#UZI
💨 Juzi Marekani na UE zilizungumza kauli za kibabe dhidi ya Urusi sasa Urusi kaamua kulishambulia jeshi la Ukraine kila pande.

Tusubiri kama Marekani atajaribu kuingiza mguu kuizuia Urusi, kuna nchi kama China zinaitamani sana Super Power japo kwasasa wanajifanya 👇 Image
Wapo kidiplomasia zaidi ila ikianza hii ligi ya wakubwa Xi Jinping lazima aungane na mwanae wa faida Putin kupambana na Marekani.

Hii vita haina tena faida kwa Marekani tuone NATO watachukua maamuzi gani dhidi ya Urusi na mbaya zaidi Urusi kaingia Ukraine akiwa Image
na Wana Ukraine kibao wanaompa sapoti, anaweza akapambana kuwaua Viongozi wa Ukraine wanaomsumbua na akapachika Viongozi wake na hii kitu Marekani alikwisha isema mwanzo.

Toka mwanzo nilisema Marekani ina uwezo mkubwa sana kijeshi lakini Urusi ni nchi ambayo haitabiriki Image
Urusi ni nchi ambayo huwa inafanya mambo mengi sirini tofauti na Marekani.

Urusi ina Raisi ambaye in nature ni jasusi (KGB) akili mingi ukiangalia namna anavyoongea kwenye speech zake toka mwanzo wa huu mzozo unaweza kuona ni mtu ambaye Image
akurupuki kuongea, anaongea kama malaika mwenye kauli tata.

Mtu aliyewaambia UE (Umoja wa Ulaya) msiiunganishe Ukraine na jeshi la NATO, UE wakamwambia hoja yako haina mashiko.

Akapeleka Wanajeshi zaidi ya 100,000 mpakani mwa Ukraine kufanya mazoezi ya kawaida tuh Image
Tena muda huo wanaita Wanahabari na kuwaambia sisi hatuna mpango wa kuivamia Ukraine ni utaratibu wetu wa kufanya mazoezi "ety Ukraine tumekanyaga ardhi yenu kwani! Ukraine: hamjakanyaga 😁😁"

Marekani wanawajua vizuri Urusi wakawa wanasisitiza Urusi wanaivamia Ukraine. Image
Huku wakawa wanawapatia Ukraine msahada ya silaha nzito nzito na mitambo mikubwa ya kisasa ya computer, NATO nao hawakua nyuma wakawa wanasogeza vikosi karibu na Ukraine.

Wanajeshi wakamaliza mazoezi wakasepa na kuna wengine wakaenda Syria kufanya mazoezi. Image
NATO nao wakaendelea kusogeza vikosi karibu na wao kufanya mazoezi.

Putin huwa anasema Ukraine ni ndugu zake na watarudi kwenye himaya ya Urusi. Image
KARATA YA VIKWAZO
Hii inaonekana ni karata ya hovyo iliyochangwa mbele ya Urusi, kuna nchi unaweza kuziwekea vikwazo na zikarudi nyuma kutaka majadiliano.

Marekani ilisimama mstari wa mbele kumuwekea Urusi vikwazo huku nchi nyingi za Ulaya zikiwa zinalia wakiongozwa na Ujerumani Image
Kuna mradi wa bomba la gesi la Nord Stream 2 ambalo linatoa gesi kutoka Urusi kupeleka Ujerumani, hili Bomba limetengenezwa bado halijaanza kufanya kazi. Image
Sasa Ujerumani ikamtishia Urusi kuwa tutaliwekeza vikwazo ilo bomba lisitumike hapa ni sawa na Rafael awatishie Tanesco anajikatia umeme

Kumbuka bado ile Nord Stream 1 bado inaendelea kusafirisha hiyo gesi kwenda Ujerumani. Kinachotokea sasa Ulaya ni vitu kupanda bei. Image
Urusi wamewekewa vikwazo vingi vya kiuchumi kitu ambacho kinaziathiri nchi za Ulaya yaani hivi vikwazo vikitoboa miezi 3 bila kulegezwa watanyooka.

Urusi wala hajali yupo kwenye aridhi ya Ukraine na NATO haina uwezo wa kumpiga Urusi zaidi ya kumtegemea Marekani. Image
Je Marekani atasubutu kuingiza mguu kwenye maji yaliyorojeka? Na kwa faida ya nani? Marekani tumezoea kumuona akizivamia nchi ambazo anajua akifika anazitembezea dozi huku kwa Mrusi haelewi atatembeza au atatembezewa dozi.

