Taiwan ni kisiwa kidogo ila ni moja kati ya sehemu hatari zaidi duniani.
Mama wa Taiwan ni jeuri plus kiburi anayopewa na Marekani, China naye anasema ni jimbo lake na lazima atalirudisha kundini.
Hii colabo ya Urusi na China ๐
Twende chap chap
Miaka hiyo baada ya vita ya pili ya dunia kuna vita vilikuwa vinaendelea huko China vya wenyewe kwa wenyewe kulikuwa kuna People's Republic of China (PRC) iliyokuwa chini ya Chinese Communist Party (CCP) walikuwa wanapigana vita na Republic of China (ROC).
PRC ilikuwa chini ya Mwamba mmoja wa kuitwa Mao Zedong mtu katili zaidi duniani aliuwa watu milioni 78 ndiye anayeongoza duniani akifuatiwa na Jozef Stalin milioni 23
1949 wakafanikiwa kuuteka mji mkuu wa China Beijing na kuitawala China na baadhi ya members wa ROC kawakimbilia
Taiwan. Hawa jamaa ni Wachina kabisa kinachowatofautisha na Wachina bara ni huo uadui. Wana chuki kubwa mno na Chama cha Communist wanaweza wakakubali kutambulika kama sehemu ya China lakini sio chini ya Communist.
Raisi wa China Xi Jinping huwa anasema Taiwan ni sehemu yaC
China na itarudi China.
Huko Taiwan wanaongozwa na Raisi Mother mmoja mtata sana anaitwa Tsai Ing-wen ngoja kwanza.
Wao ROC waliokimbilia Taiwan wa miaka ile wengi wao walikuwa ni watu wenye akili mingi sana kwenye issue za Teknolojia walikuwa wana formula kibao
Ndani ya muda mchache tuh waliweza kuionyesha dunia wao ni wakina nani.
Jamaa walianzisha viwanda vingi vinavyohusiana na masuala ya Teknolojia leo hii Taiwan ina husika zinatengeneza 92% ya semiconductors duniani.
Hapo Taiwan kuna kiwanda kinachoitwa TSMC ndicho kiwanda pekee duniani chenye Teknolojia ya hali ya juu kwa kutengeneza Chipsets (processor) za simu, computer na za vifaa vingine vya electronics pia na semiconductors nyingine.
TSMC inaziunda processor kama A Bionic (Apple ๐บ๐ธ), intel ๐บ๐ธ, Snapdragon ๐บ๐ธ, Kirin ๐จ๐ณ n.k kampuni ni nyingi mno.
Pia kuna viwanda vingine kama MediaTek, (Foxconn na Wistron) hivi ndivyo viwanda pekee vinavyounda simu zote za iPhone duniani.
Pia kuna Acer watengezaji wa Computer
Kuna makampuni zaidi ya 50 yanayoitumikia dunia hapo Taiwan. Vuta picha ichi kisiwa China akiweke kati tukizingatia pia na mchango alio nao China kwenye nchi nyingi duniani.
Je hapo Marekani atathubutu kuiwekea China vikwazo kama alivyofanya kwa Urusi?
Ndio maana kila wakati China anapitisha ndege zake kwenye Anga la Taiwan ๐น๐ผ kifanya doria.
Marekani ndiye anayempa jeuri Taiwan anampa msahada mingi ya kijeshi na mingine kitu ambacho China aliiambia Marekani inacheza na moto.
Taiwan ni nchi ambayo ina Raisi, jeshi, pesa yake na sifa nyingine zinazoifanya itambulike kama nchi.
Lakini ni nchi chache sana duniani zinazoitambua Taiwan kama nchi. Maana China bado anaendelea kutaka ku-master issue za Taiwan kimataifa.
Kuna baadhi ya nchi zinazotambua uwepo wa Taiwan kimataifa huwa zinaingia kwenye mgogoro na China.
China anatumia nguvu nyingi sana kulitawala lile eneo la bahari ya Kusini ya China kwasababu Marekani ana kambi nyingi karibia na hayo maeneo pia na nchi anazoshirikiana nazo
Kama Japan hii kitu China anaona itahatarisha usalama wa nchi yake ndio maana anapambana kwa kila hali ili kuiweka Taiwan kwenye himaya yake.
China ina watu bilioni 1.4 na Taiwan ina watu milioni 23.57 ila Taiwan itabaki kuwa moja ya maeneo hatari zaidi duniani.
CHINA KWENYE VITA YA 3 YA DUNIA?
Jana wakati Urusi anaivamia Ukraine China naye alipeleka ndege zake 9 kwenye anga la Taiwan kinyume na sheria kuangalia usalama wake.
Huwa ni kawaida yake kupitisha ndege zake kwenye anga la Taiwan.
Marekani ameitaja China pamoja na nchi nyingine kama Urusi, Iran, North Korea na vikundi vya ISIS kuwa zisitake vita naye watajuta.
