiunge kua Askari polisi huko huko China hapa walikua 21 na 20 wakakubaliwa 1 hakakataliwa, aliyekataliwa alikuwa ni yeye.

Mwamba hakukata tamaa, akarudi tena kwenye masuala ya Teknolojia ya E- Marketing ili aweze
Read 6 tweets
Oct 11, 2020
#UZI
💨 MAKAMPUNI YA SIMU 10 BORA DUNIANI
💨 Hii ni kwa mujibu wa report ya Sep.2020

1: SAMSUNG
• Hii ni Kampuni ya vifaa Electronic iliyoko huko Korea Kusini.
Dunia inaelewa uwezo na ubora wa simu za Samsung. Mfano Note 20, S 20 Pro.
Hizi ni #FLowMaTaTa tiririka nazo 👇👇
2: HUAWEI
• Hii ni Kampuni iliyopo China inatengeneza vifaa vingi sana vya mawasiliano.
Lakini katika Kitengo Cha simu wamejitahidi sana japo wanapitia katika Kipindi kigumu lakini bado wamebaki namba 2.

Hawa jamaa wana tabia ya kukata kona kabla ya kona.
3: iPHONE
• Hii ni kampuni iliyopo pale Marekani, unapozungumzia simu zenye hadhi yake iPhone lazima akae nafasi ya 1.

Ila nafasi hiyo sio kigezo cha kumpa uhalali wa kuzizidi simu nyingine kwa ubora. Kushika nafasi hii inasababishwa na mtindo wake wa kuzalisha simu chache.
Read 14 tweets
Aug 1, 2020
💨 YAHOO BOYS
💨 VIJANA HATARI WA NIGERIA

▫️Ni wanachuo na vijana wengine wanaofanya Utapeli mtandaoni.

▫️Mtaji wao ni Komputa na hirizi. Unamkumbuka HushPuppi vizuri?

▫️ Tatizo lao wanakamatwa kama kuku na hawaishi huko mtaani.
#FLowMaTaTa tiririka nazo 👇👇
▫️Yahoo Boys ni wanafunzi wa vyuo vya Nigeria walioamua kujitafutia kipato mtandani kwa njia za udanganyifu.

▫️Wengi wakianza shule huishia katikati na hata kumaliza.
▫️Hawa vijana huwa wana kasumba ya Kuinuana mmoja akipata sehemu yenye dili anaenda kuwachukua masela zake wote kitaa na kuwapa mchongo.

▫️Wanatumia mbinu kama 419 Nigeria kuwaibia watu huku mtandaoni.
Read 24 tweets
Jul 31, 2020
💨 VITA VYA TANZANIA DHIDI YA WADUKUZI

▫️ Unawajua Tanzanian Hackers wewe? achana na suala la ku-hack Dream League.

▫️ Website ya Waziri Mkuu yadukuliwa. Msala wa mbet.

▫️Huko Jamii Forum ni vimbwanga juu ya vimbwanga.
#FLowMaTaTa tiririka nazo 👇 👇
▫️ Kwa mujibu wa Threat Map, Tanzania moja ya nchi zinazoongoza kufanyiwa Cyber Attack kwa Afrika.

▫️Na hii inasababishwa na ufungufu wa wataalamu wa IT.
Twende Chap Chap
▫️April. 2012, Wadukuzi kutoka America Kusini "LatinHackTeam" walidukua site za Serikali 35+ duniani.

▫️Nchi kama Japan, India, Ufaransa na kwa Afrika Tanzania ilibahatika kupata nafasi hiyo.

▫️go.tz ikapigwa chini. Zaidi ya website 10,352
Read 12 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(