Biden ataendelea kuzingumza kauli za kibabe dhidi ya Image
Urusi? Ikiwa hivyo lazima kidimuliwe.

Putin anasema wanaojiingiza kwenye mzozo wa Ukraine watashuhudia madhara ambayo hawajawahi kuyaona hapo awali.

Hiyo ni kauli inayotoka kwa Mwamba mmoja aliyeko kwenye nchi moja dhidi ya nchi zaidi ya 30 zinazompinga
Image
Putin alitangaza maeneo ya Donetsk na Luhansk kuwa ni maeneo huru akamkemea vikali kwamba anavunja sheria za kimataifa.

Leo Ukraine yote unapigwa moshi tatu tatu mpaka Kyiv mji mkuu wa Ukraine wajuba wamefika. Urusi inaharibu assets za majeshi ya Ukraine. Image
Urusi wameivamia Ukraine na wanataka Wanajeshi wa Ukraine waweke silaha chini.

Raisi wa Ukraine anasema watapambana kulilinda taifa lao na raia yeyote anayetaka silaha atampa. Muda huo huo Raisi wa Mtata wa Belarus anasema Ukihitajika msahada wa kijeshi Ukraine atamsaidia Urusi. ImageImage
NATO na Marekani zitathubutu kusaidia?

Raisi wa Ufaransa Emmanuel ameitisha kikao cha dharura cha NATO tusubirie majibu

Umoja wa Mataifa unamsihi Urusi arudishe majeshi nyuma.

Antonio Guterres anawaomba Urusi wafanye amani ndani ya Ukraine 🙌
twitter.com/antonioguterre… Image
Tusubirie hatua zitakazochukuliwa na NATO na Marekani turn on 🔔

Je hii ndiyo sehemu ndiyo sehemu ofisi za @SimuZaNjiwa zilipo? ndio ni hapa Infinix Tower, Roundabout ya zamani Uhuru/Msimbazi, Kariakoo.
📞 0745100757 ImageImage

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Njiwa FLow 🇹🇿

Njiwa FLow 🇹🇿 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @JemsiMunisi

Feb 25
#UZI
💨 KISANGA CHA TAIWAN NA CHINA

Taiwan ni kisiwa kidogo ila ni moja kati ya sehemu hatari zaidi duniani.

Mama wa Taiwan ni jeuri plus kiburi anayopewa na Marekani, China naye anasema ni jimbo lake na lazima atalirudisha kundini.

Hii colabo ya Urusi na China 👇 Image
Twende chap chap
Miaka hiyo baada ya vita ya pili ya dunia kuna vita vilikuwa vinaendelea huko China vya wenyewe kwa wenyewe kulikuwa kuna People's Republic of China (PRC) iliyokuwa chini ya Chinese Communist Party (CCP) walikuwa wanapigana vita na Republic of China (ROC). Image
PRC ilikuwa chini ya Mwamba mmoja wa kuitwa Mao Zedong mtu katili zaidi duniani aliuwa watu milioni 78 ndiye anayeongoza duniani akifuatiwa na Jozef Stalin milioni 23

1949 wakafanikiwa kuuteka mji mkuu wa China Beijing na kuitawala China na baadhi ya members wa ROC kawakimbilia Image
Read 17 tweets
Feb 23
#UZI
💨 MAREKANI KUMNYAMAZISHA URUSI?

Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin.

Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jeshi 👇 Image
la Marekani ndani ya Belarus 🇧🇾

Tunaweza kuona ni namna gani Marekani wanaendelea kuzichanga karata zao vizuri dhidi ya kumdhoofisha Urusi.

Belarus chini ya Raisi ambaye watu wa haki wanamuita Dictator Alexander Lukashenko aliyekaa madarakani toka 1994 alisema Image
"Ikiwa ina maana kuweka askari wa Kirusi hapa, tutawaweka kwa muda mrefu iwezekanavyo. Ninasisitiza kwa mara nyingine tena: hili ni eneo letu na uamuzi huu ni wetu.”