Urusi anasubiria Marekani aingize jeshi lake Ukraine ndivyo China anasubiria Marekani aingize jeshi lake Taiwan.
Wakati nchi nyingine zikitafuta njia ya kiwatoa raia wake Ukraine, China imewaambia wakae ndani kisha waweke Bendera ya China ๐จ๐ณ nje ya hizo nyumba walizopo.
Je China anataka kuingia naye Ukraine kimkakati? Pia Xi Jinping amefanya mazungumzo ya simu na Putin.
Huyu Raisi wa Taiwan President Tsai Ing-wen na Udogo wa nchi yake hajawahi iogopa China.
Tusubirie nini kitatokea
Kwa simu zote kali Brand new tucheki
#UZI
๐จ Juzi Marekani na UE zilizungumza kauli za kibabe dhidi ya Urusi sasa Urusi kaamua kulishambulia jeshi la Ukraine kila pande.
Tusubiri kama Marekani atajaribu kuingiza mguu kuizuia Urusi, kuna nchi kama China zinaitamani sana Super Power japo kwasasa wanajifanya ๐
Wapo kidiplomasia zaidi ila ikianza hii ligi ya wakubwa Xi Jinping lazima aungane na mwanae wa faida Putin kupambana na Marekani.
Hii vita haina tena faida kwa Marekani tuone NATO watachukua maamuzi gani dhidi ya Urusi na mbaya zaidi Urusi kaingia Ukraine akiwa
na Wana Ukraine kibao wanaompa sapoti, anaweza akapambana kuwaua Viongozi wa Ukraine wanaomsumbua na akapachika Viongozi wake na hii kitu Marekani alikwisha isema mwanzo.
Toka mwanzo nilisema Marekani ina uwezo mkubwa sana kijeshi lakini Urusi ni nchi ambayo haitabiriki
Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin.
Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jeshi ๐
la Marekani ndani ya Belarus ๐ง๐พ
Tunaweza kuona ni namna gani Marekani wanaendelea kuzichanga karata zao vizuri dhidi ya kumdhoofisha Urusi.
Belarus chini ya Raisi ambaye watu wa haki wanamuita Dictator Alexander Lukashenko aliyekaa madarakani toka 1994 alisema
"Ikiwa ina maana kuweka askari wa Kirusi hapa, tutawaweka kwa muda mrefu iwezekanavyo. Ninasisitiza kwa mara nyingine tena: hili ni eneo letu na uamuzi huu ni wetu.โ
Umoja wa Mataifa unasema Urusi kuingiza jeshi lake Donbas, Ukraine kuwalinda raia wanaowasapoti Urusi ni kosa
Unayemuoa pichani anaitwa Shao Ling Li (30) aliomba Visa kwenye ubalozi wa Marekani huko China hadi kujulikana na ubalozi wa Marekani lakini alikataliwa kupewa Visa japo alijaribu kuomba mara nyingi
Akaandika barua zaidi ๐
ya 15 immigration ya Canada lakini barua zote hizo zikakataliwa.
Mwamba hakukata tamaa akaomba ajiunge na jeshi la majini huko China lakini hakukubaliwa.
Yeye pamoja na wengine 124 wakaomba kazi kwenye kampuni ya mambo ya teknolojia, watu 122 wakaajiriwa na 2 wakakataliwa
na yeye alikua miongoni mwa waliokataliwa.
Akaenda kuomba ajiunge kua Askari polisi huko huko China hapa walikua 21 na 20 wakakubaliwa 1 hakakataliwa, aliyekataliwa alikuwa ni yeye.
Mwamba hakukata tamaa, akarudi tena kwenye masuala ya Teknolojia ya E- Marketing ili aweze
#UZI
๐จ MAKAMPUNI YA SIMU 10 BORA DUNIANI
๐จ Hii ni kwa mujibu wa report ya Sep.2020
1: SAMSUNG
โข Hii ni Kampuni ya vifaa Electronic iliyoko huko Korea Kusini.
Dunia inaelewa uwezo na ubora wa simu za Samsung. Mfano Note 20, S 20 Pro.
Hizi ni #FLowMaTaTa tiririka nazo ๐๐
2: HUAWEI
โข Hii ni Kampuni iliyopo China inatengeneza vifaa vingi sana vya mawasiliano.
Lakini katika Kitengo Cha simu wamejitahidi sana japo wanapitia katika Kipindi kigumu lakini bado wamebaki namba 2.
Hawa jamaa wana tabia ya kukata kona kabla ya kona.
3: iPHONE
โข Hii ni kampuni iliyopo pale Marekani, unapozungumzia simu zenye hadhi yake iPhone lazima akae nafasi ya 1.
Ila nafasi hiyo sio kigezo cha kumpa uhalali wa kuzizidi simu nyingine kwa ubora. Kushika nafasi hii inasababishwa na mtindo wake wa kuzalisha simu chache.