Umoja wa Mataifa unasema Urusi kuingiza jeshi lake Donbas, Ukraine kuwalinda raia wanaowasapoti Urusi ni kosa Image
Read 19 tweets
Feb 16
#UZI
💨 Muda mwingine ni bora kukata tamaa

Unayemuoa pichani anaitwa Shao Ling Li (30) aliomba Visa kwenye ubalozi wa Marekani huko China hadi kujulikana na ubalozi wa Marekani lakini alikataliwa kupewa Visa japo alijaribu kuomba mara nyingi

Akaandika barua zaidi 👇
ya 15 immigration ya Canada lakini barua zote hizo zikakataliwa.

Mwamba hakukata tamaa akaomba ajiunge na jeshi la majini huko China lakini hakukubaliwa.

Yeye pamoja na wengine 124 wakaomba kazi kwenye kampuni ya mambo ya teknolojia, watu 122 wakaajiriwa na 2 wakakataliwa
na yeye alikua miongoni mwa waliokataliwa.

Akaenda kuomba ajiunge kua Askari polisi huko huko China hapa walikua 21 na 20 wakakubaliwa 1 hakakataliwa, aliyekataliwa alikuwa ni yeye.

Mwamba hakukata tamaa, akarudi tena kwenye masuala ya Teknolojia ya E- Marketing ili aweze
Read 6 tweets
Oct 11, 2020
#UZI
💨 MAKAMPUNI YA SIMU 10 BORA DUNIANI
💨 Hii ni kwa mujibu wa report ya Sep.2020

1: SAMSUNG
• Hii ni Kampuni ya vifaa Electronic iliyoko huko Korea Kusini.
Dunia inaelewa uwezo na ubora wa simu za Samsung. Mfano Note 20, S 20 Pro.
Hizi ni #FLowMaTaTa tiririka nazo 👇👇
2: HUAWEI
• Hii ni Kampuni iliyopo China inatengeneza vifaa vingi sana vya mawasiliano.
Lakini katika Kitengo Cha simu wamejitahidi sana japo wanapitia katika Kipindi kigumu lakini bado wamebaki namba 2.

Hawa jamaa wana tabia ya kukata kona kabla ya kona.
3: iPHONE
• Hii ni kampuni iliyopo pale Marekani, unapozungumzia simu zenye hadhi yake iPhone lazima akae nafasi ya 1.

Ila nafasi hiyo sio kigezo cha kumpa uhalali wa kuzizidi simu nyingine kwa ubora. Kushika nafasi hii inasababishwa na mtindo wake wa kuzalisha simu chache.
Read 14 tweets
Aug 1, 2020
💨 YAHOO BOYS
💨 VIJANA HATARI WA NIGERIA

▫️Ni wanachuo na vijana wengine wanaofanya Utapeli mtandaoni.

▫️Mtaji wao ni Komputa na hirizi. Unamkumbuka HushPuppi vizuri?

▫️ Tatizo lao wanakamatwa kama kuku na hawaishi huko mtaani.
#FLowMaTaTa tiririka nazo 👇👇
▫️Yahoo Boys ni wanafunzi wa vyuo vya Nigeria walioamua kujitafutia kipato mtandani kwa njia za udanganyifu.

▫️Wengi wakianza shule huishia katikati na hata kumaliza.
▫️Hawa vijana huwa wana kasumba ya Kuinuana mmoja akipata sehemu yenye dili anaenda kuwachukua masela zake wote kitaa na kuwapa mchongo.

▫️Wanatumia mbinu kama 419 Nigeria kuwaibia watu huku mtandaoni.
Read 24 tweets
Jul 31, 2020
💨 VITA VYA TANZANIA DHIDI YA WADUKUZI

▫️ Unawajua Tanzanian Hackers wewe? achana na suala la ku-hack Dream League.

▫️ Website ya Waziri Mkuu yadukuliwa. Msala wa mbet.

▫️Huko Jamii Forum ni vimbwanga juu ya vimbwanga.
#FLowMaTaTa tiririka nazo 👇 👇
▫️ Kwa mujibu wa Threat Map, Tanzania moja ya nchi zinazoongoza kufanyiwa Cyber Attack kwa Afrika.

▫️Na hii inasababishwa na ufungufu wa wataalamu wa IT.
Twende Chap Chap
▫️April. 2012, Wadukuzi kutoka America Kusini "LatinHackTeam" walidukua site za Serikali 35+ duniani.

▫️Nchi kama Japan, India, Ufaransa na kwa Afrika Tanzania ilibahatika kupata nafasi hiyo.

▫️go.tz ikapigwa chini. Zaidi ya website 10,352
Read 12 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(